Hali ya Kiuchumi kwa Mzee Yusuph Yabadilika Sana Kutokana na Dini.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
    100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 243

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 7 років тому

    Allah akuzidishie hidaya kwa vile umejihidi na ushauri wangu usiimbe kasida toka ktk makundi ya fisabililah na ushikamane na madarsa basi

  • @susankidakwa6626
    @susankidakwa6626 7 років тому +2

    maashallah I salute you man

  • @alfanmrutu5409
    @alfanmrutu5409 6 років тому +1

    mashallaah Broo mungu akupe ..subraa n akupe nguv kW Kila atuaa ....allaaah ajaaliaa 2...inaallaaa maswabilinaaaaa...

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 років тому

    hongera Sana umejitambua u hai na ALLAH atakuongoza utazoea maisha mazuri haya

  • @zulfasalum6211
    @zulfasalum6211 7 років тому +1

    mashaallah m.mungu akuzidishie

  • @saidikikwikwi2772
    @saidikikwikwi2772 7 років тому +1

    mungu akupe subira inshallah mungu umuongoza amtakae utafanikiwa tu mtawakali Allah

  • @saidgawawa5742
    @saidgawawa5742 6 років тому

    MashaAllah ...Mungu akupe baraka zaidi na hekma mzee yusuf.Wallahy yataka moyo ulilolifanya kwa ajili ya Allah..najua c rahisi kwa wasanii wengi kuamua hvo ulivoamua kuacha mziki na kufanya ibada.Jazaa yako kwa Allah usivunjike moyo ndugi yangu...dunia mapito.

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 років тому +1

    Am happy for that no matter what mzee yusuf big up

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 років тому

    Allah atakuhifadhi mzee yusu atakupa afya na rizki booora nzuri na safi yenye barka kuliko ile, aaamin.

  • @princeesssalma9622
    @princeesssalma9622 7 років тому +2

    mashallah mungu mkubwa hakuna zaidi ya Allah

  • @ramadhansalum9797
    @ramadhansalum9797 7 років тому +1

    Mungu akupe maisha marefu.

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 7 років тому

    MaashaAllah yusuph Allah atakupa iliyoriziki yako ya khalali

  • @alishaffi7715
    @alishaffi7715 7 років тому +1

    Amin inshaallah

  • @leilamehbub948
    @leilamehbub948 4 роки тому

    Miaka mingapi Allah amekupa neema Sasa acha bro Kama ni Anasheed mashAllah sawa saidia dini Awareness to our youths bila bendi na instrument siunajua sio vyema uliza mashehe vizuri Kisha utajua

  • @ahmedmwadin6104
    @ahmedmwadin6104 7 років тому

    mwenyzii mungu atakufanyia wepesi inshaallh

  • @lutfiakapotea284
    @lutfiakapotea284 7 років тому +2

    m. mungu atakupa wepesi inshallah

    • @shahafikili144
      @shahafikili144 7 років тому +1

      kiukweli unaitajika Subila utapatatuu mungu amtupi mjawake

  • @husseinshatir6969
    @husseinshatir6969 7 років тому +2

    barakallahu fik mini pia nilikuwa mwanamźiki na napenda Sana mziki Lakin alhamdulillah nimeacha kwa ajili ya dini yang muziki ni haramu na allah Ndio mpaji allah AKBAR !!

  • @ramsonlume7787
    @ramsonlume7787 7 років тому +2

    Inshallah

  • @islammwatoa2990
    @islammwatoa2990 7 років тому +1

    mashaalah

  • @vradmirlenin8290
    @vradmirlenin8290 6 років тому

    Ungeimba nyimbo za kumsifu mungu(kaswida) kwani mungu kakupa hicho kipaji ambaye kamnyima mwingine

  • @jumaamzee2041
    @jumaamzee2041 7 років тому +6

    good

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому

    sawa

  • @valeliahande5692
    @valeliahande5692 6 років тому

    we mzee yusuphu yani umekaaa eti mungu ataleta eeeeee mhmhhh haya

  • @abbamagambo8928
    @abbamagambo8928 7 років тому

    nice mze

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 7 років тому

    uamzii mzii

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 7 років тому +2

    Jakaze kaka....Jikaze!

