MANGE KIMAMBI amshambulia Mama DANGOTE kisa HAMISA MOBETTO "ZARI anamuogopa wewe umekua mpole sana"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 414

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 4 роки тому +14

    Asante Mange... mwenye Asiejiheshimu hawezi kuheshimiwa!! umempa doz kali kweli kabisa..alafu nimependa hiyo dance yako!

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 4 роки тому +95

    Tulio busy na show ya mange tujuane😍😍😍

  • @khadijaoman4085
    @khadijaoman4085 4 роки тому +3

    Mamama wa mastaa wote wametulia ila huyu mchawi mshamba huyu anapaa bila kujijua haya sasa puu kaangukia police akijiona haongelewi anamtaja taja hamisa ili atajwe tajwe na yy kijitu kizima ovyo kushindana na watt mitandaoni chefu kabisa jitu zima lisilojieshimu linatakiwa lirudishwe uttni ili lifunzwe adabu kwanza wote huu ni ushamba wa kuvamia umaarufu kwa pupa wengine sio fani zenu jamani nendeni shamba mkalime msiwarudishe nyuma watu na nyota zao love u hamisa❤👌

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +14

    Khasante sana *MANGE KIMAMBI* umenikosha sana, 😘😍
    *Mama dangote kachangia bwana na Hamisa* ndio maana anaonyesha chuki ila yatamshinda mtu mzima 😏😏😏😏😏

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 4 роки тому +2

    Mange umeongea UKWELI KABISA 💯👍💓💓

  • @zashamloli1233
    @zashamloli1233 4 роки тому +4

    piga kelele kwa zari simbaaaaa # team zar tusipite bila kelele

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +20

    Kwani mama dangote ndio Ana rizki za hamisa

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 роки тому +34

    If people don't want to forgive you, live her and continue with your life, what can you do? Because this woman is bad for you, you can't change the past Hamisa wangu

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni 4 роки тому +1

      @Zeinab Farah I agree with what you say Hamisa needs to move on from this family because they are not good for her she will be more successful without this family

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 4 роки тому +2

    Mange you are very right hamisa bora mondi anakupendacwengine wasikukere.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 роки тому +15

    Kweli mange teteya mutazania mweziye ❤️❤️❤️❤️🇫🇮🇫🇮🇫🇮🔥🔥🔥👌👌

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 4 роки тому +1

    Mange ndio maana nakukubali🇰🇪🇰🇪

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 4 роки тому +18

    Mange umejua kumpa doz bi mkubwa big up mangee💪

  • @alikassim9191
    @alikassim9191 4 роки тому +14

    Ni kweli kabsaa mama ndio kila kitu kwa Diamondi Platnumz

  • @AaAa-qg1pc
    @AaAa-qg1pc 4 роки тому +31

    Mie mwenyewe nimeumia sana hamisa kwenda kuongea pale asingeenda au asingeongelea hayo maana kama wanaelewana na dai wanalea mtoto basi inatosha

    • @janatahmad7048
      @janatahmad7048 4 роки тому +1

      wanawake wa simba chenye kinawaribu ni mdomo tuu

    • @subiraboi9397
      @subiraboi9397 4 роки тому +3

      Ati mm nlimlea wangu bila bba nkansomesha nkamuozesha bila bba na sai ashapata kazi mbona hamisa yuwanitia baridi mwili wangu n itumie njia gani nikuelimishe kuhusu hili

    • @cestlaviecestlavie4073
      @cestlaviecestlavie4073 4 роки тому

      Aa Aa • , kwanza ujuwe ameongelea ndani studio WCB kwa ruhsa ya Mondi, na ye Mondi alikuwa anajuwa kitambo yatakayo ongelewa, kinacho muumiza bibi Sandra ni watu kujuwa ukweli, tukiambiwa Hamisa kamuharibia zari sivyooo 🙄, Hamisa alikuwepo na Mondi kitambo kabla hata ya Wema, bibi Sandra alitaka Hamisa afichwe, halafu wapate kumpora mali yote zari, kumbe zari alikuwa ameisha wagunduwa na ndilo hilo chuki la bibi Sandra kwa Hamisa, kwani wafkiri wanampenda zari ? never ! walikuwa wanataka kumuibia mali zake zote, na zari kapita anawaepuka mapema, ila chaguo la Mondi ni Hamisa, na chochote Hamisa ahitaji kwa Mondi apewa, ila bibi Sandra tu ndo anambania Hamisa 🙏😏...

