@@paulsimon8585 Kanuni ya Polisi hawaachi mtu wakitaka kumkamata hata kama atajihami kwa Siraha. Sasa Sugu anauliza aspokuwa mstarabu anadhani wanatamuacha? Unavunjiwa heshima kweli. Toto Tundu hapa ndo mwisho. Polisi alisikika ninaona Sugu kawa lainiiiiii
@@paulokivuyo9990 Ameen. Tanzania haikulekea iwe Nchi ya machafuko. Sio utamaduni wetu. Kitu gani tena tunatishana. Kama riziki mtoaji ni Mungu. Hamna haja ya kugombania.
@@mohamedkashindi7689 uhuru wa kufanya upumbavu wwe ndio unae tawaliwa na wakoloni jinga wwe yani unaandamana bila kibali alafu vitu vyakipumbavu uachwe tuu we nani hata uko ulaya hawafanyi hivyo we boga
Jameni,haya ni maajabu yanayofanyika kwa majirani zetu TZ.Kweli hilo ni jeshi la polisi,sio la kutumikia wananchi ila dola linalotawala.Poleni sana chadema,nimewahurumia sana.
Kwa mtazamo wangu naamini siku zote katika hali kama hii polisi wetu ndio wanaokuwa chanzo cha uvunjifu wa amani. Na mfano wa hilo ni hivi majuzi wakati Lissu anarudi nchini, kwanza kulikuwepo na kauli 2, moja ni ya chama kuhamasisha watu kujitokeza kwenda kumpokea, na nyingine ni ya polisi kupiga marufuku mkusanyiko wa kwenda kumpokea Lissu. Lakini wale ambao waliona si kosa kisheria kwenda kumpokea, walikwenda. Walipo muona Lissu watu wakaanza kuimba lakini viongozi wakawakataza watu wasiimbe na kweli walinyamaza na msafara ule ukaanza na kuisha salama bila hata ya mtu kukanyagwa. Na kuna mahali lilisimama gari lililojaa askari polisi wakilinda usalama na bila bughudha zoezi lile lilikwisha salama kabisa na maisha yanaendelea. Wakati wa maandalizi adi siku ya uchaguzi wagombea wanasindikizwa kuchukua na kurudisha fomu haija wahi kuwa kosa. Polisi ilitakiwa iimarishe tu usalama kuhakikisha zoezi lile linamalizika bila mikwaruzo. Lakini ni bahati mbaya sana tumefikia hapa kama nchi. Hii ni hatari sana kwa usalama na amani ya nchi.
Leo nataka nione wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania......nani ameona kuwa sugu hajaonewa ni halali kwa mjibu wa sheria ya Tanzania ya kutoanza kupga kampeni kabla ya siku??????? Wazalendo tu ndo nataka wanijibu!!!! 👇👇👇👇👇
Tena ningekuwa mm ndo huyo Afande sugu angekula na makofi juu hatuwezi kuwapa nchi watu wanaotegemea huruma na kuleta viburi Magufuli baba Lao kanyaga twende
Ungeandika iyo sms kungiwa akuna uhuru.fala wewe nyinyi ndo mnataka kuvunja amani kwenye ili taifa na amta weza vibalaka wakubwa wewe na tundu la choo wako
@@seifseif4930 angalia wanachama wa ccm walivyoenda kuchukua form, walisindikizwa Hadi ndani. Lakini Chadema wanaambiwa wanavunja amani? Wakaishi wapi? Au wao hawana haki? Mm Sina chama na raisi wetu nampenda Sana, ila kwahili nimevunjika moyo Sana.
Polisi fanyeni kazi yenu nawapenda polisi wangu wakaandamane kwamama zao polisi wangu nawapenda sana sana fanyeni kazi piga awo safi sana polosi wangu mnaleta mchezo kazi nyema saluti saluti polisi wangu nawapenda sana
Umeongea vizuri sana. Sioni sababu ya kua na vyama vingi huku hatuvitaki...tunapoteza hella nyingi kufanya uchaguzi. In heri iyo hela itumie sehemu nyingine
“Tanzania yetu inaamani, ila kuna watu wachache wanatuvurugia amani” Mheshimiwa mmoja alisikika akisema hivyo. Amani iko wapi hapo, kisa cha kumkamata ni nini? 🙀🙀🙀🙀
Nani kafanya siasa zaidi ya lissu anayetembea nchi nzima saivi kufanya kampeni kabla ya muda?? Acheni hizo bhana. Upinzani wa Tz mna hira sana. Mkiachwa mnasema mnaogopwa mkishikwa mmeonewa. Hii ni nchi inataratibu zake na lazima ziheshimiwe. Mbona CCM wametulia hatuoni kampeni zao kama nyinyi. Huko ni kuichokoza serikali arafu mseme hakuna demokrasia.
Nawe acha zako anachofanya lissu sio kampeni nimkutano kwaajili ya uzamini wa fomu ya uraisi kwa hata mh magufuli siana fanya hivyo ongeeni ukiwa na uhakika sio kusema kampen si angekamatwa Kama ndo hivyo
Huyu anaye sema sio kampeni nae akili hana mbn lowasa, mbowe, silaha, au membe hatuoni haya hata jpm ulimuona akikusanya watu kwa ajili ya wazamini.. kumbe ndio maana waliweka somo la histolia kumbe ni kam ushaidi wa yalio pita
Mjinga ww fwatilia ndo ulopoke unazijua kampen ww na unajua maana ya mkutano wa fomu ya udhamin na usianze taja vyama vingine ndio maana hata kwa mpila upinzani ni yanaga na Simba wanavyo fanya yanga na Simba huwezi linganisha au vifanywe na vilabu vingine be careful 🏃🏃🏃
Huna akili brother mapenzi ya vyama hayawi hivyoo kwa maandamano gani kumsindikiza mgombea kuchukua fomuuu ni aibu kwa police na nchi yetuu Aibuu tunatia doa
Mungu aliumba mbwa kwa jinsi yake .alakuumba wewe ukiwa mwanadamu mzuri kabisa.unamtukana muumba kwa sababu ya siasa.tubu kwake kabla hujapata laana kutoka kwake
Ndio yani washenzi tu looh sina hamu na chadema, huko naona zitto nae anajipanga na Membe wake mpaka uchaguzi uje kwisha watu kibao watakufa yani hakuna usalama
WATANZANIA MNARUHUSU WENYEWE MFANYIWE HIVI NA POLISI. HAMJAWAHI KUWAONYESHA HASIRA ZENU. CHOMENI VITUO VYAO NDIO WATAWAHESHIMU. AMANI YA TANZANIA INAVUNJWA NA CCM NA HAWA POLISI. SAFARI HII CCM NA POLISI WENU MTATUTAMBUA. TUTAWACHOMA MAJUMBANI KWENU.
