BILA WOGA MADARAKA AMVAA STEVE NYERERE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • AWATA WASANII KUWATHAMINI WAZAZI WAO.

КОМЕНТАРІ • 78

  • @benny4345
    @benny4345 День тому +8

    Safi sana! Hili jambo niliwahi kulisema. Na kuanzia hapo nikaanza kumuita Steven Mengele

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 День тому +6

    Hongera Sana Mr.Madaraka Nyerere...

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 День тому +5

    Umefanya vizuli baba kumlipua Steve analitumia jina la mzee wetu NYERERE vibaya

  • @andrewlkashusha135
    @andrewlkashusha135 День тому +6

    Lkn jaman si baba wa taifa, so kila mtu anaruhusiwa kutumia jina km kumuenzi! Shida iko wap

  • @mwanabucheyeki226
    @mwanabucheyeki226 День тому +4

    Mwambieni Steve Nyerere aache kutumia jina lile Familia ya Nyerere imemkana.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 День тому +5

    Da Kaka una akili sana.Point hiyo.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 День тому +2

    Kwanza uyo Steve mpenda sifa achane na ilo jina alaka sana mimi kama mimi nitamfungulia kesi mbwa uyo kwani ana baba mkataeni araka

  • @peterngaiza8297
    @peterngaiza8297 День тому +4

    Bora umesema kaka! POINT!

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 День тому +1

    Hakujiitq AMEITWÀ NA JAMII ELÈWA HIVYO

  • @jizzomonster
    @jizzomonster День тому +2

    Komaa mzee afte Hilo jina astake sifa anakomaa kumbe hata sio jina lake😂😂

  • @mwafrika78
    @mwafrika78 23 години тому

    Safi sana mwishoni anashusha presha kistaili yake 😂😂😂

  • @bulugulubuga
    @bulugulubuga День тому +1

    Mimi sio mwanasheria, lakini naamini hakuna shida yoyote ya kutumia jina la Nyerere kwa sababu Tanzania kuna Nyerere wengi. Steve Nyerere anatumia hilo jina Kama jina la sanaa. Mwaka 2020 Steve Nyerere aligombea ubunge, je kwenye vyeti vyake,fomu zake ameandika jina la Nyerere kama jina lake rasmi?

  • @CleyKobelu-j8n
    @CleyKobelu-j8n День тому +4

    kiukweli anajiita ivo lakini chakushangaza kanajitaidi kawe kama nyelele lakini kanachafua

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq День тому +1

      "Nyelele" tena aisee? Duh. We vipi?😢

  • @imammwasanyamba9715
    @imammwasanyamba9715 День тому +1

    Afadhari kama mumeliona kama family maana Kuna kijana kimoja cha hivyo sana kipumbavu kina tutia aibu sana kwenye sanaa

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 14 годин тому

    Kwanza alitakiwa kulipa fidia,au ashitakiwe kwa kutumia jina Hilo bila kibali au sauti ya mzazi wa mtu mwingine.Mbona wao wasanii ukitumia majina na nyimbo zao utadaiwa

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 День тому +6

    Umefanya vizuri mtoto wa baba wa taifa. Ubarikiwe sana.

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu День тому +1

    Tena anawadhalilisha sana, aisee kwa tabia zake za ukuwadi,hana sifa hata kidogo ya kuwa mfano wa Nyerere

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 21 годину тому

    Aenzi mzazi wake kwa kweli awaach na mzazi wenu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 годин тому

    Piga chini hilo chawa. Lambogamboga

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp День тому +1

    Mlaji wa michango ya mazishi ya wasanii, mlevi mkubwa bado pia ni mwizi wa majina ya watu eeh!

  • @ThomasMmoka
    @ThomasMmoka День тому +1

    Shame msanii Steve Nyerere! Mwizi wa Jina!Je,Pesa unayoipata kwa kutumia jina la Nyerere unaigawia familia ya Nyerere?

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 День тому

      Mwizi anatakiwa arejeshe hizo pesa alopata kwa kutumia jina la Mwalimu Nyerere

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu День тому +2

    Mkataeni huyo kwanza anawachafua kwa uchawa chawa wake

  • @kennedykassian5269
    @kennedykassian5269 День тому +1

    Haiendelei Kuna somo zuri mbele

  • @mwafrika78
    @mwafrika78 23 години тому

    Familia hii wote wanyenyekeVu na wacheshi

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 День тому

    Upo sahihi mkuu! Ila ckuwa wanajipa hayo majina ya watu maarufu hapana wanapewa na mashabiki zake kama niki name au jina mbadala la anayemwakilisha kwa sanaa

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 23 години тому

    Me nilidhanigi ni mtoto wa Mwl, wa njee, sasa hata babake hamjui tena, haya bwana stv nyerere mkumbuke babako sasa achana na majiba ya watu

