Huu wimbo unanikumbusha nikiwa UDSM baada ya kujisomea Sana pale SR 12 mwalimu Nyerere Campus nilikuwaga nausikilizaga Sana kurefresh kabla ya kurudi Tena kupitia Madesa
Naam daaa nkmbkaga mbali sana,,huyu Dada duu npo xkulii enz hizo,,,,kila ikifka moni SAA kumi na moja na nusu hua inapgwa kwenye redio Tanzania ,,,kipind cha kombola bas daaaa
Roho yangu haina Amani me ni wa kulia mda wrote lakn kama mungu ni wetu sote wallah namuachia mungu cjui maumivu haya yataisha lini kwangu maana ukweli nateseka waungwana
bongo freva ya sasa wanaluka luka tu wanacho kiimba ata akionekani mastaa kibao tu wenye nyimbo Kali wamepotea sio vumi pekeake tu sasa sijui tatizo ni kuzeeka au na kama nikuzeeka basi ndio tatizo waige basi mfano wa bi kidude mbona kaimba mwanzo mwisho mziki mzuri na watu bado walikuwa wanamkubali vumi rudi kwenye gemu bana
Binadamu wametumia umaskini Wang kuniharibia ndoa ya mwanamke ambaye ckuwah fikiria cku moja kuwa angeilazimisha talaka ndugu dunia hii ina watu wabaya sana😢😢ckuwah mfanyia mtu baya lolote wallah
Mm binafc cna lakusema kuhusu hii nyimbo huwa naickiliza kila cku ukiniuliza kwnn cjui kama nitakujibu nn zaidi yakukuambia kuwa naipenda sana hii nyimbo
Dear dada Vumi, By the time thic song was relised I was a little bit young na I loved sana hii nyimbo. Cku si nyingi nilikumbuka hii nyimbo then I had to search for it na naisikiliza more and more times. Dada rudi Kipaji chako n kikubwa sana.
Huu wimbo wakt unatok nilikuwa mdogo sikujua kuwa unamaanisha nin sasa nimekuwa naelewa haya nausikiliza kil dk najua ulimanisha nini 😥😥😥2018 im stil watching this song
Vumi dada angu unatuliza sisi maskin na ukichek huwa inatokea kupenda kwa dhati kwa walio matajir 😭😭😭😭😭 da hii nyimbo vumi bc tu tatizo ni umaskin🙏🙏🙏🙏🙏
Hivi huyu dada Yuko wap na saut yake tamu hii!! Au nae amefichwa na kibabu cha kizungu!! Saut hii dah we miss u Vumilia mtoto wa isanga rud kwa game yake jamam
2024 bado naukubali huu wimbo,kama na wew bado unaukubali gonga like
Kama huchokag kuangalia hii song gonga like hapa♥️
One of the classic of all time. Thanks Vumilia 🙏
Duuuh @josephinajosephu6859 jina la mama yangu jaman ❤❤❤
Na leo nimeimiss tu nikaja kuitafuta.
Kama unaangalia hii mwaka 2019 gonga like
Mie hapo my
Mariam Kassim 😁😁😁😁
Anajua sana dada vumi
Kama umerudia kuaangalia 2023 gonga like hapa
Kama unaangalia hii mpaka sasa 2020 , like tafadhali
Mimi nauangalia Hadi 2021
Bado naiangalia hadi Leo 2023 nani nipo nae twenzetuni
Mimi naangalia Hadi Leo 2023
Mimi nauangalia hata Leo 2023,huu wimbo hajanikinai,jamaa alipiga muziki wa uhakika
Mwaka 2024 huu wimbo Bado naupenda sana.
vumi alikua na kipaji sana. sjui alienda wpi ase kuna ule wimbo wa UTANIKUMBUKA nao ni wimbo mzuri sana
KAMA UMASIKINI UMEFANYA UMKOSE MPENZI KAMA MM GONGA LIKE HAPA TUJUANE NA TUUTOKOMEZE UMASIKINI
Huu wimbo huwa unaniliza 😭😢,sijawahi kuuzoea tangu nimeusikia kwa mara ya kwanza 2009.
The best song ever
Utanikumbuka
nikweli kabisa
roho inauma hata mi jamani😢
Pole sana
So touching..