@@evansmlalo4049 ikiwemo n wewe pia umejisahau kujitaja ivi kauli km izo nikiwa km Askari nitakuachaje usalama niwetu sote wangepigwa na raia wangesema Polisi wazembe
Sawa sawa hiyo ni office ya serikali hawawezi kwenda kama wanaenda club hapo ni busara imekosekana na huyu sugu ilitakiwa asikilize wito sio kubishana and of the day anasema anaonewa sugu hana ustarabu
Umeluhusu maanda Mano. 🙆🙆🙆🙆 Serikali ya magufuli. ....... ,🤔🤔🤔Wapinzanj wenye wachache masikini ya mngu. .... Eti hatuluhusu kumusindikiza mtu na magari .haaaa. Siyakwao . ... CCM chama Cha wahuni kweli ✌️🤘 🤘✌️ #ACT#chadema ....pole sugu utaludi tunakupenda Sana 🤙🤙 🤙 🌈🌈🌈✌️✌️✌️✌️
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Wpendwa katika Bwana wamajeshi yote MUNGU wa Amani katika jina la YESU KRISTO, Samaani kama mtu atakwazika na ujumbe huu, maana kwenye kuhubiri haki, ukweli wa haki huwa una maumivu yake yaliyo pelekea watu kuchomwa mioyo yao nakuokota mawe ili wampige YESU KRISTO, Amen, Mweshimiwa Raisi mpendwa wa MUNGU nawanadamu, ametangaza uchaguzi uwe wahaki na Amani na uhuru, vema kabisa, katika nafasi zawagombea mbalimbali wa vyama vyote, sasa, hawa wagombea wa vyama vyote, wanawafuasi wao, ambao kwa mapenzi yao juu ya mtu huyo, huwezi kuwazuia kuonyesha hisia zao zafura juu ya mtu huyo, za kuandamana naye kokote anako kwenda, alimladi wasivunje sheria yakufanya uharibifu, Maana hata YESU KRISTO, Ambaye wakristo tunaamini kupitia jina hilo, alitembea namaandamano ya watu walio penda maneno yake nakumwamini nawakapokea sawasawa na imani yao, nasiyo kwamba, YESU alipo pita katika nchi hiyo hakukuwa na utawala, la hasha, utawala ulikuwako, lakini, hakuzuiliwa wala kuwazuia walio mfata, kwahiyo, Ninacho omba, jeshi la polisi, lisitumike kwakufanya kazi kana kwamba wanatafuta sifa kwa mweshimiwa Raisi, lifanye kazi kwa kuwalinda laia na mali zao, kwamaana yakulinda laia, nikuhakikisha fujo ya kupigana wenyewe kwa wenyewe au namtu wakutoka nje haitokei, nakuhakikisha usalama wa mali zote unaimalika, siyo kuwazuia watu kuonyesha furaha yao, Tunapo muomba MUNGU utujalie amani katika nchi yetu, ili ujue amani ipo, nikuona furaha katikati ya watu wanchi husika tunayo iombea, hatutarajii kuona amani inakosekana kwakuzuia wananchi wasionyeshe furaha yao, hesabu ya gharama ya uharibifu itakayo tokea tanzania jeshi lapolisi mtatoa mbele ZAMUNGU, haijawahi kutokea kama Raisi magufuli kusema kwamba polic msiwachokoze wakati wakufnya siasa zao, lakini na ninyi wanasiasa msiwachokoze polic, lakini Raisi wetu mpendwa amesema, Raisi magufuli hana mpinzani katika mambo aliyo yafanya, achana nayote sijui leli, barabara, stigras goji, umeme, maji, n,k, kubwa ya hayo yote, linalo mpa salio lakupendwa nawatanzania, ni IMANI aliyo ionyesha mbele za MUNGU katika kipindi cha corona, paka saizi watanzania hatuna hofu ya Corona tena, hata siasa hizo zinafanyika ni MUNGU kusikia, maneno yakinywa cha Raisi wetu mpendwa magufuli aliyo sema tujinyenyekeshe mbele za MUNGU na kuomboleza siku tatu MUNGU atasikia nakutuponya, naikawa hivyo, sasa nyinyi, jeshi la polisi mnawasi wasi gani mbele ya ushindi wa magufuli? Kama hamtaki watu wengi kwenye kituo chakuchukulia fom, wambieni wafuasi wakila mgombea msubilieni hapa, humo ndani hamrusiwi kuingia, wanaingia watu wa3 kama walivyo fanya kwenye Ofsi zawachukua fom ya Uraisi na Amani ikaendelea kuwepo, paka sasa, hii Amani inayo endelea kuwepo usivunjike kwa kuzuia furaha ya watanzania, nawapenda jeshi la polisi MUNGU awatangulie kwa kila jambo kuidumisha amani kwa watu wote katika jina la YESU KRISTO Amani.
@@eliarichard9218 sikiliza ndugu yangu nikwambie, ukisema ninamuonea YESU, sijui niyesu gani unaye msema wewe, kwasababu YESU ninaye msoma mimi kwenye biblia ndiyo yule wajana nahata leo na hata milele aliye sema sikuja kuleta amani kwa kuisema iliyo kweli ,na kwasababu ukweli unauma, wapo watakao kubali kupoke ukweli kati yenu, nawapo watakao kataa kuupokea ukweli, kwahiyo, ukiyaangalia maneno haya ya YESU yalileta mafalakano kati ya mtu aliye kubali kuupokea ukweli na aliye kataa kuupokea ukweli,ambapo huyu YESU angekuwepo leo katika jinsi ya mwili Kati kati yetu watu wengi mngemchukia kwa ukweli wake, Alipo watuma wanafunzi wake baada ya kuwapa mkono wa shirika akawapa Amri juu ya pepo wa baya waende wakawaponye watu wale wanafunzi walipo fika kule wanafunzi wake walikuta nini walikuta nawengine wanatoa pepo kwa jina la YESU KRISTO walipo rudi wakamwambia Bwana tazama tumekuta nawengine wanatoa pepo kwajina lako, YESU akawajibu maadamu mmekuta wanatoa pepo kwajina langu hawana kosa lolote akawaambia nawala msione wivu juu yao, nawale kumsindikiza yule kwenda kuchukuwa fom kikatiba kwa sheria za nchi yetu siyo kosa kosa wakileta uharibifu ukiangalia kulikuwa na uharibifu gani walio ufanya wananchi hakuna ndiyo maana wakamwachia sugu baada ya mda kidoga kwasababu waliona hana kosa, Nakama umemsikia IGP SILO amesema sisi polisi hatutaki tuwe nichanzo cha furugu wala wanasiasa wasiwe chanzo cha vurugu tunataka kama Mweshimiwa Raisi magufuli kama alivyo sema uhuru, amani, na umoja, na kutenda haki viwe nikipao mbele chetu kwa ajili ya kumaliza uchaguzi salama, shida nikwamba wewe ndugu yangu unaongea kwa ushabiki wa kisiasa mimi sipo kwenye ushabiki wakisiasa mimi ni mumini wa haki na neno la kweli ndilo linatuweka huru, nahaki ndiyo huinua taifa, namaandiko yanasema mfalme asipo tenda haki Ufalme wake umefitinika, napengine panasema, wakati wanasema kuna amani ndipo uharibifu uwajipo, kwahiyo ndugu yangu, ninakuomba kama wewe ni mwamini wa YESU KRISTO simamia neno katika kutenda haki na katika kutetea haki, kwasababu YESU alisema yule atakaye nionea haya mbele zawatu nakunikana kwa kukosa kweli ndani yake namimi nitamkana mbele za Babayangu na mbele za malaika wamungu, kwahiyo angalia usitekwe na siasa ukaacha kutekwa na neno la YESU alilo sema mtu akilisoma neno langu nakuliweka Moyoni mwake mimi na Babayangu tutaweka makao kwake, mamboyote yatapita kilakitu unacho kiona wewe machoni pako kitapita lakini neno litasimama, Amini hivyo, YESU alitembea akihubiri akiesma, niaminini mimi ninayo yasema kwamaana aliye nipeleka kwenu niwakweli, kuliko mnakaa nakusema sisi tunaiamini sheria ya musa, na hiyo sheria ilikuja kwa mkono musa, bali neema nakweli zimekuja kupitia mwana wa Adamu, tourati hamuiwezi nifuateni mimi mjifunze kwangu namna ya kumwendea mungu maana njia yangu siyo ngumu, mimi nimpole na mnyenyekevu mizigo iliyo juu yenu nitawatuwa na kuwapumzisha, kipindi kilekile walimwambia mafarisayo na masadukayo na waandishi, wakasema, nimuongo huyu analeta elimu mpya, anatufitinisha sisi nawatu wetu ili wamfuate mzuieni asiendelee kutuchonganisha nawatu wetu wasije wakamfuata kwa wingi, haya maneno aliyo yasema YESU kipindi kile ingekuwa leo angeitwa nani? Mchochezi, nakipindi hicho bahati nzuri hazikuwepo bunduki, kulikuwa na mawe tu wakaona haya haya ndiyo yakupiga nayo mpaka afe, ingekuwa leo kunamabunduki hivi siwangesha mshuti afe, Kwahiyo nduguyangu epuka kuwa miongoni mwawatu wakukanwa na YESU KRISTO mbele za MUNGU wetu kwasababu ya ushabiki wakisiasa ukaiacha kweli bayo inatumika popote pale, ubarikiwe sana ndugu katika jina la YESU KRISTO Aman ?
