Daa majambazi hadi vijijin jaman nakumbuka mwaka 2003 walikuja majambazi kondoa nao hawakubahatika kutoka salama waliuliwa na wananchi wenye hasir wao walivamia duka la mtu tu walienda kama wateja kumbe majambazi hawa watu siku hizi hawajali wao ni kanyaga twende
Nakutakia maixha malefuh xana afande mulotoh na Nataman ungehamia tunduma Coz huku kuna ujambaz nje nje na ruxhwa NYing huku raia wakiuawa naomba uje upambane na huu uarifu na Ruxhwa na magendoh
sio jambo jema kufurahia mtu kuuawa na na mfu mtarajiwa lkn imelazimika kujua majambazi na Mara nyihgi wananchi wakiua jambazi ni kwa asilimia 98% ni majambazi
Ni wezi ndo maana wanainchi wamewenza kuwaua jambazi pangekuwa hapatoshi maana wanakuwaga na silaha kali wangepiga juu wanainchi wangekimbia labda polisi ndo chuma kwa chuma wanarushiana na km wamekufa mmejuaje wametokea moshi? Hongereni sana ila fuatilieni waliokimbia mkiwakamata tu ndo mtajua ukweli wametokea wapi
Hongera yenu polis kw kazi nzuri muloifanya👏👏👏
Umoja wetu mshikamano wetu umakini wetu tutazidi kuririnda taifa retu tukishirikiana na majeshi yetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nasi
Hongereni kwa kuokoa mali ndugu zetu na poleni pia,
jaman huyu afande nakupenda sana na anafanya kazi nzuri mbona...mungu ampe maisha marefu........
Kazi nzuri Sana police
Cooo
Jaman daaah mmmh vitu vingine sio lazima tuvifanye pamoja na yote Rip wahin😥
Mmejuaje wametokea kilimanjaro na sio singida au irina au morogoro.
Kamanda muroto ananichekeshaga sana anawapa wezi kipigo cha mbwa koko
Baba unafanya kazi vizuri mpaka najisikia vizuri mungu akulinde jmn
Xant
Daa majambazi hadi vijijin jaman nakumbuka mwaka 2003 walikuja majambazi kondoa nao hawakubahatika kutoka salama waliuliwa na wananchi wenye hasir wao walivamia duka la mtu tu walienda kama wateja kumbe majambazi hawa watu siku hizi hawajali wao ni kanyaga twende
Yaaan niko bwenini pahi nlkua naskia sauti za risasi tu aman abed karume
Nakutakia maixha malefuh xana afande mulotoh na Nataman ungehamia tunduma Coz huku kuna ujambaz nje nje na ruxhwa NYing huku raia wakiuawa naomba uje upambane na huu uarifu na Ruxhwa na magendoh
Mmejuaje ratiba zao zote wakati mmewaua na wengine bado hamjawapata,nani kajua wametoka Moshi na kupitia babati na Gari,
Intelijensia.
sio jambo jema kufurahia mtu kuuawa na na mfu mtarajiwa lkn imelazimika kujua majambazi na Mara nyihgi wananchi wakiua jambazi ni kwa asilimia 98% ni majambazi
Keep kuingia dodoma ni
rahisi kutoka no kazi Tena no majariwa
Pole class mate bwana awadhi
Dah! Awadhi jirani yang hapa moshi Pasua msasani.umewaacha watoto wadogo watataabika bila baba jamani.inalillah waina illah rajiuun
@@allymshana6646 pole yake sana watoto watatia huruma sana jaman mama watoto pole sana omba mungu akukuze wanao
Sio majambaz weiz tu hao jambaz anauliwa nawananch kakwambia nan
Wanashindwa kutambua jambazi na vibaka
Jambazi uwaambie hiyo sio kazi.
Daaah watu wanatamaa sn kwenda hd vijijin kuiba hapana chezea kwetu kinyasi juu funzo kwa wengine
Mazishi ya mbunge joni komba
Mazishi ya mbunge Joni komba
usisahau ku like page ya ujenzi wa kisasa zone.
facebook
facebook
facebook
afande mroto wew noma
Nipe like kama unaamini wanaodislike video awana elimu ya kutambua like nini na dislike nn twende sawa
sikuizi kuiba sio kazi kazi kumtoka uliomuibia
tarifa iriyotufikia rugemtahaba
Charles Makoko kweli
Nic
Ungewapata wakiwa hai wangepata tabu sana, wafanye kazi sio kushibisha matumbo tu kwa kuiba (kamanda Muruto)
Ni wezi ndo maana wanainchi wamewenza kuwaua jambazi pangekuwa hapatoshi maana wanakuwaga na silaha kali wangepiga juu wanainchi wangekimbia labda polisi ndo chuma kwa chuma wanarushiana na km wamekufa mmejuaje wametokea moshi? Hongereni sana ila fuatilieni waliokimbia mkiwakamata tu ndo mtajua ukweli wametokea wapi
Mkuu uwanakuelewasana upo vzuri na vjana wako
kaz nzuli dah ,,,msingewaua ndo ingekuwa nzuri mxhawahukumu alafu mnasema kaz nzuli
mwasapili charlie iyo ndiyodawa
Nasikitika kuuliwa wore angebaki mmoja asimulie tuwqjue wengi
Nyimbo za din
nyimbo zadin