Nakumbuka nilimuacha demu wangu kisa mchepuko tena rafiki yake, daah akaenda burn CD yenye nyimbo nane zote ni wimbo mmoja tu za huu wimbo, halafu akampa rafiki yangu aniletee niisikilize, daah kila nikiusikiliza naona hisia zinanijaa tu na machozi kunitoka na kujiona mkosaji mkubwa sana, aisee nilirudi speed 120 kwa demu wangu na magoti juu ya kumuomba msamaha,, leo hii ndo mama watoto wangu, nampenda sana mke wangu.
Vummy mama utaweza kuandika song like that daaaah miaka buku utoweza gitar limefanya kaz yake barabara lycs melody mashair wooo!!!!! Nan yupo 10/03/2020
Hongera vumi kwa wimbo mzuri unaoishi mpaka leo na hat kesh pia japo umepotea kweny gem tumekumic dada sio vumi tu kuna kina dog man, marlaw, z anto, na wengn weng sana i mic you forever.
Huu wimbo mtu wangu anaupenda saana yani tukikosana tuu ntawekewa wiki nzima had ntarudisha moyo nyuma namshukuru Mungu tupo saaana wanaosubiri tuachane wavute kiti wakae kwakwelii
WIMBO UNA NITOA MACHOZI HUU, MAANA ULIPENDWA SANA NA MDOGO WANGU WA KIKE, AMBAE SASA HAYUPO SAWA KI AFYA KUTOKANA NA MATUMIZI MABAYA URAIBU. ALIKKUWA ANA UIMBA AKIWA KAKWAZIKA NA NDUGU ZAKE.NAMPENDA SANA DADA ANGU.
katika msanii Aliye fanyavizuri kwenye tasnia ya mziki wa bongo freva.kwa mziki wa mapenzi Uyudada vumilia kwa tanzania Anampinzani.wimbo huu mpaka leo Unashii kwenye miyoyo ya watu. maana Umetendewa haki kila kona. kwenye Beat,melodi Uwimbaji,sauti yenye mpangilio mzuri. Aiyumizi masikioni.mwawatu.pia produc mika mwamba ktk Ubora wa mix .Apewe mauyake.
Wimbo huu unanikumbusha mbali Sana nilimfumania mkewangu Mara 5 dah uwezi amini bado naishi nae na ndio mama watoto wangu mpaka sasa kweli moyo kibuli😭😭😭😭😭😭😭😭
@@abuukiogwe6806 Na mbona hatuoni kazi zake tena imekuaje? tumewamisi wasani wa enzi hizo maana wasani wa enzi hizi ni kelele na vurugu kwenye nyimbo zao na hawana ujumbe wowote
Gonga like kama zote 2024 kama unaskliza hii ngoma
Nakumbuka nilimuacha demu wangu kisa mchepuko tena rafiki yake, daah akaenda burn CD yenye nyimbo nane zote ni wimbo mmoja tu za huu wimbo, halafu akampa rafiki yangu aniletee niisikilize, daah kila nikiusikiliza naona hisia zinanijaa tu na machozi kunitoka na kujiona mkosaji mkubwa sana, aisee nilirudi speed 120 kwa demu wangu na magoti juu ya kumuomba msamaha,, leo hii ndo mama watoto wangu, nampenda sana mke wangu.
Hongera brother mwenyew nimeutafuta leo baada ya kumkwaza nimpendae sms yke imenileta hukuu
Saluti
🌛🌜🥵
Hongera saaana kaka kwa kulitambua kosa lako siku hiyo na kujishusha
Hizi nyimbo huwa zinagusa hisia sana..
Tulio kumbuka nyimbo za kitambo baada ya msiba wa Dada etu maunda zoro tujuane 👌👌👌
Jamani Huyu dada yupo wapi
Huu wimbo na ule wa Tatizo ni umasikini wa huyu dada ziliandikwa aiseee🔥🔥🔥❤️💯🇹🇿 2024
Anyone here 2024?
Where are you Vumy? You are still touching my feelings . September 2021 who's there with me?
Popote alipo vumilia akamatwe haraka arudishwe kwenye game.
