Ewe Mwenyezi Mungu hatuna cha kumlipa mtu huyu wala hatuna uwezo wa kumlipa kwa kulitangaza neno lako ila tunakumba wewe ALLAH umlipe firdaus pepo ya daraja la juu na umuokoe na adhabu za Jahannam kwa uwezo wako na utukufu wako. AMIN
Mnamajininwote yanawaongoza mpaka mmeslim mtu mwenye akili yake awezi kuwa Mpinga Kristo ambaye katabiriwa Dunia nzima kama atakuja Mpinga Kristo na wala hakuna Mpinga Muhammad ila kutokana na Majini lazima Uslimu. Poleni sana kwa kufuata Dini inayo pendwa na Majini
Ndio mana hawa wakiristo hawafundish mafundisho ya yesu / nabii mussa aliambiwa na mungu vuwa viatu unapoingia mahala pakatif wao wanaingia naviatu hawafat vitab wanafata wazungu
hehe,sawa ila kaa ukijua Yesu amesema atahukumu kabila kumi na mbili za Israel,so jipange mapema maana najua wewe ni mnyamwezi au mgogo wa tanzania hahahaha
PETER CHUCHU Unamkana Kristo kwa sababu ya huyu mpagani??nikuulize swali dogo ndugu peter!! Baba yetu wa imani Ibrahim alikuwa na kitabu gani???lakini je kuna kitu kilimzuia kumcha Mungu???????soma waebrania 6:4 ...... mimi sihukumu ila ninaamini huyu jamaa anataabika tu huko aliko sababu Hakuna njia zaidi ya Kristo
Awa mashekh wote petro NA wengine wataalamu wasomi wadini walikua wakirsto mapadri maaskofu nawakaacha ukirsto kwakujua sio dini lkn hao wasiojua wamo kuburuzwa maskini wala hawasomi bibiliya yao vzr Allah awaongoze njia amin
Habari yako dada. Nimeziangalia hizo aya ulizo sema hapo juu lakini naona hazisemi kama waumini wa dini ya kiislamu wataingia jehanamu.Ili ujue tafsiri ya Qurani inakubidi uangalie aya ya mbele yake au nyuma yake ndio utafahamu. Nakuletea tafsiri za hizo aya. Surat Mariamu. 71. Tena hakika Sisi Tunawafahamu sana wanaostahili zaidi kuunguzwa humo. 72.Wala hakuna ye yote katika ninyi ila ni mwenye kuifikia. Ndiyo wajibu juu ya Mola wako uliokwisha hukumiwa. (hizo ndio aya ulizosema, sasa hapo dada yangu mpenzi hukufahamu. Hapo Allah (Mungu wa Haki) anatuambia wanadamu wote lazima tutapita ktk njia inayoitwa siratwi, njia hiyo ni nyembamba sana, hapo Allah atabagua baina ya waumini wa kweli wa kiislamu na makafiri, makafiri wataanguka na kuiingi motoni waumini wa kweli watavuka salama) angalia aya hii ya 73 inavyosema. 73.Kisha Tutawaokoa wale wamchao (Mungu); na Tutawaacha wadhalimu humo wakiangukia magoti. kama utakuwa na maswali zaidi unaweza kuniuliza lengo ni kusaidiana ili tukapate pepo. kwa email yangu. kassim1533@outlook.com au Whats App +255777919400. nikumalizie na aya hii itakusadia. Soma Quran 5: 73-77 73. Bila shaka wamekufuru wale waliosema, Hakika Mwenyezi Mungu ni Masihi bin Mariamu, na Msihi alisema:Enyi wana wa Israeli, Mwabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu na Mola wenu, Kwa yakini anayemshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu Amemharimishia Pepo, na mahali pake ni Motoni; na wadhalimu hawatakuwa na wasaidizi. 