Wewe ni Mungu -Ester Nyanda feat Gwamaka Mwakalinga ( official music video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • "Wewe ni Mungu" ni wimbo wa ibada uliokusudiwa kuibua shauku na moyo wa ibada ndani kila asikiaye,kwa kukumbushia uweza na nguvu za Mungu zisizo na mipaka katika maisha ya mwanadamu.Kiini kikubwa cha ibada ni kumtambua Mungu kama alivyo na uweza wake, na yale mengi anayoweza kufanya kwa kadri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu..Efeso 3:20
    Ni maombi yangu kuwa unapomwabudu Mungu kwa wimbo huu,chemchem za ibada zifurike ndani yako na umfahamu Kristo kwa ufunuo mpya na wa tofauti zaidi
    Mungu akubariki
    .
    .
    .
    Audio capturing and mixing - Justin Rider
    Video mixing - Syberpic
    Stage and light - Sound Solutions international
    light operator - Nyakalo lights

КОМЕНТАРІ • 71

  • @lusajoadam1822
    @lusajoadam1822 12 годин тому

    Dada Mungu wa mbinguni akubariki sana wewe pamoja na tim yako yote mlioshilikiana kuutunga huu wimbo na hata kuuimba kwa viwango vikubwa hivi. Mungu awabariki wapigaji wa huu mziki umekizi haja ya moyo wangu endeleeni kunyenyekea mbele za baba na wala msichukue utukufu na baba Akutumie zaidiubarikiwe sana

  • @mlawigalactico3855
    @mlawigalactico3855 Місяць тому

    Wimbo mzuri,,,,hakik hakun wakufananishw na Mungu,,,,kazi nzuri nakukumbuk toka Faraja seminary,,,barikiwa

  • @jamesbenjamin4556
    @jamesbenjamin4556 Місяць тому +1

    AMEN - God is good all the time.

  • @monicahabule6125
    @monicahabule6125 Місяць тому

    Powerful 🔥🔥
    Hakika hakuna wa kufananishwa Wala kulinganishwa na Mungu wetu milele yote🙏🙌

  • @st.juniorsilwimba9691
    @st.juniorsilwimba9691 Місяць тому +6

    PASHELIDABAYA
    MAKULEDIBADU , MAVUNTAYA
    SHEKUZAMINTU
    YAKADABALE YAKADABALE ASKALETA 🕊️
    BWANA YESU KRISTO, HAKUNA KAMA WEWE , HAKUNA KAMA WEWE, HAKUNA KAMA WEWE , HAKUNA KAMA WEWE , HAKUNA KAMA WEWE , HAKUNA KAMA WEWE
    🙌

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому +2

      @@st.juniorsilwimba9691 Praises to God..Haleluyaaaa

  • @Nadhirib
    @Nadhirib Місяць тому

    Amen hakika wewe ni MUNGU haakuna wa kufananishwa nawe

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 Місяць тому +8

    Amen! Hakika hakuna wa kulinganishwa na Mungu. Utukufu wa Mungu uzidi kuonekana kwenye uimbaji wenu. Utukufu kwa Mungu🙌🏻🙌🏻

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому +1

      @@bestcakes7098 Ameeen Aunt tunamtukuza sana Mungu

  • @aniamwakanemela3188
    @aniamwakanemela3188 Місяць тому

    Hongera sana Estar Nyanda kazi yako ni njema sana

  • @viskynkatha3591
    @viskynkatha3591 Місяць тому

    hakuna wa kulinganishwa na we mungu🙏🙏🙏

  • @Ministersamuelilankunda5640
    @Ministersamuelilankunda5640 Місяць тому +2

    He is the GOD kila mmoja anajua
    Huu ukiri🎉❤❤

  • @robertpropheticchild2941
    @robertpropheticchild2941 Місяць тому +3

    wow Groly To God powerful song hakika hii ibaada iliandika historia kwenye maisha yangu Mungu azidi kuwatunza sana watumishi wake kwa ajili yetu na ufalme wake😢

