NYUMBANI KWA KINA AISHI MANULA, "MAMA ALIAMINI NITAKUFA AKANIITA AISHI” HISTORIA NA MAPITO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 204

  • @nancylaizer9281
    @nancylaizer9281 Рік тому +4

    Jamani pole sana manula nakufananishaga na ALIKIBA mmefanana hatari

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k Рік тому +31

    Yaan wa2 mnaambiwa jambo usilolijua ni kama usku wa giza hv unajua nyumba ya mama yake nzuri aswaaa sema kataka haojiwe hapo maan hapo ndipo walipoanzia ila pembeni kuna mjumba mzuri aswaa punguzeni midomo uliza muambiwe cyo kumchamba✍️✍️🙌🙌God protect you brother and you will cover very soon🤲🤲🙏🙏

    • @nyosimbaki_87
      @nyosimbaki_87 Рік тому

      Sio lazima utuambie

    • @user-sn6dc9gh8k
      @user-sn6dc9gh8k Рік тому +1

      @@nyosimbaki_87 usijiweke kwenye wale nimewaambia haikuwa na haja ya kucomment we mbwa mwenye kichaa cha mimba sawa kuwa na adabu🙌

    • @simon_peter1
      @simon_peter1 Рік тому +2

      Kuna watu walihisi hyoo ndyoo nyumba ya mama yake,wakati kuna mjumba hapo pembeni

    • @user-zl7mz5kx1u
      @user-zl7mz5kx1u Рік тому

      😂😂

    • @paulromanusy3882
      @paulromanusy3882 Рік тому +3

      Unaakili sana we mbwa utafika mbali sana kaka😂😂😂😂😂😂

  • @nedmonad1175
    @nedmonad1175 Рік тому +3

    Tunakupenda Sana MUNGU akutunze,, upone haraka kwa ajili yetu Wana Simba tunakupenda Sana ❤️❤️❤️

  • @user-lc4rs5jc9x
    @user-lc4rs5jc9x 11 місяців тому +1

    Aish nimemic uwepo wako jaman kipenz cha wanasimba nakuombea upone mapema .love u guy

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Рік тому +5

    Uwe shifaa mapema,nimefurahi unaishi maisha ya "KUTOUGUA KHOFU",inshaAllah uimarike kwa haraka,Aamin !

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Рік тому +1

    Pole sana Dogo,,salamu nyingi kwa Ramadhan Kulogwa (Ngadu),Brother CHIBA,Pascal Lebote,Daud Mtumbika Mashaka Ligoho,Juma Dikupila nk..By Mbunda Jr

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 Рік тому +11

    NAONA WATU MNAMDISI MANURA KWENYE COMMENT KISA LOCATION WALIOTUMIA ANAVYOHOJIWA CHIKAGO NIMEISHI PALE KALIBIA MIEZI 5 NAPAJUA HADI KWAO MOTHER AKE NAMJUA NA BROTHER AKE NAMJUA NA KAMJENGEA NYUMBA MAMAAKE NZURI TUUU ILA WATU MNADISI WATU WENGINE HAWATAKI KUONESHA MAISHA YAO MTANDAONI

  • @mackmugatajiri2755
    @mackmugatajiri2755 Рік тому +3

    Pole sana ndugu mungu atajaria2 utarejea kwenye majukumu yako

  • @priscajonathan-px4nk
    @priscajonathan-px4nk Місяць тому

    Tunakupenda San mnanula utapona Mungu atakusaidia ❤❤

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 Рік тому +6

    Hongera sana umeamua kuugulia nyumbani dah Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza

  • @user-mk5lm5tk5h
    @user-mk5lm5tk5h 10 місяців тому

    Kwanz pole sana kipa wetu Aish manula Mungu akujaz upone tumekumiss sana simba sports club❤❤❤

  • @priscajonathan-px4nk
    @priscajonathan-px4nk Місяць тому

    Pol san kipa wetu Bora manuka I miss you manula

  • @user-dx4ip9yi3e
    @user-dx4ip9yi3e Рік тому

    Manual wanasimba tunakutegemea na kukulove saaaaaana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-dj9mr5zl3t
    @user-dj9mr5zl3t 11 місяців тому +1

