Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
ANGEL FACES .EP.. 1 STARRING..RAY KIGOSI, MARIAM ISMAIL, WELU SENGO, NEEMA MALITY.
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2024
- ANGEL FACES EP 1
WASICHANA WATATU WALIOKUTANA KWENYE UTAFUTAJI WA MAISHA NA KUWA MARAFIKI... FUATILIA KISA HIKI.
#vincentkigosi #raythegretest #raykigosi
Ujawayi kutu angusha Ray wewe ni legende tz❤❤❤❤❤❤wanao penda Angel faces wekeni like zenu ❤🎉🎉
ninatowa salamu zangu .wapedwa mungu Awabariki sana kutufurahisha .katika movie. tunashukuru sana
Ray anajua huyu jamaa sio majua Kali
Mwanzo mzuri🎉🎉good job our legend Ray❤much love from saudia...
Nanitumaini ya kuwa series iyi atakuwa tamu na Kali sana, huu ni mwanzo tu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mr. Ray ungetoa Tandi part 2 kwanza ingekuwa bora zaidi ....otherwise hongereni kwa hii kazi mpya
Story za légende ni legende tu siyo kama huba,pazia,panguso azina msingi yaaani lakini za ray ni kiboko, TANDI PAKA ANGEL FACES ni bora 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Tuko sambamba RAY THE GREATEST❤ Najua umetuletea mazuriii😂❤
Wow....kazi nzuri.umeamua kushirikisha mama mtoto chuchu.....I love u guys
Ray ninafuraha sana yani uku Zambia tukikusikiya sautiyako akiriri zinaeda wa mama wa baba mademu aa tunakupenda Ray me love you somuch form Zambia 💎 💍 love you
We need tandi iendelee please RAY
Yaan nahis km kaboroga yawezekana ndo imeishia pale
Angel face ni kubwa ...nishaipenda
Huna kazi mbovu kaka Rey ❤❤❤ maua yako hayo
Apa kazi tu! Vicenty és melhor, nos traz sempre boas novas... Bom trabalho
Tunaweza sema hivi.mafanikiyo mema na kutufurahisha😅😅❤❤❤❤🎉🎉🎉
Watching from Saudi Arabia thank you so much Ray the greatest 🎉🎉🎉❤❤
Saudi Arabia
Thanks ray,,umeleta all my favorite actors from tz,,
Ray wewe ni msanii wa maana sana unatukumbuka hadi sisi wa youtube aiseee mungu akuweke brother na sisi hatutakuangusha keep it up
Watu wakagela tujuwane isipokuwa nipokenya kwa sasa 😊
Nasubir tandi episode 130 jamn 🎉
ht mm asee mbn tandi haiendelei
Kila siku mm nachungulia kumbe bado haijatoka😅
Hata mimi nachoka kungoja
Tumalizie tandi
🤦🤦🤦tuliachia 130
Kwani Tandi imeisha bado nangojaaaaaaa😢😢
Na mimi najiuliza hivyo maana latha ina potea sasa
Kasema imeisha season 1bado season 2.
Me mwenyewenilijua tunaendelea na tand ya pili
Jaman Kwan tandi Iko wap
Jamn kweli tandi hatuioni tena
🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿sempre vós desejo bom trabalho Ray kigosi ,
Good job mr Ray much love from Kenya
Napenda sana hii kaka,,,hasa inapoenda na beats za mvuto sana,,I like Ray
Tunawashukuru kwakutufurahisha kwa movis zenu zinakuwaga nzuri sana tunawapenda sanaaaa❤❤
A Kenyan from Canada, ❤❤❤ but mm bado nasubiri tandi
Tandi
Kweli ume uliza swali zuri ni aseme iyo tendi sehemu ya pili ni vp
Alisema huku tukisubiri Tandi season ya pili tutaendelea n hii ili msiboeke wafatiliaji😂😂😂❤
Good job Mr ray much love from Kenya
Naanzaje kukosa Kwa mfano,,ata huku pia niko
مشاله🎉
Thanks Vincent kazi nzuri sana pokea maua yako🎉🎉🎉🎉
Kazi nzur sana asante kwakuzidi kutufurahisha lakini tandi imeishiy pare ep129
Ata mm natamani kujua kama ni kuisha😢😢😢
Tandi bado inaendelea sema Anaitoa kama ilivyo toka Pazia kama uliwah kuitazama
Haujawayi kutuangusha you are legende
Na oba mutiye tandi Ep2 please
Napenda iyi film nimeanza nayo
Mwanzo tu masha allah tunapo endelea si ndo fire 🔥 ❤❤❤❤
Unajua kutisha sana ray.