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому

      @@robertpropheticchild2941 Blessings

  • @nehemiamkisi1171
    @nehemiamkisi1171 Місяць тому

    Amen, utukufu kwa Mungu tu

  • @user-rx1qd8zd2v
    @user-rx1qd8zd2v Місяць тому

    Wewe ni Mungu hakika❤❤

  • @NeldaMwanuke-wf7eh
    @NeldaMwanuke-wf7eh Місяць тому +3

    Wewe ni Mungu NAMI nakuja hakuna wa kufanana na wewe

  • @stevezekim4463
    @stevezekim4463 Місяць тому +2

    Ni kweli yeye ni mungu mwenye nguvu na hakuna wakulinganisha naye... So powerful 👌👌👌

  • @user-mw3yp6kl5c
    @user-mw3yp6kl5c Місяць тому

    Hakuna kama Mungu

  • @felisterkasuga3217
    @felisterkasuga3217 Місяць тому +1

    Hakika wewe ni Mungu. Hata mimi nathibitisha kukujua baba. Na nguvu zako nimekuwa nikiziona kila siku Bwana. Haleluyaaa

  • @estercharles7339
    @estercharles7339 Місяць тому +2

    Glory to God 🙌, He who was and is and is to come. No one can be compared to him, He is all powerful..... haleluyaaaaa 🙌🙌🙌🙌🔥🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emanuelkitomary9622
    @emanuelkitomary9622 Місяць тому +3

    Wimbo safi sana, Asante Bwana Yesu 🙏

  • @EnesiaSteven
    @EnesiaSteven Місяць тому +1

    WEWE NI MUNGU WATU WOTE TUNAJUA HAKUNA WAKULINGANISHWA NAWE🙏

  • @beniviva5014
    @beniviva5014 Місяць тому +3

    Hizi ni nguvu za Bwana

  • @enosmanga
    @enosmanga Місяць тому +3

    Hakuna kama wewe yesu

  • @teddykabelege8558
    @teddykabelege8558 Місяць тому +1

    Wow,i remember those days ulikua ukituimbia shuleni,Mungu azidi kukutumia classmate.

  • @emmaandrew3298
    @emmaandrew3298 Місяць тому +3

    Hakuna wakufananishwa na Mfalme Yahweh Elohim

  • @makingapaul8225
    @makingapaul8225 Місяць тому +3

    Powerful song🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @hannamkumba
    @hannamkumba Місяць тому +3

    Be blessed my Sis.
    Acha Mungu ajitwalie utukufu🙏🙏🙏

  • @ErneaJoel
    @ErneaJoel Місяць тому +2

    Ester wanguuuu Mungu akuinue mnoooo powerful song

  • @jeremiahmahenge9250
    @jeremiahmahenge9250 Місяць тому

    Powerful 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @franklinmerikiyoli6901
    @franklinmerikiyoli6901 Місяць тому +2

    Wow wow. What a song
    Dah mama mchungaji more grace more fresh anointing. Uzidi kupata maono mpya ya nyimbo kwa utukufu wa Mungu.

  • @pastorayoubleo4973
    @pastorayoubleo4973 Місяць тому

    Wao Powerful song .

  • @Sharonaworofficial
    @Sharonaworofficial Місяць тому +2

    This song has made me to search you and subscribe to your channel...may Gid use you mightly dear❤️from kenya🇰🇪i love you

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому +1

      @@Sharonaworofficial ooh glory to God ..thank you so much for this ..more greetings there in Kenya..i hope in God's time will see you there

