HAT-TRICK YA AZIZ KI ALIVYOMALIZA MCHEZO WETU WA MWISHO WA LIGI | YANGA 4-1 PRISONS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @user-rq5ps1de8g

    Kama umefurahishwa na kiwango cha azizi na yanga kwa ujumla like here pls🎉🎉

  • @ismailmasoud6001

    Hivi mabeki Hawa mabeki hawajui Nini maana ya UKUTA, yaani karuka Mmoja tu', mmempa kipa wakati mgumu..👏👏👏👏👏

  • @trice_yanga

    mwamnyeto tunakupenda bt jitahidi kurekebisha makosa yako😢 gift Fred pass zake🔥👏👏👏

  • @chazlaw6730

    Ila Gifti Freddy pasi zake NI hatarii 🔥

  • @bahatichikoko6362

    Jamani hivi na nyinyi umouona mchango wa magori mawili ya Yanga kutoka kwa beki mganda Gift Freddy hakika hawe napewa muda acheze.

  • @HBABUHASSANI
    @HBABUHASSANI 21 день тому

    Daimond

  • @gregorysixmund2020

    Kama hauna D mbili umefeli 😂😂😂

  • @SaidHamid-yc9ub

    Huyu gift kaonekana lakini😮😮

  • @Ba63828

    ❤FREEDOM FIGHTERS

  • @edwardlesian9318

    Mwanyeto na mshery wamezingua asa

  • @yuzomaneno

    Ila yanga watatuuwa kwa furaha mwaka tunashinda hadikero tn😂😂

  • @MsumariMdoe-th8gm

    Juu moto chini moto😂😂😂😂😂

  • @daughterofthemoon680

    Naskia fei alitapika sana jana 😂

  • @radhiamussa1629

    Kilichobakia tunataka kombe lililobakia furaha hizidi na tuna hasira na rambaramba walituumizia wachezaji wetu mpaka kieleweke

  • @mashoo6781

    Nani mwingine amegundua hizo goli zote zimepigwa Upande mmoja

  • @mgenikhalfan7471

    Na ww kachukuwe iyo bahasha

  • @mgenikhalfan7471

    Mutwambie sasa nyie makolo munamsapot fei achukuwe kiatu au munapambania nafas ya pili

  • @JUU-lw2je

    Bacca anaonekana hajafurahi kabisa aziz ki kufunga hatric alitaka mzanzibar mwenzie achukue kiatu

  • @joesenior3193

    Mwamnyeto should and must be stripped of the captaincy, he's a flop who doesn't deserve to be a leader of this great team