Magoli | Azam FC 3-1 JKT Tanzania | NBC Premier League 27/12/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 16 годин тому +2

    Comeback yakibabe 🔥🔥🔥🔥

  • @hassanrashid9436
    @hassanrashid9436 16 годин тому +15

    mm niulize huyu ndo yule kipa aliyecheza dhidi ya mnyama simba??

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 14 годин тому +3

    Wamezihirisha juz walituma hawa

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 14 годин тому +8

    Tatizo timu nyingi zinakaza zikicheza na simba kwa maan wanaahidiwa pesa nying ndo wanakaza lkn wakicheza wao kW wao hatma yake ndio km ivo,kipa ndie huyo huyo

  • @endasakdaycare
    @endasakdaycare 16 годин тому +4

    Nilijua tuu 😂😂😂 walitukazia sana ila kumbe ni nguvu ya mzamini😂😂😂

  • @PAAKWAMEPAA
    @PAAKWAMEPAA 12 годин тому

    Asante baba

  • @ElastoKehegwa
    @ElastoKehegwa 13 годин тому +2

    Lengo nazumun baada yakuona Simba sc nitum kubwa kwenye ligi na kimataifa lengo lao nikuizofisha Simba na sivii yake Hawawez ng'oo

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 50 хвилин тому +2

    YANGA WALILOGA KMC COMPLEX KITAMBO UONGOZI WA SIMBA UFANYE DUA MAALUM WANAPOENDA KUCHEZA KMC COMPLEX ADUI YAO AMESIMIKA MASHETANI KMC COMPLEX

  • @DanielYusto
    @DanielYusto 14 годин тому

    Pole sana JKT, leo mmekutatananacho

  • @ZubeirKhamisi
    @ZubeirKhamisi 15 годин тому +1

    Hawa mbwa ilikuwa wapigwe 10

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 15 годин тому +2

    Ukicheza na simba mechi moja jua umecheza na timu tano nguvu yake , 😀😀 hapo mechi kama tano mtapoteza mpaka kukaa sawa ,

  • @JaphariMsabaha
    @JaphariMsabaha 14 годин тому +1

    Ongela sana simba

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 15 годин тому +2

    Simba ni timu yenye uzani mkubwa sana,ukiibania kukupiga itakavyo basi jua kuwa utatumia nguvu nyingi sana kuzuia magoli na kisha mechi zijazo nguvu inakuwa imeisha,Azam na wengine mtakaofuata muishukuru Simba maana JKT nguvu ziliishia kwa Simba sasa ni mdebwedo tu😂😂😂

  • @RboyJiga
    @RboyJiga 12 годин тому +1

    Nado mbona kama kashikwa tako😮

  • @Don_abujay
    @Don_abujay 15 годин тому +1

    Jkt sio kama ni wabovu bali walitumia nguvu nyingi kwenye mechi iliyopita na Azam fc tulipata mda mwingi wa kupunzika

  • @Mr4Real
    @Mr4Real 15 годин тому

    Azamfc 🤍💙🤎🔝 ubora unajionyesha🎉

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 16 годин тому +1

    Mfupa Uliomshinda Kolo Azam Kaugonga Kwa I cream..😂

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 14 годин тому +3

    Yani mm kama Nina uwezo ningeihamisha Simba kwenye hii ligi Simba ipo kama yatima

  • @ibrahmahuve3134
    @ibrahmahuve3134 4 години тому +1

    Mpira ni fomla sio kufungwa na Azam basi kwa Simba alikaza hapana mpira hauko hivo Fomla ya Simba ilishindwa au mbinu za kocha wa Simba ziligonga mwamba simba kafungwa Yanga ila kamfunga Tabora ambae kamfunga Yanga tena 3 so ni matokeo tu ukijaa kwenye mfumo unapigwa

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 15 годин тому +1

    AHADI NYINGI ILI SIMBA IFUNGWE..MKIENDA KWINGINE MNACHEZA MDAKO.. GOALKEEPER MAN OF THE MATCH LEO AMEKUWA KILAZA..