Amrii..
ahahah
Ngoja niandae defender wa kumsaka
Haraka sana akamatwe mahali popote alipo.Ana kesi ya uhaini na usaliti katika muziki.Ameliacha Taifa solemba wakati akihitajika katika uwanja wa vita
Best than zuchu than many non sense artists
Hahahaha
Vummy mama utaweza kuandika song like that daaaah miaka buku utoweza gitar limefanya kaz yake barabara lycs melody mashair wooo!!!!! Nan yupo 10/03/2020
Aliimba dada wa watu
Huu wimbo hauchuji aisee
Daaaaaah tupo
Daaaaah kipji konki
Hongera vumi kwa wimbo mzuri unaoishi mpaka leo na hat kesh pia japo umepotea kweny gem tumekumic dada sio vumi tu kuna kina dog man, marlaw, z anto, na wengn weng sana i mic you forever.
💯
Nakupenda sana vumilia ww nilimpenda sana kk mmoja anaitwa steve ❤
Huu wimbo mtu wangu anaupenda saana yani tukikosana tuu ntawekewa wiki nzima had ntarudisha moyo nyuma namshukuru Mungu tupo saaana wanaosubiri tuachane wavute kiti wakae kwakwelii
In code!! The real definition of good music living years to years
Wengine bado tunalia mpaka sasa mapenzi yamenialibia maisha yangu
Dada vumi now kaokoka so anamwimbia kristo now na uku awez rudi tena koz kaona nuru ya kweli
Inanikumbusha mbali Sana penye nilikua nimezama mazima then nikasalitiwa duuh nilitamani hata kujiua kisa lijitu ambalo halijui nini maana ya hisia
je! Vumilia ataweza kuandika tena wimbo zunri kama utanikumbuka? hongera dada kwa wimbo zunri
yaan huu wimbo unanikumbusha mbali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
huu ni wimbo bora
Sana
Nakumbuka mbali sana henzi izo unasoma shule bado nikita Tanzania
nice song Vumilia..huu wimbo unatukumbusha wanaume wajibu wetu!!!!
Faraji-Cape town
naupenda sana huu wimbo utanikumbuka
Nakupnd xn mamy
Sana
producer wa huu wimbo alijipinda sana biti apewe maua yake
Mikael Mwamba
WIMBO UNA NITOA MACHOZI HUU, MAANA ULIPENDWA SANA NA MDOGO WANGU WA KIKE, AMBAE SASA HAYUPO SAWA KI AFYA KUTOKANA NA MATUMIZI MABAYA URAIBU. ALIKKUWA ANA UIMBA AKIWA KAKWAZIKA NA NDUGU ZAKE.NAMPENDA SANA DADA ANGU.
Pole sana mkuu
@@taba-tingvillagers3259 asante sana
Daaah nimeikumbuka Leo trh 5-1-2021 Nyimbo qari sana
Gonga like kama unaitazama hii nyimbo 2022
Niko hapa 2024😂
leo ndio najua kuwa ii yimbo sio ya mwasiti 2023
Huyu dem sijui alidanganywa na bwege gani hadi akaacha muziki.Namchukia sana kwa kuacha game
2023 tupo hapa. Tunakumbuka wema tuliotendewa 😅
hatari sana😅
Nikisikiliza hii nyimbo nalia Sana tena Sana .....
Nashukuru San kukutan na hii masterpiece UA-cam once again
Nyimbo un-forgetable , tam sana hii nyimbo haichuji daaah
Kweli IPO makini
Leo nmeenjoy kusikiliza nyimbo za Vumilia
katika msanii Aliye fanyavizuri kwenye tasnia ya mziki wa bongo freva.kwa mziki wa mapenzi Uyudada vumilia kwa tanzania Anampinzani.wimbo huu mpaka leo Unashii kwenye miyoyo ya watu. maana Umetendewa haki kila kona. kwenye Beat,melodi Uwimbaji,sauti yenye mpangilio mzuri. Aiyumizi masikioni.mwawatu.pia produc mika mwamba ktk Ubora wa mix .Apewe mauyake.
