BOSS ALIYE FUMANIWA NA MCHEPUKO AJITETEA, SHETANI ALINIPITIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 214

  • @GetrudaLengesela
    @GetrudaLengesela 13 днів тому +1

    😂😂😂😂😂 mama huyo kazidiwa na bidada wa kazi dada wa kazi mlembo

  • @peterpaschal4522
    @peterpaschal4522 Місяць тому +1

    Aki huyo mtangazaji ninge mpiga ngumi ya macho😂

  • @canisiusibrahim9856
    @canisiusibrahim9856 Місяць тому +3

    Mwandishi wa hovyo maswali ya hovyo sema mzee kamheshimu sana

  • @bahatilyimo659
    @bahatilyimo659 Місяць тому +5

    Mwanaume katili sana kwa majibu yake. Hawa ndio huwaambukiza Mabinti wa kazi magonjwa.

    • @Elecovid
      @Elecovid Місяць тому

      Mwanaume anakutwa afumaniwi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Місяць тому +1

    , 😂😂😂😂unifurahisha kweli bbngu waulize wakome kuku fatiliya mulize kwani huyo Dada WA kazi si mke

  • @MaynashoniMvuyekule
    @MaynashoniMvuyekule 12 днів тому

    Acha kumsingizia shetani
    Shetani Ni Weweeeeee 😅😅😅😅

  • @husseinfundikira3616
    @husseinfundikira3616 19 днів тому +1

    Umalaya tu kuoga haaa😂😂😂

  • @AlesiaKayoka
    @AlesiaKayoka Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂 Baba anajidai kabisa Mika miwili eti alipitiwa,mara mke haeleweki jamani

  • @halimawahalimawa8956
    @halimawahalimawa8956 28 днів тому +2

    Nikweli wanawake tuwajali waume zetu chupi hufuliwa na mke sio dada wakazi

  • @user-fq4ts8gd8h
    @user-fq4ts8gd8h Місяць тому +1

    Miaka 54 kwa mwanamume huo sio uzee,bado ngoma yapga na kuchemka kisawasawa,nko kenya😅

  • @bintsuletv4095
    @bintsuletv4095 16 днів тому

    Nimependa majibu ya Mzee mapenzi hayana mwenyewe kwani dada wa kazi Hana haki

  • @ibrmajii1304
    @ibrmajii1304 Місяць тому +2

    Mzee naomba usi sinhizie shetani mzee wangu. Lakini dadaangu nadhani shida ipo kwao nyumbani yapo mengi mzee kaweka heshima sababu ya ndoa lakini inaonekana bibiake ana mnyanyasa kimapenzi nakama ingekua sio hivyo basi huyu mzee asinge yafanya haya. Camera Man heshimuni wazee plz. + 254

  • @TulloNgelela-oy1xh
    @TulloNgelela-oy1xh 17 днів тому

    Mzee pont hiyo huyo dada wa kazi ni chombo😂😂😂😂😂

  • @HopeChriss
    @HopeChriss Місяць тому +6

    Alafuu hii mbona kama drama tu za bongo 😂😂😂😂😂😂😂 maana wanongo kwa kiki

    • @upendondelwa7510
      @upendondelwa7510 Місяць тому

      Ni drama ili channel iende viral😅😅😅

    • @temeketv
      @temeketv Місяць тому

      Umeona eehhh miyeyusho hapo😂😂😂😂

    • @zuhurahamisi8687
      @zuhurahamisi8687 Місяць тому

      Yaani tumeshawajuwa waongo

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija Місяць тому

      Ni kuku 😂😂😂na mrijaa

  • @TulloNgelela-oy1xh
    @TulloNgelela-oy1xh 17 днів тому

    Mzee umepigaje hapo manina😂😂😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 Місяць тому +1

    ila waanishinalumbnha na vichwa lkn mmoooo tyuuuu aiseee poleni sana

  • @user-st8hd9iq4o
    @user-st8hd9iq4o Місяць тому +3

    MALAYA TU HUYU BABA HALIFAI

  • @MariamAnafi-bf9gy
    @MariamAnafi-bf9gy Місяць тому +1

    Ufai kuwa mume wewe mwanaume kulala na dada wa kazi ni kumzarau mkeo Bora uyo mke aanze maisha mapya na uzee wote huo utulivu ziro looo