    • @dotomohd9156
      @dotomohd9156 4 роки тому +1

      Anakiranga huyu Dada

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 4 роки тому

      Acha aseme tu, Mama ni shida yule

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 роки тому +2

    Very true mange nakubali mamy wangu😍

  • @amukoamercy1172
    @amukoamercy1172 4 роки тому +1

    Mange ana hekima sana, kudos

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 роки тому +17

    Yaani mange ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥

  • @kiniyabh8646
    @kiniyabh8646 4 роки тому +16

    Diamond angepata mwanamke kama Akothe au Gigy basi mama Dangote angenyoooka sawa sawa 😄🚵

  • @leilamdoe9178
    @leilamdoe9178 4 роки тому +2

    Namkubali sana mange

  • @thuwaibaabdallah6880
    @thuwaibaabdallah6880 4 роки тому

    Nahisi kama ww ungekuwa mkewe bas angeisoma namba kiukweli maana sio kwa kwa kucheza huko kuwa wakati nakukubali sana tu ila kuna wakati unavuruga vibaya sana asante mangi kimambi 😘

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 4 роки тому

    Cyo MOLA tulia na maisha yako mdogo wangu ✌️ pole Sana

  • @munam7104
    @munam7104 4 роки тому +1

    Kweli hamisa ilobaki lea mtoto wako fanya kazi zako hidunia ni mapito tu hakuna mkubwa hii dunia ispokua mungu tu na malipo ni haha duniani akhera ni hesabu think about it hamisa God loves you mungu hachuki mtu bwana

    • @janemusa9529
      @janemusa9529 4 роки тому

      Kwani wanaume wameisha Tanzania?? Lazima tu Dee

  • @umibana6759
    @umibana6759 4 роки тому +1

    Mange uko wright 💯🥰 huyu mwanamke mbaya kama sijui kitu gani!Anaringia mtt wake huyo 1, sijui ana muonaje huyo Dai wake! Ila ni maskiini akipata malizia..... pumbavu zake

  • @messaabbas8346
    @messaabbas8346 4 роки тому +26

    Aisee mange 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣but she’s absolutely right 😂😂😂😂😂mother she is very different with other mothers ,,,god 🙆🏼‍♀️

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 4 роки тому +16

    mange nakupenda bureee😂😂

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 роки тому +22

    mange kumbe wajuw kuchez lkn inabid mtu asisoge karibu man wawez mpig Kofi

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 роки тому +1

    Mange leo nimekupenda sana,tatizo yule mama kashazoea kutembea na watoto wadogo,kina omi dimpoz wamesha mgalagaza,ndio mana anawaonea wivu wakwe zake

  • @lucianawakio1032
    @lucianawakio1032 4 роки тому +6

    I wish Mange ndio angekua mama Dilan.ukoo huo ungeipatapata

  • @princesbimkhamis6446
    @princesbimkhamis6446 4 роки тому +5

    Hongera mange

  • @pendomgandi1016
    @pendomgandi1016 4 роки тому +14

    Ndomaana nampendaga mange kimambi 😂 😂 😂 haogopagi mtu yeyote hata uwe president 😂 😂 😂 huyu huongea FACTs alwayz