Wimbo huu unanikumbusha mbali Sana nilimfumania mkewangu Mara 5 dah uwezi amini bado naishi nae na ndio mama watoto wangu mpaka sasa kweli moyo kibuli😭😭😭😭😭😭😭😭
Mmmh una moyo wa uvumilivu brother
lkn bro nyimbo hii mi naona kama inashika sehem zote.kati ya mwanaume na mwanamke au unasemaje .
ata mwanaume pia unaweza kutendwa . so mwanamke peke yake
Wasanii flan hiv na maadili yakwet kabs
Wimbo hauchuji na hautachuja kamwe❤️😍2024
Living tone 2022 still fireeee
When bongo flavour was still yet to be hucked by the terrorists
naupenda huu wimbo mpka bas miak iende lkn kwangu ni kama mpya kila siku
hongera sana nimekumbuka mbali
October 2024 bado ni wimbo mtamu masikioni!!
Kipaji hakijifichi vummy umefanyakaz kubwa 💪
Nimekumbuka mbali Sana daah aya maisha aya
Wimbo wa kwanza up 🔥
Daah unaweza kutoa machoz
Nimekumic vumilia...uko wap
Saivi mtumishi wa mungu atar sana
2024💙foreve
Huyu dada anaimba sana sijui yuko wapi ❤
Daah vumi wangu mbeya _majengo uko wapi wewe
N mm na machozi tu huu wimbo unanikumbusha mbali sana
Nakubalisana dada maana iikazi aitokuja tokeatena
Nakumbuka mpaka machoz yananitoka
Hii nyimbo sio poa kiukweli inanikumbusha nilipotoka et mpaka inanipa simanzi aisee
2020 - huu wimbo bado ni moto
Daah🔐🥰 leo 28/12/2021 love u vummy
Dah kunywa soda hapo ulipo na me nmeukumbuka huu wimbo leo baada ya kupigwa na kitu kizito 😂
😆😆😆pole
@@Madmax_kingTz 😂😂😂😂 asante
Dah huu huu wimbo jamani
Nyimbo nzur sana Dada vumi hongera
till today nyimbo naikubal sana
Kipaji kikubwa sana vumi halafu yupo simple sana
Damn,huu wimbo utaishi sana
2020 bado naangalia haichoshi
Always is best in my life🙏🙏🙏
nakupenda dada ilove this song
Jamn napenda sana hii nyimbo me love song
2023😭
Naupenda huu wimbo jmn
2024 Bado nipo
Kitambo saana na bado zinaishi
Mpaka Kesho hyo ni Good Song
2024 📍
Nyie huu wimbo ukiachwa ndo utajua maudhui ya huu wimbo nyie achen mapenz yanauma sana😂😂tunaosikiliza huu wimbo 2022 tujuane
Nakumbuka mbali Sana
When bongo flavour was still yet to be hucked by terrorists
We kundamay huyu vumi yuko wapi jamani,
Living tone2024 still on 🔥🔥 i
Nice song dedicated to my ex popote ulipo ..
2024❤❤❤❤
Hivi huyu msanii yuko wapi? Tafadhali fanya remix ya huu wimbo
Yupo dar
@@abuukiogwe6806 Na mbona hatuoni kazi zake tena imekuaje? tumewamisi wasani wa enzi hizo maana wasani wa enzi hizi ni kelele na vurugu kwenye nyimbo zao na hawana ujumbe wowote
Ukweri mtupu, wasani was iki hizii ni ngono, pombe, madawa wakulevya, kelele tupu. Ujumbe nikama haupo. Wamepoteza hata utu wao
@@flashlightstudio5399 ameokoka anamuimbia Kristo sasa hivi
@@brosataasisi3657 una link ya nyimbo zake?
Wimbo wa umaskini wa vumilia nimeuelewa Sana
naupenda huu wimbo unanikumbusha mbali
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Still watching 26/7/2020
Bado yamoto
Vumi upo wap jaman
Noma sana enzi hizo
Jamani nakumbuka mbali et
Siwez kumbuka mtu tukiachana tumeachana
aliyekuja hapa leo 2022 tujuane
lov sana huu wimbo
lud dada mashabiki zao bado tupo
Vumi kwani uko wapi dear
Mziki mtamu ulikua zamani
UKO SAWA SANA
Je uyu vumilia kwa Sasa Yuko wapi
2023 NAUSIKILIZA NIKIWA NINA DEM
#funzo
Nimekumbka mbali san
Yu wapi huyu mwanadada mwenye sauti adimu sana?
Nice song for 2019
❤❤
Usipotee ivyo jmn
2024 we are here
Nice song vumilia
2023 ❤❤❤❤
2021 stil bado hit