ISHUHUDIE DHAFA YA WAISLAMU WA IGUNGA YA KONDOA SEPT 6 2020

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @NurdinKea
    @NurdinKea 15 днів тому

    Hapa ni nyumbani kwetu igunga asante sana maustadhi wangu

  • @adnanisally5550
    @adnanisally5550 4 роки тому +1

    Mungu awalipe kila la kheir nyote mlio itikia wito huu na mka amka ungana nasi ktk kumuhuisha bwana mtume s a ww inshaallah mwakan kwa uwezo wake Allah akituweka itakuwa nzur zaidi ya hii mungu atuunge mkono ktk hil ktk kumuweka mtume ktk vifua vya watoto wetu
    Mungu awalipe kila la kheir wazazi wetu kwa kile walicho kitoa kwa akil ya mtume s a ww na awe mtume wetu ndy muombez wao na ss pia inshaallah

  • @NurdinKea
    @NurdinKea 15 днів тому

    Maashalah vijana wetu wako vizuri

  • @salmamaphitah5028
    @salmamaphitah5028 2 роки тому

    Mekumbuka mbali sana aiseee

  • @NurdinKea
    @NurdinKea 15 днів тому

    Shekh ibrahimu nimekuona

  • @lelasalum555
    @lelasalum555 4 роки тому +1

    Wallh wamenifurahisha san mashaalh wapiga nduf muibaji mashaalh wachezaji naitazam kila sik nikiwa omani mashaalh waislam kutok igungaa

    • @mahamuduramadhani6529
      @mahamuduramadhani6529 3 роки тому

      Mashalaah Mashalaah Mashalaah ustdhi

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 3 роки тому

      Katika dini hayapo mauchafu hayo,wamuogope Allah wataenda kuulizwa ktk uislam hakuna ngoma wala kucheza

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 3 роки тому

      Na iyo biti Kama ya nyimbo za kihindi za kuchkuchhotae mungu atupe mwisho mwema

  • @omarysaria3407
    @omarysaria3407 4 роки тому +3

    Mashaalah nzuri Sana kwa mazingira ya kijijini mungu atufanyie wepese ukoo wa mzee SARIA

    • @selebadi422
      @selebadi422 3 роки тому

      Shekh abduli azz ahsanteeeeee

  • @rahakesho5550
    @rahakesho5550 4 роки тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah nimefurahi kuwaona mashekhe zetu Mwalimu Rashidi Sheikh Kilili Ustadhi wangu Abasi na ustadhi Abdul . Imependeza Sana.

  • @fakihmohammed3923
    @fakihmohammed3923 4 роки тому

    Maa shaa allah hadi raha Jamani

  • @kusahkusah9411
    @kusahkusah9411 2 роки тому

    aswaliwe mtumeee

  • @asiaasia1409
    @asiaasia1409 4 роки тому

    Mashallah mashallah allah awazidishie kila la kher vijan wetu mkazan kusoma

  • @srboss1836
    @srboss1836 4 роки тому

    Maa shaa Allah jaman nimemic sana kwetu

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 3 роки тому

    Mashallah

  • @nyatya199
    @nyatya199 4 роки тому +3

    Haya mambo yanazidi kupotea kwa kasi saana masheikh kazaneni kutowa daawa yapotelee mbali kabisa na sunna zidhihiri

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 4 роки тому

      Aaamiyn

    • @omaryhunte5248
      @omaryhunte5248 3 роки тому

      Kumswalia mtume kupotee

    • @abdalajuma8163
      @abdalajuma8163 3 роки тому +1

      Hasanaly iyo suna unaetaka idhihiri ni ipi na unaona kabisa watu wanamswalia mtume, embu acheni mambo ya hao suruali fupi maana mkishafuga ndevu bas mwajifanya mnaelewa kumbe mnapotea

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 роки тому

    Mashaallah mashaallah

    • @naimajuma1708
      @naimajuma1708 3 роки тому

      Mshaallah enzi nko chuo wallah nkumbuka BA's raha wallah hakika

  • @aishahela1735
    @aishahela1735 4 роки тому

    Mashallah hii igunga ndio wapi

  • @حبماهرالمعيقلي
    @حبماهرالمعيقلي 4 роки тому

    haija noga saana ila allah atawalipa asema allah
    ومن يعمل مثقال ذرة خيرا يره

  • @rubabhussein2906
    @rubabhussein2906 4 роки тому

    Mashaallah

  • @allyramadhan8176
    @allyramadhan8176 3 роки тому

    Sorry naweza pata vip hiyo kaswida

  • @abrahamansungu6604
    @abrahamansungu6604 3 роки тому

    Mdi

  • @najmahasan9867
    @najmahasan9867 4 роки тому

    Masha allah

  • @ramahaji9342
    @ramahaji9342 4 роки тому

    Kijiji hiki kina waislam wachache balaa

  • @HalimaHuseni-z6p
    @HalimaHuseni-z6p 7 місяців тому

    Masha Allah

  • @latifachepa4435
    @latifachepa4435 3 роки тому

    Mashaallah

  • @dr.jjmwaka2596
    @dr.jjmwaka2596 5 місяців тому

    Mashaaallha