Kama unaangalia hii ngoma mpaka leo Oct 2\2020 Gonga like kwa Vumiliaaa
Am watching time 22:28
15/04/2022 Good song
Rest in peace 🙏
July 21/ 2023
Yan huu wmbo vumi 😢ilibd Ndio atunge 2024 hii MN daaa aliwaisha sana 🎉
Till this time 2024 I'm still listening to this song
2024 and still counting.. Popote ulipo Da Vumilia Mungu akubariki.. Wimbo hauchoshi masikioni miaka nenda rudi❤️🇹🇿💯
2020 nasikilza nyimbo nzuri. Nani bado anausikiliza huu mwimbo mzuri
Kma unaangalia hii 2020 gonga like twende pamoja
jamani huyu dada anatumia jina gani instagram ana sauti nzuri nampenda sana.......hii nyimbo umeniimbia mimi dada♥️♥️
Nashangaaa sana kwanini umepotea ivi.nyimbo zako bado zinaishi kwene akili zawatu.rudi kwene gem mama.tatizo ni nini limekufanya upotee.
nakupenda sana vumi mwaaaaaaaaaaaaaaaah Mungu Akubaliki sana Amen!!!
Tunamumiss sana jmn
Kwakweli arud kwene gemu😂😂😂😂😂😂😂
Ngoma kali
Yaani
Kama mbaka sasa 2018 unaangalia huu wimbo gonga like hapa
Oyooooooooooo❤❤❤❤❤❤❤❤
17/04/2022 😐
Aran Mapigo ni bonge la producer katika aina hii ya muziki. Namba 1 in Tanzania.
Alafu kuna saidi comorie nae ni mkali sana
@@nobleskillz7302 hawa watu wawili ni noma sana boss
Wangap Mnasikiliza mimi Nasikiliza Nikiwa makumbusho
Km unaangilia hii tweny tweny gonga like twende sawa
Dada huyu jamani apewe tunzoo jamani 😢
This song stands the test of time 😭🙌😇❤️🇹🇿
Dah
the songs that's gives you energy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@calvo_charlie you subscribed to Whitney Houston yet? 😭❤️
Whitney??from US or
@@calvo_charlie yes darling
This one 👇
#whitneyhouston
Huu wimbo unanikumbusha nikiwa UDSM baada ya kujisomea Sana pale SR 12 mwalimu Nyerere Campus nilikuwaga nausikilizaga Sana kurefresh kabla ya kurudi Tena kupitia Madesa
Dhahabu hizi ziko wapi, vumi come back
So amazing
Vumi come back kweli daaaa ,,,acha tuu broo
lusajo yuda we acha
vumi uko wapi mm nakupenda by happy
vumi uko wapi mm nakupenda by happy
Hizi ndizo bongo flavors original na sio upuzi wa kisasa... Burudani mwanzo mwisho asante miss Vumi
judah kitavi haswaaa
Unaweza ukalia yani basi tu😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
Vumilia huu wimbo nauelewa sana naupenda kinoma unanikumbusha mambo mengi sana.
Hii ngoma iacheni tu! 2021 still listening
Naam daaa nkmbkaga mbali sana,,huyu Dada duu npo xkulii enz hizo,,,,kila ikifka moni SAA kumi na moja na nusu hua inapgwa kwenye redio Tanzania ,,,kipind cha kombola bas daaaa
Roho yangu haina Amani me ni wa kulia mda wrote lakn kama mungu ni wetu sote wallah namuachia mungu cjui maumivu haya yataisha lini kwangu maana ukweli nateseka waungwana
Kibao kizuri chenye ujumbe murua kabisa unaogusa diplomasia ya mapenzi/ndoa. Shukrani sana Vumilia & Kimondo Band
ukipendwa Na wazaz mume atazngua,Na ukipendwa Na mume wazaz wanazngua... polen wanawake wote
Kweli
Kweli
Red Butterfly umenitoa chozi
Unaitaji counselling weweee
Tatizo ni umasikini tu
da yamenikuta ndo natambua nini thamani ya wimbo wako mdada dah nakubali sana kazi zako
Awardi Kigunga
Hta mm yamenikuta nikaukumbuka huu wimbo jaman
dahhh pole sanaaa mwaya ila ungejua yalio nikuta ungezimia nakwambia kama muvi vile lakini dahhhhhhhhhh
Mi pia yamenikuta,,ila end of the day kila kitu kina sababu
Awardi Kigunga mm naupenda sana huu mwimbo
Awardi Kigunga mi pia yamenikuta haya jamani
huu wimbo umenikumbusha sana huyu vumi wimbo aliouimba umenitoa pangoni
Mashaallah
Niliaachwa kisa umasikini ila mungu mkubwa Nina furaha
Cjui tatizo nn jaman sema nijue 💔💔💔💔....... Kama upo hapa Leo pita na like tujuane
Nyimbo za kitambo zilikuwa na nguvu na ujumbe sana 😭
Till to now 2022 this song vumi I appreciate so much
2023
Still best song ever
Tupo wote hapa 2023
Niko hapa🌹
Niko nawe
bongo freva ya sasa wanaluka luka tu wanacho kiimba ata akionekani mastaa kibao tu wenye nyimbo Kali wamepotea sio vumi pekeake tu sasa sijui tatizo ni kuzeeka au na kama nikuzeeka basi ndio tatizo waige basi mfano wa bi kidude mbona kaimba mwanzo mwisho mziki mzuri na watu bado walikuwa wanamkubali vumi rudi kwenye gemu bana
inasikitisha.....
