Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MASHINE HII HUPUKUCHUA/ KUBANGUA ZAIDI YA GUNIA 15 ZA MAHINDI # MAIZE THRESHER

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 бер 2024
  • Video hii inaleta mwangaza kuhusu jinsi mashine ya kuPUKUCHUA AU KUBANGUA MAHINDI (MAIZE THRESHING MACHINE) inavyoweza kuwa msaada mkubwa kwa wakulima. Kwa kutumia teknolojia hii ya kisasa, wakulima wanapata njia bora na ya haraka ya kufanya kazi zao za kilimo.
    Unaweza piga simu namba 0620511969 kwa maelezo au huduma ya mashine hii tupo morogoro tanzania.

КОМЕНТАРІ • 1