Mmmh Ila haya Mambo ni hatari, yanazaaga chuki mbaya Sana ndani, Mungu atusaidie coz ndani ikijaa itahamia nje kwenye mikono Amani itatoweka. Mungu atusaidie kwakweli
@@mosesmwailenge6749 Ila alichokifanya hapa sio haki hususani ukizingatia wagombea wa CCM wanafanya hata zaidi ya hivyo! Hatupaswi kuwa na double standard ktk kusinamia haki. Mimi ninamkubali sana JPM lakini nadhani ni muhimu tuzingatie haki kwa uwazi bila ushabiki!
Wafuasi wa chadema hivi wanashida gani jamani?? Viongozi wa viongozi wa chadema hivi wana shida gani?kwani kuwa kiongozi wa upinzani ndiyo umekuwa mtu wa vurugu???mambo mambo mengine nimadogo tu ayahitaji hata kusukumana???
@@luluamri370 Nani amekuambia maandamano ni kuvunja sheria kwa mujibu Wa Katiba ya nchi? Soma Katiba ya nchi hususan sheria namba tano ya vyama vya kisiasa ya mwaka 1992. Na ndio maana wote wameachiliwa bila kupelekewa mahakamani Tuendelee kujisomea elimu itatukomboa siku moja.
@@franciscowilliam2575 mwisho wa sentence yangu kuna neno liko without approval...maandamano ni haki ya wananchi embu toeni hii biashara katiba katiba ..ni haki wa wananchi lakini pia ni haki ya wananchi vyombo vya usalama viwepo kila kwenye maandano ,sababu hakuna maandano ya kusifia mara nyingi huwa ni ya kupinga sasa katika waandamanaji Luna watakao kua na wazimu na kuna watao andamana kwa amani ,ndio maana lazima vyombo vya usalama vipate taarifa...hujaona marekani maandano ya George yaaliishia kuvunja na kuiba mali za watu
@@luluamri370 maandamano yakisharuhusiwa kwa mujibu Wa Katiba Hakuna cha approval ya mtu yoyote, principles sio sheria mama angu. Maandamano ya kidini mbona kunakuaga Hakuna mapolisi wa kuyalinda? Juzi nimempoteza mama yangu mdogo kwenye kukanyaga mafuta uwanja wa majengo moshi, hakukua hata na utaratibu wowote, wala approval yoyote na Hakuna hata aliewajibika tumeambiwa ni ajali. Maandamano ya George Floyd yalikua ni riots sio, sio peaceful assembly kwa kiasi kikubwa watu wengi walikua na jazba, na lengo Lao kubwa lilikua ni ku make statement. Na baadhi walikua ni looters ambao hawakua na uchungu WA police brutality wao walienda kutimiza malengo Yao binafsi. Nakumbuka polisi walipiga watu waliokua wanambeba mh Lyatonga mrema, Mwl Nyerere alishangaa Sana na akatoa tamko kwamba ' kama Kuna mtu anapenda kubebwa, na Kuna watu wanapenda kumbeba basi waendelee kumbeba shida iko wapi hapo! Kubali Dada wengi tupo kisiasa zaidi hatuangalii ishu nyingi kwa mapana. That Sugu saga was asinine. Hakuna kitu cha kuwa arrest watu hapo
Erode Shayo NDUGU SAWA TUNAJUA BILA UPINZANI ATUWEZI FIKA POPOTE ILA MAMBO MENGINE NI UJINGA MTU ANA KWAMBIA KISTAARABU UTAKI UNAGOMA AKU FANYAJE SASA TUSI TETEE ETI KISA MTU NI UPINZANI ANGEKUWA MLALA HOI ASIYE NA KITU JE? SI ANGEBISHA ANGEKULA VITASA ILA YEYE KAESHIMIWA BADO ATAKI WAMFANYAJE SASA TENA BORA HATA YEYE ANA ICHO KIJI AJIRA IKO MTAANI ALI NGUMU UTABISHANA NA ASKARI HVYO UO NI UJINGA WALA TUSI TETEE
@@KaskasTHEfinderCLIP mfile mama yako mzaz kwanza sawa alio kuzaa kuma ww unadis polis tu wakat mnalala kisenge nje kuna ulinz kuma ww unadis serikali kishàmba km kufilwa ungeanza ww na wanao na mke wapo km kusinge kuwa na ulinz
@@johnjoseph763 kwahiyo kwa akili yko unadhani kwa ao matako wenzako wanaweza kunilinda mimi ikiwa ao wenyewe awawezi kujilinda...wala ruswa kweli weww nguruwe sana
Polisi mpo vizuri wanawajaribu wajue nguvu zenu mkuu wa jeshi la polisi mpe cheo huyo afisa kafanya kazi nzuri na kuleta heshima kwa jeshi tumechoka fujo za chadema
Hiyo kijeshi tunaita nguvu ya kadri, ni pale muhalifu anapogoma kwenda ndo inatumika hiyo Sugu aache upuuzi polisi sio mahakama kwamba utabishana ni amri..
Sugu ameyataka yeye mwenyewe kumbe, ilikuwa jambo la kistaarabu kabisa pandeni magari rudini makwenu wangerudi. Anakamatwa kistaarabu anagoma sometimes mnaboa sana mnapenda Shari kila wakati
Maandamano ni haki ya kila mwananchi wa Tanzania. Wananchi tunaona na tunaelewa wanacho fanya hii sio sawa na sio haki kikatiba. Ni udhalilishaji na uonevu wa hali ya juu sana
Eee mwenyez mungu tunaomba usichoke kulinda Aman yet Tanzania 🙏🙏🙏
Akichoka kazi ipo maana cyo kwa uonezi huo
Mwenye kusema atakufa hapa atakufa???? Really in TANZANIA 🇹🇿 the day itakuja
halafu iweje?
Police sio mahakama
Tii sheria bila shuruti
Vingenenyo utaumia bureee
True
Ukanye naww ukalale
Wameambiwa na Mbelgiji wakaitikia kama mlio gogo. Akili za kuambiwa wakazichukua kama zilivyo shenzi
Hahahahahaaaa nitakuvunjia heshima yako
@@paulsimon8585 Kanuni ya Polisi hawaachi mtu wakitaka kumkamata hata kama atajihami kwa Siraha. Sasa Sugu anauliza aspokuwa mstarabu anadhani wanatamuacha? Unavunjiwa heshima kweli. Toto Tundu hapa ndo mwisho. Polisi alisikika ninaona Sugu kawa lainiiiiii
Polisi wajichunguze vizuri. Sijaona uvunjifu wa amani kwenye hayo maandamano
Tatizo hana kibali cha kukusanya watu pia hairuhusiwe kuchukua sheria yako mkononi polis yupo sahihi
Nakushagaa sana wee
Ndugu police kweli hujawahi kosea hata ukinyonga alienyongwa ndie kakosea wewe upo sahihi kufanya chochote unachoamliwa ndicho sahihi @@elizabethebambo6286
Tujitaidi kusoma sana uwenda elimu ikaja kutusaidia
Huu ni uonevu Tena wa Hali ya juu Ila mjue hamjashikiliwa na Mungu ipo siku mtalia na kusaga meno,mnahisi mmemaliza Ila ipo siku, Mungu hajalala
Mwenyezi Mungu tunakuomba utupe imani na amani.
Ameen.
Naomba Amani ya nchi tu Jamani
@@paulokivuyo9990
Ameen.