74.Kwa hakika wamekufuru wale waliosema: Hakika Mwenyezi Mungu ni watatu wa watatu, hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na kama hawataachahayo wayasemayo, kwa yakini itawagusa wale waliokufuru miongoni mwao adhabu iumizayo. 75.Je, hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na kumwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mrehemevu. 76.Masihi bin Mariam siye ila ni Mtume tu; bila shaka Mitume wamekwisha fariki kabla yake; na mama yake ni mwanamke mkweli; wote wawili walikuwa wakila chakula. Tazama jinsi Tunavyowabainishia Aya, kisha tazama wanageuzwa wapi? 77 Sema. Je, mnamwabudu badala ya Mwenyezi Mungu ambaye hawezi kuwadhuruni wala kuwafadisheni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Asikiaye, Ajuaye. Nakutakia kila la kheri DADA
Allahu akbar
Ma shaa Allah,Allah akuhifadh ustadh yaani wanipa raha hadi basi, Akasha eee tupe vitu bana in shaa Allah
Dah😥 shekhe Imani Petro Allah akupe jannatu Firdausi umepamban sana wallah kutuachia hii elimu 🤲
Alhamdulillah namshukru Allah nilikuwepo kwenye mhadhara huu namuomba Allah akanioneshe na akhera kwa mambo mema yarrab aamini yarrab aamini
Allah Amlaze Mahala Pema Peponi Shekhe Wetu
Mwenyezi mungu azidi kukuweka pema penye wema iman petro.
Mungu akulaze mahali pema peponi sheikh Iman petro
Aaaamin
hģfghhhdģggdffhfhgdhģhhfģhģģgdggfdghdgffhdhghdddfhdgggģhhgfffgfhdhdfjddhfffggģghffgfhdgfhdhdhdghgģģgģģgth5hdhdģģgdhdgdrhdggggģdgggğffh6dhdghdhhdhdghdhdhhdhģhdfjhdhdffgģhhghdgģdfhdghggdhdghdhdhdhdhdhdghfggghdgghdhdhdgfhdhgggghdhdghdhhdgghddgģfjhdghdfdfdghhffdghdhdhgdhhhgfhhgfgghddhdgggggģghjģghgģggģgģhģggģģggjghggghggjgģggģggggģggģghgģgģgjggghjģggggģģgghhgģgghgģgggggggjgggģggjjg ģgggghghgģjggggģģhdg@@aminashabangonzi4020
Ewe Mwenyezi Mungu hatuna cha kumlipa mtu huyu wala hatuna uwezo wa kumlipa kwa kulitangaza neno lako ila tunakumba wewe ALLAH umlipe firdaus pepo ya daraja la juu na umuokoe na adhabu za Jahannam kwa uwezo wako na utukufu wako. AMIN
Allah amuweke Iman Petro mahala pema peponi
Jamani uislam Raaaaaaaa sana
ma shaa ALLAH jazakumullahulkheyr
safi sana iman petro wamezowea kuburuzwa nawazungu mafundisho km hayo hawapewi makanisani
ewe mola wetu mtukufu irehemu roho ya sheikh wetu iman petro n.a. ilaze mahali pema peponiii......amino
Khuwailat Nassor Aamin yaa rab
Khuwailat Nassor kafariki kwani? ???
