TINA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mwanadada Christina ambaye anaisha na bibi yake tu, wazazi wake walishafariki, lakini kutokana na maisha kuwa magumu akaamua kwenda kuishi kwa mamkubwa wake ambako huko alikutana na mtoto wa huyo mamkubwa wake (Fausta) ambaye hakuwa na tabia nzuri akaamua kuwaleta marafiki zake wakiume (wawili) nyumbani kipindi ambapo wazazi wake hawapo na akashirikiananao ili waweze kumbaka tina, na wakati huo wote walikuwa ni wanafunzi, Je kwanini Fausta aliamua kuleta wanaume wambake Tina? Je! Tina alipata mimba? na kama alipata mimba ilikuwa ni yanani kati hao wawili? Na maisha yapi Tina aliyapitia baada ya kubakwa? Karibu sana ufahamu mwanzo mwisho katika simulizi hii, kisha utaacha comment yako…. MSIMULIAJI NI LUCAS LUMBASI NA MTUNZI NI ARNOLD MACHAVO

КОМЕНТАРІ • 40