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 День тому +2

    Nakukubali

  • @RashidiPembe
    @RashidiPembe День тому

    Wasanii wa SASA hivi wowote wanajiita majina ya watu wengine na wametenga majina ya wazazi wao sijui kwa nini huiga wasanii wa nje KITU ambacho so sawa.
    Sijui kuacha majina ya baba zao kunaeasaidia nini.
    Pumbavuu kabisa

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 День тому

    Kweli atumie jina lake. Kuna watu wanatumia majina ya watu kujenga umuhimu wawo. Wengine hujitangaza kuwa Nyerere ni baba yawo wa ubatizo. Sio tatizo, łakini kwa nini kutumia jina la Nyerere? Je kama ni baba yake wa ubatizo iweje? Nyerere alikuwa sio mtu wa kupiga kifuwa. Hata watoto wake wako down to earth. Munaotumia jina lake kwa kujikuza acheni

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 День тому

    Ni kweli bwana, hata mimi nilikuwa najiuliza na nashangaa kwamba kweli yule jamaa ni mtoto wa mwalimu. Maana yule bwana kimbelembele sana, hawezi kuwa mtoto wa mwalimu hawapo hivyo. Umefanya vema kuliweka wazi, akome kujipendekezapendekeza!

  • @aggreynsemwa
    @aggreynsemwa 10 годин тому

    Bila Woga? Kamwambia ukweli

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil День тому

    Icho Mzee nikipumbavu sana kimeacha familia yake kinakimbilia familia ya mwalimu

  • @MohamedMatata-iu9mm
    @MohamedMatata-iu9mm Годину тому

    MWALIM NYERERE SI BABA WATAIFA HAKUNA DHAMBI KWA MTU KUJIITA JINA LA BABA WATAIFA KAMA HAMTAKI KATAZENI MWALIM ASIITWE BABA WA TAIFA .KWAKUA WENYE KUJIITA HAWAKUSUDII UBAYA .TAFADHALI MWALIM NYERERE NI BABA WATAIFA NA INGE PENDEZA WATANZAIA WAJIITE KATIKA KOO ZAO ZIISHIE NA NYERERE

  • @JOSEPHATMwesigwa-vi7he
    @JOSEPHATMwesigwa-vi7he День тому

    Alisema

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 День тому

    SAWA LAKINI MUANGALIE -PENGINE JINA ALIPEWA NA MASS - KUNA WACHEZAJI WENGI WA MPIRA HUWA WANAPEWA MAJINA NA WAPENZI AU WATANGAZAJI SASA MSIMUHUKUMU TUU KWAMBA AMEJIPA JINA YEYE STEVE ANGALIENI KWA MAKINI

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 День тому

    Jamani angeogopa nn Sasa? TV hizi ...

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 День тому

    Wamegundua badala ya kumuenzi kwa matendo ya kizalendo na kupinga dhuluma, kile kihuni kinatumia jina la Nyerere kama chawa na kusapoti dhuluma. Uchawa na Nyerere wapi na wapi?

  • @monelayongola419
    @monelayongola419 День тому

    Mie nilichoona , sio sawa. Sintetei huyu STEVE , lkn mngeweza kumuita pembeni na kuzungumza nae . Ni mawazo yangu tuu lkn

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 23 години тому

      Jiamini, binadamu anayo mawazo Daima unahofu nakuogopa nani na nini?

  • @AgripinaKivike
    @AgripinaKivike День тому

    Bora umesema ili awe na kiasi familia ya mwalimu inaheshimiwa ndani na nje nje ya nchi watu wa janjajanja wakome

  • @Locker6996
    @Locker6996 День тому

    Madaraka, Nyerere ni Baba wa Taifa na Africa kwa ujumla, Nyerere si wa ukoo ni Mkubwa saana, usituchanganye sis wote watoto wa Nyerere , Acha kutubagua Father 😅

    • @edwardKissiky
      @edwardKissiky День тому

      Hujajua maana halisi ya ubaguzi, madaraka anafafanua matumizi ya jina Nyerere na kumuenzi
      Mwl Nyerere,

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 День тому

      Baba yako anaitwa Nyerere?

  • @libinalukumai
    @libinalukumai День тому

    Sahihi

  • @lawrencebukuku8754
    @lawrencebukuku8754 День тому

    Nikweli achie hilo jina anadhalisha ukoo was Nyerere

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 День тому

    Karipua weng mno.mpaka wanaweka picha za watu bak.huku hata mama zao na babu zao wamekufa lakin hata siku moja hawawek picha zao.wajinga mno asante kaka watwachie baba yetu waweke baba zao.pia na ndugu zao umewapasha mno.

  • @SHIJADAVIS
    @SHIJADAVIS День тому

    Amekuwa maarufu kwa jina lisilo lake.