  • @moddylavichunare3376
    @moddylavichunare3376 7 років тому +2

    #Mashaallah

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 2 роки тому

    Mzee yamemshinda

  • @halimaekuwamhussein633
    @halimaekuwamhussein633 7 років тому

    usijali yote utayapata kwa mungu

  • @godfreymwita1808
    @godfreymwita1808 7 років тому +1

    sasa hela za watu Veep?

  • @othumanmcharo9045
    @othumanmcharo9045 2 роки тому

    Mnafiki mkubwa huyo

  • @omymcatalunya2331
    @omymcatalunya2331 7 років тому +2

    Amin inshaallah

  • @lwijimsafiri6545
    @lwijimsafiri6545 7 років тому +1

    mwanzon sikuafiki kbsa kuacha kwake muziki lkn kwa sasa nime elewa Mungu akujaalie kila lenye kher na baraka. nimejifunza mengi kupitia wewe Mungu awe nawe na kukujaalia kila lenye kher

  • @shabanikhatibu897
    @shabanikhatibu897 7 років тому

    good

  • @neemajosephu6187
    @neemajosephu6187 7 років тому +49

    mungu akupe nguvu na kukupatia ridhiki katika maisha yako na kukusamehe makosa yako umenifundisha

  • @abasishabani2576
    @abasishabani2576 7 років тому +1

    mwenye amjaalie yusufu aweze kuilinda imani yake wala asiteteleke. na maisha !zahoro magera wa msimmba SUNUKA kigoma

  • @dodomikleni9299
    @dodomikleni9299 7 років тому +15

    mwenyezi Mungu akujaalie kipato cha halali na akuzidishie imani zaidi

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 7 років тому +17

    Mungu yuko pamoja na wenye kusubirri Mungu akupe subira inshallah

  • @kennymmari
    @kennymmari 7 років тому +2

    Allah ndo alikupa sauti ili uimbe taarab ujiingizie kipato ulee wake zako na watoto zako. Umempiga chini Allah na kipaji alokujalia, utaisoma namba aise

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 7 років тому +7

    wa LLAH raha bora uwe n ALLAH pesa zikiondoka kuwa n subira riziki mtoaji n MOLA hata ukiwa nazo utaziacha hphp kaburin amali zako tu

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 років тому +30

    Allah awe pamoja na kaka yetu kipenzi

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 років тому +1

    Subhanallah kweli allah humchagua amtakae
    Mzee yusuph ameingia katika nuru ya allah
    Amakweli analolitaka allah ndo huwa
    Yaani kweli hii pepo ni yake mungu na humuingiza amtakae.

  • @aminasaid9431
    @aminasaid9431 7 років тому +9

    ama kweli mwenyezi mungu s.w.t humuongoza atakae,Allah akuzidishie imaan

  • @zainabbukari1910
    @zainabbukari1910 7 років тому +22

    Mungu atakufanyia wepesy utapata kazi ya halali

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 років тому +4

    mashaallah uckate tamaa kwani palipo dhuruba kali ndipo palipo njia Allah atakuvusha salama na ramadhali hii inshaallah

  • @neemajosephu6187
    @neemajosephu6187 7 років тому +10

    mungu akupe nguvu na kukupatia ridhiki katika maisha yako na kukusamehe makosa yako nimekupenda sana na nimejigunza mengi lazima nyote vipotee ili mungu ajuei kweli uko tayar kupanda safar yake ya misuko suko mingi hayo ni .ajalibu utapata zaid ya Mali Dha mwanzo

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 років тому

    n mtihan too
    in
    sha
    Allah
    wpesi
    utapatikana

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 років тому +2

    dah mitihani inakuandama mzee yusuph lkn uckate tamaa $pole kwa kufiwa na mke wako 😢😢😢inna lilahi wainna ilayhi rajiuun .

  • @Manu-gi4gn
    @Manu-gi4gn 7 років тому +5

    muuza gongo ana hatia lakini wanawe hawalali njaa wala kukosa karo.Mungu hukataza maaswia kwa sababu ya mashadhra yake ya baadae msiishi karne za zama za ujinga limbukeni

  • @zuhrahalima5987
    @zuhrahalima5987 7 років тому +4

    inshallah allah akupe za kheri na halali chochote ambacho hakifurahishi allah huwa na wasiwasi mno good luck kwa mafundisho mwema.