Angele face jamani jamani simlete tena❤🎉🎉
Maana me niliwacha sehemu ya 130
Malizia tandi basi mzee baba
Hongereni sana ,💯💯🇰🇪🇰🇪
Tandi vip
Nilikua sijaziona hizi sura ni 🔥🔥🔥🔥kazi inainekana ni Zaid ya 🔥🔥🔥❤️❤️
Uweeh hii moto🔥❤❤
Uuu mnyama mwingi hongela sana itafika mbali sana kwasababu.ma plays Wana uwezo mkubwa sana
Mwanzo mzuri Mashaallah hongereni mnao igiza nyote mungu azidi kufungua vipaji vyenu mutuburudishe sisi watazamaji ❤❤
Its me to blame got me
Woow mwanzo mtamu kweli bigup.sana kigosi
Watching from kenya Ray u are the the man huezi tuangusha
Nakubali bro, Akuna kupumzika ni kazi juu ya kazi
Safi sana Ray
Kaka maliza filamu tujue mpaka mwisho ukoje...sio kuandika ilitokea ivi mara vile ..
Basi ungeandika gazeti tusome.
All in all you did well I appreciate "" Ray the great"
Angle face ni nzr sn pia brother tunaomba na mwendelezo wa tandi
Kutoka South Africa Durban like zenu kwa tunaoanza pamoja❤❤
Parabéns pelo seu trabalho Ray kigosi ,eu rendo muito os seus trabalhos . Continue assim nos alegrando os nossos corações.👏👏👏👏👏👏 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
From rwanda❤❤❤
🎉🎉🎉🎉twaeen maua yenu wana Angle faces
Haya ndo mambo @raythegretest nakubali UA-cam kila mtu aone xo azam afu wanapiga marufuku youtube
Wow kazinjema rey❤❤❤❤❤
Wema sango welcome back.
Jaman naomba like zenu mm mpya
Vip baba tandi honguiza qualidade
Matilda you have acted very nice in this movie
Mpaka kieleweke Rey kibosh love much from Burundi 🇧🇮 🇸🇦 lakini muendelezo wa tandi tunataka ❤❤❤❤
Am coming to seeee❤❤❤❤❤❤❤ angel faces
Thank youuuuuuuuuuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
From Rwanda ♥️🇷🇼 iyi mbona hatarii 🎉
Hujawahi kufeli ray mambo SI haya Yani moyo juu ya moto
Ray thé great
Nimekubali hii kazi kaka
💯💯💯💯
Kigos king of tz
Tumeipokea hii movie kwa mikono miwili bro ray tuko pamoja San ❤🎉🎉🎉
Kutoka saud Alabama mitaa ya shinyanga badala ya kuomba like naomba bando 😂😂😂😂
bro kazi zako ninzury sana nilikuwa naomba kuuliza hiyo tamthilia ya tandi msimu wa.pili itachukua mda gani kuja
Kabisa #ray the greatest tujibu
We malizia tandi kigosi banaaa
Ray naomba kujuwa tandi mwisho wa tandi
Better
Kaz nzur san n wapenda san 😊😊😊❤❤❤❤❤ a from kenya 🇰🇪
Tandi inaendelea lini🎉
Raykingosi the legend
Tanzania munajua kabisa❤❤😍😍😍
Nice work following from 🇰🇪 kenya
Hakika sasa umeamua kutufurahisha mungu akupe maisha marefu Asante sana
Kwaili nimekuvuwa kofia kk 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Brother huku Kenya tunakutambua sana kazi zuri baada ya kanumba kuondoka umetushika vizuri
Kazi nzuri ray ❤❤❤
Ishaaa ishaa yaniii
Nakupenda mariamu ❤❤❤
Mnaoomba like mkomee kwa tandi umbwa nyie hahaha barnaba hongera kwa nyimbo ray hongera kwa Kaz
Tandi imeishia njia panda😮
Kabisa wewe Jordan ni King of films za inchini Tanzanian shukurani sana wala hujawahi kukubabaisha kufanya kazi yako shukurani pia kwa wachezaji wote kwaujumula wa naweza sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Wako serious na wa nacho kifanya yani❤
Kazi nzur
Inamana tandi ndo imeisha ama? Kama ndo imeishia pale eps ya 129 utakuwa umezingua sana broo.
Tunataka tandi mbn imefkia 129
Ray wewe ni mwamba wa Africa.
Tandi Vp ❤❤❤❤ 🔥🔥🔥🔥🔥
Wapi kina tandi sasa Mr ray
Mwanzo mzuri
Mtambalike namkubali Mika 100
Nimemuona mama diba 😅😅😅