Ee mungu nisamehe mimi nilijisahau sana lakini sasa nimeamua kukaa ndani yako sitaki tena kuyumbishwa na chochote nimeamua kuacha kila kitu ,nimekufuata wewe naomba usiniache mwanao ,nakupenda yesu ❤
Hili neno ni langu kabisaa, nilikua na garage na duka la spare parts lakini kwakua sikumueka Mungu mbele nilipoteza vyote na hata nyumba yangu niliyojenga imekuwa mahame,sahi nina andamwa na magonjwa yasiyoeleweka na niko nchi ya kigeni kwa ajili ya kazi ila nina imani kwa kua nina moyo wa toba nita simama tena katika JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH MWANA WA MUNGU ALIYE HAI🥹🙏🙏
Nakupenda sana MUNGU wangu usiniche babaa
Amen, MUNGU anisaidie kuyatendea kazi.
Oh Mungu wangu naomba uniwezeshe zaidi kwenye kukujua zaidi🙏🏽🙏🏽
Amen MUNGU nisaidie kkukuheshimu hata ukiniinua maana najua una mipango ya kuniinua na kuniheshimisha ila kwa hayo yote ujitwalie utukufu
Amen, Mungu atujaalie neema tusimwache kwa ajili ya mambo ya ulimwengu
Mungu akubariki sana mtumish innocent mashauri
Mungu wangu naomba uniwezeshe zaidi kwenye kukujuwa wewe mungu wangu simama na mm katika jina la yesu amen 🙏
Yesu Kristo nisaidie nisihipoteze nafasi yako katika maisha yangu yote Amina
🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏
Nakushukuru mungu wang na ph tunaomba utupe nguvu zaid na kutupa iman
Mungu niwezeshe nisikusahau Kwa ajili ya baraka zako kwangu.
Asante mungu Kwa msandawako umenipa uhai bila wew mm sungekuwa hai mungu unatamani kwangu mungu
Ameeen !
Hakika MUNGU ni yote kwenye maisha Yangu,Eee MUNGU wangu nipe zaidi kukujua zaidi
Mungu wangu naomba toba na Rehema naomba usaidie uzao wangu abdilike
Amen asante bwana,baba naomba uzidi kuniongoza ni kuone wewe tu,ujapo nibariki Zaidi pia nisikuache yesu 🙏
Ee mungu nisamehe mimi nilijisahau sana lakini sasa nimeamua kukaa ndani yako sitaki tena kuyumbishwa na chochote nimeamua kuacha kila kitu ,nimekufuata wewe naomba usiniache mwanao ,nakupenda yesu ❤
Ameen Ameen asante YESU ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Mungu azidi kukubariki mtumishi wake uzidi kutufundishana kutufungua fahamu zetu .🙏
Amen 🙏
Ubarikiwe
Mtumishi🙏
Naomba nisikusahahu yesu wangu nitaendelea kujifunza neno lakoo🙏🙏
Amina
Mungu anionyeshe njia sahihi na mamzi sahih Amina pasta inocenti
Ee Mungu wangu nisamehee kwa yote niliyo kukosea kwakujuwa na kwa kutojuwa ilinitembee na wewe siku sote.
Asante mungu kwa somo la leo mungu atusaidie
Ee mwenyezi Mungu naomba uniongoze niweze kukujua wewe na kukudjamini wewe zaidi kwenye maisha maan bila wewe maisha ni bule niongoze Baba ooh God 🙏🏿🧎
Amen 🙏 🙏 🙏 man of God, God bless you so much I feel blessed with your teaching 🙏
Eee yesu nakuja mbele zako mimi mkataji tamaa mimi mwenye dhambi naomba nikujue🙏🙏 zaidi
Mungu usimuache waakati wowote mm. Sina mwengine tengemeo langu ni wew mungu wangu amen
Ahsante YESU
Asante yesu kristo wanazareti unilinde kutoka kwa maadui wanaolinda maishani ya familia yangu
Mungu akubariki Kwa mafunzo kutoka Kwa throne of heaven,may GOD extend your territory.
