MANARA AFUNGUA MOYO KUHUSU 'MSAIDIZI' WAKE - "AKINIPENDA, KWANINI NIMKATALIE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Septemba 21, 2022 mitandao ya kijamii ililipuka baada ya Haji Manara kumtangaza msaidi wake na kupitia kipindi cha Lavidavi, Manara amefunguka mengi kuhusu ukaribu wake na msaidizi wake huyo
    MANARA AFUNGUA MOYO KUHUSU 'MSAIDIZI' WAKE - "AKINIPENDA, KWANINI NIMKATALIE"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 80

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +9

    Tuliorudi kuangalia hii video baada ya ndoa ya jana tujuane😂😂

  • @sasamama7934
    @sasamama7934 2 роки тому +1

    Wanaume waongo jamani duuuuuu eti msaidizi wangu duuuuuuu

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 роки тому +11

    Miaka 23 kkkkk like seriously 🙄 😒 Manara acha hizo huyo Dada nimkubwa more than 30 years old

    • @eladiuspeter586
      @eladiuspeter586 2 роки тому

      Duh!!Hata kama ni chuki sio hvyo. Mbona anaonekana Mdogo tu

    • @annajohn2488
      @annajohn2488 2 роки тому

      Umejuaje umri wake why wabongo mnaumia na umri wa watu

    • @habibamaguru2722
      @habibamaguru2722 2 роки тому

      Shavu limejikata hivyo miaka 23

  • @salmaswala3900
    @salmaswala3900 2 роки тому

    Haji muongo jamanii mchepuko eti watoto yeye mh mchepuko niwale wazee ambao wakezao halafu na mwengine pembeni (mchepuko ) uyo jamani

  • @kefamkv3743
    @kefamkv3743 2 роки тому +1

    Hiyo why not kama mm ndo nimeisema kwa diva vileeee😊😊

  • @allyamuli8027
    @allyamuli8027 2 роки тому

    Jamaa kumbe anaringa

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 2 роки тому

    Uko mongo ule anazidi 23, iko mu ma 30 mpaka ata 36, naanamzidi ata zuchu ukubwa,ata dira yake inaonekana tu kama mkubwa,amekoma na sura

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +1

    Mke wa pili atajua hajui🤣🤣🤣🤣
    Alifurahia mwazo.sasa zamu yke.

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 роки тому +1

    Diva iyo miwani na ilo wigi 😄😄😄😄

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 2 роки тому +1

    Kudadeki nabadilisha dini nikale bikra 70 kudadeki

    • @alexandrucarmen3185
      @alexandrucarmen3185 2 роки тому

      Pole yako ndugu siku hizi hakuna bikra walienda na vita ya eid amin dada🤣🤣🤣🤣

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      @@alexandrucarmen3185 tena hakuna kabisaaaa

    • @lastsimbatv1497
      @lastsimbatv1497 2 роки тому

      So cryz boy

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 2 роки тому

      @@alexandrucarmen3185 me mwenyewe nashangaa sijui walio na bikrah huwa wanaenda wap???

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +1

    Manara wacha uongo huna miaka 40 tumesoma wote tena darasa moja shule ya mnazi moja. Wewe ulikua darasa moja na mimi na ndugu yako hamida huna miaka 40 wewe miaka yako 48 wacha kusema uongo looh umekua jiwe wewe hukuwi 😅

    • @ramadhanabas4455
      @ramadhanabas4455 2 роки тому

      Hata yeye hakusema ana miaka 40 kamili, kasema ana miaka 40 plus.

  • @nasseralrowahi4084
    @nasseralrowahi4084 Рік тому

    Kwanini nyinyi watangazaji hamuongei kiswahili lazima mtiye luga si yakwenu huoni urimbukeni kuwa unajuwa kizungu ni ushamba wewe si mzungu

  • @benjaminulanga6749
    @benjaminulanga6749 2 роки тому +1

    Huyu jamaa anajua jmn sikutegemea km anabadilika ivo sio yule anayeongeaga kwa sauti kali kwny mpira leo kashuka ivi

  • @c75923
    @c75923 2 роки тому +6

    Huyu muhaya mbwembwe nyiiiingi na kiingereza cha chooni

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 роки тому +7

    Diva na miwani yake kama wale wazee wa kuchinja nyani

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 Рік тому

    One of the things or one thing

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому +3

    Haikuwa zambi uyu mzee bhana we unakaa na mtu ambaye unaweza kumuowa ukaribu kama ule alafu una mke anayumba kiimani uyu mzee alafu ana miaka 40 bado anataka ujana ivi mwanawe atajifunza nn au ndio maisha ya kizungu

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 2 роки тому

      Miaka 40 sio mzee , huyo bado.