Tanzania haikulekea iwe Nchi ya machafuko. Sio utamaduni wetu.
Kitu gani tena tunatishana.
Kama riziki mtoaji ni Mungu.
Hamna haja ya kugombania.
Weee twende bwana kukaa tunasukumana watu wazima mambo hayafai😁😁😁😁😁
😂 😂 😂 😂 😂
Nimecheka hatariii
Du kweli hakuna kubisha iyo wwe ludi yumbani acheni kubishana familia zina wategemea achen ujnga
Amakweli uhuru bado nchi maka ukoloni vile
@@mohamedkashindi7689 uhuru wa kufanya upumbavu wwe ndio unae tawaliwa na wakoloni jinga wwe yani unaandamana bila kibali alafu vitu vyakipumbavu uachwe tuu we nani hata uko ulaya hawafanyi hivyo we boga
Kafanya nn bwege ww mbona unaongea utumbo mbuzi ww
@@naftalharoon6316 mbuzi ni wewe na kumaramama yako. Na guvi ra baba yako kenge we
Chadema hawana akili, akili zao kama zangi ya nguo za chama chao?
H.G.SIBULA tumia heshima kwenye kazi yako na siyo nguvu
Niko mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi "afandeee"
Huu ndo muda muafaka wa kutoa video ya huo wimbo wake
Polisi wananigasi utasema wana kisasi na Mimi, wanatamani watumalize kwa risasi... Sugu mikononi mwa polisi...
Ila hii hali inaumiza sana hii Nchi ni huru si wawaache tu jamani
@@boniphacetabu2903 mahaba yako sio ukweri wa jambo
oyooooooo umeona eeee daaaaa🔥
Jameni,haya ni maajabu yanayofanyika kwa majirani zetu TZ.Kweli hilo ni jeshi la polisi,sio la kutumikia wananchi ila dola linalotawala.Poleni sana chadema,nimewahurumia sana.
Yanakera sana haya mambo.....
Asante Mungu kwa Mama Samia kwel mwanademokrasia mitano tena🙌🏽 Allah akupe firdaus
Demokrasia haileti maendeleo
Si kila mtu ataingia firidaus,kule wanaingia wanao jitambua,wenye hofu ya Mungu.
Wallah kuna mambo nchi hii tusipotumia hekima tutatia supu nazi! Wahenga wanasemaga kunya anye kuku akinya bata kaharisha🤐😷🏃🤷
Mwana hip-hop. Sugu. Bigup
Mkijifanya vichwa mtashushwa miguu🤣🤣
Naona Sugu kapigwa mkubeto anatembelea kucha.
Ndugu usichekeshe.
Ety siendi🤣🤣🤣🤣
Sio haki uonevu zaili
Sio la kufurahia hili Bali kukewa, mbona Wana ccm wanafanya kila kitu kwa Uhuru na ulinz juu?
😂😂😂😂😂😂😂
Kwa mtazamo wangu naamini siku zote katika hali kama hii polisi wetu ndio wanaokuwa chanzo cha uvunjifu wa amani. Na mfano wa hilo ni hivi majuzi wakati Lissu anarudi nchini, kwanza kulikuwepo na kauli 2, moja ni ya chama kuhamasisha watu kujitokeza kwenda kumpokea, na nyingine ni ya polisi kupiga marufuku mkusanyiko wa kwenda kumpokea Lissu. Lakini wale ambao waliona si kosa kisheria kwenda kumpokea, walikwenda. Walipo muona Lissu watu wakaanza kuimba lakini viongozi wakawakataza watu wasiimbe na kweli walinyamaza na msafara ule ukaanza na kuisha salama bila hata ya mtu kukanyagwa. Na kuna mahali lilisimama gari lililojaa askari polisi wakilinda usalama na bila bughudha zoezi lile lilikwisha salama kabisa na maisha yanaendelea. Wakati wa maandalizi adi siku ya uchaguzi wagombea wanasindikizwa kuchukua na kurudisha fomu haija wahi kuwa kosa. Polisi ilitakiwa iimarishe tu usalama kuhakikisha zoezi lile linamalizika bila mikwaruzo. Lakini ni bahati mbaya sana tumefikia hapa kama nchi. Hii ni hatari sana kwa usalama na amani ya nchi.
Ni kwel
Haya ndiyo maisha ya sisi wapinzani mungu atusaidie
Leo nataka nione wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania......nani ameona kuwa sugu hajaonewa ni halali kwa mjibu wa sheria ya Tanzania ya kutoanza kupga kampeni kabla ya siku???????
Wazalendo tu ndo nataka wanijibu!!!!
👇👇👇👇👇
Ni kweli kabisa Sugu anavunja sheria afu wanasingizia democrasia haipo wapigwe tu ili wajiheshimu hakuna namna nyingine ya kuwarekebisha
Tena ningekuwa mm ndo huyo Afande sugu angekula na makofi juu hatuwezi kuwapa nchi watu wanaotegemea huruma na kuleta viburi Magufuli baba Lao kanyaga twende
Sugu kakosea maana kikundi kinaanza na kumi, alafu mi nahisi Kuna jambo wamelipanga
@@myovelajoseph4730 au wanamuona mbeligiji anajigamba nao wanatia ukali na kuvimba vichwa eee kwa jpm ni mwiko penda sana
@@myovelajoseph4730 nimekubali hoja nyie ndo wazalendo na wapenda aman maana hatutaki wabeligiji wenye vurugu kama marekan hapa!!!
Police mtaendelea kutumiwa na ccm had lin?????
Wafate sheria japo mie sio mtanzanie
Kutumiwa na serikali siyo chama. Inabidi watanzania tuanze kuelewa na kuchambua serikali na vyama.
@@kambamazig02024 h
Labda ww ndohuelewi
Rais ndio aliesema atahakikisha paka 2020
Upnzani umekufa
Rais ni serkali ama ni chama
Tundu lissu alisema Tz hatuna uhuru.
@@kambamazig02024 magu kaaribu Hii inchi
Leo nimemuamini tundu lisu, Tanzania hakuna Uhuru.
Ungeandika iyo sms kungiwa akuna uhuru.fala wewe nyinyi ndo mnataka kuvunja amani kwenye ili taifa na amta weza vibalaka wakubwa wewe na tundu la choo wako
@@seifseif4930 angalia wanachama wa ccm walivyoenda kuchukua form, walisindikizwa Hadi ndani. Lakini Chadema wanaambiwa wanavunja amani? Wakaishi wapi? Au wao hawana haki? Mm Sina chama na raisi wetu nampenda Sana, ila kwahili nimevunjika moyo Sana.
Mtu mzima, tena mbunge anadhalilishwa kiasi hicho, 😭😭😭 nimeumia Sana.
Umeshaambiwa tihi amri bila shuruti
Uhuru wa kuvunja sheria na kusababisha vibaka kuiba biashara za watu lisu ni mwehu
Askari kajazwa upepo kidogo sana
Punguza asila adikuongea unashindwa polisi wa ccm duh mnyumba
Kabisa kaonesha wazi kuwa Sio mlinzi wa Raia na Mali zao Bali Ccm na Amri toka juu.
Iv ujingagani huu Mweshimiwa anaye wakilishawananchi anakamatwaiv kwadharau kwavile niwaupinzani Narudisha kadi yachama narudisha nanguo hisio sawa kwamarayakwanza nitamuungq mkono Tundulisu nanimeqmini nichaguo la Mwenyez Mungu daah Magufuli mfute kazi huyu afande mwenyeutomvu wanidhamu
Polisi fanyeni kazi yenu nawapenda polisi wangu wakaandamane kwamama zao polisi wangu nawapenda sana sana fanyeni kazi piga awo safi sana polosi wangu mnaleta mchezo kazi nyema saluti saluti polisi wangu nawapenda sana
Unawapenda kwa kuwa uwajuwi vizuri
Watakuja wakufire kuma wewe
Unajipendekeza unajikuta umejaa kwenye mfumo wa vikaka utaomba maji mpk ukate roho unafinyangwa tu😂
Wewe hujielewi kabisa, ipo siku utakumbuka maneno yako unayo yatoa kwa raia, eti wapigwe tu, polisi huwajui vizuri wewe.