  • @hassansalum8496
    @hassansalum8496 7 років тому +1

    yaaan​ wallah ra'adhim brother sema alhamdulillah Allah Kareem omba sana Dua

  • @jadidajadida9154
    @jadidajadida9154 7 років тому +12

    Allah atujalie mwisho mwema waislaam wote, atushibishe iman katika vifua vyote

  • @mimamkassy6563
    @mimamkassy6563 7 років тому +15

    MashaaLLAH ALLAH azidi kukuhifadhi

  • @aminaseleman3627
    @aminaseleman3627 6 років тому +1

    alhamdu lillah hakuna kisichowezekana mbele ya Allah

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 4 роки тому

    Laana TuLLAHI ALEIYK.Utazeekea kwenye TAATABU KAMA BI KIDUDE.UNAMCHEZA SHERE ALLAH S.W.??????

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 7 років тому +1

    allah akuongoe usirud nyuma kaka angu, allah tayr amekuonesha hakki

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 5 років тому +1

    Mashaallah

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 років тому +1

    jazaaka llahu khayra hongera kaka pia kuwa na subra kwa msiba mkubwa inna li llahi wa inna ilayhi raajiuun

  • @Chiefdomain
    @Chiefdomain 7 років тому +1

    Allah atamtakabalia touba yake na kumbadilishia maovu yake kuwa mema. Ameen

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 7 років тому +1

    mzee yusphu anakuwa kama padri safi lakini

  • @karolinwanjiru8831
    @karolinwanjiru8831 7 років тому +1

    Napenda nyimbo zako sana Mzee Yusuf and naamini this change is a calling from God. Mungu akupe strength ya kusimama na kuifanya kazi yake and may you and your family never lack.

  • @abdallahhadaika2131
    @abdallahhadaika2131 7 років тому +1

    mashaallah,mungu akuongoze zaidi,usife moyo mungu akujaalie mwisho mwema,umenifunza kitu kikubwa sana.

  • @leilamehbub948
    @leilamehbub948 4 роки тому

    Asc mzee Yusuf usijali hii Mali ya dunia utaziwacha Haina maana fikiria Akhera yako usijali na uchumi fikiria kaburi Allah anakupenda Sana amekupa a new page in life Anza zero hamna shida kweli Imani unayo usirudi nyuma

  • @ramshomytv
    @ramshomytv 4 роки тому

    ua-cam.com/video/f0naON_Av3M/v-deo.html
    Hawa ndio mashetani wanao msaidia mzee yusufu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому

    Arudi tu kwenye taarabu kafilisika kuna jambo lililokua linamuingizia pesa sasa hakuna karudi mwenyewe kwenye taarabu

  • @ramadhanimiraji2271
    @ramadhanimiraji2271 7 років тому +13

    Allah akusamehe dhambi zako na akupe ridhiki ya halali

  • @lucasbishop4052
    @lucasbishop4052 7 років тому +3

    Thank you for your message mullah messagea e barcshada whata patey mashey sechooo

  • @Big-ns6gj
    @Big-ns6gj 7 років тому +1

    Allah akufanyie wepesi maalim utapata riziki yenye kheri na ww inshaallah!

  • @mhinaalmasi5280
    @mhinaalmasi5280 7 років тому +5

    maashaallah mungu atakupa wepesi

  • @saishathassan9262
    @saishathassan9262 7 років тому +1

    ALlah atakupa wepec in sha allah

  • @eddyeddy6071
    @eddyeddy6071 7 років тому +10

    masha Allah mungu atakupa za khalali zenye kheri ishallah

  • @khabasmahmoud7125
    @khabasmahmoud7125 7 років тому +1

    wow!!! it's good speech. inshallah mungu akuzidishie apa na ahrah

  • @delsbeatstz4732
    @delsbeatstz4732 7 років тому +4

    Siku zote Mwenyezi Mungu ni mwema, hukunyang'anya vya dunia vilivyo haram, na kukupa vilivyo vyake vya halali. Inshaallah

    • @zamushasha9930
      @zamushasha9930 6 років тому

      yote hayo nimajaaribu ya Allah anakuangalia utapac au utashindwa. naami kuwa hayo ni maari na pia naamini kunaneema inakujaa utaneemeka kuliko mwanzo. Mubgu anataka upate va halali ndomana kapoteza vote va zamani amavo hakuvifurahi. kuwa nafubra tu

  • @mohamedosman6356
    @mohamedosman6356 7 років тому +1

    Allah akupe ya duniani na akhera.

