D 2 ni shida, tatizo polisi wa TZ hutumia nguvu badala ya kutumia akili na sheria ndiyo maana wanajidhalilisha wenyewe, Unakimbiza mtu baadae unaamua kuchukua gari lake alafu unatoka hadharani kwamba ulikuwa ukimtafuta mtu mwingine.😛😛🤣
Sio kweli kuwa walikuwa wanamtafuta mtu mwingine je kama hawajui ama hawana uhakika wangemoimbiza na kumpiga risasi kama kombe ingekuwaje? Mtindo wao wa kuteka badala ya kukamata ni hatari Mtindo wa kukurupukia jambo ni hatari Inamaana intelijinsia Yao ni feki na ya uongo na watakuwa wameuza raia wengi wasiona hatua Kwa kubahatisha ni hatari mno kufanyakazi Kwa kufananisha looh aibu kubwa ama ujanja wa kukwepa lawama na kuficha lengo halisi baada ya kufeli
Polisi wanapaswa angalau wawe na D mbili tu kwenye mtihani wa kidato cha nne. Kwa utaratibu wa sasa wa kuchukua watu waliofeli kila kitu ndio tunapata polisi wa aina hiyo ambao wanakurupuka kukamata watu ovyo ovyo.
WAKIJULIKANA WANAKUWA POLISI. WASIPOJULIKANA WANAKUWA WASIOJULIKANA.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SWALI KWA NINI walikuwa wanamkimbiza lusako MTU TOFAUTI na mtuhumiwa aliyekuwa anatafutwa..
Mbio za Lusako zilimuokoa siku ile, ole wako usipojua kukimbia, yatakukuta yaliyo wakuta walio potezwa.
Lazma mwanasheria awe na beg kubwa
Gari la Lusako lilihusikaje? Tunamshukuru mungu kwa yanayojidhihirisha.
D 2 ni shida, tatizo polisi wa TZ hutumia nguvu badala ya kutumia akili na sheria ndiyo maana wanajidhalilisha wenyewe, Unakimbiza mtu baadae unaamua kuchukua gari lake alafu unatoka hadharani kwamba ulikuwa ukimtafuta mtu mwingine.😛😛🤣
Sijui wanatuonaje kwakweli au hyo gari na laptop ni vya Emanuel!!?
Basi sawa
Sio kweli kuwa walikuwa wanamtafuta mtu mwingine je kama hawajui ama hawana uhakika wangemoimbiza na kumpiga risasi kama kombe ingekuwaje?
Mtindo wao wa kuteka badala ya kukamata ni hatari
Mtindo wa kukurupukia jambo ni hatari
Inamaana intelijinsia Yao ni feki na ya uongo na watakuwa wameuza raia wengi wasiona hatua Kwa kubahatisha ni hatari mno kufanyakazi Kwa kufananisha looh aibu kubwa ama ujanja wa kukwepa lawama na kuficha lengo halisi baada ya kufeli
kua makini hata ilo gari lako unaweza kuwekewa microphone chp
Tunataka kujua kama waliokuwa wanamkaba TARIMO mlikuta ni ASKARI wa aina gani? na je Pingu ziko mtaani zinazagaa kwa kiasi gani?
Sio pingu tu. Majambazi huwa wanamilili na bunduki
Lusako
Kagua gari huenda Kuna vilipuzi ama simu kemikali ukafa taratibu
Polisi wanapaswa angalau wawe na D mbili tu kwenye mtihani wa kidato cha nne. Kwa utaratibu wa sasa wa kuchukua watu waliofeli kila kitu ndio tunapata polisi wa aina hiyo ambao wanakurupuka kukamata watu ovyo ovyo.
😂😂ni mfumo tu ila vyeti vyao vzr
Wamebadili gia angani maana walijiingiza kijinga😂