@@SuzanGabriel-tp2cx hayajamfika, dunia ipo atajua
Bora mfute vyama pinzani mwavionee sana daah kama hawana familia mungu saidia nchi yangu tanzania uchaguzi upite salama
Umeongea vizuri sana. Sioni sababu ya kua na vyama vingi huku hatuvitaki...tunapoteza hella nyingi kufanya uchaguzi. In heri iyo hela itumie sehemu nyingine
@@goldenshadrackmsungu3664 vifutwe cyokuzaririshana hv mbona akuna mtu was ccm anafanyiwa hv kilacku wapinzani najickia vbaya ikiwa nchi niyetu sote
Hakimu wa haki ni Allah pekee,naamini atawahukumu hapahap duniani kwa vitendo wanavyowafanyia watu wasiokuwa na hatia.mnatia aibu demokrasia yetu
Sure
Wanaboa Yani
Hivi kila chama kikifanya hivi sasa hapa kutakuwa na nchi kweli
Wasenge sana
Sijaelewa jamn alie kosea hap ni nani yaani mnaraumu police bure..
Kaka jua kila mtua ana haki kisa wewe umesimama usimweshimu aliyechuchumaa
Masikitiko makubwa sana 😢😢😢
Eti "nasema siendi fanya unachofanya",,,hata Mimi sikuachi huyo kamanda ni askari hasa!
💪
😂😂😂 na waliokuwa wanamtetea nao wanamsindikiza tena
😅😅😅
Askari wa bongo wastaarabu sanaaaaa.. Ingekua kenya angechezea rungu za usoni.
bwege wewe hujui siasa
“Tanzania yetu inaamani, ila kuna watu wachache wanatuvurugia amani” Mheshimiwa mmoja alisikika akisema hivyo. Amani iko wapi hapo, kisa cha kumkamata ni nini? 🙀🙀🙀🙀
Safi sana kamanda maana umetoa tahadhali kwa upole lakini wakajifanya manunda Safi sana hakuna kuogopa mtu wakati wa kaizi ni kazi Safi sana kamanda
We shoga ww sio bulee mkundu umelegea uwooo
Mkifanya nyinyi siasa powa wakifanya wao roho znawauma.
😂😂😂😂😂
Nani kafanya siasa zaidi ya lissu anayetembea nchi nzima saivi kufanya kampeni kabla ya muda?? Acheni hizo bhana. Upinzani wa Tz mna hira sana. Mkiachwa mnasema mnaogopwa mkishikwa mmeonewa. Hii ni nchi inataratibu zake na lazima ziheshimiwe. Mbona CCM wametulia hatuoni kampeni zao kama nyinyi. Huko ni kuichokoza serikali arafu mseme hakuna demokrasia.
Nawe acha zako anachofanya lissu sio kampeni nimkutano kwaajili ya uzamini wa fomu ya uraisi kwa hata mh magufuli siana fanya hivyo ongeeni ukiwa na uhakika sio kusema kampen si angekamatwa Kama ndo hivyo
Huyu anaye sema sio kampeni nae akili hana mbn lowasa, mbowe, silaha, au membe hatuoni haya hata jpm ulimuona akikusanya watu kwa ajili ya wazamini.. kumbe ndio maana waliweka somo la histolia kumbe ni kam ushaidi wa yalio pita
Mjinga ww fwatilia ndo ulopoke unazijua kampen ww na unajua maana ya mkutano wa fomu ya udhamin na usianze taja vyama vingine ndio maana hata kwa mpila upinzani ni yanaga na Simba wanavyo fanya yanga na Simba huwezi linganisha au vifanywe na vilabu vingine be careful 🏃🏃🏃
Kweli ni wale wale matusi ya nn ili mtu umujue ni chama gan matusi tu mm sijatukana.. mhemko wa nn ssa..
Hiyo sio haki kabisa
KAAMBIWA KISTARABU HATAKI WHAT NEXT? ILITAKIWA AANZE NA KOFI KWANZA THEN MKWIDO WA MIL 50. BIG UP WW AFANDE KUNYWA SODA HAPO HAPO ULIPO........
Mbwa tu wewe
Ccm wao ndio wagombea?
Kuma wewe unashabikia ujinga huna elimu wewe.ndio madhara ya kukimbia shule
Huna akili brother mapenzi ya vyama hayawi hivyoo kwa maandamano gani kumsindikiza mgombea kuchukua fomuuu ni aibu kwa police na nchi yetuu Aibuu tunatia doa
Ilo jina lako la mwisho naona lime kosewa sio mkungu bali ni mku...........
Safi Sana. Ifike mahala watu waheshimu sheria bila shurti.
Acha ujinga wewe
sasa polici mbona awaja eshim mkutano wa chadema shoga wewe
Wacha nikae kimya nisisemeeee kimyaaa mama kaniambiaaaaa.....
🤲🤲ewe yaraab tujalie mwisho mwema
Mungu aliumba mbwa kwa jinsi yake .alakuumba wewe ukiwa mwanadamu mzuri kabisa.unamtukana muumba kwa sababu ya siasa.tubu kwake kabla hujapata laana kutoka kwake
Mungu ibariki jeshi la polisi tanzania
Kazi nzuri ingelikuwa ni Kenya huombwi unakula chuma naipenda sana nchi yangu🇹🇿
Misingi ya Mwalimu Nyerere sana nimeona haipo kabisa watu wanatetea matumbo na vitambi vyao
Hawa naona kuna jambo wamepanga
Ndio yani washenzi tu looh sina hamu na chadema, huko naona zitto nae anajipanga na Membe wake mpaka uchaguzi uje kwisha watu kibao watakufa yani hakuna usalama
WATANZANIA MNARUHUSU WENYEWE MFANYIWE HIVI NA POLISI. HAMJAWAHI KUWAONYESHA HASIRA ZENU. CHOMENI VITUO VYAO NDIO WATAWAHESHIMU. AMANI YA TANZANIA INAVUNJWA NA CCM NA HAWA POLISI. SAFARI HII CCM NA POLISI WENU MTATUTAMBUA. TUTAWACHOMA MAJUMBANI KWENU.
This is too much
Wanapenda kiki
@@evansmlalo4049 ikiwemo n wewe pia umejisahau kujitaja ivi kauli km izo nikiwa km Askari nitakuachaje usalama niwetu sote wangepigwa na raia wangesema Polisi wazembe
tukiacha ushabiki suguu huwa ni mbishi tofaut na prof jay sugu mtata sana
Mambo haya Chadema wanayapenda sana
Mamb yapi kwan wamfanya kip kbaya ...? Kafie mbali huko
Msenge
😀😀😀
@@husseinmillinga1920 Ngoja wanyooshwe tena ingekuwa mm hapo angesimulia. Toto Tundu Hapa ndo mwisho
@@husseinmillinga1920 Dawa yao ni hii ujinga wapeleke
Sawa sawa hiyo ni office ya serikali hawawezi kwenda kama wanaenda club hapo ni busara imekosekana na huyu sugu ilitakiwa asikilize wito sio kubishana and of the day anasema anaonewa sugu hana ustarabu
Kweli kabisa
Wito kwani kabla ya apo alikosea NN we shoga adi aka kamatwaaa
Umeluhusu maanda Mano. 🙆🙆🙆🙆 Serikali ya magufuli. ....... ,🤔🤔🤔Wapinzanj wenye wachache masikini ya mngu. .... Eti hatuluhusu kumusindikiza mtu na magari .haaaa. Siyakwao . ... CCM chama Cha wahuni kweli ✌️🤘 🤘✌️ #ACT#chadema ....pole sugu utaludi tunakupenda Sana 🤙🤙 🤙 🌈🌈🌈✌️✌️✌️✌️
Huu Ni zaidi ya unyama na ukatili ktk nchi inayojiita huru hakuna Uhuru hapa
Kua mpinzani sio dhambi lkn
hii nchi bhana
Sasa kwani upinzani ni kuvunja sheria na kufanya fujo?
