045 2 SULEIMAN MAZINGE DEBATE YA MAGANYAKULO JE YESU NI MUNGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 99

  • @harbisulub
    @harbisulub 9 років тому +2

    MashaAllah tabarakaAllah. Allah akupatiye janatul firdaws. Debate mzuri sana

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 8 років тому +2

    MaashaALLAH TabaarakaALLAH Allah awajaze kheri na awazidishie Iman na sis tulokuwa mbali tunafaidika sana na Daawah zenu. JazaakaALLAHU Khaiyran

    • @zwuenakhalfan2098
      @zwuenakhalfan2098 6 років тому

      Wakristo msiwe wakaidi Yesu si Mungu alie tuumba ni Mungu yesu ni mtume tu kama watume wengine walioletwa duniani msitupoteze njia ya haki ya binaadam nyie wachungaji

    • @saidalhashmi4614
      @saidalhashmi4614 6 років тому

      Faulata Fahmi ujxwcgy

  • @firdoosaj6389
    @firdoosaj6389 9 років тому +4

    Good job! May Allah grant u and all the daawa guys Jannatul firdoosa al ala.may Allah grant u peace and ease to u all and your families while spreading the truth and one as of God.Ameen thuma Ameen. Wa salaam aleikum warahmatullahi wabarakatu

  • @bashmargasalmy225
    @bashmargasalmy225 8 років тому +1

    hawa kweli sio makafiri hee maskini weee .mashekh Allah awasaidie na awalipe kheri amin

  • @minadiali549
    @minadiali549 9 років тому +1

    Allah akujaalie umri mrefu suleiman

  • @saidrashid602
    @saidrashid602 9 років тому +1

    MashaAllah Mungu akulinde suleeman

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 років тому +1

    Alhamndu lillah kwa neema ya uislam

  • @aishaongaro5965
    @aishaongaro5965 8 років тому +4

    Walai masikini wa Mungu hawajielewi lakini endereni kuwafundisha siku moja watasikia wajue Mungu ni mmoja peke yake na yesu ni mtumwa wake wala si Mungu .......... walai Alhamdulilah

    • @myself4128
      @myself4128 6 років тому

      Aisha Ongaro Tena wee kajiulize huyo mtume wako alioa mtoto wa miaka 6 (peadophile)

    • @myself4128
      @myself4128 6 років тому

      Aisha Ongaro eti hatujielewi nyie mnaongozwa na kipofu halafu mnathubutu kukosoa watu wanaotembea nuruni????dini yenu ni shida upagani mtupu...ibada za kuzunguka jiwe na kusali kuelekea liliko kaburi la mtume wenu ambaye alikufa akiwa anafanya mapenzi na bi aisha daah!!! Huyu mtume wa Allah ni shida🙊🙊🙊🙊🙊🙊

    • @happyarooun6037
      @happyarooun6037 6 років тому

      +EE RR ulitaka akuoe ww mjaa mashetan

    • @myself4128
      @myself4128 6 років тому

      Shuweha Omar kuna kesi nyingine indonesia mtoto wa miaka11 kaolewa na dini imeruhusu ruxsa!! Nabii kutoka saudia???😂😂😂😂😂 kawachukulia sana wake maswahiba zake na wale wajane lakini wake zake kawabania akifa wasiolewe kabisaaaa

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 років тому

    Mashallah mungu awabaliki inshallah Allah ha2peleke sote pepeni

  • @yussufally8668
    @yussufally8668 5 років тому +1

    Laiti ningezaliwa kafiri bas ningekuwa nishasilimu maana kila kitu kipo wazi ktk uislamu

  • @dhulkhifli2737
    @dhulkhifli2737 9 років тому

    MaashaAllah Allah barik Ahlu daawah

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 7 років тому +2

    Mazinge ww kibokoooo Allah akulipeee sanaaaaaa

  • @athumanijumanne9018
    @athumanijumanne9018 8 років тому +2

    masha~allah

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 8 років тому +2

    Wakristo hawana Hoja. ila ni Ubishi tu. ikiwa Yesu Mwenyewe mwenyewe amesema "Mwataka kuniuwa mimi MTU"hawaioni .Qur ani inasema .Ndani ya nyoyo zao kuna Maradhi ,tunawazidishia Maradhi.

