Rayvanny Ft Phina - Mchepuko
Вставка
- Опубліковано 13 вер 2024
- Track No. 6 in Flowers III 🌸
Stream/Download Flowers III - smartklix.com/...
Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: Rayvanny_chui
Listen to Rayvanny on:
Spotify - open.spotify.c...
Apple Music - beta.music.app...
Boomplay - www.boomplay.c...
Audiomack - audiomack.com/...
Tidal - tidal.com/brow...
Deezer - www.deezer.com...
ITunes - / rayvanny
KKBox - www.kkbox.com/...
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
#rayvanny #music #new #nlm #trending #youtube
Copyright ©2023 Next level Music. All rights reserved.
Sijawahi pata likes 100, Let's show how we love VannyBoy.
😃😃😃😃 rayvanny utatuua back to back
Rayvanny kaamua this year 🐆 🔥
Saraphina you killed it baby girl 👑🙌❤️
Zuwenaaa tenaa. Mmmmh 😁😁😁😂 wabongo SI unawajua. Waah
Mi ningekuwa mchepuko nisingemuacha uyo mume,sababu nyimbo nzima nimesifiwa namuachaje bwana sasa kafa kaoza ananimwagia sifa tu👑👑👑👑ebu nipishe mwafula na uache makasiriko
Zuwena bado yupo on fire hana baya🙌💐💐💐💐
❤❤sauti nyororo kweli❤❤❤❤,inanidrive crazy .Phina we need more of you.
Mmeweza mmeweza tena
Ooooooyyyyyy ubunifu wa hali ya juu kwenye uandaaji na uandishi wa maudhui ya nyimbo hii 🙌🏽 🔥🔥🔥🔥🔥
😘😘😘😘Phina kaua 💥💥💥💥
Rayvany unjua mwanetu mpka unajua tena 🔥🔥🔥
Tangia kawa na Lebo yake bro Yuko vizuri kinyamaaa
Phinaaaaaa🌹🌹
Wish I was a Tanzanian 😩😩Damn Vanny u nailed it🔥🔥🔥 mob love from Kenya❤️❤️❤️
Mmea mua kwer daa ♥️💯
Nani ameona Zuwena wa Diamond 😊
Nomaa I say
Mimi
Yupo na dera ya green
Like kwa zuwena😂
😅😅😅🤣
Sema zuwena kwenye kipengere Cha umbea hajapoteza mda kabisa
Niko hapa sababu ya zuwena❤❤
Umetisha sanaaaa vanny
From +254 Kenya 🇰🇪 😍 🙌, it's a hit with heat.Misiamati iliyoenda boarding school 🏫 🙌
Zuwenaaaaah... anatamba sana
Zuwena katishaa hapo 🔥🔥💯😁
Iyo key aliyoimbia rayvanny Ndio Hua naipenda sasa🥰
Kama Kali ni Kali ya reyvan katutetea wanaume wote for real wanaume huwaga hatuchiti hata kidogo
Duuuu ssafii sana ndiomana nakupendanga
One Love From Kinindo 🇧🇮 Bujumbura
anakalibixhwa kwetu
Uwu nimwaka chuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 💞💞💞💞💞
Nmependa vocals za Phina, 🔥
Phina umekill ,,, congratulations
Namuona Zuwena kazini ❤😂
Kali sana
Rayvan always délivrer ❤❤❤❤😊. Appreciate so much from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Agreed
Unyama ni mwingi sana❤❤❤..
🇷🇼🇷🇼
Sema phina kaua sana naona mnasahau hilo
Unajua sanaaa kuimba mwamba hongera sanaaa Rayvanny
Phina ni 🔥🔥🔥🔥
Phina aka sarafina she deserve award of good voice melody..rayvany mbele mbele yao❤❤❤
Zuwena.. oooooyoooo
Fresh music 🪘🔥✍️🇨🇩
This song woke me up. I do love my lady Monie
Zuwena at it again🔥🔥much love from Kenya 🇰🇪❤️❤️
Chui ako level ingine sasa....big up
Nimekuwa wabkwanza kabisa naombeni like zangu🔥🔥🔥
melanin queen x chui🔥🔥🔥
A win is a win..
As long as Kuna mmoja kakubali mwenzie fundi😂😂😂😂
Naona tu Zuwena Zuwenaaa!!