@@teddyoscar6876 kavunja Sheria ipi,,,,
@@teddyoscar6876 kuna fujo uliyoiona hapo
Ila ukiwa opposition parties ndo unaonekana mvunja amani of which is not true
Same upon them
@@yasinirashidi6656 Tii sheria bila shuruti kwani wangekubali mapema nguvu gani ingetumika
Tunahitaji Amani Tanzania. In peace we believe !
Polisi anamvunjia heshma mbunge baada ya kumlinda ....Tanzanian's woow
amulinde kit gan mutu mwenyew hana heshim
Police hajiheshimu ki2 kizur ilikuwa n kuongea vzr na sugu so kumfanya ivyooo.... Inakera na so ki2 zur cna usiasa ila inaumiza
Wallah hii serekali dah
Unalijua kosa lake au unalalama tu
Serikal hii mavi tu,uonevu mwing sana,lkn mwisho wao utafika tu
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Safi afande maana hao wamesha sema watafanya fujo hao wote ni vicha
@Thomas Patrick fala mamko msenge wewe
Una uchizi wewe ww ndo maana unachochea ugomvi
We Kuma
Hii nchi serikali ya ccm wakitoka madarakani watanzania watakuwa na amani sana ipo siku mungu atalipa kwa haya yote wanayoyafanya,
Hii inchi bhana" 2020 tumtoe.. Tumechoka jamni"
Da hawa askali kazi sana
Alie sikia ( atakaebisha hatua za kishish 0.38 s)..... agonge like hapo chini
😂😂
Shishi baby....😀😀
🤣🤣🤣🤣fualaaaa wewe
Kapagawa uyu polisi coz Amekaa kishari to na kufata maagizo ya Ccm anashindwa kujua Kama police ni Mali ya Umma.
Yesu aliyapitia haya kumbe hata sasa eeeee mungu tunusuru watu watambue kwamba banda. Ya kazi kuna uzima wa milele
Da hata Mimi mama kaniambia nisiseme kitu niangalie tu. Mungu mkubwa kuliko wote.
Wpendwa katika Bwana wamajeshi yote MUNGU wa Amani katika jina la YESU KRISTO, Samaani kama mtu atakwazika na ujumbe huu, maana kwenye kuhubiri haki, ukweli wa haki huwa una maumivu yake yaliyo pelekea watu kuchomwa mioyo yao nakuokota mawe ili wampige YESU KRISTO, Amen, Mweshimiwa Raisi mpendwa wa MUNGU nawanadamu, ametangaza uchaguzi uwe wahaki na Amani na uhuru, vema kabisa, katika nafasi zawagombea mbalimbali wa vyama vyote, sasa, hawa wagombea wa vyama vyote, wanawafuasi wao, ambao kwa mapenzi yao juu ya mtu huyo, huwezi kuwazuia kuonyesha hisia zao zafura juu ya mtu huyo, za kuandamana naye kokote anako kwenda, alimladi wasivunje sheria yakufanya uharibifu, Maana hata YESU KRISTO, Ambaye wakristo tunaamini kupitia jina hilo, alitembea namaandamano ya watu walio penda maneno yake nakumwamini nawakapokea sawasawa na imani yao, nasiyo kwamba, YESU alipo pita katika nchi hiyo hakukuwa na utawala, la hasha, utawala ulikuwako, lakini, hakuzuiliwa wala kuwazuia walio mfata, kwahiyo, Ninacho omba, jeshi la polisi, lisitumike kwakufanya kazi kana kwamba wanatafuta sifa kwa mweshimiwa Raisi, lifanye kazi kwa kuwalinda laia na mali zao, kwamaana yakulinda laia, nikuhakikisha fujo ya kupigana wenyewe kwa wenyewe au namtu wakutoka nje haitokei, nakuhakikisha usalama wa mali zote unaimalika, siyo kuwazuia watu kuonyesha furaha yao, Tunapo muomba MUNGU utujalie amani katika nchi yetu, ili ujue amani ipo, nikuona furaha katikati ya watu wanchi husika tunayo iombea, hatutarajii kuona amani inakosekana kwakuzuia wananchi wasionyeshe furaha yao, hesabu ya gharama ya uharibifu itakayo tokea tanzania jeshi lapolisi mtatoa mbele ZAMUNGU, haijawahi kutokea kama Raisi magufuli kusema kwamba polic msiwachokoze wakati wakufnya siasa zao, lakini na ninyi wanasiasa msiwachokoze polic, lakini Raisi wetu mpendwa amesema, Raisi magufuli hana mpinzani katika mambo aliyo yafanya, achana nayote sijui leli, barabara, stigras goji, umeme, maji, n,k, kubwa ya hayo yote, linalo mpa salio lakupendwa nawatanzania, ni IMANI aliyo ionyesha mbele za MUNGU katika kipindi cha corona, paka saizi watanzania hatuna hofu ya Corona tena, hata siasa hizo zinafanyika ni MUNGU kusikia, maneno yakinywa cha Raisi wetu mpendwa magufuli aliyo sema tujinyenyekeshe mbele za MUNGU na kuomboleza siku tatu MUNGU atasikia nakutuponya, naikawa hivyo, sasa nyinyi, jeshi la polisi mnawasi wasi gani mbele ya ushindi wa magufuli? Kama hamtaki watu wengi kwenye kituo chakuchukulia fom, wambieni wafuasi wakila mgombea msubilieni hapa, humo ndani hamrusiwi kuingia, wanaingia watu wa3 kama walivyo fanya kwenye Ofsi zawachukua fom ya Uraisi na Amani ikaendelea kuwepo, paka sasa, hii Amani inayo endelea kuwepo usivunjike kwa kuzuia furaha ya watanzania, nawapenda jeshi la polisi MUNGU awatangulie kwa kila jambo kuidumisha amani kwa watu wote katika jina la YESU KRISTO Amani.
@@juliusntengu3305 hamna kitu hapo Unamuonea Yesu wangu tyuu.