    • @Sharonaworofficial
      @Sharonaworofficial Місяць тому

      @@esternyanda Amen. In God's time👏

  • @fridasosovele7481
    @fridasosovele7481 Місяць тому

    God bless you aboundantly, 🔥🔥🔥🙏

  • @KhamisKatana-ti8gy
    @KhamisKatana-ti8gy Місяць тому +2

    Very powerful song indeed may the almighty take u from glory to glory

  • @annetmark6
    @annetmark6 Місяць тому +2

    Waow Glory to GOD it’s finally released here in UA-cam 🎉

  • @straton37
    @straton37 Місяць тому +2

    You are blessed. Hakika hakuna wa kulinganishwa na Yesu

  • @princekeddymusic8381
    @princekeddymusic8381 Місяць тому +2

    Watching from Lusaka Zambia ❤❤❤ more Grace

  • @jeremiahmahenge9250
    @jeremiahmahenge9250 Місяць тому

    Your blessed Madam❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lightnessshao5315
    @lightnessshao5315 Місяць тому +2

    Very powerful
    Glory to God

  • @adelphinagallet9331
    @adelphinagallet9331 Місяць тому +2

    Hallelluyah Hongera Sana Esther

  • @malis-hy6wf
    @malis-hy6wf Місяць тому +2

    nice and powerful. but inform Pst Gwamaka Mwakalinga aache kunyamaza hivo

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 Місяць тому

    Amen. Awesome.

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 Місяць тому

    Amen. Awesome❤.

  • @isabellajohn793
    @isabellajohn793 Місяць тому +2

    Haleluyah🙌

  • @agnesfrancis8834
    @agnesfrancis8834 Місяць тому +2

    🔥🔥🔥🔥🙌

  • @christinamsegu
    @christinamsegu Місяць тому +2

    Haleluya Haleluya ❤❤❤

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому

      @@christinamsegu Praises to the Lord my sister

  • @ikupamwakalinga8159
    @ikupamwakalinga8159 Місяць тому +2

    Glorious 😍🔥🙌

  • @luganokapologwe4636
    @luganokapologwe4636 Місяць тому +2

    More grace WoG

  • @AndrewNehemia-tl1sg
    @AndrewNehemia-tl1sg Місяць тому +2

    Nice song my sister, blessed 🙏❤️

  • @pastorjameskalekwa
    @pastorjameskalekwa Місяць тому +2

    Wewe ni Mungu mwenye nguvu 🙌🏿
    Ninasikia ibada hapa kwa njia ya wimbo huu.
    Huyu ADONAI ni MUNGU kweli.

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому

      @@pastorjameskalekwa God is moving..Glory to God

  • @nicenard5749
    @nicenard5749 Місяць тому

    Halleluyah!

  • @reyanamwamsiku3873
    @reyanamwamsiku3873 Місяць тому +1

    Wewe ni Mungu

  • @bonifacemrosso
    @bonifacemrosso Місяць тому +2

    🔥

  • @SOLOMON_Aridy
    @SOLOMON_Aridy Місяць тому +2

    Powerful 🎉

  • @user-gc2rd8ln3v
    @user-gc2rd8ln3v Місяць тому

    Hakika hakuna wa kufananshwa na wewe Mungu☝️

  • @pastorimaniboaz5081
    @pastorimaniboaz5081 Місяць тому +1

    Powerful song💪🏻

  • @gladnesssiyameofficial2228
    @gladnesssiyameofficial2228 Місяць тому +2

    Glory to God ❤❤❤

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 Місяць тому +1

    🤲🙌🙌🙌🙌🧎🙏

  • @ROBERTNGENGENA-ic3pv
    @ROBERTNGENGENA-ic3pv Місяць тому +1

    Where are you madam Ester

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому

      @@ROBERTNGENGENA-ic3pv i am in Mwanza-Tanzania

    • @ROBERTNGENGENA-ic3pv
      @ROBERTNGENGENA-ic3pv Місяць тому

      @@esternyanda Ooh .Wish you Visit Nigeria Madam

    • @esternyanda
      @esternyanda  Місяць тому

      @@ROBERTNGENGENA-ic3pv By God's grace I WILL VISIT THERE IN JESUS NAME

  • @NeldaMwanuke-wf7eh
    @NeldaMwanuke-wf7eh Місяць тому +2

    Wewe ni Mungu NAMI nakuja hakuna wa kufanana na wewe