    • @HamdanAmli
      @HamdanAmli 23 дні тому

      We niwalewale kati ya mwanaume na mwanamke nani mjinga au nani amejizalilosha ?? We mpaka chupi anafuwa mfanyakazi nawewe niwalewale polesana nawewe kama unamwanaume chungasana utakuwa unasaidiwa nje

    • @HamdanAmli
      @HamdanAmli 23 дні тому

      Hakuna mwanaume anawezakuvumilia ujinga wahivyo usipomuheshimu lazima utapoteza samani yako

  • @Niyiturinda
    @Niyiturinda 25 днів тому +1

    Tatizo amefumwa .....wote wanafanya....ndio kazi zao....wanamuhoji nini sasa????!!!!

  • @MarthaManjale
    @MarthaManjale Місяць тому +1

    Nyie watu wahabali mi siwapendi huwa mnauliza maswali kama utamuoa mwanake atakae achika

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 Місяць тому +2

    Huyu Binti wa kazi mbn kanona 😢

  • @ZawadiMwabadilanga
    @ZawadiMwabadilanga Місяць тому

    Acheni umalaya acheni kama ana fua njo una chepuka weww baba katili kweli hana hata aibu wanaume mtuheshim ila kazi abayo fanya uyu mama kwa mafanikio yenu wote

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 25 днів тому +2

    Ulikua mchezo tu akuna hukweli hapo uongo mtu fyuuuiii

    • @pendophales7949
      @pendophales7949 21 день тому

      Nami nimeliona hili toka mwanzo

    • @Soudbako
      @Soudbako 7 днів тому

      ​@@pendophales7949yaani hili ni igizo kabisa wala huitaji kuambiwa upuuzi mtupu 😅

  • @matekerekurwijira1576
    @matekerekurwijira1576 Місяць тому

    Safi sana mwamba umemjibu vizuri huyo mwandishi,big up sana

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f Місяць тому +1

    Ningekuwa Mimi mkeo safarijii ningeweka haus boy

  • @esthermushi676
    @esthermushi676 Місяць тому +1

    Unatakiwa ujiheshimu,umalaya kafanyie nje na siyo ndani

  • @JacklineOtieno-tc7gf
    @JacklineOtieno-tc7gf Місяць тому +1

    Pole babu

  • @AlesiaKayoka
    @AlesiaKayoka Місяць тому

    Ila shetani anapata shida,mpaka naye Aliko atakuwa anaogopa wanadamu maana yenye hafanyi watu wanamsingizia😅😅😅😅😅

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Місяць тому +1

    Huyu mwandishi Hana adabu haya ni mambo ya kawaida

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 Місяць тому +1

    Muwe mnatangaza na habari za maendeleo mbona kwenye ngono tu

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b 22 дні тому

    Hiii nayo ni ainampya ya uigozaji siokweli😅😅

  • @user-ve9cs5zm9u
    @user-ve9cs5zm9u Місяць тому

    Huy baba Ana ofu ya mungu mweshim.mkeo

  • @umfarid247
    @umfarid247 Місяць тому

    Uyu mzee ni muongo hana la kusema kaona kafedheheka lazima ajitete mungu ampe subra mkewe aishi kwa amani

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali Місяць тому

    Mzee katupiga changa la macho hujawahi kutana naye kimapenzi 😅😅😅

  • @SlyvestarSly
    @SlyvestarSly 24 дні тому

    Tena mke boss hafai usafi wote wa mume anafanye mfanyakazi kama ni mm huyo ni mke wanggu wa pili

