Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

IBRAHIM AJIBU UKIMUULIZA HABARI ZA KUCHEZA ULAYA "NIMEWAKATIA TAMAA, SIJAZALIWA SIMBA WALA AZAM"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2023

КОМЕНТАРІ • 81

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 Рік тому +4

    Piga kazi mwanaume, Ajib Mungu ndiyo kila kitu.

  • @reinfridlipili5666
    @reinfridlipili5666 Рік тому +10

    Majibu ya mchezaji aliyekata tamaa!

  • @benithoii2789
    @benithoii2789 Рік тому +2

    Kwa upande wa kushoto kwa ajibu Kuna chawa yupo bize na kazi yake

  • @kosovonaiiem782
    @kosovonaiiem782 Рік тому +2

    Well done Ajibu piga ball

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Рік тому +3

    Umewajibu namna walivokuuliza

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 Рік тому +2

    Unajib vzr saaaaan

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 Рік тому +3

    Majibu yenye afya kwa maswali ya mchongo

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 Рік тому

    Ajibu wa Yanga na Simba na sasa ni tofauti ajielewi hata kidogo

  • @rogathemassong1788
    @rogathemassong1788 Рік тому

    Kama mtu yeyote either shabiki or mchambuzi anaona kwenda ulaya ni rahisi aende hata yeye kwenye shughuli zake au biashara zake.
    What a hit komenii kuwasemea na kuwapangia watu maisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwalimulucas3522
    @mwalimulucas3522 Рік тому +2

    Haya majibu ni ya kujihami saana!!!

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Рік тому +1

    Huyo mlevi anae mshika shika ajibu analeta usumbufu fukuzaaa!

  • @fahimally3923
    @fahimally3923 Рік тому

    Huyo msenge nyuma anafanya nn hapo?

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Рік тому +1

    Ni majibu ya kisayansi hayo unampa tabu mtu anaye kuuliza maswali

  • @michaelmartin356
    @michaelmartin356 Рік тому +3

    dah full uswahili!

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 2 місяці тому

    Huyo jamaa anayemshikashika Ajibu ni choko nini?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому

    Ana Majibu ya ovyo sana amekata Tamaa

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc Рік тому

    Huy yuko team gan baada ya kutika azam

  • @wahabimakacha7505
    @wahabimakacha7505 Рік тому +1

    😁😁😁😁 dah kaka mkubwa kachana sana humu

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 Рік тому +1

    SINGIDA IMEKUJA KUISAIDIA UTO KUPATA POINT ZA MCHONGO LIGI KUU YA NBC

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 Рік тому

    Huyu sasa hivi ataenda mbao fc

  • @joycepima1844
    @joycepima1844 Рік тому

    KWELI BENCHI LINAZEESHA

  • @jumazando8033
    @jumazando8033 Рік тому +2

    Mtoto wa mjini huyoo hana masika wala kiangazi hashindwi kula kwakukosa kufanya kazi

  • @gilbertngemela6752
    @gilbertngemela6752 Рік тому +2

    😆😆😆😆,majibu sasa

  • @paschalbundala9275
    @paschalbundala9275 Рік тому

    Jamaa kashakata tamaa daaaah kipaji hcho kishapotea anajibu as if mtu aliepoteza matumani, Zahera muokoe kijana

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 Рік тому

      Wewe ambaye hujakata tamaa ,vipi maisha yako,mazuri sana siyo??

    • @paschalbundala9275
      @paschalbundala9275 Рік тому

      @@thehunter5920 co mazuri mwanangu ila akaunti inasoma nashukuru Mungu

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 Рік тому

    Huyo chawa veep???

  • @jaynassy647
    @jaynassy647 Рік тому

    huyu ni maajabu sio ajibu niniae mjua

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому

    Hamna kitu huyo kilaza tuu

  • @user-ru1gz2ht5x
    @user-ru1gz2ht5x 4 місяці тому

    Punguza uchawa choko wewe mbona ushiki kichwa Cha chini

  • @Bam268
    @Bam268 Рік тому

    Ajibu usiilinganishe mlandege na singida mlandege ni timu kubwa kihistoria

  • @wishjrtz
    @wishjrtz Рік тому

    Kuna huyo chawaaa pembeniiii ana kirangaaa

  • @maclucky4149
    @maclucky4149 Рік тому

    Mnaosema Ajibu ana kipaji mmekiona wapi na hajitumi!?? Kiufupi huyo ni mchezaji wa kawaida sana hamna kipaji cha kustusha hapo...