    Inshaalah mungu akufanyie wepesi upone haraka

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 Рік тому +10

    Huyu kijana mwenyezi mungu ampe nafasi ya kurejea yaani afya irejee hali yake ya zamani

  • @user-dw9ig4kb4f
    @user-dw9ig4kb4f Рік тому

    pole sana kipa wetu wa timu ya taiga mm ni shabiki wa africa da young pole pole broo utapona hakuna marefu yasio na ncha utapona

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 Рік тому +1

    Pole Sana manila Mungu akufanyie shifaaa

  • @MauaMgwami-om8uj
    @MauaMgwami-om8uj 10 місяців тому

    Pole sana kipa wetu wa simba mungu atakupa afueni ishallah

  • @iddmtimi7920
    @iddmtimi7920 Рік тому +2

    Pole sana kipenzi cha wanasimba naamini utaeudi kwenye hali yako kamazamani tu

  • @user-sd8dg1qe6k
    @user-sd8dg1qe6k Рік тому +1

    Pole sana kaka mungu atakupa shifaah inshaallaah utapona

  • @user-bh6re4zt4c
    @user-bh6re4zt4c Рік тому +6

    Mungu azidi kukuponya shujaa wetu

  • @NGUNYIWAJIGUNGU
    @NGUNYIWAJIGUNGU 10 місяців тому

    Mungu akurehem

  • @user-mx7pc6rl3t
    @user-mx7pc6rl3t Рік тому

    Me naitwa magreth nipo geita pole sana kipa wetu nakupd San mungu yupo utapona

  • @habibumohamed7233
    @habibumohamed7233 Рік тому +2

    Watu hupenda kuficha Historia zao wakipata Mafanikio. Manila amefanya vizuri kuonesha alikoanzia maisha Mafanikio yake kama alivyofanya SADIO MANE. Maisha ya binadamu yanakwenda HATUA KWA HATUA ndio maendeleo.

  • @sophiacharlesnimependa7959
    @sophiacharlesnimependa7959 Рік тому

    Pole mungu akuponye kwa jina la yese

  • @GivenTobago
    @GivenTobago Рік тому +2

    Hii sehemu ni nzuri sana chicago kilombero natafuta nauli wadhii

  • @user-ge8ym7gb7m
    @user-ge8ym7gb7m 8 місяців тому

    pole sana ugue kupona

  • @user-js9zp3lr2z
    @user-js9zp3lr2z 10 місяців тому

    Tunakupenda san wana simba mungu akupe wepesi upone

  • @shauritangaferuzi6160
    @shauritangaferuzi6160 Рік тому

    Pole sanaa

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 Рік тому +5

    Mungu akuponye haraka kipa na kipenzi chetu wanalunyasi.pia Mungu azidi kukuinua ufike mbali na ufanikiwe malengo yako.Uwe muhimili Bora ktk familia yako

    • @learning61
      @learning61 Рік тому

      Nimependa sana jinsi hiyo mwanangu Aishi. Wengine wameathirika na mambo ya kuiga.

    • @mariapatrick7568
      @mariapatrick7568 Рік тому

      Amina pona halaka mwamba wety tunakuhitaji sana shetani ameshindwa

  • @WastaraMsangi-ck9tu
    @WastaraMsangi-ck9tu Рік тому +3

    Pole sana aisha manula 😢😩❤

  • @Jennie-jk2ql
    @Jennie-jk2ql 11 місяців тому

    Pole Sana Kaka yetu Maura. Mungu atakusaindia

  • @ayoubpaulo2361
    @ayoubpaulo2361 Рік тому +1

    God bless you. Aish

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Рік тому

    Mungu akubariki

  • @NurdinMbale
    @NurdinMbale 11 місяців тому

    Polesana mungu akulinde

  • @ABISINARAMADHANI-cq3rv
    @ABISINARAMADHANI-cq3rv 11 місяців тому

    Pole San mungu atakujalia utapona

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +1

    Pole sana, Allah akuafu

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 Рік тому +1

    Yeeee....