  • @mnyamwezionlinetv3998
    @mnyamwezionlinetv3998 8 років тому +1

    Mkono kwa mkono hadi peponi nawapenda masheh kwa ajili ya Allah Ismail Gitau na Suleiman Mazinge

  • @ashfynahrasheyd6352
    @ashfynahrasheyd6352 5 років тому +2

    Allahu aqbar

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤masha ALLAH

  • @mohamedali-ks8pe
    @mohamedali-ks8pe 9 років тому +1

    Masha ALLAH guyz long life

  • @abdulomary2518
    @abdulomary2518 8 років тому +3

    mungu atuongoze katika njia iliyo nyooka

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 5 років тому

    Nafikiri upande wa Wakristo hawakai kusikiliza hoja au maelezo yanayotolewa na Waislamu wao wanatayarisha Majibu bila kuelewa kilichozungumzwa mwanzo.kwa aina hii hawataelewa na watabaki kuwa wabishi tu.jambo lingine lugha ni muhimu sana ili mtu aweze kukufahamu .Lugha inawapiga chenga sana japo kuwa wanajitahidi.

  • @khaledrashid2825
    @khaledrashid2825 5 років тому

    Yaa Rabi waokoe Hawa wakirsto uwaoneshe njia yahaki duh hatar Mungu wamemfanya mtu Astaghfirullah. Jahanam iigopeni nyie muogopeni Allah Subhana

  • @mnyamwezionlinetv3998
    @mnyamwezionlinetv3998 8 років тому +1

    Allahu Akbar

  • @ashleypetertv5894
    @ashleypetertv5894 7 років тому

    mupende msipende mupinge msipinge Yesu atabaki kuwa Mungu,alikuwepo hata kabla dunia kuwepo,

    • @majidammanga8659
      @majidammanga8659 7 років тому

      mungu akuongoze ktk njia iliyosawa na uondoke ktk ujinga

  • @ruwaydaabdillah5853
    @ruwaydaabdillah5853 9 років тому +1

    God Bless suleiman

  • @salimguya660
    @salimguya660 6 років тому

    Kila mwenye akini lazima akubalii kuwa yesu simungu labda uwe mmbumbavu ndiyo utasema yesu nimungu ama mjinga wamwisho namoto ukungoje

  • @yassindeffu88
    @yassindeffu88 7 років тому +2

    jack barca hiyo nikazi yakila alioamini kupinga shirki kama yakusema yesu nimungu kwahyo waislam hatutanyamazo kwakua tutaulizwa juu yakila jambo ovu

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 6 років тому

    Mwalimu Waziri hakika elimu ya Roho unayo

  • @mumkmamy5186
    @mumkmamy5186 6 років тому

    ALHAMDULILLAH KUZALUWA MUISLAMU

  • @luginilestanley4401
    @luginilestanley4401 6 років тому

    Ukibisha kuwa Yesu si mwana wa Mungu njoo nikuombee uone kama hayatatimka mapepo ndo ujue nguvu ya Mungu ukiugua usisubili uuguwe uzidiwe ndio umuitee Mchungaji akuombee Hata sasa Yesu anaokoa sema emeeeni!

  • @SaddamHussein-nn1oy
    @SaddamHussein-nn1oy 9 років тому +4

    MashaALLAH

  • @mwinyimuhando4131
    @mwinyimuhando4131 5 років тому

    Ih dina swiratwal mustakiim

  • @mnyamwezionlinetv3998
    @mnyamwezionlinetv3998 8 років тому +2

    Tusife isipokuwa ni waislam.

  • @mnyamwezionlinetv3998
    @mnyamwezionlinetv3998 8 років тому

    Allah jaalia tusife isipokuwa no waislam.

  • @habibagele6723
    @habibagele6723 9 років тому

    Is there new postings pls wana have it

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 років тому +1

    jamaa wabishi hawa wanapingana na ukweli Allah awanusuru

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 7 років тому

    Nazım hili swallow komeshaaaa hakuna anayeweza kujibu " Eti yesu Mungu sasa jibu Mungu yujintumboni dünya inaendeshwa na nan, Mariam alifanyae inadequate alimuimba Mungu yupi.?? Ninyi msiwe wabishii jamaniiii

  • @drudeshub3188
    @drudeshub3188 6 років тому

    Huyo pastor amelewa bana cjui mbona maznge unasumbuana na 'majnun'

  • @yussufally8668
    @yussufally8668 5 років тому +1

    Hahahahaha wakristo bana msipo silimu lzm mkachomwe

  • @jcarlmaish9010
    @jcarlmaish9010 6 років тому

    Hii Ni upuzi

  • @rajuuinvestment7646
    @rajuuinvestment7646 7 років тому +1

    wanajichanganya

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 8 років тому +1

    WAKRISTO SOMENI SANA. MUNGU ANASEMA HANA TABIA YA KUBALIKA BADILIKA.VIPI LEO ANAKUWA MTU KESHO ANAKUWA MUNGU?.WACHENI KUCHUMA MADHAMBI.Wewe WAZIRI UNAJUA UKWELI MBONA UNAENDELEA KUPOTEA?