    • @Bashilwa
      @Bashilwa 15 годин тому +2

      Hii coment ihangaliwe na wenye D3 kweli . Maana sio kwa stahili hii kweli

    • @JenifaNyamhanga
      @JenifaNyamhanga 14 годин тому +1

      Wewe nae kawafunze kwanza wachezaji wenu kufunga ndo uje kuropoka hapa daah pole naona unaumia sana😂😂😂😂 kama ni rahisi kuwapa hela na nyie mkawape mkiona yanga inashinda mnaanza vimdomo saivi ni gusa achia twende kwao 😂😂😂😂😂

    • @jephtephlon2366
      @jephtephlon2366 13 годин тому

      ​@@JenifaNyamhangautopolooooo 😂😂😂😂😂,, haya gusa achia twende kwao kwa nyuki wa tabora 😂😂😂

    • @JenifaNyamhanga
      @JenifaNyamhanga 5 годин тому

      @@jephtephlon2366 fyuuuu naona mnaumia mme wenu akifungwa na timu nyingine daah poleni tutakuwa tunawapa nyie utamu ni wenu siku zote mme wenu akiamia kwa jirani mnaumia wenyewe daaah ama kweli mme anauma ndo nimejua leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jephtephlon2366
      @jephtephlon2366 4 години тому

      @@JenifaNyamhanga mlivimbaa usoo ile siku 🤣🤣🤣🤣

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 15 годин тому +1

    Azam moto wa kifuu ligi ikianza tena round ya pili tutayaona mengi si ndo zenu kila mwaka mnakaa kileleni mwisho wa msimu nafasi ya tatu au pili

  • @DamianDemon-n7p
    @DamianDemon-n7p 16 годин тому +1

    Uyo kipa wa Azam kama Khomen

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 15 годин тому +2

    Hawa makuma walikamia Simba leo wamebondwa Tena hiyo kipa chura mmoja tu

    • @EdinaPastory
      @EdinaPastory 15 годин тому

      Acha matusi mshamba we kolokwinyo

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 14 годин тому +1

    Hilo tawi la utopolo limepigwa tena siwapendi hawa na prison matawi ya timu ya chama

  • @MohamediKassimu-d4c
    @MohamediKassimu-d4c 15 годин тому +1

    Kule kudaka kwa nguvu ya soda kuko wapi ???????? Laini kama unanawa

  • @happyyusuph9981
    @happyyusuph9981 4 години тому

    Kweli makolo mnateseka sana

  • @mbraziltz9126
    @mbraziltz9126 3 години тому

    Remember ur counrty

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 15 годин тому +1

    😂😂😂 kipa man of the match 💥💥💯✅ alafu hii ndio timu iliyo isumbua Simba 🤔🤔

    • @jacksonmwalimu5181
      @jacksonmwalimu5181 15 годин тому

      Eeeeh Simba si mbovu😅😅😅

    • @abbytafa
      @abbytafa 15 годин тому

      Haya tuambie ubovu wa simba nini

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 15 годин тому

      ​@@jacksonmwalimu5181kama mbovu unaongoza league😂

    • @LabaniAkyoo
      @LabaniAkyoo 15 годин тому

      Simba inakamiwa sana na utopolo anagawaa pesa Ili Simba afungwe

    • @josephvenus3259
      @josephvenus3259 15 годин тому

      @abbytafa hujaelewa nilicho kiandika

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 15 годин тому

    Juzi alikuwa bora leo amekuwa shoga ila mimi nilijua tu manara pale kmc nilijua kazi yetu imeisha

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h 11 годин тому +1

    Kumbe jemedari ni mlungula aache kujifanya mchambuzi wa mpira aendelee na udalali wa wachezaji.