  • @user-gx6kh6fm6d
    @user-gx6kh6fm6d Рік тому

    mungu ataleta neema na uwepes utapona tuu bro na utarejea kikosini

  • @calebabiyudi701
    @calebabiyudi701 10 місяців тому

    Poleee sana mwambaa

  • @josephmwakilasa4435
    @josephmwakilasa4435 9 місяців тому

    Pole

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Рік тому

    Mungu akusaidie utoke Tanzania one

  • @petermagwaza7034
    @petermagwaza7034 Рік тому

    Pole sana kaka manur mungu yumwema utapona❤❤❤❤❤

  • @user-ch6lb6lu8s
    @user-ch6lb6lu8s Рік тому +3

    Kweli hayo ndio maisha halisi naminapenda sana milikulia maisha hayo usijali mengine niulimbukeni tuu

  • @user-mg1vf5gv3p
    @user-mg1vf5gv3p Рік тому

    Pole sana kaka mungu atakuponya

  • @MaryErnest-pm1qz
    @MaryErnest-pm1qz 10 місяців тому

    Pole❤❤

  • @user-pi8lr8qf7n
    @user-pi8lr8qf7n Рік тому

    Pole San TANZANIA ONE

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 10 місяців тому

    Pole sana kaka utapona

  • @CostancioFrancisco-lp6xg
    @CostancioFrancisco-lp6xg Рік тому +3

    Uyu anafanana na ali kiba kwa mbari

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Aisha au aishi😮😮mi hata simjui nd kwanza leo pole sana kaka aishi

  • @user-ez1lc9mm1n
    @user-ez1lc9mm1n Рік тому

    Pole sana manula mungu atakuponya inshaallah

  • @noeldaud
    @noeldaud Рік тому

    Mungu no mwema utakaa vizuri

  • @petermagwaza7034
    @petermagwaza7034 Рік тому

    Mungu akuponye halaka aisha manura

  • @user-mx7pc6rl3t
    @user-mx7pc6rl3t Рік тому

    Pole san kpenz Chang manula

  • @user-jh3yu7wl9r
    @user-jh3yu7wl9r 9 місяців тому

    ❤❤

  • @georgethomas2193
    @georgethomas2193 Рік тому +1

    Polesana mwamba❤

  • @michaelmisana650
    @michaelmisana650 Рік тому

    Pole sana mwamba

  • @user-jw7qq1rt4r
    @user-jw7qq1rt4r Рік тому +1

    Pale sana manura mungu akujalie upone haraka urudi uwanjani

  • @user-hn4uo9db4v
    @user-hn4uo9db4v Рік тому

    Aish polesana

  • @emmanuelmailla3718
    @emmanuelmailla3718 Рік тому +2

    Pore sana mwamba mungu akuponye kwani simba tunakutegemea

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Рік тому +4

    Kijan imetawala kilombero yetu ❤❤❤

  • @mariaraphael5463
    @mariaraphael5463 Рік тому

    Mungu akupe wepes upon

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 Рік тому

    Inshallah Mungu atakua Shufaa itakuwa vzr

  • @awadhially
    @awadhially Рік тому +3

    Golikipa wa muda wote Aishi salum manula Allah akupe nafuu mapema kaka

  • @user-re7eq4tm7f
    @user-re7eq4tm7f Рік тому

    Pole Sana ndugu mung mkubwa utapona

  • @user-uw1cn8ob1l
    @user-uw1cn8ob1l Рік тому

    Pol kaka ang Mungu yuko pamoja na ww bd tunakupenda wanasimba

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js Рік тому +1

    Pole mwaya utapona.mimi mwana yanga lla namkubali sana manula

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Рік тому

    Umepanbana sana

  • @editharjackson8665
    @editharjackson8665 11 місяців тому

    Kwan wew na kiba ni ndugu

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 Рік тому

    Upone mwamba Allah akupeshifaa

  • @cresencialupapa-dx4gf
    @cresencialupapa-dx4gf 10 місяців тому

    Ata kama ndo nyumba yao kwan kuna tatizo gani mbona wanafurahia tu maisha

  • @jovithakawimbe7472
    @jovithakawimbe7472 Рік тому

    Pole Sana mwamba ❤

  • @user-ez1lc9mm1n
    @user-ez1lc9mm1n Рік тому

    Tumekumic sana manula

  • @atanasmhagama7722
    @atanasmhagama7722 Рік тому

    Upo vizuli Sana kusema ukweli wako uliko toka wachache ambao wanasema ukweli kuwa ulikosa Hadi viatu vya kuvaaaa bigap Sanaa mwambaaaaa