    • @jacksonkombe6970
      @jacksonkombe6970 8 років тому

      wakristo wa tanzania wanasema hivyo ila wakenya wanajua yesu si mungu ila malaika mkuu wa mungu...mimi ni muislam ila nikatoka (see RAJAB ABDULWAHAB on FB) na namkosoa mazinge kwa akili yake ndogo ama kubwa kuliko aliyoajaliwa nayo kwa kutojua kwamba kati ya makanisa 55000 yote duniani 80% yanaabudu shetani,10% hawajui kama wanabudu mungu au la? 10% wanauhakika na huyu mungu so usiingilie wakiristo ili hali wao wenyewe wanapata challenges toka kwa wengine...huyu mazinge akija kenya anitafute nimuelimishe...nyinyi msio na akili endeleeni kupang'ang'a

    • @dzamecbc2859
      @dzamecbc2859 8 років тому

      +JACKSON KOMBE nani kakwambia ni mtanzania....

    • @mansourhamisimauldnuzuxhi2211
      @mansourhamisimauldnuzuxhi2211 6 років тому

      Salim AlMahrizi ma sha Allah

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 років тому

    Huyo pastor ni uzao wa Musailimatu Lkadhab!(Musailima), aliye jitolea kupambana na Allah kutoa aya! Akaishia kutoa aya hizi: " watao kunywa na wanywe. watao kula na wale. Mkate kwa samli(Khubzan wasamna)" Ana kiri biblia na kujipinga mwenyewe at the same time.

    • @bahatibagaile9967
      @bahatibagaile9967 6 років тому

      Biblia ndiyo kitabu bora kabisa kuwahi kuwepo dunia
      Waislamu wanatumia kumuhalalisha Muhammad
      Qur'an ni novel halafu ni uchawi kwa mjibu wa Qur'an

  • @mumkmamy5186
    @mumkmamy5186 6 років тому

    WAKRISTO KAWAIDA YENU NIWABISHI BT UKWELI UKO WAZI

  • @ashleypetertv5894
    @ashleypetertv5894 7 років тому

    hee waislamu hamuwezi elewa biblia kamwe hata mkijaribu, unless muwe wakristo,mungu ana nguvu anaweza kuwa chochote anachopendelea, mbona yesu kuwa mungu ilete shida kwenu

    • @masseanadir2904
      @masseanadir2904 7 років тому

      Ashley Peter wewe mwenyewe biblia huijui

    • @kaymyter7988
      @kaymyter7988 6 років тому

      Mbona tusielewe mpaka tuwe wakristo???kwani imeandikwa lugha gani ????

  • @jumaadremane7756
    @jumaadremane7756 5 років тому

    É a vez de informar aos irmãos cristãos para que possam converter e serem muçulmanos. pois, Jesus foi um profeta apenas, e nao outra coisa.
    Jesus disse pessoalmente que nao é e nunca será Deus...

  • @fundisulesalum2472
    @fundisulesalum2472 7 років тому

    hatari sana

  • @abbakarymrutu6786
    @abbakarymrutu6786 7 років тому

    hatare

  • @klcozgur5715
    @klcozgur5715 7 років тому

    Jack Barca ,tuogopa kuulizwa na Allah siku ya qiyyamah,hivyo tunawatakia mema ,sassa kama viziwi shaurienu,.Eti Yedi, Mungu ,Mara mtu Mara Mtume sasa ,pindi yesu amekuwa ktkt umbo la kibnadamu dunia na mbingu zilikuwa chini ya milk ya Nani.???? Acheni ubisheee uciokuwa na mantıki.!!!!!!!

    • @myself4128
      @myself4128 6 років тому

      Kılıç Özgür kukosa akili ni shia...sasa unampangia Mungu uliambiwa yeye ana limit???? Hata akilala kila kitu kinaendelea ni system tu....usimfikirie Mungu kama vile babaako eti kama yupo nyumbani basi hayupo kazini we kiazi kweli....Mungu hana limit...akiamua kuja kama mwanadamu akavua utukufu wake kuna tatizo gani???? Quraani yenu inasema Mungu aliamrisha malaika wote wamsujudie Adamu sasa kwanini afanye hivo wakati anatakiwa asujudiwe yeye tu???hamjiulizi hilo mmekalia wakristo hivi mara vile ....dini yenu inaleta majnga kibao ugaidi n.k hamyaoni??

  • @ayoubsaidmainde531
    @ayoubsaidmainde531 9 років тому

    makusudio ni kumjua mungu wa kweli ninan ili uende mbinguni salama, nivema kutafuta ukweli ndugu.