  • @nizobeatz90
    @nizobeatz90 5 годин тому +1

    hv huyu kipa ndio yule au leo mwingne mbn kama sie

  • @interista39
    @interista39 11 годин тому

    Goal for 1:1 clear offside :D
    2:22

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 хвилини тому

    SIMBA SAFU YA USHAMBULIAJI IJITATHIMINI HUYU KIPA SIO WA KUSHINDWAA KUMFUNGAA

  • @christinamwazembe791
    @christinamwazembe791 14 годин тому +1

    Huyu ndio kipa aliedaka ile mechi ya simba? 😂😂😂

  • @ramadhaninawanje2744
    @ramadhaninawanje2744 15 годин тому +1

    A few moment later

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt 2 години тому

    Tafuteni kipa langoni lipo jitu limesimama tu lkn halijuwi kazi yk

  • @DevisMeshack-m8e
    @DevisMeshack-m8e 55 хвилин тому

    Mwili unauma mikono inauma alitumia nguvu nying dhidi ya simba kwahiyo saiv mwili wote hoi!!!

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 14 годин тому

    Makipa wengi wa hii league yetu in wabovu kinooma

  • @kibutionlinetv2321
    @kibutionlinetv2321 4 години тому

    Match ya Simba aliivaa irizi matakoni nini😁😁😁

  • @Vincent-q9d
    @Vincent-q9d 15 годин тому

    Duh awa JKt kuna kitu aiwapendi cjui kwann 😂

  • @jonasfrank1758
    @jonasfrank1758 14 годин тому

    Huyu kipa ndie aliyedaka na Simba hauwez amini kitu anafanya hapa

  • @KhalfanSaeed-b5c
    @KhalfanSaeed-b5c 15 годин тому

    Hta me cjalielw gol la kwnz

  • @AsmaAmeir-c6r
    @AsmaAmeir-c6r 6 годин тому +2

    Saves alozifanya kwa simba shoots zote alipigiwa alipo sio nyingi kazifata ndo maana ukaona kaokoa sana leo goli la kumtoa thamani ni lile alookoa ukamkuta silah lakin mengine sio mepesi kama mnavyozani huo wenu ushabiki tu

    • @ahmedsalehe9489
      @ahmedsalehe9489 6 годин тому

      vina tumwaga hivi alafu vinashndwa kushikilia bomba

  • @imamujuma-b6l
    @imamujuma-b6l 15 годин тому

    mjinga kweri katu kazia kaja kufungwakijinga

  • @DamianDemon-n7p
    @DamianDemon-n7p 15 годин тому

    Ayo magoli ya Azam angefunga Yanga ungesikia kila aina ya milio

    • @abubakakombo6365
      @abubakakombo6365 15 годин тому

      Wee koma kwnz usifananishe na magoli ya bahasha kw team na marefa

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 15 годин тому

    Yaani JKT pamoja na kuja zimekamia dhidi ya Simba huku akapigwa kirahisi😂😂😂

    • @ShajuMusic
      @ShajuMusic 15 годин тому +3

      hata azam alikaza Kwa yanga Kwa Simba kweupe 😂😅

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 13 годин тому +1

      @@ShajuMusic halafu kwa Nyuki tena ikawa je?😂

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 16 годин тому +1

    Yanga isipo chukua ubingwa naoa

  • @salehsultan8887
    @salehsultan8887 15 годин тому +1

    Kwani huyu kipa wa jkt ndo yule aliyedama mechi ya simba au mwengine???

    • @jephtephlon2366
      @jephtephlon2366 13 годин тому

      Nashangaaq

    • @salehsultan8887
      @salehsultan8887 13 годин тому

      @jephtephlon2366 yani kafungwa magori ya kishamba sanaa wakti siku ile alikuwa anafanya save za hatari

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 14 годин тому

    Ila huyu kipa kazidi ubovu Azam Kwan Manula Hamumuoni

  • @DicksonpaulPaul-i4z
    @DicksonpaulPaul-i4z Годину тому

    Oya wee

  • @SharhabilMuhamed
    @SharhabilMuhamed 13 годин тому +1

    Usimshangae kipa wewe jiulize kwanza anacheza na nan? Alaf ndo useme kuna goli lenye utata apo AZAM FC KWANZA

