Tazama Historia ya Sister Huyu, Inasikitisha na Kufurahisha, Mungu Amjalie katika Utume Wake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 25

  • @paulinagwandu5104
    @paulinagwandu5104 3 роки тому +3

    Ubarikiwe 🙏sana udumu ktk utume wako ufikishe miaka 💯 MARIA mama mwombezi wetu utuombee

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 роки тому +2

    Hongera sana Sr kwa wito huo Mtakatifu. Nimependa sana historia yako na mtiririko wako mzuri wa mawazo

  • @sabinakarera4576
    @sabinakarera4576 3 роки тому +2

    Asante, sana sr lily kwa zawadi ya wito wako ndani ya karmeli. Hongera sana kwa ushuhuda .

  • @dayneslyimo7100
    @dayneslyimo7100 2 роки тому +1

    Mungu akubariki Sana,Udumu Mama yetu msaada wadaima a akulinde ktk amani ya Yesu kristo

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 3 роки тому +2

    Mungu akubariki sn kwa kuamua kumtumikia Mungu, hongera sn

  • @user-cq4jo4kv9z
    @user-cq4jo4kv9z 3 роки тому +1

    AMA kweli Mungu ana nguvu ya ajabu. Hongera sana Sr. Utukufu ni kwa Mungu.🙏

  • @annaantoni133
    @annaantoni133 3 роки тому +2

    Asante Sana jugo media.....Mungu na awabariki

  • @sabinakarera4576
    @sabinakarera4576 3 роки тому +3

    Mungu aendelee kukubariki.

  • @severimkatomutegeki6930
    @severimkatomutegeki6930 9 місяців тому

    Hongera na udumu katika wito wako.

  • @angolina1768
    @angolina1768 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana sister 🙏

  • @gaspermrosso4060
    @gaspermrosso4060 2 роки тому +1

    Hongera sir

  • @robistermwansepele5456
    @robistermwansepele5456 3 роки тому +1

    Mungu akubariki sisters uzidi kutumia yeye

  • @kamukamasylvia9640
    @kamukamasylvia9640 3 роки тому +1

    Acheni Mungu aitwe Mungu.

  • @danstaninyasimassawe4542
    @danstaninyasimassawe4542 3 роки тому +1

    Hongera sister

  • @mlasinyongolo3256
    @mlasinyongolo3256 3 роки тому +3

    Mungu azidi kukubariki Sister

  • @paulinagwandu5104
    @paulinagwandu5104 3 роки тому +1

    Amina 🌹

  • @annaantoni133
    @annaantoni133 3 роки тому +2

    Waoooo sister liliani .....nakupenda Sana unaiishi Imani yako.....your ma royal model nakupenda sana

    • @magdalenandazi7897
      @magdalenandazi7897 2 роки тому

      Nakumbuka 1966 tuliluwa tunasali kwenye jengo la ofisi ya wilaya madhehebu yote ya Kikristu.

  • @dominicsomola402
    @dominicsomola402 3 роки тому +1

    Hee dada Lily! Nimefurahi kukusikia...

    • @annaantoni133
      @annaantoni133 3 роки тому

      Waooooo....kristo

    • @remymboya8834
      @remymboya8834 3 роки тому

      @@annaantoni133 sister amunigusa sana.ana historia nzur sana ya kiiman.Mungu azid kumbariki .hakika amekua tunda bora la kanisa.

    • @annaantoni133
      @annaantoni133 3 роки тому

      @@remymboya8834 amen ni kweli sifa na utukufu tumrudishie Mungu wetu

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 3 роки тому

    Sr.naomba no.yako.

  • @usenimuhamed2595
    @usenimuhamed2595 2 роки тому

    MVUMI COMED