Nafwata manzungumuzo yak hapa kutoka hapa Montréal, Québec. Dada Aziza ! Unacheza kipindi ya "Mama Kichaa" vizuri sana. Na kijana huyo Sele. Hongera sana kwako !🙏Unajuwa kazi yako ya comédie, dada murangi. 👍🇨🇩
Mmh.asee iyo mam yang Ni kichaaa inafundisha San nimeangalia nimelia kuhs sele naona Kama nikwl kunawazazi wengne ndo uhalisia wa maish😢mmeitendea haki kwa kwel❤❤
Aziza my name sake aki all the way from Kenya nimekua nikiwafwatilia sana tu hadi mwisho,but nimsalimie steve na niwapongeze sana hongereni kabisaa,alafu aziza una talanta kweli nimeipnda kwakwli,na mimi ningeipata hyo chance pia ningeitumia ivo ivo nathani, Steve naomba chanz nije Tanzania uninafasi kama yawezekana, but mungu azidi kuwalinda..
Wakwanza mimi leo nipeni likes zangu kama unankubali team Steve
Iyo nikweli kbs dada aziza wetu❤❤❤
You are Soo talented Mama kichaa keep it up 👍
Aziza tosha hapo kwa kichaa
Sikupingi mwangu San Steve mweusi 😅😅😅😅😅😅😅😅
Nimekufatiria sana nakukubari sana kaka Steve mweusi hogera hapo nipe nafasi tufanye kazi mie na w w nimezariwa 2002
Kajua jaman mashaallah niliipenda sana hongera Aziza❤
Nafwata manzungumuzo yak hapa kutoka hapa Montréal, Québec. Dada Aziza ! Unacheza kipindi ya "Mama Kichaa" vizuri sana. Na kijana huyo Sele. Hongera sana kwako !🙏Unajuwa kazi yako ya comédie, dada murangi. 👍🇨🇩
Steve
Unajuwacheza
Akunakamaweye
Mwanaumemweanajuwa
Chenzakamaweye
Unajuwa
Steve❤❤❤❤kuchenzasana
Aisee❤,nimekupenda bite mama kichaa""
St mweus na jopo lak wanaweza wote ❤❤❤❤
Mimi ni mkenya bt kusema kweli uyu dem nimemwamini na ako na true talent ,aziza keep up ,na nakupenda sna❤❤❤❤
Wakwanza from kenya mnipe like zangu na mm
Good Aziza 🎉 ....Una Akili kubwa sana ❤❤❤
Aziza wallah nakupenda kwa maneno yko wanawake wakuongeza viungo wallah watajib lip kesho mbele ya allah
I lovee the way she acted that story... Such a great actress.... Alikua mrembo hata akiwa "kichaa"....
Azizi love tupe mama yangu kichaa tume miss sna 😢😢😢❤❤❤
Ishaisha et fatilia uone kashapona
Lazm Apew Haki Yake Coz Kafany Kaz Ya Mahan Congratulation Kwake Aziza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aziza Mpole sana huyo binti kwa kweli
Ila anaongeya ongeya mambo mengi, ni muongeyaji sana siyo powa
😢😢😮😢aisee ndugu yangu hata mimi nikiangaliaga hua nalia sana navaa kiatu chako nikiangalia wanangu daaah wee acha tuu
Aziza nakupeda sana uwe wangu wamaisha nataka nikwamishe nikulete sumbinji ❤❤❤
She is so beautiful always ❤❤ aziza nakupenda ❤❤❤
Hongera kichaa wetu❤❤❤❤ from kenya
Aziza nakupenda sana yaani sauti yako sura yako nahisi na tabia
Daaah yaani Dada aziza umeongea Pwent timiza malengo kwanza jenga kwenu kwanza kuolewa baadae❤❤
Glory to god mamaa and big up❤❤love you from kenya🇰🇪
Wanao kucheka nikama machizi tu awajuwi unacho kipata Kwenye comedy zako jikaze dada yangu ❤❤
Jamani dada yetu mtangazaji nime mu miss sana
You’re beautiful Aziza mama kichaa
Tafta mtu anaekupenda ww siyo umpende wew!
Nmeipenda hiyo
( like kama na ww umeipenda)
I like your comedy, William moses from Kenya 🇰🇪
Felicitation Aziza tu as bien jouée ma chère. Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sasa kWa kifrench atakuelewaje
Hongera san da Aziza au mama sele
Masha Allah Aziza ukovizuri wangu ❤
Ongera sana Aziza,umefanya kazi nzxuri sana❤❤❤👍👍
Hongera San jmn dada nimefrah San umeigiza vzur san jmn 🙏👏 👏👏👏
Uko sawa mrebo from kenya 🇰🇪
Msichana huyu Aziza anafanana sana na mpenzi wangu Jessica, ni mrembo kama Jessica wangu.🇨🇩
Masha a Allah hongera sana
Ndo yeye😂😂
@@PhyinaElias-mu4wf apana wana fanana tu.
