"NGOZI ZINANITOKA SEHEMU za SIRI" - WALIOKULA MAFUTA YANAYODHANIWA KUWA na SUMU -MPEMBA AKAMATWA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  9 днів тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 9 днів тому +3

    Mambo ya kiharamu yanazidi kuenea kuuliwa watu na kutekwa kuuzia watu vitu havifai kwani inakuaje jamoni 🤲🤲Subhana Allah

    • @HadijaOman
      @HadijaOman 8 днів тому

      Alafu utasikia watu wanasema Raisi anaupiga mwingi wakati mambo hayaeleweki wanasema kunachombo cha kupimia tbs ilikua inafanyeje kwa maana haya kupimwa kuonana kana yako salama ya matumizi ya binadamu mtihani Tanzania yetu mmmh Mungu awaponye

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 5 днів тому

    Serikali kwanin mnalisha watu sum inamaana hamjui!?? Alafu imezimwa tu ata hawajaongelea hili suala jaman Tz yetu ina mambo mmh masikin tutakomaa😢😢😢

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 9 днів тому +4

    Yaraab yaarab tunusuru

  • @gloria5990
    @gloria5990 9 днів тому +1

    Kwani serikali imeshatangaza ni mafuta ya aina gani ili watu wayamwage na pia kutonunua? Kwanini bado yanauzwa? Yaani hii nchi yetu!!😢😢😢

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 9 днів тому +2

    Ya rabb mnusuru kijacho na mama yake

  • @MauriceHaseen
    @MauriceHaseen 9 днів тому

    Poleni sana.

  • @MwanaidiKitogota
    @MwanaidiKitogota 8 днів тому

    Polen sana

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 днів тому

    Duuu makubwaa😊😊

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 9 днів тому

    Gabu uko vizur sana

  • @jennet6484
    @jennet6484 9 днів тому +3

    Yani mangi utauza vyote ila mafuta huna tena mteja .hakuna ata nunua wabongo nawajua😂

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 9 днів тому

    Mungu wangu utulinde sisi😢😢😢😢

  • @KhadijaYacoub-i4z
    @KhadijaYacoub-i4z 9 днів тому

    Duu mungu tulinde na mitiani hii inayojitokeza

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 7 днів тому

    Hayo ni mauji yanaendelea selekali itakua wanajuwa nini
    Kinafanyika badae yatawaletea mathala hayo

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 9 днів тому

    Kwaano yy mangi hatumii haya mafuta ya kula??? Mafuta hayo yyanatoka wapi, poleni Sana. 😮😮😮

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 9 днів тому +2

    Mafuta yanasumu subhanallah Yan watu wapo tayari kuwa wachukuliwe hatuwa

    • @Shaniatwain06
      @Shaniatwain06 9 днів тому

      Jumba bovu huyo mpemba wanampiga vita tu mbona watu wa Tandika hawajaathirika huyo mangi aseme aliyemtumia kwenda kumchukulia hayo mafuta

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 9 днів тому

      ​@@Shaniatwain06lakini mafuta si aliyauza mpemba?

    • @Shaniatwain06
      @Shaniatwain06 9 днів тому

      @@MiriamKhalid-z6o Duka lake kubwa tu la jumla Tandika dable kibin kawauzia wangapi mbona hakuna kilichotokea hd wakakutwe huko Yombo Dovya km sio dili limepangwa nn

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 9 днів тому +1

      @@Shaniatwain06 daaa mtihani MWENYEZI MUNGU amfanyie wepisi

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 9 днів тому

    Duh inalilah wa inalilah rajun

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 9 днів тому

    Wanyongwe wauzaji

  • @MirriamDevis
    @MirriamDevis 9 днів тому

    Tbs wamelala

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 9 днів тому

    Tunauliwa Pole polejamani

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 7 днів тому

    Hiyo mchi sasa hivi inaonakana thahir haina uongozi ulio bala mpamafuta hayo yanauzwa mtaani yamepita wapi viongizi wa tanzania wote wwenyezimungu wabatilishe tupe viongozi bola

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 9 днів тому

    Sisi kwetu vakula vinachunguzwa watu hawauzi chakula kimesha haribika

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o 9 днів тому

    Mpemba kaleta balaa poleni wahanga na family zenu

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 9 днів тому

    Mafuta hayo yanauzwa wap jina ya mafuta yanairwa nini

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 9 днів тому +1

    Wa tz wamezidi kupenda vya watu
    Munayo mafuta ya naz ya zet zaitun ya ni i kununua ya watu

  • @DaiylaWamchongo
    @DaiylaWamchongo 9 днів тому

    Makubwa

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 9 днів тому

    😢

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 9 днів тому +2

    Nipo nakula chips hadi nimeogopa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 9 днів тому +2

      Jitie kidole kooni uzitapike😂😂😂😂

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 9 днів тому

      Mtoto wa kiume unakula chipsi

    • @MauriceHaseen
      @MauriceHaseen 9 днів тому

      Uchunge maana mke wako atakuwa na mchepuko

  • @AggyRaymond
    @AggyRaymond 9 днів тому

    😢😢