    • @rafiqer9120
      @rafiqer9120 9 років тому

      mungu wa kweli ni Yahweh na njia ni yesu pekee msipotezemuda wenu na malizenu kupingana na imani sahihi yakikristo,,,,,mmepotea sana kuabudu msichokijua,,,,,,babayake mohammad alikufa kafiri na alikuwa akiitwa abdallah maanake mtumwa au mja wa allah ambaye wapagani walikuwa wakimuabudu miaka dahari kabla huyo muhammad wenu hajazaliwa ndio maana pale al kaba kulikuwa kukifanyika ibada za kipagani na hakikubadilika kitu baada ya uislamu kuja zaidi ya kutoa masanamu yote mle ndani na kuacha jiwemoja ambalo mnalizunguka mpaka leo kama wapagani walivofanya ena wakiwa uchi!!!!!!! Njooni kwa Yesu acheni ubishi hamuijui biblia sio gazeti hilo

    • @salimalmahrizi395
      @salimalmahrizi395 8 років тому +1

      +AYOUB SAID MAINDE huyu anasema Yesu ni njia wenzake wanasema yes ni Mungu ,mbona hawaeleweki.

    • @aishaongaro5965
      @aishaongaro5965 8 років тому +1

      +Salim AlMahrizi akuna siku watajitambua bado wako gizani toba

    • @hadraayoubhadra2206
      @hadraayoubhadra2206 6 років тому

      NAINJOY KUZALIWA KATIKA DINA YAKWEL YAKIISLAM ASANTY ALLAH

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 8 років тому

    tukitaka kuwasiliana na nyie tunawapatia wapi?

  • @dzamecbc2859
    @dzamecbc2859 8 років тому

    wanajua ila jeuri tu

  • @drudeshub3188
    @drudeshub3188 6 років тому

    amekafirika kafiri yeye huyo pastor anafaa kunyongwa

  • @geralftiffiri1180
    @geralftiffiri1180 8 років тому

    Mazinge una majinni mangapi?

  • @jackbarca4613
    @jackbarca4613 9 років тому +2

    je, maubiri yenu ni kumpinga Yesu Christ? kwa nini Yesu anawachukuwa mnda wenu wakati nyinyi mnampinga??? nyinyi waislam muongeye kuusu imani yenu tu, sio Yesu Christ, na sisi Wakristo tuongeye kuusu Bwana wetu YESU, sio muhamadi alikuwa hivi ao vile. mna kusanya watu sababu ya kumpinga Yesu ao kuwaeleza maneno ya Mungu ao ya mtume wenu muhamadi???? kwenye mikutono ya wakristo hawataji waislamu ao muhamadi, lakini nyinyi (waislam) mara Yesu alikuwa hivi mara alikuwa vile etc.... kama wakristo wana Amini kwamba Yesu ni Mungu ao mwana wa Mungu wewe muislam tatizo lako ni nini? kila watu wazingatiye imani yao.

    • @mohamedali-ks8pe
      @mohamedali-ks8pe 9 років тому +2

      #Jack barca
      Hyo ni kazi ya waislamu kuelimisha wale wasiobahatika kwa na umani iliyo POA ka wwe

    • @mohamedali-ks8pe
      @mohamedali-ks8pe 9 років тому

      #Jack_Barca
      i mean Imani

    • @salimmoine1424
      @salimmoine1424 7 років тому

      Jack Barca poor your speech

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 років тому +2

      Jack Barca Hakuna mwenye shida ya kuingilia dini yako. Mna saidiwa tu kuwa kwenye njia sahih juu ya uongo mnao zua uongo juu ya Yesu kuwa ni Mungu au mwana wa Mungu!

    • @princessyvetteevedollyisma2586
      @princessyvetteevedollyisma2586 7 років тому

      Jack Barca umesema kweli Muslim upenda sana kumwingiliya yesu sijuwi walimkoseya nini

  • @maankamaankisa
    @maankamaankisa 8 років тому +3

    God Bless suleiman

    • @salimalmahrizi395
      @salimalmahrizi395 8 років тому +1

      +sheikh ahmed sadiiQ AMEEN YA RABIL ALAMEEN.Wahubiri Wa Kiislamu nawapenda kwa ajili ya Allah.na Allah awalipe kheri Duniani na Akhera .

  • @alibinda2885
    @alibinda2885 6 років тому

    Masha Allah

  • @geralftiffiri1180
    @geralftiffiri1180 8 років тому

    Mazinge una majinni mangapi?

    • @abeidabbas9398
      @abeidabbas9398 6 років тому

      Geralf Tiffiri wakristo nyinyi mna akili manazo kweli nyinyi