Habari,nineona sasa hivi Niko USA nauliza dawa ya macho familia yangu zote macho anaumwa kila mtu anavaa miwani, kingine meno Mimi yametolewa yote sasa na hofia na watoto, dawa ya misuli kuumwa.Mungu akulinde katika kizazi hiki ufundishe kabisa watu wapone magonjwa.Barikiwa sana
Dr samahan nina swali, Naomba kujua ili kutibu maginjwa za zinaa kwa kutumia mizizi ya mnyonyo, mgonjwa anatakiwa atumie vip !?? Yaana jinsi ya kuuandaa huo mziz na jins ya kunywa
Ubarikiwe saana ,na Mungu akutunzee saana
Doctor kama doctor Barikiwa sana
Tunapenda sana waelimishaji wazuri waelewa kama wewe ahsante uko vizuri.
Asante Sana kwa kipindi kizuri nachenye ujumbe kwaajiri ya afya yetu
Habari,nineona sasa hivi Niko USA nauliza dawa ya macho familia yangu zote macho anaumwa kila mtu anavaa miwani, kingine meno Mimi yametolewa yote sasa na hofia na watoto, dawa ya misuli kuumwa.Mungu akulinde katika kizazi hiki ufundishe kabisa watu wapone magonjwa.Barikiwa sana
Docta Asante kwa elimu yako nzuri.jje hiyo caltas unapotengeneza una kata kata au
Shukrani kwakufundisha mungu ainue kipaji chako inshallah
Ahsante sana,tumeelimika husipungue kutuelimisha zaidi.Mungu akuongezee Upendo.
Kuanzia leo nitakua nikikufuatilia sanaa nimependa kwa kweli
Asante sana kwa kutueleweza sisi wenye hatujui umhimu wa hiyo mimea
Asante kaka naona Video yako from germany 🇪🇺🇪🇺🇪🇺🙏🙏🙏🙏
Dr tunashukuru sana sana .Tusaidie kwa wale addicted na madawa ya kulevya ao pombe,sigara na bangi.
Asante sana doctor karibu sana kahama
shukran xana kaka angu
Habari yako Dr...tunaomba tiba ya sunzua uson na shingoni ni zile ndogo ndogo ziondoke zisirudi tena
Ubalikiwe
Asante sana doctor Kwa tiba endelea kutusaidia
Dr. Uwe makini sana aisee maana wazungu wakiona au kusikia unatoa siri za kutibu kansa mmnh wanaweza wakuue
Asante sana dactari najivunia top ten tv
Huyu kaka ako na roho safi sanaa
Maa shaa Allah shukrani sana doct mungu akubariki sana
uko wa maana kwangu. Songa mbele ndugu yangu. Minakupenda sana
Doctor hongera Kwa Kaz nzur
Nakupenda tu bure kwa maelekezo yako.
Mashallah allah akulinde na akuongezeye uhayi wakuishi
Uwe nasikunjema kaka yangu, shukran
Nakushukuru sana Dr.
🙏Dr, myonyo ninao pamoja na hayo mauwa, kabla sikujua kama ni dawa 🙏 sana kwa kutufahamisha
Nimeipenda sana mafundisho yako
Mungu akubariki
Asantee kaka kwa kutuelimisha ❤❤
Mungu akupe maisha marefu
Asante sana Kwa hii elimu
Asante sana Doctor.
Mungu akulinde docta
Thanks herbal doctor, thank God I've them in my compound.
Mungu azidi kukuinua
Unaelewesha vizur sana
Aksante sana kwa somo nzuri
Barikiwa xana kaka
barikiwa sana
amen ubarikiwe
Doctor mungu akubariki kwa huduma yako nWeza kupata namba zako kwa Ushauri .? 6:51
daaah ubarikiwe sana,,,mbona hujamalizia kufafanua majani ya mparachichi namna ya kutumia
Asante kwa kutujuza
I love you doctor una roho Safi kwa kutuelezea, 🇰🇪
Asante nimepata kaka ❤❤❤
Barikiwa
Asante Sana Mungu akubariki .