@@eliarichard9218 sikiliza ndugu yangu nikwambie, ukisema ninamuonea YESU, sijui niyesu gani unaye msema wewe, kwasababu YESU ninaye msoma mimi kwenye biblia ndiyo yule wajana nahata leo na hata milele aliye sema sikuja kuleta amani kwa kuisema iliyo kweli ,na kwasababu ukweli unauma, wapo watakao kubali kupoke ukweli kati yenu, nawapo watakao kataa kuupokea ukweli, kwahiyo, ukiyaangalia maneno haya ya YESU yalileta mafalakano kati ya mtu aliye kubali kuupokea ukweli na aliye kataa kuupokea ukweli,ambapo huyu YESU angekuwepo leo katika jinsi ya mwili Kati kati yetu watu wengi mngemchukia kwa ukweli wake, Alipo watuma wanafunzi wake baada ya kuwapa mkono wa shirika akawapa Amri juu ya pepo wa baya waende wakawaponye watu wale wanafunzi walipo fika kule wanafunzi wake walikuta nini walikuta nawengine wanatoa pepo kwa jina la YESU KRISTO walipo rudi wakamwambia Bwana tazama tumekuta nawengine wanatoa pepo kwajina lako, YESU akawajibu maadamu mmekuta wanatoa pepo kwajina langu hawana kosa lolote akawaambia nawala msione wivu juu yao, nawale kumsindikiza yule kwenda kuchukuwa fom kikatiba kwa sheria za nchi yetu siyo kosa kosa wakileta uharibifu ukiangalia kulikuwa na uharibifu gani walio ufanya wananchi hakuna ndiyo maana wakamwachia sugu baada ya mda kidoga kwasababu waliona hana kosa, Nakama umemsikia IGP SILO amesema sisi polisi hatutaki tuwe nichanzo cha furugu wala wanasiasa wasiwe chanzo cha vurugu tunataka kama Mweshimiwa Raisi magufuli kama alivyo sema uhuru, amani, na umoja, na kutenda haki viwe nikipao mbele chetu kwa ajili ya kumaliza uchaguzi salama, shida nikwamba wewe ndugu yangu unaongea kwa ushabiki wa kisiasa mimi sipo kwenye ushabiki wakisiasa mimi ni mumini wa haki na neno la kweli ndilo linatuweka huru, nahaki ndiyo huinua taifa, namaandiko yanasema mfalme asipo tenda haki Ufalme wake umefitinika, napengine panasema, wakati wanasema kuna amani ndipo uharibifu uwajipo, kwahiyo ndugu yangu, ninakuomba kama wewe ni mwamini wa YESU KRISTO simamia neno katika kutenda haki na katika kutetea haki, kwasababu YESU alisema yule atakaye nionea haya mbele zawatu nakunikana kwa kukosa kweli ndani yake namimi nitamkana mbele za Babayangu na mbele za malaika wamungu, kwahiyo angalia usitekwe na siasa ukaacha kutekwa na neno la YESU alilo sema mtu akilisoma neno langu nakuliweka Moyoni mwake mimi na Babayangu tutaweka makao kwake, mamboyote yatapita kilakitu unacho kiona wewe machoni pako kitapita lakini neno litasimama, Amini hivyo, YESU alitembea akihubiri akiesma, niaminini mimi ninayo yasema kwamaana aliye nipeleka kwenu niwakweli, kuliko mnakaa nakusema sisi tunaiamini sheria ya musa, na hiyo sheria ilikuja kwa mkono musa, bali neema nakweli zimekuja kupitia mwana wa Adamu, tourati hamuiwezi nifuateni mimi mjifunze kwangu namna ya kumwendea mungu maana njia yangu siyo ngumu, mimi nimpole na mnyenyekevu mizigo iliyo juu yenu nitawatuwa na kuwapumzisha, kipindi kilekile walimwambia mafarisayo na masadukayo na waandishi, wakasema, nimuongo huyu analeta elimu mpya, anatufitinisha sisi nawatu wetu ili wamfuate mzuieni asiendelee kutuchonganisha nawatu wetu wasije wakamfuata kwa wingi, haya maneno aliyo yasema YESU kipindi kile ingekuwa leo angeitwa nani? Mchochezi, nakipindi hicho bahati nzuri hazikuwepo bunduki, kulikuwa na mawe tu wakaona haya haya ndiyo yakupiga nayo mpaka afe, ingekuwa leo kunamabunduki hivi siwangesha mshuti afe, Kwahiyo nduguyangu epuka kuwa miongoni mwawatu wakukanwa na YESU KRISTO mbele za MUNGU wetu kwasababu ya ushabiki wakisiasa ukaiacha kweli bayo inatumika popote pale, ubarikiwe sana ndugu katika jina la YESU KRISTO Aman ?
@@juliusntengu3305 Barikiwa.
Sukuma Ndani 👍👍👊👊
Nachoamin huu uonevu una mwisho wake😭 Kila siku wapinzan ndo wanaokamatwa
Mtaunda jeshi lingine LA polisi au watatoka kuzimu
wasenge nyinyi hivi mnataka mubembelezwe vp
Namuomba mungu awatetee watu wa chadema dhidi ya uonevu
@@enjomollelkwelkabsa4352 Mungu ni wa wote wenye mwili na ashindwi na lolote ukiona hivyo hao unaowaongelea ndio wenye Matatixo
@@neemachongwe2715 nakuweka kipolo najuwa kuma inakupiga miayo
Kweli ni uonevu wa hali ya juu kabisa yaan kama vile sio mtanzania jamani duh roho imeniuma sana kwakweli
😀😀😀😀😀😀😀😀 Huendi na umepelekwa
Nunda kaingia mwenyewee ndan anawaelewa awo
Msenge wewe ibirisi ndio nn ss
@@husseinmillinga1920 kumbe ww mwehu kama sugu na wana wote wa chadema😀😀
@@healer4282 kuna siku wehu huu utakupata wewe , Allah yupo atakufundisha wewe waone wehu wenzio wanao kamatwa kwa kesi za kubambikiwa
@@healer4282 Mimi ni muumini wa haki na sio chama chochote
Yanii safii sana watu wanakatazwa bado wanaendelea vichaa kwerii nenda babu wewe segelea kafungwe 😂😂😂
Zanzibar tumezoe hayo. Na nadhani mnaelekea huko huko. Ccm oyee?
kumaww
@@antonfrance5552 matusi kakufundisha Mama yako. Au mama anafanya kazi bar. Alikwimbia wapemba wazazi wako.
Wambie haoz huwa Wanatucheka na kututukana sasa zamu yao nasubiri vianze vita ili tupate nchi yetu ishallah amin
Hahaha sawa mzalendo
Oyee. Ni kweli unavosema waliwaambia wazanzibari wameregea kwa urojo sasa naona ugali nao hausaidii
Mmmh Ila haya Mambo ni hatari, yanazaaga chuki mbaya Sana ndani, Mungu atusaidie coz ndani ikijaa itahamia nje kwenye mikono Amani itatoweka. Mungu atusaidie kwakweli
Yaan tz sihami🤣🤣🤣
CCM wabunge wao walienda kuchukua fomu bila maandamano wala mbwembwe lakini hawa upande wa hira sasa.
Waandishi uchwara eti wanazima Camera hamkutaka kuonyesha alivyokamatwa Tanganjika jeki #Mungu anawaoneni nyie police
Mtihani wallah dah pole sana sugu
Polisi acheni ubabe na uonevu kuwa mpinzani sio dhambi.
Acha ujinga ww
Ndio unaruhusiwa kuvunja sheria au?
Na ni mjinga kweli
Inashangaza sana watu wanaodaiwa kuvunja amani ya nchi ni wale wanolalalmikia haki zao!
Lakini kaambiwa kistarabu kagoma sasa kusema afanye anachotaka nae kafanya
Uwonevu. Jamaniniiiiiiiiiiii. Mbona watanzania mnatunyima Uhuru kwann
Kwa sheria ip polisi kwa maandamano gani!??
Hii nchi bhana kweli Uhuru hatuna duh!!!!
Asikali huyu anafaa, asikari hupaswi kubembeleza.
Unatiiii
Hakika umenena vyema kaka simon kweli niaskali mzuri saana mungu ambaliki
@@mosesmwailenge6749 Ila alichokifanya hapa sio haki hususani ukizingatia wagombea wa CCM wanafanya hata zaidi ya hivyo! Hatupaswi kuwa na double standard ktk kusinamia haki. Mimi ninamkubali sana JPM lakini nadhani ni muhimu tuzingatie haki kwa uwazi bila ushabiki!
Weeeee si kuma tu weewe
Likisha mkuta baba yako au mama yako ndio utaona kweli anafaa
Muda wa wananchi kieleele kuvunjwa miguu mungu waepushe
I feel so sad when i see things going like this
Hii ndio demokrasia makini,Mungu anawaona!
Polisi wanazalaurika sana et niafanye chochoteee
Huyo police yupo sahihi tena mvumilivu sana.
Wafuasi wa chadema hivi wanashida gani jamani?? Viongozi wa viongozi wa chadema hivi wana shida gani?kwani kuwa kiongozi wa upinzani ndiyo umekuwa mtu wa vurugu???mambo mambo mengine nimadogo tu ayahitaji hata kusukumana???
Mbona tulia alienda na magari, wa bodaboda, wanawake na watu kibao hakusema maandamani?
God knows
But I guess the police officer warned them before he had to arrest them👌😢
CHADEMA!!!!why??????
Ofcourse and always this people always planind stuffs to get people attention, office burning, kidnapping , rallies without approval ..
