Maisha ya ukwasi ya Sultan wa kwanza Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 тра 2021
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 17

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 3 дні тому

    Wonderful 🎉❤

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 3 роки тому +7

    Usidanganye watu kuwa Sayyid Said aliamuwa kuhamia na kutawala Zanzibar kwa ajili ya karafuu. Yeye Sayyid Said ndie aliye ileta karafuu Zanzibar kutoka mashariki ya mbali. Usifundishe vizazi vipya historia ya Uongo. Mfalme Sayyid Said ndie aliye ifanya Zanzibar kujulikana duniani.

  • @hajjism
    @hajjism 3 роки тому +3

    Muandishi ni vyema uisome vizuri historia. Haukuwa na haja ya ku-influence story ya huyo bwana mganga. Yaani unasema kwamba enzi za Sayyid Said watu walijificha pangoni kwa sababu ya utumwa. Wacha kutoa historia isiyo ya kweli kaka.

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 18 годин тому

    BANIANI MBAYA LAKINI KIATU CHAKE DAWA
    ZANZIBAR INAINGIZA PESA ZA KIGENI KWA SABABU YA HISTORIA YA WAFALME WALIO TAWALA ZANZIBAR
    WAFALME WA ZANZIBAR WAMETUEKEA WAZANZIBARI VITEGA UCHUMI ENDELEVU HADI HII LEO WAMESHA TOWEKA ALIYE BAKIA SULTAN JEMSHIDI BIN ABDALAH BIN KHALIFA ALLAH AMJAALIYE MWISHO MWEMA AMIN WAMEJENGA MAJENGO STON TOWN NA WAMETUPANDIA MITI YA NATUNDA HADI LEO TUNANUFAIKA NAYO KWA MAKAAZI HADI PATO LA TAIFA KUPITIA WATALII
    NA WAMETULETEA ZAO LA KARAFUU NA MINAZI NA MIEMBE KUTOKA MASHARIKI YA KATI HADI MIFENESI NA MASHELI SHELI NA KILA AAINA YA MATUNDA LENGO WAZANZIBARI WASIPATE TABU YA CHAKULA KILA MSIMU WAZANZIBARI WALIKUWA WANAFAIDIKA NA VYAKULA VYA MATUNDA MBALI MBALI NDIYO MANA WAZANZIBARI WANAAKILI NYINGI KWA SABABU YAKULA VITU ASILI PAMOJA NA SAMAKI WA BAHARINI
    ALLAH AWASAMEHE MAKOSA YAO YOTE NA AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN AMIN AMIN
    ZANZIBAR ILIJULIKANA KAMA ZANZIBAR EMPER
    ILITAWALA KARIBU PWANI YOTE YA AFRICA MASHARIKI
    KIANZIA SOMALIA NA MOMBASA NA TANGA NA BAGAMOYO NA DARESALAM NA KILWA NA KUSINI KUELEKE MTWARA HADI KONGO HADI BURUNDI NK
    HIYO NDIYO ZANZIBAR EMPER
    ZANZIBAR INAFANANA NA OSMAN EMPER ILIYO TAWALA HADI SPEN NA ZANZIBAR ILITAWALA HADI OMAN
    ZANZIBAR NI TAIFA KUBWA DUNIANI
    ALLAH IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE AMIN AMIN AMIN
    NA URITHI MKUBWA WALIO TUACHI WAZANZIBARI UFALME WA SAID BIN SAID ALBUSAID NI DINI YETU TUKUFU YA UISLAM
    NA AKATUACHIA UMOJA KATIKA DINI YETU NA KILA DHEHEBU WALIKUWA NA MISIKITI YAO STON TOWN
    NA AKATUWACHIA UMOJA WA WAZANZIBARI WENYE KUPENDANA NA KUHESHIMIANA SANA NA ZANZIBAR KAWA KISIWA CHA AMANI NA WAAMINIFU
    ZANZIBAR NNJEMA ATAKAYE AJE HIYO NDIYO ZANZIBAR TAIFA KUBWA DUNIANI
    ALLAH AWALAZE MAHALI PEMA WATAWALA WOTE WALIO TUTAWALA ZANZIBAR AMIN AMIN
    AMIN

  • @MumusuSuley-iv5mi
    @MumusuSuley-iv5mi 9 місяців тому +2

    Propaganda!!!,suitan said alipokuja hakuzikuta karafuu na wala Wazanzibar hawajawah kuwa watumwa na hakuna hata muandish yyte token Ibnu batata na wengineo waliodai upuuzi wko.Wazanzibar tunaijuwa histor vyeema tu,Na Karume alirithi hela zilizoachwa na Sultan ndio akawa na uwezo.wa kujenga nyumba za michenzan nk.

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 Рік тому +1

    Wacha kusema uwongo mungu anakuona sema ukweli iwe sababu ya mungu kukuingiza peponi usiseme kwa matamnio ya nafsi kwa kupta ugali na kusifiwa na kundi la watu

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Місяць тому

    Sayyid Barghsh mama ake ni suriya maana mjakazi wa nyumbani ni Muhabsh Ethippia

  • @UmmyLubna-rp6rv
    @UmmyLubna-rp6rv 25 днів тому

    Inakitisha sana kuona serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kushindwa kuyafanyia ukarabati wa majumba ya historia ya nchi hii .Jumba la BAITUL AJAIB ilipo Forodhani..Ile ilikua km ni nembo yetu ya Zanzibar ukiingia lazma uone mnara wa jumba hillo. Tangu lilivoanguka mwaka wa 6 huu wameshindwa kuli karabati.Ni aibu kwa kweli .

  • @wedmoosa3503
    @wedmoosa3503 Місяць тому

    Udini ndio uliwafanya hivi

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 21 день тому

    Kusema kweli wa oman NA wazanzibari ni mchanganiko wa damu kwa undugu NA kwa uslaam sasa mapinduzi matukufu hiyo utukufu maana yake umewauwa myahudi au washirikina wa oman ni ndugu zetu kwa uslaam sasa nchi emetawaliwa NA wakrsto tena anaye zaliwa zanzibari ni mzanzibari tu

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 18 годин тому

    SULTAN ALIYE PIGWA KATIKA VITA FUPI KULIKO ZOTE DUNIANI NI SULTAN KHALID NA ALIKAMATWA NA KUWEKWA CHINI YA KIFUNGO KATIKA KISWA KIMOJA NAFIKIRI HUKO KARIBIAN

  • @msanifukatunzi8434
    @msanifukatunzi8434 3 роки тому

    Nunueni camera nzuri HD kama azam TV

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 Рік тому

    Hawa jamaa wsnapotosha badala
    Ya kuelimisha

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 3 роки тому

    Kumbe kipindi kile ulizaliwa na mpk leo wewe ndio unaishi kumbe una umri mrefu sana na una kumbukumbu sana.

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 Рік тому

      Kama alikuwepo enzi hiyoo,hata akaeleza kumbu kumbu ya masultan😂