  • @dggxxxxfgff3876
    @dggxxxxfgff3876 4 роки тому +3

    Hajamushauri vibaya kwasababa uyo mama hajieshim

  • @mariyammaria3366
    @mariyammaria3366 4 роки тому

    Nampenda hamisa bt asilazimishe jujipendekeza sana na iyo familia au kwa dai ajikubali kama mama na asimame kama venye tanasha amejisimamia kuwa ng’ang’ari kumlea mwanae juu alisema awezilazimisha child support juu hawezi shindwa kumlea mwae so hamisa just be lyk madam hero venye unajiita ama tumpe tanasha huo umadam hero juu ako ng’ang’ri an anastahili

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 4 роки тому +1

    Mange ako sawa tu waambie dadangu

  • @mamajd269
    @mamajd269 4 роки тому +3

    Kweli kabisa , next Time Hamisa mbingirishe uyo Mama tu maana ajiheshimu na hana hekima 😂😂

  • @khadijashaban3218
    @khadijashaban3218 4 роки тому +1

    Mange wacheza ngoma gan

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому +7

    Nakupenda bure mange😁😁😁😁😁

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 4 роки тому +14

    🤣🤣🤣🤣 nimecheka Mange bwana ushauri wake ila jinsi nnavyompenda Hamisa halafu huyu bibi anachonga sana duh!! Achana nao wanini bibi kama huyu khaaa

  • @OmanOman-fu8xy
    @OmanOman-fu8xy 4 роки тому +8

    Ni kweli jamani 💪💪🤣🤣👏

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 2 роки тому

    Pole hamisa kwa kukutana na mama mkwe kama huyo wapo wengi wa aina hiyo mtaani sema hawajulikani kwa kuwa sio mastaa fanya kupotezea uishi kwa amani waache wao sio watoa ridhik

  • @cestlaviecestlavie4073
    @cestlaviecestlavie4073 4 роки тому +1

    Mange asante umeongea ukweli 👌

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 роки тому +1

    Kweli kabisa mangi👌

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +1

    Uyo ndio mange kimavi bhna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 роки тому +1

    Mange you right ✅ Dylan ni wako ila Mungu asitupe mama km huyu Yarabi 😔😌

  • @salisali174
    @salisali174 4 роки тому +15

    Mimi namlaumu Dai kukubali haya yote yamtokeye mwanae, haya DNA imesha towa majibu, maskini daylan jamani😭

    • @aseelaisaa428
      @aseelaisaa428 4 роки тому +2

      Masikini mtoto akikukua na kujua yalotokea very sad. Kwa kweli inasikitisha sanaaaaa.

    • @salisali174
      @salisali174 4 роки тому

      @@aseelaisaa428 hivi Dai hakujifunza kitu kutokana na maisha yake na baba yake, Mungu atufanyie nini kweli ili tubadilike jamani?

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 4 роки тому +1

      Hamisa achana na huyo mama.mladi dai anajua umuhimu wako inatosha.ongea na bwana mkalia kiti.achana na kuku wapekua chini

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 2 роки тому

      Kama kamkataaa baba yake akapewa baba mwengine mama nu mtihani walaj

  • @nurukwilabya2790
    @nurukwilabya2790 4 роки тому +6

    Yaaaan Hamisa anazidi kuponzwa na Rafiki yako Mange

    • @sifajoseph7847
      @sifajoseph7847 4 роки тому +1

      Wamama kama hawa hawatakiwi kuwepo maana nikerokubwa sana hawapendiki hawabebeki

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому +24

    It's true hamisa weka heshima na upole kando kuhusu hii familia,they don't deserve respect hata huyo diamond, they give you war give them war too,they talk shit talk shit too watakuogopa,ona zari hawaogopangi, ona tanasha she don't entertain them ila ww umefanywa duster.You are hardworking lady huyo Dylan unaeza mlea mwenyewe.....Mange anavyocheza tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @magrethmkira6250
      @magrethmkira6250 4 роки тому

      Mm pia huko kucheza kwa mange

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому

      Kucheza kumenizubaisha, hamisa lakini aliulizwa kwa kuhojiwa na akaongea kitu kilivyo