  • @HamisLeo
    @HamisLeo День тому

    Hilo ni jinga liacheni tu

  • @kilianjulius9882
    @kilianjulius9882 День тому

    Nadhani huyo chawa taarifa imemfikia vilivyo

  • @Hemedmikole-r9e
    @Hemedmikole-r9e День тому

    Full stop kutumia jina la nyelele

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 День тому

    Hawa jamaa hawakua mafisadi banaa

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina День тому

    Kwani Nyerere ni baba yako peke yako huo ni ushamba, kwanza inawezekana ni mtoto wake kweli alipomlala mama yake kwani ulikuwepo

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 День тому +1

      Anaitwa Steve Mengele siyo Steve Nyerere! Kwani wewe Nyerere ni baba yako? Upuuzi mtupu!

  • @songombingo108
    @songombingo108 День тому

    Huyo anajiita Steve Nyerere kwanza hana sauti ya Nyerere. Sauti yake nadhani anapiga konyagi sana. Mpumbavu yule. Anapoongea mbele za watu anajitutumua utadhani ana akili kumbe hana lolote

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 День тому +1

    Watu hawamkubali kabisa huyo jamaa anajiita stive Nyerere anaboa sanaaaaa

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina День тому

    Umekosa ya kuongea kaka, kwanza ushamba mwingine mlio nao watoto wa Nyerere ni kujua kwamba mnatakiwa kuwa wana siasa

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 День тому

      Nawe wivu umeona wapi watoto wa Nyerere na heka heka sio masikini kiivyo jombaa sio machawa kama wewe

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 23 години тому

      ​@@davidkawesa3594Raia wengi tunawapenda na watoto wa Mwl. Wanajiheshimu, Sio dhambi wao kua wanasiasa

  • @MussaSuleiman-g2n
    @MussaSuleiman-g2n День тому

    Mbona na yeye kwa na njia yake ya kumuenzii🤔 ? Kwahiyo sauti Ni sawa ila Jina hapanaa ? Kwani limekatiwa hati miliki? Kama Aina gulani ya ubinafsiii😲 !mbona hiyo haikuanza leoo kwanini mnata kuhodhi jinaa? Kwani majina yakifanana Kuna shidaaa! Tunaelekea wapiiiii?

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 День тому

      Anayeigiza sauti yako achukue na jina lako? Kwani Steve Mengele aliombwa kuigiza sauti ya Nyerere?

  • @CleyKobelu-j8n
    @CleyKobelu-j8n День тому

    iyo sauti inatakiwe ipaziwe sauti kati ya wasanii wanao boa yeye ndiyo wakwanza kuboa

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 День тому

    Kumbe anaitwa Mengele mpuuzi kachukua jina la baba wa Taifa kupatia umaarufu aibu

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 День тому

    Ukweli mtupu

  • @kalumunakalumuna7403
    @kalumunakalumuna7403 День тому

    Safi

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina День тому

    Watoto wa Nyerere shida mlikosa exposure, mbona watu wanajiita Lincoln, Clinton n.k , Nyerere ni jina brother hata wewe jina lako siyo kwamba ni la kwako peke yako kama unaona ni shida nenda mahakamani ..hapo umepotoka mkuu

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 День тому +1

      Shida sio exposure. Hao wanayo exposure ya kutosha. Shida ni kwamba haitwi Steve Nyerere, anaitwa Steve Mengele! Hiyo ndo shida. Madaraka amesema ukweli, mengine ni propaganda zako za kipuuzi kidogo!

    • @justcruised
      @justcruised День тому

      Nadhani una kichwa kigumu you don’t think outside the box you are thinking straight 😂

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 23 години тому

      ​@@justcruisedout side the box?

  • @jizzomonster
    @jizzomonster День тому

    😂😂😂😂

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 День тому

    Acha wivu

  • @mrpaul6355
    @mrpaul6355 День тому

    Leo ndio nyakyegi umezungumza jambo la karlı mtu Mjungu na mshenzi anapara umaarufu kwa kutumda jina la baba yako na kutengeneza fedha na wakati mwingine anasafiri kwa kujitangaza kama Steve Nyerere wakati Nyerere siyo baba yake.zuia mchezo huo wa kijinga kwanini asitimiz jina lake na lahana yake.tumewaona wengine hadi wanawakana baba zao mfano Diamond platinum alimkana baba yake hao ndio wasanii wa Tanzania. Ozomilye sana mkaruka

  • @olomweneabongela1717
    @olomweneabongela1717 День тому

    Nyerere ni jina kama jina lingine

  • @MirandaThomas-n3v
    @MirandaThomas-n3v День тому

    Mbona yy analitumia hadharani waache uchawa wa kijinga