#Live
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV
Napenda sana unavio tumiwa na MUNGU
Unanibariki kabisa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na mi pia
Mungu akubariki sana mtumishi na azidi kukutumia ili tuzidi kusogea mbele za Mungu
Thanks for this powerful words, acha Mungu akulnde na akuwezeshe uafkie wengi. Barikiwa sana
😂😂 Umenichesha sana Pastor Amieli na ushuhuda wa Zanzibar 😂. Barikiwa sana Pastor Amieli Mungu Aendelee kukutunza kwa Jina La Yesu. Barikiweni Sana wana Promover. Love you guys
Nimeteseka vya kutosha enough is enough nifike mwisho
Tangu nijue huyu mchunganji sijawahi juta kumfuata Mungu amjalie miaka mingi atufungue
Kila ninachofanya kinakataliwa ubaya wote nasukumiwa hakika YESU ni mwema tuombeane wapendwa
Mtumishi ni kwel kbs
Dalili zote jamani nimeombewa mpaka bac. Nashukuru huduma hii 🙏🏾
Napendaga sana ukicheka
Thank you for this life changing message and prayer.
Mtu wa mungu,naomba niombe nimenywele nywele kwenye kichwa upande wa kulia na tumbo linaniuma naitwa neema shendu nisaidie mchungaji katekella
hakika ni YESU pekee 💯
Uko vizuri
Mchungaji naomba namba ya simu
Amen Amen Amen
Amen amen
Amen
Bwana YESU asifiwe mch naomba kuongea ww
Vile nilisikia story zahizo machimbo sioni kama mtu alie okoka anaweza fanya hio kazi
Na ukinyolewa nywele ukiwa umelala?
Angalia clip yake inayosema live na Mchungaji Katekela maswali na majibu. Hapo pana jibu la kunywelewa nyota.
Mwenga nyenu mfira kizi ukaya kwetu ayu.
Una maana gani?
Amen Amen Amen 🙏 🙌
Amen Amen Amen Amen Amen 🙌🙌🙌🙌🙌
Amen Amen