    • @ikrammahonda4566
      @ikrammahonda4566 4 роки тому +1

      Hamisa awez kupambana kama zari cos nimdogo anaona aibu kumbambia yule mama zari yy nimkubwa anataka kukalibiana umri ndy mana anawakimbiza

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому

      @@ikrammahonda4566 hata mie siwezi kuteta au kushidana na mtu ambae hazuilii rizki zangu kabisa kwanza nikujishusha na kujitowa thamani, uyo mama dangote hajajielewa kama mzazi kwani mzazi anasamehe hata chizi njiani

    • @aminasuleiman6402
      @aminasuleiman6402 4 роки тому

      😂😂😂

  • @deriodubose4199
    @deriodubose4199 4 роки тому +14

    Ukweli kabisa mangi unaakiri sana.

  • @zainazaina9301
    @zainazaina9301 4 роки тому

    Mange nakupenda sana nacheza yako dada mkorofi kwenye uchezaji🤣🤣🤣🤣🤣 unastua kijoti

  • @elinamanongi965
    @elinamanongi965 4 роки тому +5

    Inabidi mama dangote afanyiwe Dna kama kweli ni mama wa Diamond

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 4 роки тому +20

    Huyo mama Diamond Mshenzi Watabia mtumzima hovyo😏

    • @malongosalim6826
      @malongosalim6826 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 4 роки тому

      Kabisa nimemuona gigimane nyumba alohamia alimuamsha tibwili kwamjumbe wake wamtaa Wii bibi kizee huyu angejinyea ila hayupo vizuri huyu mama hata mimi ningemfumua tukagawana majumba ya selekali

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 4 роки тому

      Jamani shoo kubwa kwa dada wa tz

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 4 роки тому

      Huyu mama sibule huyu anakilanga

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 4 роки тому

      Mange mbona km upo na yondo sista

  • @marymollel9319
    @marymollel9319 4 роки тому +2

    Mama mtu mzm hajitambui. mzzzzwww .kasuuzwa km bakuli 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 роки тому +4

    mimi nina sura mbaya lakini mange kimambi ni LEGENDARY kaah kama vile sio dem kime kaukaaa na kupaukaa kukomaa ndo usiseme

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 4 роки тому +2

      Miguu sasa na mapaja kama kuju wa kideri

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 роки тому

      @@azizayassin3623 daah dem ni mbovu sana huyo kimambi🤣🤣

    • @nenenelly7619
      @nenenelly7619 4 роки тому

      🤣😂😂😂😂😂

  • @louangesid
    @louangesid 4 роки тому +11

    Ndio anamuogopa zari😔

  • @mamyneytariq8458
    @mamyneytariq8458 4 роки тому +7

    Kweli kabisa

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha2048 4 роки тому

    Hamisa fata mambo yako jaman. Usijibembeleze sana kwa mama dangote jaman. Pumzi anatoa Mungu.

  • @tatiya6883
    @tatiya6883 4 роки тому

    Mange ndomana nakupenda bure🔥👌👌❤❤❤❤💃💃💃💃Mama dangote ni Dada aake shetani

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 4 роки тому

    Hamisa afanye maisha yak kwan nilazi aongee NA bi sadra jaman

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 4 роки тому +4

    🤣😂NIkweli amuchambetu nayeye acha kukakimya 🙌ndomana na mpendasana mange 👌🏾❤

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina9987 4 роки тому

    Roundup tunaitaji muongeleye ichi kitu pleaseeee🙏 siku nyingi roundup

  • @kelvintembo734
    @kelvintembo734 4 роки тому +3

    Daaaaah kabisa amemujibu 😂😂😂🤔

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 4 роки тому +3

    Cku zote ukimpenda sana mwanaume zaidi ya anavyokupenda ndo inavyokuwa, mapenzi alionayo kwa Dia ndo yanamfanya anyanyasike