Kama umemkubal Zuwena Gonga like twende sawa 🔥🔥🔥🔥🔥🇺🇬🇺🇬🇺🇬🦁
Rayvany ni kiboko
Zuwena wetu tena....wapi likes zake
Mwanadada ana sauti nzuri hasa! Namaanisha mumetafutana mukakutana hasa ki sauti!
This lady has a nice and lovely voice I tell you woooow❤❤❤❤❤❤
Nampenda zuwena❤❤❤❤❤
Waow from kenya🇰🇪🇰🇪🇹🇿 upcoming artist TEEKAY BOY hapa Ray katisha kinoma noma jamani waah hii fire 🔥🔥🔥kakangu any romance my comment..❤
Noma kinoma Noma humu ndani Mmeua sana
Rayvanny is always on 🔥🔥🔥,
Much love from Kenya ❤❤❤
😅😅😅😅😅😅😅😅 nakubali dg
My phina ft Chui mwenyew....na 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ziwena siku hizi kawa mmbeya😁
Daaah! Hii naikubali sana
Nyimbo nzuri sana ya moto zuwena nae yupo!😂😂
Chuiiiiii fire brow🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ths collabo.. Voices melting❤❤❤
Likes na.suwena ni hap ♥️
Phina Keep it Up🔥🔥🔥
Yani ZUWENA tayari amesha kuwa celebrity !!!
My mentor 🤣🤣🤣👍👍 first to comment,,nipewe likes am from Kenya
Hizi ndio ngoma zako ray wachana na hizo zingine kwanza
HUYU JAMAA NILIANZA KUMPUUZIA KUMBE NILIKOSEA SANA🙌🙌🙌
Tena sana
Iviiii Kuna mtu tz yuko zaidi ya chuiii kweliiii
Zuwena again,.😂. Proud to be a tanzanian 🇹🇿
Star
Mwanangu unajua 😃😃
Keep the fire burning bro🙏🙏🙏 much love and respect ❤️❤️❤️❤️👑
It's another banger from my vanny nakupenda mpaka basi❤
Rayvanny my all-time favorite bongo musician❤❤..wakenya wenzangu mko wapi🇰🇪🇰🇪
Manzee
Rayvanny uko vizuri mziki anaujua
Nimekubalia kuwa ni kali sana
My all time musician.. congrats Vaniboi
Nakubali kazi kabisa na Allah aendelee kukupa nguvu siku zote
Nice voice from phina🥰🥰
Moto sanaaaa
Mwaka wako mzee chuiii 🐅🦅 Ray vanny msanii number 2 in Africa nzima ❤️❤️❤️🌍
Wa kwanza nani?
ati mtotot wa dada🥰 nice song
Congratulations 👏🎉 mbona mnajifanya hamjaona Zuwena hapo😂
😂😂😂
Huyu Phina ni kipaji kikubwa sana
Awwhn..sound check..magical voices..content on point..video clear..Kenyans we love you..swahili to the world..wapi Za michepuko
❤
😂😂😂
Chuiiiiiiii umeweza Alf zuena nomaaa
Like za ray n hapa ❤
Phina we phina
Rayvanny is man from another planet 💯💥💣🤩🙌
Unajua tena sana
I love Rayvanny,❤❤ from Nigeria
🔥🔥🔥ngoma Kali mnoo🔥🔥
Very talented boy chui I like his music ever, one love from eastern Uganda.💖💕💝🎺💯♥️🇺🇬🎻
Ray unajuuua hadi unaboa bro Big up
ROAD TO 5 MILLION.
One in Est Africa is Rayvanny vinani boy mtu mubaya chui
Zuwena 😂❤❤
Phina 🙌🙌
Love from senegal 🇸🇳
Goma Kali sana
Likes zake Zuwena ni hapa❤
Nakwambia nimemuina zuwena mpaka nikajua hii ni moto 💯💯
😅😅😅Ndo kanileta hapaa
@@jojoskitchen1210 🤣🤣🤣sawia pacha nami 🤣🤣🤣
🍆👉ua-cam.com/video/aGi1oSPfhfk/v-deo.html😋
😅😅😅😅
My wan and only favourite artist chui
Phina has a beautiful voice.
My brother from mbeya🇹🇿.. so creative