Mwanz wa kiraka nd mwixh wa k xo kimoka tup na ww Kwa Changamot zozote bax mung akubalik ktk kaz Zak Usiach kutoa muv na chumvinyng combination nzul xan kak kimoka
Habari za kazi viongozi kwajina naitwa RAMADHAN ALI nipo zanzibar kiukweli niwaombe muendelezo wa hi silis ya kiraka nawafuatilia sana kwenye kazizenu ihi kiraka ndo chaguo langu na ndio silis bora kwangu kwaiyo nawaomba sana tena sana muendelezo wahii silis
Kazi nzur lkn mbona umeimaliza kabla ya kuona muwafaka itakuaje kama atafanikiwa kuwarudisha kwenye hali yao ya kawaida chendu na yule alomuwagiza chendu mtu wake kama imekuaje iko kifaa alichoagizwa kama alifanikiwa kukipeleka
@@kimokaentertainment hapo sawa kaka 🤝 Hii kazi ni nzuri sana. Lakini mbeleni imepungua ukali kuna matukio umeyakata kata sana. Kuna yule binti wa Chendu bora stori yake yeye na huyo jamaa mweupe alipochukua namba ya simu ingeendelea ingeleta mvuto zaidi. Ni maoni tu 🙏
naomba iendelee season 2 tafadhari
Congratulations kwa kazi yenu nzuri ❤❤❤❤❤❤❤chendu nakuheshimu sana kwa kazi yako.
Hongera kaka kimoka japo umechelewesha lakini ngoma ni tamu san 🎉🎉🎉🎉kazi iendelee
Ni nzuli sana jaman mnajua❤🔥🔥
Mzee kilonga umekua mganga mwema sana umeelimisha waganga hapo wanatakiwa wafanye ulichokifanya umu yaan hadi nimekupenda bure mzee kilonga 😂😂😂 wajomba zangu kwetu mkongo na ndundunyikanza mpaka utete aisee chumvi mko moto sana congratulations
Mwanz wa kiraka nd mwixh wa k xo kimoka tup na ww Kwa Changamot zozote bax mung akubalik ktk kaz Zak
Usiach kutoa muv na chumvinyng combination nzul xan kak kimoka
Asante sana ndg yang 🙏🙏 ubarikiwe sn asante Kwa sapoti
Chendu noma una kazimbovu kaka yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyo ndo chendu bhna halembi hata kidogo😅🔥🔥🔥
Ahihikihisha sawa iyi picha
Weeeh chezea nyangemba ww 😅😅😅
Hapa unyama Kaka tunasubili kazi nyingine huku wengine tunaendelea na jini mahaba kimoka 1 iyo
Mnachelewesha sana episode 😮
Habari za kazi viongozi kwajina naitwa RAMADHAN ALI nipo zanzibar kiukweli niwaombe muendelezo wa hi silis ya kiraka nawafuatilia sana kwenye kazizenu ihi kiraka ndo chaguo langu na ndio silis bora kwangu kwaiyo nawaomba sana tena sana muendelezo wahii silis
Asante sana nashukuru tunalifanyia KAZI ombi lako ndg yang
Kazi nzuri sana Chendu❤
So mkae sana muendelezee
Shikamoo kisofaaah... Ety mama muue
Wa kwanza 😂 Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿dar
Kazi safi
I see you bro you 🔥
Kazi nzuri kaka🎉🎉
hii kazi inashuka
Imeishia pazuri kweli
atimae tumemalza asanteni sana chumvinyingi gang
Nimechobiri mpaka nimebeba mimba sijapendaaa😂
Series inapamba moto ikitoka inaingia sasa hii adi inapoa mngejitahid ata kwa wiki mtoe 😊
Bola imeisha maana kwa mwezi kipande kimoja
Kazi nzur sana ❤
Asanteni sana❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Nataman niusikilize huu wimbo usk mzma 😢
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Uyo chendu hatari sn anatisha
Sasa season 2 mpaka lini
episode nyengine ni baada ya miezi misita 😂😂😂😂
😂😂
Anakaa muda mrefu mpaka unasahau ulipoishia
Na inapoteza ladha@@allyzahrani2231
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzur lkn mbona umeimaliza kabla ya kuona muwafaka itakuaje kama atafanikiwa kuwarudisha kwenye hali yao ya kawaida chendu na yule alomuwagiza chendu mtu wake kama imekuaje iko kifaa alichoagizwa kama alifanikiwa kukipeleka
Mbona umeishia pabaya jaman
Sija ipenda munakaisha episode Hadi mtu anaboeka
Kweli nae chumv kz mingi kiasi sasa kutekeleza ni ngum
Maman nyangemba kuwa nauruma 😢😂🇧🇮
Msimu wa pili lini tena
Kwani hii ilikia bado kiisha😂😂😂
MNABOA KM HAMUNA WASANII ME NPO . MOVE MPK TUNASAHAU BHN
Mbn ivyo
Uyu nyangemb xio mtu mzr huy
Hata nilisahau kama inaendelea😂
😂😂
Finishing ndo umefeli
Oya kimoka tutolee ya 14
Kwahiyo ndugu yangu KIMOKA unataka kusema Igizo limeishia hapa siyo?. Au kuna season two?
Season 2 IPO very soon inakuja
@@kimokaentertainment hapo sawa kaka 🤝 Hii kazi ni nzuri sana. Lakini mbeleni imepungua ukali kuna matukio umeyakata kata sana. Kuna yule binti wa Chendu bora stori yake yeye na huyo jamaa mweupe alipochukua namba ya simu ingeendelea ingeleta mvuto zaidi. Ni maoni tu 🙏
@@DonMooFILMES_Express SAWA asante nashukuru
@@kimokaentertainment ahsante pia ndugu yangu 🤝
❤❤❤❤
Epsd 14 je!
Jepuras vs seba😂😂😂😂😂
Unachelewa xn 😡
Wakwanza kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
MIMI NI MSANII NAINBA NANBA YA LUPASO MUSIC
0625 744 260
@@kimokaentertainment Asant Sana kak mkubwa pia naweza kuigiza nipo tegeta dar es salaam nimemaliz chuo mwaka huu
Pambana brow fursa hii@@alobalobrown
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