  • @timamohammedtimz9549
    @timamohammedtimz9549 4 роки тому +16

    Gigy ni kiboko

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 4 роки тому +3

    Maman dangote akifa atayenda wapi jamani?????fanya uokoke ujuwe yesu na utubu dhambi samahani kama ntakuwa nakoseya 🙈🙉🙊🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 4 роки тому +2

    Mange umeongea point maana uyo mama hajieshimu hata kidogo kushindana na wakwe ndo nini anajikuta msichana wakati ni mbibi dunia tunapita kama mali hatuendi nazo zisituhadae

  • @shillahmahiri855
    @shillahmahiri855 4 роки тому +8

    Mange ww ni kiboko wa Insta 🤣🤣🤣

  • @ashamohamed857
    @ashamohamed857 4 роки тому +1

    AHSANTE SAMA MANGE KWA KUONGEA HAYO MANENO MAMA MWANGA HUYO

  • @malongosalim6826
    @malongosalim6826 4 роки тому

    Muachie mungu Hamisa ndie akimu

  • @husnamanase3943
    @husnamanase3943 3 роки тому

    Mange uko juu huyu mama hayupo kimamia yuko kiukewenza

  • @mankajohn8582
    @mankajohn8582 4 роки тому +4

    Lazima amuope Zari anajua atampostia zile picha za zamani

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 4 роки тому

    Ka Mange kana akili nyingi sana nimecheka sana, hao wanagombana sababu wote washirikina

  • @giftgasper6501
    @giftgasper6501 4 роки тому +5

    Amisa nae kakosea kwani angeliruka ilo swali la mama angekufa siyow lazima mambo ya familia kuweka kwa Public hivyo.

  • @Anasa-m2q
    @Anasa-m2q Рік тому

    Mimi sijasikiliza alicho akiongea mange nikiangalia video tu ya mange😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 роки тому

    Apo kweny ku mupiga sio vizuri bila Mama atungemujuwa Mond sijuw anacheza muzik gani Mange😂😂😂

  • @fbr5113
    @fbr5113 4 роки тому

    HUYO HAMISA KAMUANZA MWENYEWE MAMA WA WATU WAKATI ALIKUWA ZAKE KIMYA. MAMA MONDI KIMEMUUMA SANA HAMISA ALIPOLAZIMISHA PENZI LA UHARIBIFU. KWAHIYO SASA HAMISA ANALIPA GHARAMA YA KUHARIBU MAHUSIANO YA ZARI NA MONDI HUKU AKIJUA WANA WATOTO NA BADO WALIKUWA PAMOJA.

  • @victorialucas9094
    @victorialucas9094 4 роки тому +4

    Sasa huyu mama kila mkwe hampendi ana matatizo gn

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 4 роки тому +8

    mange amewongea ukweri👌👌👌

  • @hamisikibula9694
    @hamisikibula9694 4 роки тому +10

    Huyo hamisa naye kazid Bila Mondi haishi au
    Wacha atukanwe mbweha huyo
    Wanaume kibao kila cku kujipeleka tu kujizalilisha mara oh nimezaa naye siwez kukaa mbali wangap wamezaa naye wamekaa chonjo
    Au yye uliona akiwa fata
    Ngoja uzalilike SSA danga tu😠😠

    • @ashabakari1448
      @ashabakari1448 4 роки тому

      Yaan huyu hamisa angekua mwanangu ningemchapa unang'ang'ania mond wa nn mbweha ww c ulee mtoto wako mwenyew

  • @faithjoseph6641
    @faithjoseph6641 4 роки тому

    Tunapiga mama mkwe wenye viherehere,visebengo na wenye roho mbaya kama Mama dangote kwa bei nafuu na mikoan tunakuja😂😂😂

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 4 роки тому +3

    Mange forever 👍💪

  • @alwattanchinga
    @alwattanchinga 4 роки тому +5

    Diamond yuapoteza hii story kwa kugawa pesa huko 😂😂😂😂😂,jamani family ina vituko hii,shetani uyo yatalawa

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 роки тому

    Ila hiyo picha ya mange hapo anacheza kwa raha zake inanichekesha jamani😆😆😆😆😁😁😁😁😂😂😂😘

  • @winniealbert5530
    @winniealbert5530 4 роки тому +4

    This old women, how you call Mamma Diamond 😱😱😱.
    Unaweka AIBU kubwa sana wewe 🙈😳.
    Wacha watoto D na H.
    They Love each OTHER.