  • @jamesmgeta3772
    @jamesmgeta3772 Рік тому +1

    Huyo jamaa anae mshika kichwan sijui katoka wap

  • @veronicavida4638
    @veronicavida4638 Рік тому +1

    😂😂😂😂

  • @rancohtz7054
    @rancohtz7054 Рік тому +2

    Sasa uyo anaemshika shika kichwan nae ni nan

  • @stivepeter8054
    @stivepeter8054 Рік тому +1

    Huyo jamaa anaemshika shika asiwe ndio mchawi wake

  • @abdallahrenatus524
    @abdallahrenatus524 Рік тому

    Acha uhuni...jibu kwa heshima. Na ujiulize kwnn unaulizwa hayo maswali. Ndo maana haukui

  • @saidiabdul1635
    @saidiabdul1635 Рік тому

    Sasa uyo anayemshika shika kichw inakuaj

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Рік тому

    Uyoo chawa uko pembeni anaushamba tu

  • @hemedsuleiman9034
    @hemedsuleiman9034 Рік тому

    Hamna kitu radhi za yanga zinakufata

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 Рік тому

    Kipaji kikubwa akil kidogo

  • @joycekalembo2225
    @joycekalembo2225 Рік тому

    Dah jamaa kakata tamaa kabisa..kwishnei ktk soka

  • @mahmoudsueid4645
    @mahmoudsueid4645 Рік тому

    Hana hata nidham ataishia hapo hapo alipo mna mpka majibu yakipumbavu!!!!

    • @hassanbuji1721
      @hassanbuji1721 Рік тому

      daah hatari ndio majibu gani hayo anayojibu

    • @alimkumbukwa8363
      @alimkumbukwa8363 Рік тому

      Ajibu kprofshno yan anan kma ndo mchngn

    • @mariajohn123john5
      @mariajohn123john5 Рік тому

      Huyoo anamsongo wa mawazo anahasira kashapoteza ndiyo ma'an anajibu utumbo

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 Рік тому

      Angeongea kingereza ndio mngeona anajibu professional sio? Acheni uzuzu huyo anajibu anachoulizwa na uelewa.

    • @hassoboy
      @hassoboy Рік тому

      Majibu yaketu yanaonyesha nimtu Alie kata tamaa na soka la kimataifa

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 Рік тому

    Kwisha habari yake huyu

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Рік тому

    Ajibu ni mvivu Ana kipaji lakini hajitumi.

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 Рік тому

    km msenge 😒

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Рік тому

      Acha chuk za kijinga

    • @kenosman4780
      @kenosman4780 Рік тому

      @@fayeezabdallah2217 fata ishu zako man!.

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Рік тому

      @@kenosman4780 mim nakufundish hakun kit kizur dunian kam upendo man upend unaondw chuk xaxa ndg yng uondw chuk upat upend popot ulip

    • @kenosman4780
      @kenosman4780 Рік тому

      @@fayeezabdallah2217 Asante kw mafunzo Yako . Smchukii jamaa ni Moja ya players naowakubali sana.ila kauli zake hazijakaa ki professional

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Рік тому

      @@kenosman4780 nashkr ndg yang Allah akufanyie wpc kwa kunielw vzr, ila wakat wengn kun binadam kwa aslmy nying hatujakamlk saaan kwhy ukion binadm mwenzak kakosea bas ni bora mvumilie kbs ili uchume kilicho bora kwa wakat sahihi

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 Рік тому

    Ulishabugi mjomba,jipange upya, halafu usiwadharau mashabiki zako

  • @shedrackmwaipopo219
    @shedrackmwaipopo219 Рік тому

    😂😂😂😂