KWAHILI TUTATOFAUTIANA NA AZAKI HATUWEZI KUSUBIRI MATOKEO YATANGAZWE TUTADHIBITI HUJUMA ZOTE MAPEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 6

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 години тому

    Ukweli kabisa haki ya uchaguz wangekuwa wanachukua kila chama wakilishi na maaskof kutenda haki kuliko kusimamiwa na chama kimoja eti serikali maana serikali ni ccm tu ndugu yangu ndio maana watu hawaamini kuwa hakuna haki yeyote ila wazo langu tenda haki na kweli hata kwa mungu mtapata kibari amani ya kuishi maisha marefu sana.

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 4 години тому

    Mungu asimame na wenye,hata mimi ninahofu na Hawa mashetani ccm kwamba Kuna mbinu chafu zitatumika ili kuvuruga uchaguzi! Aidha kwenye kuhesabu kura kujumlisha na kutangaza matokeo, Chadema mjiandae kukabiliana na Hawa vibaka kwa sababu yawezekana Yale yaliyotokea Mbeya kwenye kongamano la vijana na yaliyotokeaDar-es-salaam siku iliyopangwa maandamano kutumia nguvu kubwa ya Dola kuzuia,kutisha watu,kukamata watu hasa Viongozi na kuwaweka ndani! Na baada ya hapo watatumia mwanya huo kuiba kura na kutangaza matokeo HARAMU na kujiapisha! Kisha mtaambiwa Kama unapinga matokeo nenda mahakamani! Ukienda mahakamani unakutana na majaji ambao wanapewa maelekezo hivyo mnajikuta hakuna mlichofanikiwa!
    Hivyo nawashauri Wananchi na wanachadema kuungana na kuunganisha nguvu pamoja kuhakikisha mnapiga Kura na kulinda kura!

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Годину тому

    HAKI...HAKI....HAKI...HULETA AMANI.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 5 годин тому +1

    Hamtafanikiwa utalaumu ccm hatimaye utahamia ccm

    • @jamaldaud-e4d
      @jamaldaud-e4d 3 години тому

      Cheki hili jinga linatetea upuuzi Kama huo wa vibaraka wa ccm pumbavu zako kabisa nyie ndiyo mnatakiwa kukabiliwa kisawasawa hatutarudi nyuma mwaka huu

  • @omannal1281
    @omannal1281 3 години тому

    AMANI NI TUNDA HAKI