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 4 роки тому +1

    Nam unga mkono Mange

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому

    Mange ameongea point

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha2048 4 роки тому

    Ila show ya mange imenitoa mbavu 😆😆🙆🙆

  • @ashurashuraym3497
    @ashurashuraym3497 4 роки тому +1

    Njoeniii👌

  • @roselineawinja6604
    @roselineawinja6604 4 роки тому +3

    Ukweli kabisa,hio familia usipokodoa macho watakuzoea

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 4 роки тому +1

      Hadi alichapwa ka mtoto na amenyamaza,ningeamka nayeye hadi alazwe hospitali

  • @sahalexcha3036
    @sahalexcha3036 4 роки тому +4

    Huyu mama dangote nisema tu hana akil yeye kama mtu mzma alitakiwa kutulia na kufrahia matunda ya mwanae anajifanya kijana san kisa pesa pesa ni pesa tu anajua umry wake ni kitu kikubwa sana Diamond tunakupenda ila mwambie mama yako kuongea sio kuyamaliza ivo

  • @jasmineshechambo3401
    @jasmineshechambo3401 4 роки тому

    Hamisa mama unataka kutuweka kwenye fungu gan ss mashabak wako yan kwann unapenda kuingelea hii famly achan na hicho kibibi kishangingi misa mama ww nimchapa kaz tena sana unaijua sana pesa na unatafuta pesa yako kwa jasho lako mwenyewe kwahiyo achana na kile kibibi kabsa ukiulizwa kuhusu famly ya mond kataa kabsa kujibu jmn kwan ukikataa kujibu watakukata mdomo au jmn yan umeniuz sana kwakwel 😭

  • @dorisjessy5960
    @dorisjessy5960 4 роки тому

    Mama dangote sio mshauri mzuri kwa mwanae

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 роки тому

    🤣🤣🤣 Chriz ndo nini kutuwekea show ya Mange jamani 😂😂 yani unajikuta simulizi imeisha bila kujua huku unamkodolea tu Mange

  • @sichanaali2306
    @sichanaali2306 4 роки тому +2

    Mmmmmmh! mama mbaya huyuuuuu hakumsameh baba dai alozaa nae ajemsameh hamisa

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 4 роки тому +1

    Sina timu ila mama diamond si umfukuze oncle shante uowane na mtoto wako diamond nyooh 👹🔥

    • @elit3_furor517
      @elit3_furor517 4 роки тому

      Mange uko sahihi ndomana nakukubali wangu nitaweka insta

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 4 роки тому +1

    She said all for sure ☝️☝️☝️☝️☝️☝️

  • @nancyshikoto158
    @nancyshikoto158 4 роки тому

    For the first time dear kimambi umesema ukweli

  • @diyaosman6268
    @diyaosman6268 4 роки тому +1

    Mangi ❤

  • @pazipazi1252
    @pazipazi1252 4 роки тому +1

    Jamani kwani lazima kumshobokea achana nae

  • @dinahandi7027
    @dinahandi7027 4 роки тому

    Huyo mama Dangote stafanya mwanae Dai akose make walai

  • @jefenggg3442
    @jefenggg3442 4 роки тому

    Nikweli kabisa, hata mm nampenda sana hamissa, lakini sasa kanavyojipendekeza kweiyo family katasababisha nikacukiy.

  • @barackhuncho2432
    @barackhuncho2432 4 роки тому

    Oooh...oooooh....oooh