Dada unasauti nzuri sana Mimi naipenda sana hebu jaribu kutoa kibao kingine mwaka huu 2019 mie nishabiki wako wakwanza🤔
Bigup sanaaa
Kama bado unaikubali hii ngoma2020 gonga like
Wangapi tunafatilia nyimbo za zamani 2023🔥🔥🔥🤗
Mie ndo ngoma zangu Hzi siku Zote
Yaan wimbo mkari Sana Tangu mwaka 2012 nausikilizag huu wimbo nawala haunikinai darh kwel wewe ni #fundi
Binadamu wametumia umaskini Wang kuniharibia ndoa ya mwanamke ambaye ckuwah fikiria cku moja kuwa angeilazimisha talaka ndugu dunia hii ina watu wabaya sana😢😢ckuwah mfanyia mtu baya lolote wallah
Kama mimi kaka pole sana
Pole kaka angu
yuko wapi huyu dada mrembo,,,what a classic song! #Vumi
Mm binafc cna lakusema kuhusu hii nyimbo huwa naickiliza kila cku ukiniuliza kwnn cjui kama nitakujibu nn zaidi yakukuambia kuwa naipenda sana hii nyimbo
2024 mko wapi
Umasikini mbaya sana lecho come back kama timu lecho gonga like yako
Dear dada Vumi,
By the time thic song was relised I was a little bit young na I loved sana hii nyimbo. Cku si nyingi nilikumbuka hii nyimbo then I had to search for it na naisikiliza more and more times. Dada rudi Kipaji chako n kikubwa sana.
duuuuhhhh the song reminds me of the past step in life......I am now happy because I got the right one who knows what love is....Mrs Sydney.
Nimejikuta nalia tu maana maisha nayo ishi na Mume wangu mungu ndio anajua
Halima mohammedy. Hahahahahaaaa umenichekesha sn. Vumilia dada angu hamna namna
Together 2022 💥
dah kweli dada ktk maisha yetu ya kiafrica umasikini wakati mwingne unakua tatizo kubwa sana unaoneka kwa matajir sisi masikini kuonekan mbwa
Nauru Mnazaleti kweli kabisaa
Ngoma Kali Leo hadi kesho 2020 kama uko twende swa
Here we go 2020 with vumi tatizo ni umaskini twende pamoja guys💯💯💯💯
😭😭😭😭😭matusi ya kutukanwa umasikini umenifanya nirudi kusikiliza hii nyimbo 2022 bado tunakusikiliza vumi
😭😭😭
Huu wimbo wakt unatok nilikuwa mdogo sikujua kuwa unamaanisha nin sasa nimekuwa naelewa haya nausikiliza kil dk najua ulimanisha nini 😥😥😥2018 im stil watching this song
Ndaghaaaa
Tupokigwe Niganile good
😂😂😂😂😂😂😀😀😀😃😃😃kwa kweli tulikuwa wengi
Sio sauti tu nyota pia unayo mama
Wimbo mtamu nimekumbuka mbali 😢😤😤😢😰😰
The same to me
Wanaoamgalia huu Wimborne 2050 like hapa 😂😂
nilikua nausakanya huu wimbo una nikumbusha mbali
ray c mwasiti vumilia recho hawanaga hawawatu toka wapumzike sanaa hakuna alieziba pengo lao hakika OLD IS GOLD ❤❤
Tatizo umaskini au ni nini 2019 mwezi wa 4
Gonga like kama bado unaikubari hii ngoma kama mimi
2024 bado naburudika na wimbo mzuri kutoka kwa dada Vumi 👏👏
Naikubali hii nyimbo, classic
2020,,,,,April duuu kitambo sana npo skuli hpo duu
Nyimbo nzuli sana
Ilifika kipindi nikiwa naiskiliza hii nyimbo naanza kulia😅😅...sijawahi kuichoka kuskiliza mpk leo 2024❤😂😂
Kwa kweli huu wimbo unaniumiza sanaaa nikiusikiuliza nakumbuka mbali najikuta nalia
Martha Mmari poleee
maaaaamae 2019 gonga like kama zooote yan
Nime kumbuka nyumbni kahama R.I.P rafiki zangu Wote walio KUFA wakati huo 😢😢😢😢😢
Kama unacheki hii ngoma mwaka 2021 dondoxha like apo chin
Asante vumi kwa hii zawadi ya muda wote.....