Khuwailat Nassor
Allahuma aamin
Ameen thumma ameen فيصل الحردان
Khuwailat Nassor amiin
masha allah....( I am from indonesia)
Mak Sum hello
Allah akibar duuuh Mashaallah waroma ni wagumu sana kusilimu hongera sana dada karibu katika uislamu mi mwenyewe nimesilimu uislamu raha sana wallah
Mnamajininwote yanawaongoza mpaka mmeslim mtu mwenye akili yake awezi kuwa Mpinga Kristo ambaye katabiriwa Dunia nzima kama atakuja Mpinga Kristo na wala hakuna Mpinga Muhammad ila kutokana na Majini lazima Uslimu. Poleni sana kwa kufuata Dini inayo pendwa na Majini
@@charlesmapunda5905 kwel haki ikifika batili hujitenga ww endelea na ukafiri wako ufe nao
Allah Awajalie kilala kheri mashekhe wetu
Mola wetu mtukufu tunakuomba iweke roho ya sheikh petro mahali pema peponi
Mwenyezmungu mjalie pepo mjawako imani petro
Jimmy Habarugira MARA MTU AKIFA HUKUMU!! SALA ZA MAREHEMU HAZISAIDII.....HEBR 9:27
Aamiin Rabil Aalamiin
@@myself4128 hayakuhusu
@EE RR mzigo uko kichwani kwapa limelowa maji yakunuka.... Una HILA baba hayakuhusu
rahasana uislam ilaukimuona imani petro rohoinauma sanajamani Allah akuepushe na adhabu
jazaka Allahu kyran
ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUHU IN SHA ALLAH ALLAH SWT AMLIPE KILA LA KHERI USTADH ALSHAHID IMAN PETRO AMIN 🤲
jamani!!Imani Petro alifariki???Allah mjaalie pepo
Hanifa haret ameen thuma ameen
ALLAH mantenha sua alma em paz
Ndio mana hawa wakiristo hawafundish mafundisho ya yesu / nabii mussa aliambiwa na mungu vuwa viatu unapoingia mahala pakatif wao wanaingia naviatu hawafat vitab wanafata wazungu
Mwenyezi Mungu akurehemu
Mungu amuangazie nuru njema imani petro
Andiko limetimia na mimi sina budi kunyamaza ila ukwel umekwisha kulewa.
Nimecheka Sana kwa maswali ya imam petro yalivyo magumu. Allah akurehem
Imani petro Allah amlaze mahala pema peponi amin amin
masha Allah tabarakaAllah
Mnaibadili kweli ya mungu kuwa uongo mungu awanusuru na ghadhabu yake.
kweli ipi mussa chungu???
hehe,sawa ila kaa ukijua Yesu amesema atahukumu kabila kumi na mbili za Israel,so jipange mapema maana najua wewe ni mnyamwezi au mgogo wa tanzania hahahaha
Kwanzia leo mm naukiristo bac
PETER CHUCHU hongera kwa kuujua ukweli uliko
karibu sana
PETER CHUCHU Allah akuongoe
PETER CHUCHU Unamkana Kristo kwa sababu ya huyu mpagani??nikuulize swali dogo ndugu peter!! Baba yetu wa imani Ibrahim alikuwa na kitabu gani???lakini je kuna kitu kilimzuia kumcha Mungu???????soma waebrania 6:4 ...... mimi sihukumu ila ninaamini huyu jamaa anataabika tu huko aliko sababu Hakuna njia zaidi ya Kristo
Welcome bro
mubgu akujalie janat firidausi penda sana ila mungu kakupenda zqidi
Awa mashekh wote petro NA wengine wataalamu wasomi wadini walikua wakirsto mapadri maaskofu nawakaacha ukirsto kwakujua sio dini lkn hao wasiojua wamo kuburuzwa maskini wala hawasomi bibiliya yao vzr Allah awaongoze njia amin
Allah akurehem na akulipe pepo yake Kwa idhini yake
Ukweli upo wazi lakn Washirikina 👈 Bado wanatumia Nguvu nyingi sana kupata ugali
Masha Allah
Miminawapenda wahadhiri woooote
Shuq"ran Masheikh
JazakaALLAH kheri
allah k vai te colocar no paraíso inchallah....paz a sua alma sheikh Imani petro....
innalilaha wa innailayhi rajiuun
Hapa ndipo unapopata majibu kwamba kaziyake Mola haina Makosa
Waislamu wanachekesha
Kwa mjibu wa Surat mariamu aya 71 na 72 Imani Petri yupo Jehanamu.
Qur'an 10:102 inaelezea waislamu mtakavyokuwa
Habari yako dada. Nimeziangalia hizo aya ulizo sema hapo juu lakini naona hazisemi kama waumini wa dini ya kiislamu wataingia jehanamu.Ili ujue tafsiri ya Qurani inakubidi uangalie aya ya mbele yake au nyuma yake ndio utafahamu. Nakuletea tafsiri za hizo aya.