  • @maicojilili
    @maicojilili Місяць тому

    Ila wanahabari Mungu anawaona, Mungu awasaidie sana mnaujasiri

  • @AishaMuhammed-m7g
    @AishaMuhammed-m7g 22 дні тому

    Skusapot babu iyo aibu

  • @user-gr9jc9fh8e
    @user-gr9jc9fh8e Місяць тому +2

    Mzee ana mjibu ya ovyo😂😂😂

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Місяць тому

    Ila maisha ni mabaya jamani , mkiajiri wasichana wanachukua nafasi za wake zenu ,tukisema house boy mtawalawiti jamani tuombeane kila mtu aweze kumpa mtoto wake japo tu elimu duh ,huyo binti mnamuanika mtandaoni kesho yake itakuwaje ( wewe Mzee na mkeo mnatakiwa adhabu kisheria

  • @Niika870
    @Niika870 Місяць тому

    Uzeee maana yake Nini?? Msimuzeeshe kwa nguvu za. Wakati bado anannguvbu😂😂

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Місяць тому

    mmm Jeuri huyu baba khaa 😢😢😢

  • @user-dl3ny3qf6y
    @user-dl3ny3qf6y Місяць тому

    Huyu mzee ni muongo Sana 😂😂😂

  • @EVADISLAGASPER
    @EVADISLAGASPER Місяць тому +1

    Macho Yako juu juu ila midume hii jmn

  • @GeofreyJosephati
    @GeofreyJosephati Місяць тому

    Wanaweke wetu wanachangia hayo wanasahau wajibu na majukumu Yao ktk ndoa namuunga mkono kizuri chajiuza kibaya chajitem eza😂😂

  • @SlyvestarSly
    @SlyvestarSly 24 дні тому

    Tena huyo baba anefenya jambo la maana mke wake anakosa kubwa sana hawezi kumuachaniza mume wake bila ya kumpa huduma zote

  • @rajabually869
    @rajabually869 23 дні тому

    Hii mbona kama mvi

  • @SalmaIsmail-w1h
    @SalmaIsmail-w1h Місяць тому

    Kweli kabisa hadi masaji anafnya yeye

  • @AntonyBruno-om8mr
    @AntonyBruno-om8mr Місяць тому

    Kumbe mzee anavaaga chupi JK mn😂😂😂😂

  • @IddiJuma-o3t
    @IddiJuma-o3t 28 днів тому

    Baba kweli amekosea jamani tumsameheni kwakuwa yeye pia ni binadamu

  • @EVADISLAGASPER
    @EVADISLAGASPER Місяць тому

    Mmmmmh Mungu naomba ninusuri mm mwanao

  • @ZainabuOmary-ys8oq
    @ZainabuOmary-ys8oq 27 днів тому

    kuchepuka kwa mwanaume ni mtu yeyote so kwamba et kwakuwa ni dada wa kazi hana thamani kuna usemi unasema kichaa mwanamke analala na mwanaume mwenye akili ila kichaa mwanaume haitotokea alale na mwanamke timamu hawa viunbe hawana cha mwanamke mchafu au kichaa mungu atupe uvumilivu tu ndo pale unasema ninakasoro gani hakunaga hilo

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 Місяць тому

    Ahhh malegend tunaelewa... mzee we tuliaaaa

  • @KhadijaTalib-tm6gx
    @KhadijaTalib-tm6gx 26 днів тому

    Mzee unachekesha Sana ety tunapigastooory miaka yote hiyo mnayoenda huko gest mnapiga story gani hizo kwa kuwa mmefumaniwa ndio unasema Bahat mbya mm najua mtu akikosea Mara 1 huwa n Bahat Mby ila kwa miaka yote hiyo mnaishi kwa kuongea tu hamjafanya chochot usitudanganye kma mlishafanya mshafanya tu za mwzi 40 n z kwenu zimefika stori gani mnavua mpka nguo mnavaa Taulo

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Місяць тому

    Eti tanzania nzima wataniona nilivyo fumaniwa msinitangaze.mbona umeshaonwa na dunia nzima?😂😂

  • @EnockSunguya
    @EnockSunguya 20 днів тому

    Yani huyo muandishi ningempiga kelbu moja asingesahau maisha yake yote

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 Місяць тому

    Shujaaaaa! Umejitetea vya kutosha Chief ila sio poa. Chepuka ni mibibi.