Ee Yesu nirehemu pamoja na familia yangu ,, tunakuhitaji sana kuliko!!🤲
Amen!! Mungu akutunze.
amin
Asante mungu naomba uniongoze kwa kila jambo kwenye maisha yangu 🙏
Mungu atusaidie 🙏🙏ili tutumike Kwa uaminifu tumpe Mungu nafasi yake
Asante mungu wangu kwa kunipa mda huu ndani ya Siri za biblia
Thee Mungu wangu tangulia mbela ya maisha yangu
Asante MUNGU KWA gupitia SIRI ZA BIBLIA
Asante Yesu wangu
Asante yesu Asante yesu
Eeeeeeeeh Mungu nijalue neema nisije ku poteza nafasi yako maishani mwangu baba
Amen Mtumishi
Asante mtumishi wamungu
Yesu wangu nione mm mungu wangu mponye mwanangu
Mungu wangu nisaidie ili niweze kutunza Nafasi yako kwenye maisha yangu🤲🤲🤲🤲
Mungu Akubariki sana Asante, sana
Mungu nisaidie kukuamini wakati wote
Niinueee eee bwana 🙏🙏
Mungu anisa idie ni kue na jambelezake kila siku🙏🙏🙏
Asant yesu
Mungu tusaidie pekee yetu hatuwezi
Akika mungu atupumzishe mizgo yetu tuliyonayo
Mungu nisaidie nitangulishe kazi yako kwanza
Mungu akubaliki sana Mtumishi naomba mungu anisaidie nimepoteza nguvu ya maombi naomba mtumishi unisaidie kwenye maombi😢😢
Asante yesu Kwa Neno la kutuonya,asante mungu unatupenda
❤❤❤❤Amina. Muñgu atusaidie.
😢😢🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️😭😭😭😭🤦🤦🤦🤦🤦 Mungu Baba uturehemu sisi😢😢
NI MUNGU2 KWENYE KILA KITU THANKS LORD🙏🙏
Najiunganisha nipate kujifunza na kupokea MIUJIZA KWENYE MAISHA YANGU NA FAMILIA YANGU kwa jina la YESU KRISTO 🙏
Asante MUNGU 🙏
Kwa moyo wangu liishi neno lako tu
❤Asnte Yesu wangu kwa mafundisho haya nipe kukujua wwe zaidi katika maisha yngu
Amen amen 🙏🙏🙏
Amen Amen
YESU tuponye
Amen 🙏🙏🙏
Asante mungu akubariki sana 😢😢😢😢😢mungu nisaidie nikukumbuke kila wakati ❤❤❤
Asante yesu
Kuna siku nitatoa ushuhuda mkubwa sanaa apa niwe na subira2 mungu yupo.alisema atotuacha . 🙏🙏
Thank You Jehovah
Mimi nimeweka Mungu mbele Naye aniongoze
Hili neno ni langu kabisaa, nilikua na garage na duka la spare parts lakini kwakua sikumueka Mungu mbele nilipoteza vyote na hata nyumba yangu niliyojenga imekuwa mahame,sahi nina andamwa na magonjwa yasiyoeleweka na niko nchi ya kigeni kwa ajili ya kazi ila nina imani kwa kua nina moyo wa toba nita simama tena katika JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH MWANA WA MUNGU ALIYE HAI🥹🙏🙏
Ameen
Amen
🙏🙏💕wanao winda familia yangu na wanao taka kuniangamiza wakaangamie wao wenyewe in jizasi name back to the Sender
Eeee mungu wangu nsaidie nkujue wewe
Kweli kabisa
Asante yasu
Yesu uwe kwanza ktk kila jambo lakini pia nisikuache mi na family yangu
Bwana YESU naomba unitetee kwenye kipindi hiki cha changamoto ninazipitia. Nakuamini Jehova kupitia madhabahu ya Siri za Biblia.
Ameen😅
Asante Yesu
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Asante Yesu
Amen
Amen 🙏
Amen