Said bin Barghash wa Zanzibar sultan mwenye zaidi ya maajabu duniani.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 21

  • @yahayab4u614
    @yahayab4u614 3 роки тому +2

    Dah

  • @ZANAMBER12
    @ZANAMBER12 6 місяців тому +2

    Muongo muongo muongo sanasan

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 10 місяців тому +2

    UKOLONI NA UTALII ZANZIBAR
    Ukoloni wa Tanganyika hutumia Wazanzibara kupotosha nchi ya Zanzibar kwa faida ya Ukiristo na Ukoloni wa Tanganyika.

  • @ZANAMBER12
    @ZANAMBER12 6 місяців тому +3

    Munatunga uwongo waongo wakubwa munatunga historia ya uwongo mashetani wakubwa

  • @TheTarabist
    @TheTarabist 3 місяці тому

    ❤mzee Mbaraka unatagaza uongo. Umepata wapi tarifa hizo? Historia si uongo.

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Рік тому +2

    Huyu mbaraka alikua kazaliwa wskati huoo??au anatunga tuu?

  • @moomsuya1852
    @moomsuya1852 2 роки тому +1

    KIKULACHO AMETISHA SANA

  • @sleyumalgheithy3268
    @sleyumalgheithy3268 4 місяці тому

    Waongo wakubwa mnaharibu historia ya zanzibar Sayyed barghash ndo Aloondoa utumwa,akitoa Meli kila mwaka kwa mahujaji tena bure,alimentary nyumba mecca ya mahujaji wa zanzibar wakae bure ,uongo wenu ndo mana mmeiharibu zanzibar

  • @TheTarabist
    @TheTarabist 3 місяці тому

    Huyo Temba ni mtu kutoka Bara. Na huyo kijana wa spice anatoka Kenya. Wote wanashindwa kutamka Kiswahili sawa sawa. Wanataka "Saidi Bargashi". Wanashindwa kusema: "Seyyid Barghash bin Said".

  • @TheTarabist
    @TheTarabist 3 місяці тому

    Wake 99 walihitaji nafasi kubwa kiasi gani itoshe.

  • @TheTarabist
    @TheTarabist 3 місяці тому

    M. Kikulacho hujui kiswahili. M-chai chai. Herufi m- hapo sio kama usemavyo. Mti wo wote unaanza na m- katika kiswahili. Mfano: m-paipai, m-popoo, m-nazi, m-komamanga, m-gomba n.k. Vipi weweee?

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Рік тому

    Jamani haya maneno ya kwelii??au ni uzushiii?subuhana Allah mtakuja kuulizwa nyiee

  • @nassorali8040
    @nassorali8040 2 роки тому +4

    Wazushi wa kubwa wapotoshaji wa taarikh yetu hamuezi kuichafua taarikh yetu na sisi tukaa kimya
    Hata jina lake hamlifahamu Zanzibar hakukua na mfalme alieitwa Said bin Barghash.
    Wahenzi wakubwa nyie

    • @helpers10
      @helpers10 2 роки тому

      Acha tu ukweli uwaingie.

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 4 місяці тому

      Astaghafiru Allah ww unasema uongo utakwenda jibu siku kiyama

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 8 місяців тому +1

    Eti watu wajinga walevi ndo wanatoa history ya zanzibar inastaajabisha sana

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 4 місяці тому

    Mimi nimestaajabu kwa MUANDISHI WA CHOMBO KIKUBWA HIVI KTK TASINIA YA HABARI And hana Maarifa hata Kidogo ya SOMO LA HISTORIA.
    Maelezo ni kwamba BARGHASHI Ni Mtoto wa SULTAN Said; Then How come aitwe "SAID BARGHASH"
    NA UZUSHI WA HABARII YA KUFANYA MACHAFU NDANI YA PALACE; That Is Just SIASA CHAFU!. Na Sababu zake Tunazifahamu,
    THE REST OF THIS VIDEO CLIP IS VERY INFORMATIVE●

  • @califgoban9086
    @califgoban9086 2 роки тому +1

    You can never rewrite the golden history of Zanzibar by assumptions and personal desire for specific satanic alterations

  • @RobereyDavid
    @RobereyDavid 2 місяці тому

    Sultanate Zanziba Is Somalis Djibouti Eritrea

  • @FikiriniFimofa
    @FikiriniFimofa Рік тому +1

    Si dani kama yanauhakika hayo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 місяців тому

    Mateja na walev ndio waongoza utalii swaga nying