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 Місяць тому +1

    Umalaya tu

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Місяць тому

    Kweli baba wakati mwingine sisi wenyewe tunasababisha

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 Місяць тому

    Miaka sita sikama mmoja wa familiar huyo Mzee ... Wewe walala nae ni uhuni huo babaa .

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f Місяць тому

    Huyu baba hafai Malaya Sanaa kula na binti wakazi. Hakuona wanawake koteee huko

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Місяць тому +1

    Waandishi acheni ujinga

  • @lucygalagunga226
    @lucygalagunga226 Місяць тому

    Mm confidence A

  • @user-et3zq5ef1b
    @user-et3zq5ef1b 21 день тому

    hahahahaaaa 😅😅 tunapigaga store

  • @LizzyMunishy-h5t
    @LizzyMunishy-h5t Місяць тому

    Ni kweli wamama tunawaachia wadada kila kazi sasa kwanin mwanaume asimtamani mdada wa kazi mpaka nguo za ndani anafua mhh

  • @Niyiturinda
    @Niyiturinda 25 днів тому

    Naona ni mchezo hajafumaniwa
    Akifumaniwa haezi kuongea na confidence..hivi

  • @songeza
    @songeza 29 днів тому

    Huyo dadake hana adabu anamtaka kakake? Hakuna mwanaume ambae hana wa pembeni jamani wanawake ebu acheni hizi za kujiaibisha

  • @mussabuhe8881
    @mussabuhe8881 Місяць тому

    mkeo mwenyewe kachepuka sana ilatu sisi wanaime Huwa atufuatilizii owa uyo Binti mzuli acha ubwege

  • @NicholousViper28
    @NicholousViper28 Місяць тому

    Uyo baba anampenda mfanyakazi, maana mke wake anatabia mbya , mwanamke unamzalilisha mmeo gest ovyoo, owa uyo baba, Hahaha gari bovu, kama mtu unashindwa kutandka kitanda si ndo gari bovu hivo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 22 дні тому

    Siyo TZ TUY HAD INJE YA NCHI TUNAKUO POLE MZEE NIKWELI WANAWAKE WANAKOSEA SAN

  • @KishiwaKulwa
    @KishiwaKulwa Місяць тому

    Huyo baba anahakir kwanza alijielew boy uyo

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Місяць тому

    Cjui uonekane mara ngapi hata mimi huku Saudi nishakuona

  • @AdelaMgaya-st1vb
    @AdelaMgaya-st1vb 26 днів тому

    😢

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 20 днів тому

    HUYU MZEE MSHENZI SANA HANA ADABU KABISA ILIBIDI APIGWE. ANAKUWA MKALI WAKATI ANA KOSA NA VIBINTI VISHENZI SANA INATAKIWA VIPIGWE KM UNASEMA UMRI WA HUYOMWANDISHI NI KM KIJANA WAKO. MBONA HUKUSEMA HUYO BINTI NI MTOTO WAKO?WEWE MZEE NIMHUNI UNAJITETEA TUU NI MWONGO SANA. HAYO UNATUNGA UONGO WAKO

  • @aproniasangka
    @aproniasangka Місяць тому

    Wako Sawa kwani nini? Huyu mke kasababisha.

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l Місяць тому

    yani apo ingekuwa mwanaume kamfumaniya mwanamke yani apo pasinge toka mtu mmoja angekufa

  • @apostlemussaonlinetv
    @apostlemussaonlinetv Місяць тому +2

    Unaruhusuje? Kuhojiwa na wapumbuvu hawa

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 11 днів тому

      Ila kweli Hadi kukubali kuhojiwa je Hawa eaandishi Wana dawa ama?