@@luluamri370 Nani amekuambia maandamano ni kuvunja sheria kwa mujibu Wa Katiba ya nchi?
Soma Katiba ya nchi hususan sheria namba tano ya vyama vya kisiasa ya mwaka 1992.
Na ndio maana wote wameachiliwa bila kupelekewa mahakamani
Tuendelee kujisomea elimu itatukomboa siku moja.
@@franciscowilliam2575 mwisho wa sentence yangu kuna neno liko without approval...maandamano ni haki ya wananchi embu toeni hii biashara katiba katiba ..ni haki wa wananchi lakini pia ni haki ya wananchi vyombo vya usalama viwepo kila kwenye maandano ,sababu hakuna maandano ya kusifia mara nyingi huwa ni ya kupinga sasa katika waandamanaji Luna watakao kua na wazimu na kuna watao andamana kwa amani ,ndio maana lazima vyombo vya usalama vipate taarifa...hujaona marekani maandano ya George yaaliishia kuvunja na kuiba mali za watu
@@luluamri370 maandamano yakisharuhusiwa kwa mujibu Wa Katiba Hakuna cha approval ya mtu yoyote, principles sio sheria mama angu. Maandamano ya kidini mbona kunakuaga Hakuna mapolisi wa kuyalinda? Juzi nimempoteza mama yangu mdogo kwenye kukanyaga mafuta uwanja wa majengo moshi, hakukua hata na utaratibu wowote, wala approval yoyote na Hakuna hata aliewajibika tumeambiwa ni ajali.
Maandamano ya George Floyd yalikua ni riots sio, sio peaceful assembly kwa kiasi kikubwa watu wengi walikua na jazba, na lengo Lao kubwa lilikua ni ku make statement. Na baadhi walikua ni looters ambao hawakua na uchungu WA police brutality wao walienda kutimiza malengo Yao binafsi.
Nakumbuka polisi walipiga watu waliokua wanambeba mh Lyatonga mrema, Mwl Nyerere alishangaa Sana na akatoa tamko kwamba ' kama Kuna mtu anapenda kubebwa, na Kuna watu wanapenda kumbeba basi waendelee kumbeba shida iko wapi hapo!
Kubali Dada wengi tupo kisiasa zaidi hatuangalii ishu nyingi kwa mapana.
That Sugu saga was asinine. Hakuna kitu cha kuwa arrest watu hapo
Yani polisi yupo sahihi kabisa coz kuomba Mara ya kwanza ya pili lkn sugu kakaidi sasa afanyaje hapo?
Na unatakiwa ufahamu ubishi huo unatokana na kosa gani ndo ujue kabisha au kaonewa
We Kuma jitambui Sasa ana mkamata kafanya kosa Gani kumawee alafu anamuambia panda kwenye galii kafanya kosa Gani lazima akatae chokoweeee
Tz Kuna misenge kama hiiii aijielewi ndio maana nchi yetu tunaonekana wajinga kwa ajiliii ya wajinga wa chacheee kama awaaaa
😂😂😂😂😂CHADEMA haya mambo wanapenda
Hpo shwari yn
Dah ninyamaze wazee mctumike fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa sheria nafikiria huyo ni kumwita tu akatae wito ndio aone
We unaonaje si anatafuta sifa na huruma kwa wananchi
Kaambiwa twende huku kakataa Sasa angefanywaje police akikwambia lala chini una lala stop stop
Tatizo na yeye anajifanya mbishi,wakati amefanya kosa,kwanini wasikutane sehemu moja kuliko kufanya maandamano barabarani
Erode Shayo NDUGU SAWA TUNAJUA BILA UPINZANI ATUWEZI FIKA POPOTE ILA MAMBO MENGINE NI UJINGA MTU ANA KWAMBIA KISTAARABU UTAKI UNAGOMA AKU FANYAJE SASA TUSI TETEE ETI KISA MTU NI UPINZANI ANGEKUWA MLALA HOI ASIYE NA KITU JE? SI ANGEBISHA ANGEKULA VITASA ILA YEYE KAESHIMIWA BADO ATAKI WAMFANYAJE SASA TENA BORA HATA YEYE ANA ICHO KIJI AJIRA IKO MTAANI ALI NGUMU UTABISHANA NA ASKARI HVYO UO NI UJINGA WALA TUSI TETEE
@@simonlukiko2850 SASA KAMA MNAJUA HALI NI NGUMU MBONA KILA SIKU MAPAMBIO KUISIFIA SERIKALI😂😂😂
Inalilah wainailaih kiukweli Dunia hii tunapita2 ✌️🙏🏼
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtoto jeuri hapo mwishoni ndo nimepapenda..
😂😂😂😂😂😂
Jamani watanzania tumuombe mungu sana kama sababu naona kama nyumba yetu ya amani inavuja damu.
Akili zenu ndogo,ndomaana mnakufa maskini,ndo maana mnakuwa maskini kila wakti
Ww fala unautajr gan fala ww
@@johnjoseph763 wewe sema unatka sh.ngpi nikufile..nikulete ulaya nikufile
@@KaskasTHEfinderCLIP mfile mama yako mzaz kwanza sawa alio kuzaa kuma ww unadis polis tu wakat mnalala kisenge nje kuna ulinz kuma ww unadis serikali kishàmba km kufilwa ungeanza ww na wanao na mke wapo km kusinge kuwa na ulinz
Kuma we unaponda ulinz wako ungeolewa mbele ya family yako bila ulinz fala ww
@@johnjoseph763 kwahiyo kwa akili yko unadhani kwa ao matako wenzako wanaweza kunilinda mimi ikiwa ao wenyewe awawezi kujilinda...wala ruswa kweli weww nguruwe sana
Askari anatamka kuwa watu wanaweza kufa! Kenya iko mbali sana
Hii inaitwa maneno mengi mbele kiza au ndio anafuata maneno ya mbelgij
huyu askar ameenda shule ya wapi hicho kiswahili next level 😂😂😂
Njooni 254 muone 255 nchi ya ubinasfsi
Polisi mpo vizuri wanawajaribu wajue nguvu zenu mkuu wa jeshi la polisi mpe cheo huyo afisa kafanya kazi nzuri na kuleta heshima kwa jeshi tumechoka fujo za chadema
Hiyo kijeshi tunaita nguvu ya kadri, ni pale muhalifu anapogoma kwenda ndo inatumika hiyo Sugu aache upuuzi polisi sio mahakama kwamba utabishana ni amri..
Nyie mashoga ndio manaaa nlmnasapotii ujingaaa
Sugu ameyataka yeye mwenyewe kumbe, ilikuwa jambo la kistaarabu kabisa pandeni magari rudini makwenu wangerudi. Anakamatwa kistaarabu anagoma sometimes mnaboa sana mnapenda Shari kila wakati
Ndicho walichoagizwa wafanye fujo wakisimamiwa watangaze wanaonewa,,,,
@@ramadhanimikapa8826 ndomaisha yamtandao
Una akili ya panzi na haujielewi
Msenge ww
@@husseinmillinga1920 Nyoko wewe
Maandamano ni haki ya kila mwananchi wa Tanzania. Wananchi tunaona na tunaelewa wanacho fanya hii sio sawa na sio haki kikatiba. Ni udhalilishaji na uonevu wa hali ya juu sana
Dadek unaleta utata kwenye hamna? Dakika 0 tu unatembelea ukucha mwendo wa Tanganyika jeki
😲😲😲😲atari sana nipo mikononi mwa police lakni maisha yangu bado ni mokosiiiii😂😂😂😂
@@georgemaduga2406 Afandeeeeeeeee
Uwe na akil we kuma,kwenye hamna nn hapo ?wap alipokosea sugu hapo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@lindambilinyi6253 Kukumaji mmoja ww unaletashobo kingese utatatuliwa malinda maku ww
Kusoma kuna faida sana. Mungu ibrk Tz