Kam. Bado waendela kuicheki hi ngoma 2020 Kam mie tupia like apa
Ukisikia kazi ya msanii ni kuweka matatizo yaliyomo katika jamii ndio hii sasa dada umeupiga mwingi sana
Vumi dada angu unatuliza sisi maskin na ukichek huwa inatokea kupenda kwa dhati kwa walio matajir 😭😭😭😭😭 da hii nyimbo vumi bc tu tatizo ni umaskin🙏🙏🙏🙏🙏
😭😭
Vumi nimekuja hapa mwaka hu kukutazama tena 2024 ❤❤❤❤
#2020- Touching song, Vumi...Talented lady. Sijui siku hizi wanafail wapi
Oh endelea kupumzika salama sister angu ❤🙏
Hakika huu ndo muziki wetu ukiwa kwenye uhalisia wake sio hizo kuigaiga kwa wanaija
2021 tupo wangapi? Hizi ndio nyimbo za afrika ukiachilia mbali kina jeje wanaenda kuiga ulaya tamaduni chafu
Ewe usomae hii comment, "nakuombea BARAKA, Amani na furaha siku zote za maisha yako". Tumeagizwa tupendane usilisahau hilooo
Huyudada nyimbo zake haziish hamu kuzisikiliza alale pema peponi. Amen
Kwani kashafariki
One of the best... still watching in 2019
1 (10)2019 gonga like kama unaangalia hii nyimbo
Duniani kuna mengi jamani yani kipaji kama hiki kinapotea hivi hivi tu.....mungu awe nawe dada vumi whatever ur going thru!!!
Lusajo Mwankusye yani naipenda Sana inanikumbusha mbali Sana nikisikia nalia mwenyewe
Pole sana stay blessed as always
Huo naikubali sana hii song MPA Leo bgp vumilia
Vumilia rudi mama upo wapiiii😥😥
Kila napousikiliza huu wimbo huwa nadondosha chozi.
Jamani Dada etu mpendwa kaitwa Mungu anamuimbia yesu kristo so huku muandke story ya kwamba alikuepo
Good song
Waaao
Yuko wapi kwa sasa?
@@godfreyjoseph4750 yupo Kenya na mumewe wanamtumikia Mungu
@@nazaliusmuhile1515 Ooh mungu ni mwema sana!!
Huuu wimbo niliachwaga, jaman nilikuwa nalia😢😢😢uwiii😊
Hivi huyu dada Yuko wap na saut yake tamu hii!! Au nae amefichwa na kibabu cha kizungu!! Saut hii dah we miss u Vumilia mtoto wa isanga rud kwa game yake jamam
Maunda and vumiliaa are my best artist in Tz 2022
moyo uniuma nikikumbuka enzi izo nipo form one
Andrew Stiphen mmi nilikua form 2 yani dahhhh unanikumbusha mbali
Ctaki kuamini kuamini kama umepotea mazma mdada vumilia
Izi ndonyimbo mana mpaka najisikia vizulii❤❤
Wimbo usioniisha hamu,thanks Vumi
mwaka 2024 natazama na kusikiliza, kumbukumbu imeandikwa
Uyu Dada anasauti fln ivi amazing