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 Рік тому +1

    Hapo ndiyo alipotokea kwenye nyumba hiyo basi alivyofanikiwa manula alimjengea mama yake nyumba nzuri ya kuishi 🤣🤣🤣

  • @labanijr5195
    @labanijr5195 Рік тому

    Utakua sawa air manula

  • @user-fz6dd8wz8d
    @user-fz6dd8wz8d Рік тому

    Getweel soon brother

  • @user-xh4pi6gn3b
    @user-xh4pi6gn3b Рік тому

    Usilolijuwa nisawa nausiku was Giza. Aishi amemjengea mama yake nyumbani nzuri Sana, hataki tu kuwaonyesh .Ipo hapo hapo pembeni. Mtu anaumwa tumuombee dua apone.wanachikago ndotunajuwa

  • @user-fu9vn4ke8d
    @user-fu9vn4ke8d Рік тому

    Tumekumiss sana manuala mtegemee MUNGU kila kitu

  • @vailethwangu4269
    @vailethwangu4269 Рік тому

    Mungu akuponye mtoto wang wana simba tunakupenda

  • @RehemaMgongwe-di3yf
    @RehemaMgongwe-di3yf 10 місяців тому

    Nivisuri kama wachezaji watakuw wNatemberewa kama hiv

  • @CarolneJohn-nr2nj
    @CarolneJohn-nr2nj Рік тому +1

    Wapili🎉

  • @AlfredMichael-ge2yp
    @AlfredMichael-ge2yp 11 місяців тому

    😢

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Рік тому

    Mimi yanga, ila nakupenda pole sana

  • @joachimgolola1086
    @joachimgolola1086 Рік тому

    Maisha ni safari,safi ugua pole na Mungu,amujalie upone mapema .

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d Рік тому

    Mwenyeez Mungu akupe shufaha Aishi Manula tunazidi kukuombea upone haraka

    • @upendomgombozi1239
      @upendomgombozi1239 Рік тому

      Nimefurah sana jemedari wetu kuona unaimarika mungu azidi kukupa wepesi urudi kwenye majukumu yako, missing u Aish

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Рік тому

      @@upendomgombozi1239 Amin 🤲🤲

  • @kitejamayunga7645
    @kitejamayunga7645 Рік тому +2

    Manula is a great guy, ana akili nyingi sana.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +1

    Daaaaaaa mbk nimemis home aise ❤

  • @AbdallahMbonde-yg2tv
    @AbdallahMbonde-yg2tv Рік тому

    Pole Sana manila mungu atakuponya

  • @dorismkoma4228
    @dorismkoma4228 Рік тому +6

    Mungu apigane kwa ajili yako kipa wetu na kipenzi chetu Wana Simba!

  • @canibalgazaboy8325
    @canibalgazaboy8325 Рік тому +1

    Mim niyanga ila natamani upone haraka urejee kwenye mazoezi tunakuhitaji kwenye timu ya taifà kaka.

  • @RaymondMshote-yd2os
    @RaymondMshote-yd2os Рік тому

    Saafi

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 Рік тому +1

    Kwe lii jenga heeee

  • @fedmiradaf3141
    @fedmiradaf3141 Рік тому

    Pole sna mtu wangu wa nguvu

  • @user-xk6ik3ep4j
    @user-xk6ik3ep4j Рік тому

    Pole sana mwamba soon utarejea katika ukali ule ule

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому

    POLE SANA MANULA MUNGU AKUPONYE HARAKA

  • @gundoanimal6750
    @gundoanimal6750 Рік тому

    Mkamba-Kilombero

  • @kelvinaudax8287
    @kelvinaudax8287 Рік тому

    WATU BWANA HIVI KWA AKILI YAKO HII NDIO NYUMBA ALIYOMJENGEA MAMA YAKE

  • @hopekrish5433
    @hopekrish5433 Рік тому

    Nyumbanii kabisaaa daaah nimefurahii vibaya

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 Рік тому

    Mjeen wazazi wenu