Surat Mariamu.
71. Tena hakika Sisi Tunawafahamu sana wanaostahili zaidi kuunguzwa humo.
72.Wala hakuna ye yote katika ninyi ila ni mwenye kuifikia. Ndiyo wajibu juu ya Mola wako uliokwisha hukumiwa.
(hizo ndio aya ulizosema, sasa hapo dada yangu mpenzi hukufahamu. Hapo Allah (Mungu wa Haki) anatuambia wanadamu wote lazima tutapita ktk njia inayoitwa siratwi, njia hiyo ni nyembamba sana, hapo Allah atabagua baina ya waumini wa kweli wa kiislamu na makafiri, makafiri wataanguka na kuiingi motoni waumini wa kweli watavuka salama) angalia aya hii ya 73 inavyosema.
73.Kisha Tutawaokoa wale wamchao (Mungu); na Tutawaacha wadhalimu humo wakiangukia magoti.
kama utakuwa na maswali zaidi unaweza kuniuliza lengo ni kusaidiana ili tukapate pepo.
kwa email yangu. kassim1533@outlook.com au Whats App +255777919400.
nikumalizie na aya hii itakusadia. Soma Quran 5: 73-77
73. Bila shaka wamekufuru wale waliosema, Hakika Mwenyezi Mungu ni
Masihi bin Mariamu, na Msihi alisema:Enyi wana wa Israeli, Mwabuduni
Mwenyezi Mungu, Mola wangu na Mola wenu, Kwa yakini anayemshirikisha
Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu Amemharimishia Pepo, na
mahali pake ni Motoni; na wadhalimu hawatakuwa na wasaidizi.
74.Kwa hakika wamekufuru wale waliosema: Hakika Mwenyezi Mungu ni
watatu wa watatu, hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na kama hawataachahayo wayasemayo, kwa yakini itawagusa wale waliokufuru miongoni mwao adhabu iumizayo.
75.Je, hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na kumwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mrehemevu.
76.Masihi bin Mariam siye ila ni Mtume tu; bila shaka Mitume wamekwisha fariki kabla yake; na mama yake ni mwanamke mkweli; wote wawili walikuwa wakila chakula.
Tazama jinsi Tunavyowabainishia Aya, kisha tazama wanageuzwa wapi?
77 Sema. Je, mnamwabudu badala ya Mwenyezi Mungu ambaye hawezi
kuwadhuruni wala kuwafadisheni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Asikiaye,
Ajuaye.
Nakutakia kila la kheri DADA
Bahati Bagaile
huna hoja waislamu peponi Quran 40:40 Quran 43:68 to aya wakristo wataingia peponi
Kasome vizuri Qur-an bibie km hijui sema ufahamishwe
@bahati bagaile yaani waropoka tyu juu juu huna jipya
@@kassimali8316 MashaAllah!
Allah akujaalie kila lililojema, na mafikio yetu yawe peponi. 🤲🤲
Wakristo hawapendi old testament coz ina mambo yote ya kiislam wanaipenda new testament ya sheitan paulo
ILA WAKRISTO WANATIA HURUMA MAANA HATA HOJA MOJA WANAOJIBU UKAWA KWELI
huu ulifanyika mwakangani
nashtuka na kuhuzunika kwa hilo. naomba kujuzwa juu la hilo. kwani sh. imani petrol kafa dunia?
KITAMBO
Ndio
kwa hali hii wanaoritad kazi kwenu mwadandia dini za kuungauanga subirini jahanam
Assalaam alaykum, ndugu zangu huu Muhadhara ulikuwa mwaka gani?
kwani imani petrol kafariki dunia?
KITAMBO
AKASHA DAAWAH masheghe watu Allah awaweke
AKASHA DAAWAH the
@@AKASHA.P kafariki mwaka gani
Kweli amefariki na amezikwa tabata