  • @user-fe5xv4bv8q
    @user-fe5xv4bv8q Місяць тому

    Waambie vitu vya maana huwa hawafwatiliii ila ambavyo havijengi ndio wanajuwa kufwatilie

  • @kurwapauloukovizurisana.go7861
    @kurwapauloukovizurisana.go7861 29 днів тому

    Haya kweli maigizo

  • @user-ts8db2xw3y
    @user-ts8db2xw3y Місяць тому +1

    Ila huyu mzee ni handsome jamaniii😂😂😂😂😂😂

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr Місяць тому

    Jamii inakuchulia mzinzi tuu

  • @vickyjoseph1921
    @vickyjoseph1921 Місяць тому

    Jitahidi kumjua mungu hayo uliyoyafanya finally uzeeni

  • @KhadijaTalib-tm6gx
    @KhadijaTalib-tm6gx 26 днів тому

    Ila n mda mwengine wamama tunachangia tunapowaachia wadada wa kazi mpka kuwafulia nguo waume zetu n kutandika kitanda unategemea nn kitatokea mm km mm siruhusu Dada w kazi aingie chumbn kwngu au kufua nguo zke sikwambii nguo za ndani sitaki hata shati

  • @GeoffreyMachusa-p8y
    @GeoffreyMachusa-p8y 21 день тому

    Kweli makosa ya mkeo

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 23 дні тому

    Uyu mwanamke nimjinga sana yendo mwenye makosa na wanawake wengi wakohivyo mwishowasiku wanakuja kulaumu

  • @babababyyaya6665
    @babababyyaya6665 Місяць тому

    Wewe mwanaume ni katili hufai kwenye jamii ni ni mjinga sana hujitambui zee zima hovyo

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Місяць тому +2

    Huu ni ujinga, inawasaidia nini? Mzee safi sana upo vzr? Mpumbavu mwandishi.

  • @user-bl2xd3ke6u
    @user-bl2xd3ke6u 24 дні тому

    Mala unakaataa hujatembea nae mala unatoa ujumbe kwa wanawake mengine

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu Місяць тому

    Wanaume wote ni 🐕 hata km binti wake wakumzaa anaweza kulala naye,wanaume acheni umalaya km mke mmoja hatoshi engeza mke wapili ila sio kuchepuka 😢kwani hamuwezi kuepuka vishawishi vyakijinga,mpuuzi ww eti me mtu mzima 54 miaka ungejua hilo usendeweza kufanya hayo.

  • @crismtete8837
    @crismtete8837 12 днів тому

    Maigizo

  • @user-ff5jt4rp9n
    @user-ff5jt4rp9n 25 днів тому

    Huwa wanatengrneza matukio ili wapate value😅

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 22 дні тому

    Tamaa zake hakuna cha shetani wala nini?

  • @DoriceMalogo
    @DoriceMalogo Місяць тому

    Basi jamani mnamzalilisha baba wa watu inatosho

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 Місяць тому

    Mwanaume huyu mjinga tena tahira .kwa majibu yake kama mimi simtaki. Hata aombe msamaha

  • @SleepyFountain-is9zt
    @SleepyFountain-is9zt Місяць тому

    Sisi wanawake ndiyo chanzo..Kila kitu dada wa kazi Wacha yamkute ndiyo kampoteza hivyo

  • @ChikuRashid-yg3jp
    @ChikuRashid-yg3jp Місяць тому

    Sawa kabisa

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 29 днів тому

    Kwanza wewe mzee unabusara ningekuwa mimi ningetoa taraka kwa mwanamke ili aendelee na biashara alafu ninaishi na house girl

  • @user-cs2ud6id9e
    @user-cs2ud6id9e Місяць тому

    Mfukuze mwabie akakusanye taarifa za nyumbani kwao maana yawezekana katumwa na mke

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b 22 дні тому

    Hii ni hidtolia ya michongo michongo wamebunba imepa gwa

  • @mwatimeabdallah3523
    @mwatimeabdallah3523 Місяць тому

    Hii ni michezo wanataka kuuza kipindi washenzi hawa

  • @user-dy9ip9vv7h
    @user-dy9ip9vv7h Місяць тому

    Mh mwandishi maswali mengiiii