Mabarikiwe vijana KKKT mm n msabato ila napenda sana mnavoimba yan dah Mungu azidi kuwainua sana hii ndo kwaya sasa❤❤ who's watching untill now 6/9/2024
quality singing, quality video and I love the Lutheran/Seventh Day Adventist merger style of singing. All in all the praises belong to God almighty. Much love from Nairobi.
Sauti na ujumbe ni sawa. Lakini kumbukeni Lusifa alikuwa na sauti na jumbe sawa lakini akaongeza na tamaa ya kufanya atakavyo yeye kando na agizo ya Muumbai kuhusu mipaka inayostahili kwa wote wanaomwabudu ndipo akakosa makao mbinguni mnaotamani kuufikia. Nawaomba ndugu zangu mkitamani huo mbinguni kwa kweli na jumble wa Yesu kisitatizwe, jichunguzeni tena, mwuambatanishe maisha yenu na maandiko ya bwana kuhusu mavazi na matendo yenu. naomba musome kwamakini maandishi haya: Mwanzo 35:3-5, Isaiah 45:9- Isaiah 3:16-4:2 1Peter 3:3,4 1Timotheo 2:9,10, Ufunuo 21:8 kwa moyo ya kutamani Mungu aongoze!
Nyieee jamani , SDA Tune, but ni sawa, Yesu ainuliwe milele...
Mabarikiwe vijana KKKT mm n msabato ila napenda sana mnavoimba yan dah Mungu azidi kuwainua sana hii ndo kwaya sasa❤❤ who's watching untill now 6/9/2024
Ujumbe mzuri...Mbarikiwe
Amina kila mwenye punzi na amsifu BWANA Mungu awabariki sana .
BMT FUNDI CONGRATULATIONS
Hakika nabarikiwa na kila mfanyalo ktk kusifu na kumuimbia Mungu wetu
Hungereni kwa ujumbe mzuri
MUNGU awabariki na ndoto yenu ikatimie kama mnavyo tarajia
Mingi Awabariki katika Kristof yesu
Nawapenda adi nimepitiliza
Mbarikiwe watumishi wa Mungu Kwa uimbaji mzuri
Mungu aendelee kuwatunza ninabarikiwa na uimbaji wenu hakika
Nabarikiwa nikiwa kongo
Wow! Asante sana.
Asante Sana. Endelea kubarikiwa
My best song jamn na ule wa kipofu Mungu awabarikie sana
Amen mungu apewe.sifa
Ameen
Siwez kuacha kusikiliza nyimbo zenu. Nabarikiwa sana
Hakika mbinguni kutakuwa ni Raha milele na kifo hakitakuweko tens
Mungu ni mwema...
Awesome voices...Mungu awabariki
Bwana awabariki na kukulinda.
Nawapendaa mno jamn,,,,Mungu aendelee kuwainua
Ameen Ameen ubarikiwe sana
@@elct-kekolutheranyouthchoi9828 amen
I love this...the voices, the lyrics, the calmness...you are Similar to SDA choirs and it's awesome..Mungu awabariki
Amen! And Amen! Haleluya acha tumsifu Bwana! Mzidi kubarikiwa watoto wa Yesu!
Amina barikiwa sanaa.
Mungu awabariki mnanifariji sana
You guys are a Blessing.
Ameni barikiwa Sana
Nawapenda jamani nilikuwepo toka amjawa na kanisa jipya jamani. Now mmehamia kanisa jipya nawajua wote nawapenda wote
quality singing, quality video and I love the Lutheran/Seventh Day Adventist merger style of singing. All in all the praises belong to God almighty. Much love from Nairobi.
Ameen! we love you too.
Ameeeeen!!🙏🙏
Barikiwen
Your choir trainer/teacher must have been/been an S. D. A. I looove your songs.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙇🙇🙇🙇
Mungu awabariki sana..kazi yenu ni njema
Wonderful
Aleluja
Sauti na ujumbe ni sawa. Lakini kumbukeni Lusifa alikuwa na sauti na jumbe sawa lakini akaongeza na tamaa ya kufanya atakavyo yeye kando na agizo ya Muumbai kuhusu mipaka inayostahili kwa wote wanaomwabudu ndipo akakosa makao mbinguni mnaotamani kuufikia. Nawaomba ndugu zangu mkitamani huo mbinguni kwa kweli na jumble wa Yesu kisitatizwe, jichunguzeni tena, mwuambatanishe maisha yenu na maandiko ya bwana kuhusu mavazi na matendo yenu. naomba musome kwamakini maandishi haya: Mwanzo 35:3-5, Isaiah 45:9- Isaiah 3:16-4:2 1Peter 3:3,4 1Timotheo 2:9,10, Ufunuo 21:8 kwa moyo ya kutamani Mungu aongoze!
Brother you're looking for what God himself is not interested in. Let God be the judge, enjoy the good music and the message.
Blessed.
This one is so nice they like SDA songs , that's why they copy their songs
Nahitaji CD
Hello tafadhali nipe namba zenyu nataka kuwaalika Kenya makambi.Kindly consider
Amina
Amen
The Lord is doing a new thing !
Ameeen
Amiiina ssaana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina sana😁
Waooooooo
Amen 🙏
Amen