Hiyo akili umetoa.wapi leo wakati wewe kazi yako ni jikomba kwa ccm na kutoa maneno ya chonganishi wewe na hata kutamka kwa mbowe nimhani leo unasema mbowe mzuri kwanza siku hizi watu.tulisha kujua wewe mnafiki kwani nani amekuomba kushauli chadema huna uwezo kushauli chadema ccm mnamwogopa lisu
Msiba umechuja ccm hawakutaki uliowatukana kipindi kile Cha magufuli wao ndio wako na mama ulimtukaka mzee kikwete mzee kinana na wazee wengine baba levo anakuzidi nyota kuonekana kwenye vikao vya ccm Dodoma wewe Sasa umehamia kuwashauli viongozi wa chadema "*mnafiki mkubwa **fyuuuuooo
Wewe ni kichaa msiba. Umesema unapokuwa kiongozi mkuu lazima uwe mwangalifu. Lisu akiwa mwenyekiti ataacha harakati ataingia kwenye ushawishi. Muangalie mwambukusi wa jana nawaleo. Mtoto anapolia Kila anapokuwa anahitaji msaada sio kuwa hafai kuwa mama ukizani ataendelea kulia Lia. Tuuuulia mwehu wewe.
Waambie😮😮😮😮
Musiba umeishiwa omba rehema za Mungu 😊
Kweli kabisa.... well said Musiba.... tunalinda Amani yetu
Mandamano sio vita mandamano nifikisha ujumbe sehem usika..
Iviwana chadema wanaakili kweli naonakama mende wachooni kweli chama kinamiaka kedewakede akieleweki sipopo simyama
Kile chama kinachopora uchaguzi mbona hukisemi, hicho ndiyo kinaweza kuleta maafa wala sio Lisu.
Musiba kuna muda anakuwa na akili
Huna akili hakina mwanasiasa mkweli omba lehema kwa mungu
Rehema zipi ndugu.... wanafiki ndio waombe rehema.
Jealous people never win
Hiyo akili umetoa.wapi leo wakati wewe kazi yako ni jikomba kwa ccm na kutoa maneno ya chonganishi wewe na hata kutamka kwa mbowe nimhani leo unasema mbowe mzuri kwanza siku hizi watu.tulisha kujua wewe mnafiki kwani nani amekuomba kushauli chadema huna uwezo kushauli chadema ccm mnamwogopa lisu
Wewe huna hekima ya kumshauri Lissu wakati wako umepita wa yule aliyekubeba
Msiba.uwe.mpatinishi.utainuiaa.taifa
Kabisa❤❤❤
Fala kabisa yanakuhusu nini?????????
Msiba, mbona wewe hukupima ya kutamka kwa Membe? Ndiyo maana kesi ilikushinda. Mungu ndiye aliyewaumba wote na kuwapa vipawa.
mmmmm
Msiba huruma imetokap?
Imetoka kwetu wapenda Amani
Msiba umechuja ccm hawakutaki uliowatukana kipindi kile Cha magufuli wao ndio wako na mama ulimtukaka mzee kikwete mzee kinana na wazee wengine baba levo anakuzidi nyota kuonekana kwenye vikao vya ccm Dodoma wewe Sasa umehamia kuwashauli viongozi wa chadema "*mnafiki mkubwa **fyuuuuooo
Kama wewe na maneno yako unayapima sawa lakini kwa kinywa chako ulijitengenezea deni kwa marehemu.
Maji yako shingoni kwa ccm. Lissu akishinda. Ndio maana huyu kilaza anajifanya mshauri.
Hakuna maji ya shingo.... maji ya shingo yako kwenu. Msio na busara, kutomheshimu Mkubwa wenu.
@dianasamson9311 kweli wewe kichwani patupu.. Kusema ukweli ni kitu cha ajabu tz!!!!! Ni kukosa busara!!!!
Lisu anafaa pamoja na yote hayo
Anafaa kwenu... poleni sana... Mpeni heshima kiongozi wenu.
Ivi huyu anasomaga comment kweli? Mbna sijawai ona anaongea point au tumchukulie ni taila kama mataila wengine??
Wewe ni kichaa msiba.
Umesema unapokuwa kiongozi mkuu lazima uwe mwangalifu.
Lisu akiwa mwenyekiti ataacha harakati ataingia kwenye ushawishi.
Muangalie mwambukusi wa jana nawaleo.
Mtoto anapolia Kila anapokuwa anahitaji msaada sio kuwa hafai kuwa mama ukizani ataendelea kulia Lia.
Tuuuulia mwehu wewe.
Sio Mwehu.... anaongea ukweli.
Ujinga ni hata kwa waliosoma!