  • @Shaa2213
    @Shaa2213 15 годин тому +1

    Wazee nina waswas na gol la 1 la azam

  • @moodyhussein3752
    @moodyhussein3752 15 годин тому

    Leo kamaliza na asist

  • @ImmaSimon
    @ImmaSimon 14 годин тому

    Mbona goli la kusawazisha ni clear offside?🤔

  • @starruben384
    @starruben384 13 годин тому

    Maafande Hawa ndyo walicheza na Simba 😂

  • @Barcabacah
    @Barcabacah 2 години тому

    Acha kisingizia simba wanakaziwa et
    We sema tu huna safu ya ushambuliaji ya kueleweka unasubiria penalty
    Sasa apo kipa angejuaje Kona inapigwa chini alaf nado atapiga shuti

  • @HusnaHassani
    @HusnaHassani 12 годин тому

    Ivi uyu kipa mzima lakini

  • @CheerfulCakeSlice-po2ht
    @CheerfulCakeSlice-po2ht 15 годин тому

    Hivi team ndogo kwanini huwa zinakamia sana simba wanapigwa na viteam vidogo vidogo dar hadi hutegemei

  • @nasorhaji3064
    @nasorhaji3064 12 годин тому

    Wachezaji wamecheza ovyo na kipya au sbb sio simba timu ndgo zinazinguwa

  • @nasorhaji3064
    @nasorhaji3064 12 годин тому

    Yaan mpira kitu cha ajabu huyu kipa ndie kweli????

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 5 годин тому

    Kipa la mchongo.

  • @jonyjaksony
    @jonyjaksony 2 години тому

    Huy kipa kumbe boya tu

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 4 години тому

    HIVI Simba mnaakili kweli? Mbona mnalalamika saana hivi hapa anacheza Simba au Azam na JKT? Acheni ujinga sema JKT ili wabania tu sio kulaumu mzamini kwani ndiyo anacheza? Makolo bhana akili zenu ni finyu

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 15 годин тому

    😅😅😅😅 kumbe wanatumwa hawa watu kumharibia mnyama et

  • @RajabkhamisRajab
    @RajabkhamisRajab 7 годин тому

    Simba mbovu tu

  • @JacobNcheye-po3it
    @JacobNcheye-po3it 14 годин тому

    Kweli Tanzania timu pekee ni Simba tuu nyingine ni washiriki wa kujaza idadi ya timu zitimie

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 13 годин тому

      Huyo ni mke wa mtu ujue sasa unapomtaja pia mtaje Mume wake tena kwa herufi kubwa,mbwa koko wewe

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 13 годин тому +1

      Amechukua nini huyo mke wa mtu kwa hii miaka 4?

    • @ahmedsalehe9489
      @ahmedsalehe9489 6 годин тому

      @@musamagulu2023 nyuma ya hyo miaka minne wewe ulichukua nini?

  • @ISSASINAMBE
    @ISSASINAMBE 15 годин тому

    Soka letu kivyetuvyetu

  • @ErastoNsuluja-o6z
    @ErastoNsuluja-o6z 14 годин тому

    😂

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 15 годин тому

    Sasa mbona hawa Huyu golikipa wa JKT alitubania sana simba halafu hapa amefungwa magoli rahisi

    • @shabanizuberi4503
      @shabanizuberi4503 15 годин тому

      Kaka mpira wa bongo wahovyo sana uchawi rushwa ndyo vimetawala sana,,ndyo maana jirani amekuja kwenye ule uwanja alikuwa na maana yake yote ni Simba kukosa ubingwa..hapo Simba wanatakiwa watafute uwanja mwengine uwanja wakushare na mpinzani ni shida sana

    • @eunicecharles612
      @eunicecharles612 15 годин тому

      Aliamua kuwachania mkeka wana simba😂

    • @sulleymanjimmy2214
      @sulleymanjimmy2214 15 годин тому

      Na golikipa wa Azam nao waseme vipi acheni ushamba

    • @sulleymanjimmy2214
      @sulleymanjimmy2214 15 годин тому

      Kama Khomeiny na vipi goli alilofungwa Mustafa

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 15 годин тому

      Tatizo match kama zile lazima wakamie bila hivo wanaweza wakala nyingi

  • @nascreative_269
    @nascreative_269 16 годин тому

    ua-cam.com/video/yCsJbTBTf8A/v-deo.htmlsi=6dypEi9LVCKWJRb6