Tunaambiwa hii cactus plant kuna ambayo ni poisonous. Tunawezaje kuitofautisha kabla haijaleta madhara?
Ubarikiwe Doctor
Asante Dokt
Asante ssna
Asante dr ubarikiwe sana
Asante sana
Sawa tutapanda asante
MUNGU AKUBARIKI.SANA KAKA
Asanteee dctr ❤❤❤
Thank u so much.
Mwalim kubwa tena docta
Mbariki
Shukurani.sana dr
Ahsante sana
Waooo nili kumic docta
Asanr san doct.tunaomb daw ya visunzua na daw ya MBA wa ngozi asant
Asante Sana mwalimu
Allah bless u
Nakupenda dr
MUNGU wambingun akubark sn dr
Mm cijaona link ya kuona magonjwa ya parachh
Hapo kwenye mbegu za mnyonyo kuzuia mimba ni kweli kabisa mi ndo njia hiyo natumia miaka minne sasa , ni nzuri sana
Unameza bila kutwanga au kuikata ?
Shoga tujibu
Unameza bila kutwaga au kutoka gozi ya juu ya bengu?
SASA UKIMEZA HIZO MBEGU MADHARA YAKE NI NINI?
Shukrani sana
Periwinkle flower zipo na maua ya purple na white je maua hayo yana fanya tiba tofauti? Na yanatumikaje
Dr mbegu mbichi za mnyonyo au zilizokauka au
Dr samahan nina swali,
Naomba kujua ili kutibu maginjwa za zinaa kwa kutumia mizizi ya mnyonyo, mgonjwa anatakiwa atumie vip !??
Yaana jinsi ya kuuandaa huo mziz na jins ya kunywa
Dr ubarikiwe sitaacha kukufuatilia napanda hizi mvua
Tunaomba namba ya simu yako tunapofanya hivyo tukupigie uwe unatuelekeza wengine tuwazee
Sawa Mungu akubariki
Docta nàitaji dawa ya hémorroïdes ya ndani ni mutume ishara apa kongo
Ahsanty sana
Asante izo mbegu kavu ama mbuch
Kavu
kavu inautaala.wake wakuzimenya ukilosea tu imekula kwako
Asante Dr kwa mafundisho. Hayo majani ya mnyonyo yanatumika maji ya kawaida au ya moto?
ya moto
Asante doctta barikiwa sana namba ya cm mkuu
Maua zaidi periwinkle flowers. Taruna majani, chemsha mizizi yakecactus na Unga wa mbegu ya parachichi kunywa maji yake.
Majani hayo ya nayotibu kisukari unatakiwa utafune kwa muda gan
Habar vipi kuhusu dawaya mapunye tinea capitis
Parashishi ni finished?
Ubari kiwe
Dr naomba unipatie hiyo dawa ya sukari, sijui nitapata wapi hiyo dawa. Na ni shs gapi.
Jamani madocta wote wahimize watu kupanda hizi dawa asili,watu wakata Kila kitu bila kia na mafunzo
Umesema unaondoa ufimbe .maelekeso ukatoa .
Dr naomba maelekezo ya mgongo nazaa kwa maji ya uchungu kwa hiyo naumwa Sana mgongo msaada kaka
Good
wa kisukar maua anachemdh anakunywa kutwa mara ngapi na kw muda gan?
pia hiyo kansa ni kila aina y kansa au
Kwa kisukari, maua au majani ya maua hayo, anatafuna kiasi gani kama doze, kwa muda gani
Asante 🙏
Je nauliza inatibu maumivu ya mgogo?
Ahaha eti pigashoo uko vizur
Naomba dawa ya arthritis na uchungu ya juu ya kiuno
Hiyo calitas majani yake nachemsha kwa kuyakatakata au bila kuyakatakata?
Santé sana naomba unipe dawa ya hermoide
Parachichi ni gani?
Ukweli kabisa
Mimi naomba kujua dawa za UTI sugu