@@_Wayiva_mukuta_jean Niyeye 😂😂😂
Kumekucha 😂😂😂
No comment kikubwa dua 🙏
Mmh.asee iyo mam yang Ni kichaaa inafundisha San nimeangalia nimelia kuhs sele naona Kama nikwl kunawazazi wengne ndo uhalisia wa maish😢mmeitendea haki kwa kwel❤❤
Aziza wewe unaongea ukweli kabsa. Napenda kazi zako.
Steve
Miminimukogomani
Napendagisiunachezaka
Sanakomedizako
Rafikiyangu
Steve
Aziza nakupenda sana niko Congo 🇨🇩 kuja nikuowe
wawawawawa! huyu ni yule wazimu ... siamini.... mrembo kweli unajua kuact... your the best
Daah Aziza me nakupenda sana dada angu kaz nzur❤❤❤
Watatu❤ from DRC
❤❤❤much love from Saudi 🇸🇦
Aziza thanks so much tunangojea part 12
Kama mm nafatilia sana movies zako tunakupenda sana
Kazi nzuri ❤️
Aziza kazi njemaa wewe mzuri kabisa Niko Congo hapa
Hongera Aziza umeweza tu sana 👋
Hongera my dada 💯❤️❤️❤️❤️
Wala wasikuvunje moyo Aziza umejitahidi sana naimani utafika mbali best hongera
Dada umetisha Sana Yani umeweza mungu akulinde sanaaaaaaaaaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aziza mm nakutia nguvu endelea hivyo juu unajunjangamusha🎉
Azizza merci beaucoup ma soeure j'espere que TU Seras belle superster come wema sepetu
Toka Congo drc nakubali Aziza sana ❤
dada nakupenda sana ningekua naukaribu naww ningetoka naww kimapenzi
Kazi suri sana keep going 🙏
Nicely Job Dada Aziza
Kumbe Mr right ni dangulo eeeh? Huyu dada alikuwa Mr right show. Dunia imeisha😢
Ndy kaka , mtt mzuri kama uyu anaenda kutafta bwana kwel , cyo poa kaka
Nice aziz
Ak ckujua Kaa ni wewe aziza hongera sana nakupenda hatari ❤
Nakupenda sana aziza hongera ningetamani uwe sister yangu. dada yangu
jaman hudada nimempenda niombee nambayake mm ni jennefar
Nimekubali Sana Sister
Mama yangu ni kichaa nimeikubali sana hiii move dada ang azizaa
Nakubali kazi zake kwa kweli
Big up dogo aziza umeongea point sana yaani
Ww Muislam gani unakataa sheria za Uislam
❤❤❤🎉🎉aziza
Aziza hongera ❤❤🎉🎉
Waooooo mzri san❤❤❤❤❤
Very nice Aziza nimeEnjoy sana yaan
Kazi nzuri dadangu
Nakupenda Sana kipenziiiiiiiiii aziza
Aziza❤❤❤❤
Kazi nzuri ❤❤❤❤
Aziza my name sake aki all the way from Kenya nimekua nikiwafwatilia sana tu hadi mwisho,but nimsalimie steve na niwapongeze sana hongereni kabisaa,alafu aziza una talanta kweli nimeipnda kwakwli,na mimi ningeipata hyo chance pia ningeitumia ivo ivo nathani, Steve naomba chanz nije Tanzania uninafasi kama yawezekana, but mungu azidi kuwalinda..
Anastahili coz kacheza vizuri sana hongeraa mama
Kazi nzuri dada
nmeipenda hii enterview
Nimependa sna❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Anaongea ukweli huyo dada🎉🎉🎉
❤❤safi sana Aziza
Ambia stive mimi namupenda. Nikiwa kenya❤❤ hahaha
😂😂😂😂imeenda iyo
Aziza naomba mimi nkuoe 2025
Well done madam president keep it up and don't give up and we probably proud of you all the time
Kweli dada ndoa majaliwa tuko pamoja maokoto Kwanza bhana ❤❤❤
Nyc one
Dada mrembo Sana ❤
namupenda Aziza
Aziza ww ni mrembo piga kazi Stivu ni jembe ❤❤❤
Nice 🎉🎉
mashallah Aziza uko mzuri
Wooooooh
Umeongea ukweli dada maisha ya sai jenga kwenu kwanza na tena ukiwa na chako utaheshimika
aziza🎉🎉🎉
mweusi family 🔥🔥
Nakupenda Aziza
Umeongea point Sanaa wajina wa mwanangu AZIZA
Hongera❤
Wow 😮😮
dada unahekima sana ❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