  • @michaelbundala2988
    @michaelbundala2988 6 років тому

    Ashukuriwe Mungu aliyekuokoa na alishakusamehe,songa mbele brother!

  • @murielleharushamagara6461
    @murielleharushamagara6461 7 років тому +5

    naskiliza 2 n ku watch. sina mengi y kusema

  • @ramlakadesa4417
    @ramlakadesa4417 6 років тому +1

    Masha Allah simama na Allah hakika yy ndo hupeana Rizk

  • @ambrozmalembeka1410
    @ambrozmalembeka1410 6 років тому

    Mungu hakukosea kukupa kipaji, unachotakiwa ni kukitumia vizuri tu na si vinginevyo

  • @kudrasudi865
    @kudrasudi865 7 років тому +1

    Allhamdulilah Allah akutie nguvu katika msimamo wako @Mzee_yusufu

  • @vanessaaisha663
    @vanessaaisha663 6 років тому +1

    Mungu akupe wepesi baba yang amiin

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 років тому +5

    Allah akujaalie kila la kheri tunaambiwa tuombe mwisho mwema

  • @abasishabani2576
    @abasishabani2576 7 років тому

    shekhe yusufu amshukuru Allah kwa kumbadilisha katika imani take !Hakika mwenyezimungu ni mkubwa sana

  • @herrymloge2660
    @herrymloge2660 6 років тому +1

    mungu akupe wepes

  • @joshuakwelimoto6494
    @joshuakwelimoto6494 7 років тому

    Hiyo ni hatua Moja safi.Lakini kuna Mungu wa kweli unapaswa kumfuata

  • @joshuakwelimoto6494
    @joshuakwelimoto6494 7 років тому

    Hiyo ni hatua Moja safi.Lakini kuna Mungu wa kweli unapaswa kumfuata

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 7 років тому +1

    I salute you Mzee Yussuf,ishaallah Allah atakufungulia milango kwengine ili uweze kupata riziki yako ya halali.

  • @muuminikakoko8589
    @muuminikakoko8589 6 років тому +1

    Amen inshallah Allah akupe wepesi

  • @mmondasaid5521
    @mmondasaid5521 6 років тому +1

    Mungu atakujaalia inshaallah

  • @jadidajadida9154
    @jadidajadida9154 7 років тому +4

    Allah atujaze iman katika vifua vyetu

  • @apangumombasa5265
    @apangumombasa5265 6 років тому +1

    Allah akulinde na mtiani dunia (Amin )

  • @mohamedkisijin8696
    @mohamedkisijin8696 7 років тому +10

    mashaallah mungu atakusaidia ishaallah

  • @ashastambuli5157
    @ashastambuli5157 6 років тому

    mashaallah umenifrasha sana kaka angu kumludia Mumbai wako

  • @raziajolie4057
    @raziajolie4057 6 років тому +1

    Allah amekupenda sana

  • @husseinihassani3541
    @husseinihassani3541 Рік тому

    😂😂😂😳😳😳😳 dah sasa hivi kama sio wewe kabisa

  • @fareesfarees7634
    @fareesfarees7634 7 років тому +4

    kwaiyo umekuja kutangaza MAISHA yako magumu ili upate msaada au? Tafuta kazi ufanye...ushaacha dhambi...Ss tafuta kazi ufanye...Achana na Media kutangaza Maisha yako...

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 3 роки тому

    Mzikiwanitasikilizadaimaulikujakolonsikuwezakufika

  • @jamilamwenguvu8567
    @jamilamwenguvu8567 7 років тому +1

    Subhannallah!!!

  • @shaabanramadhan5402
    @shaabanramadhan5402 7 років тому +5

    Maashaallh

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 7 років тому +1

    allah ivi ndo mungu au

  • @fayeezomar8283
    @fayeezomar8283 7 років тому +1

    MASHAALLAH Allah atakuongz INSHAALLAH