    • @saadmbaraqa5272
      @saadmbaraqa5272 2 роки тому

      @@johnkiimbila6799 kwa cici waislam ujana hayupo tena ukifika arubain unatakiwa uwachane na mambo ya ujana kabisa kwa mtu mwenye kujielewa kakini urudi kwa mungu

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому

      @@saadmbaraqa5272 45

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 2 роки тому +3

    Kwendraaaaaa muhuni tuu wewe hujiheshimu. Personal assistant too young what she knows in terms of experiance

    • @lastsimbatv1497
      @lastsimbatv1497 2 роки тому

      Always young are so experience than old trust me haji was right

  • @jazzmancoltrane
    @jazzmancoltrane 2 роки тому +4

    very boring interview and interviewer. Why focus on the assistant? isn't that invasion of privacy?

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 2 роки тому

    Hata wema sepetu tukae kwakutulia huyu Bora umpe pesa itafika kuliko kumuweka karibu na unashindana naulipo toka unaakili ww🤣🤣🤣🤣

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 2 роки тому +3

    I would be a last person to agree with him!

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 роки тому +2

    Mmh tusubiri baada ya miezi 3 au 5 hv ndo tutajua msaidizi auuuuu🤣🤣🤣🤣maana we mwanangu kibokoooo

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 2 роки тому +1

    Unapendwa ww zinapendwa pesa acha ujinga

  • @husseinali5535
    @husseinali5535 2 роки тому +1

    This person he is a player

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 2 роки тому +3

    Haji Kama haji unimalizag KBS

  • @samwelhiinyamhangahiileosi1060
    @samwelhiinyamhangahiileosi1060 2 роки тому

    Manara kaongea kwa upole xn kisa babra kupaa kimataifa

  • @Gody360
    @Gody360 2 роки тому +2

    Noma sana🤣🤣

  • @agreysimon4194
    @agreysimon4194 2 роки тому +2

    Hii interview ingekuwa poa kama huyo personal assistant angekuwepo hapo ili naye apigwe maswali ..mbivu na mbichi zingejulikana

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 2 роки тому

    Mchipuko kwa kweli kumbe kweli

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 роки тому

    NA WEWE MASWALI GANI HAYO?

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 роки тому +2

    Manara ni m1 tu bongo

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 2 роки тому

      Kwanini songea nguruwe anaitwa manara?

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 2 роки тому

      @@allymtungunyu2425 muulize mamako uliyemtomba msenge ww

  • @abdulmalikiramadhani8067
    @abdulmalikiramadhani8067 2 роки тому

    Mm kumbe nawewe ulimletamzungu

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 роки тому +1

    Nimchepuko😂😂😂

  • @mussamwadin806
    @mussamwadin806 2 роки тому

    sasa aina mbili au aina tatu, uzuzu ni shida

  • @kabugashija4836
    @kabugashija4836 2 роки тому +1

    😳😳💰💰💰 tuzipongeze, without 💰 zeruzeru ni kichefuchefu.

  • @fistonmakopa598
    @fistonmakopa598 2 роки тому +1

    😊😊😊❤

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 2 роки тому

    🤣🤣🤣

  • @fabianchrizostom5743
    @fabianchrizostom5743 2 роки тому

    😆😆😆😆

  • @fadhilidini1181
    @fadhilidini1181 2 роки тому

    yuda asistensi kwenye nini

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 2 роки тому

    Angejijua alivyo

  • @josejoseph8888
    @josejoseph8888 2 роки тому

    Malaya mkubwa ww

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 роки тому

    Wee Bwana una offisi gani na wp wakati unatumwa Tu na Gsm

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 2 роки тому

    Wanawake njaaa ivi uyu haji unalala nae vp

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 2 роки тому

    Zungu Pori katika ubora wake