DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 3. WEKA MIPAKA KWA MUME WAKO USIJE KUJUTA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • NEW BEST BONGO MOVIE 2024...
    #snake boy #wrong house #boss mchawi #siri ya huba #house girl #baba yangu kipofu #mwanafunzi mchawi #mke maskini mume tajiri #penzi #aliniumiza sana #love story #bongomovies #film #comedy #funnyshortsvideo #dada wa KAZI #millard ayo #wasafi tv #manara #diamond #baba Joan #clam vevo #kicheche #bhailam #harmonize

КОМЕНТАРІ • 118

  • @darzone1020
    @darzone1020  3 місяці тому +13

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Love y'all...

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 3 місяці тому +4

    Asanteni kwa mafunzo mazuri sana ukiwa na akili ya kuifadhi chukuwa mafunzo apa kwenye hii movie DAR ZONE TV😮😮😮😮mashaallah nawapenda nyote ❤❤nice season 👌 👏 👍

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 3 місяці тому +6

    Huyu rafiki mbaya nyie jamani unamdharirishaje mume wako kiasi hiki majuto ni mjukuu nyie series yenu ina mafunzo makubwa mno .Mponji ❤❤❤❤

  • @Sam2Sam2-j5h
    @Sam2Sam2-j5h Місяць тому +1

    kaz nzr mweny wivu akaigize yy tumuone 🤣🤣🤣

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 3 місяці тому +3

    Safi sana kwa sisi wanaume natamani wanaume wengi waione hii kazi ina tiba kubwa kwetu tusipuuze kila jambo huku tunaumia moyoni tunajisababishia maradhi ya moyo bila kujua

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Ndio hivyo tuwe tunatoa sumu tuishi miaka mingi

  • @HalimaMlavi
    @HalimaMlavi День тому

    Kaz nzur mage wanawake kama hajira wanatapatapa

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 3 місяці тому +2

    Waooow Mponji ahsante sana kweli safari hii hakuna kupoa.. Mmmh jamani mpaka story tamu hivi inazidi kupamba moto 🔥🔥🔥🔥 maua yenu..Mama Mariam anaumia sana.. Ujumbe mzuri sana wanaume mnakufa mapema kwasababu mnaweka vitu moyoni na mna mambo mengi nimewaverifai verify 100%

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 3 місяці тому +1

    Tunawapenda saana kwa kutuletea mafundisho mazuri na muhimu saana ktk maisha. Tunakuombeeni kl la heri na mafanikio. Tunajivunia kua na watu km nyie. Kazi nzuri saana.💕

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Amiin Inshaallah... Tunashukuru mno Kwa support zenu. M/Mungu awafanyie wepesi

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 3 місяці тому +1

    Dada wa kaz naye shape yaua hiyo😂😂😂

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy 29 днів тому +1

    Daaaa jamani mama kama hawa wako wachache sana

  • @WinjonesKayemba
    @WinjonesKayemba 3 місяці тому +2

    Mungu kakubariki kipaji,hongera.

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому +1

      @@WinjonesKayemba Ahsante sana

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 2 місяці тому +1

    Pamoja sana ❤❤❤🎉

  • @Momy327
    @Momy327 3 місяці тому +1

    Kaz mzur tajir Allah abarik kazi zenu hongereni sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SakinaJuma-n8u
    @SakinaJuma-n8u 3 місяці тому

    Dah hapa Kuna mafunzo makubwa sana hongereni sana❤❤❤

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 3 місяці тому

    Kazi Ina mafundisho mazuri mnooo ninampenda nyote mngu amubarik ❤❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Ahsante sana. Tunakupenda mno

  • @MMoriet
    @MMoriet 2 місяці тому +1

    Huyu mama namkubali huyu ndyo mzazi pwa kabisa ambayo ako na uchauri ambayo ukisingatia maisha yako yote yatanyooka. Pia ninamunga mkono huyu mwajiriwa

  • @ZubedaSeif-o6m
    @ZubedaSeif-o6m 3 місяці тому +2

    Huyu mama mm namkubali sana

  • @FurahaMulindwa
    @FurahaMulindwa 3 дні тому

    Uyu maman ni mushauri kweli

  • @WinjonesKayemba
    @WinjonesKayemba 2 місяці тому +1

    Hongereni dar zone kwa kazi nzuri.

  • @RehemaElendela
    @RehemaElendela 3 місяці тому +3

    Mimi wa kwanza Naomba like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉🎉umetisha sana chukua makopa kopa Yako ❤❤❤❤❤❤❤

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 3 місяці тому

    Mama umempea mponji wosia mzuri sana na huo ndio uhalisia hapa dunian

  • @darzone1020
    @darzone1020  3 місяці тому +11

    WAPENZI MASHABIKI ZETU MZIGO HUU HAPA HATUPOI HATUBOI SAIV NI MWENDO WA KUACHILIA VYUMA TU...NAWAPENDA MNO ❤❤❤❤..

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 3 місяці тому +1

      Mmetisha Mponji. Nakutakieni kazi njema na yenye mafanikio. Tunajivunia kua na watu km nyie nyumbani.❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +1

      ​@@umfahad2609Ahsante sana Mama Fahad wasalimu sana huko

    • @annayambayamba8614
      @annayambayamba8614 2 місяці тому +1

      Unajuwa kazi ❤❤❤🎉

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 3 місяці тому +2

    Utajutiawe subiri Dawa yako ipoji Koni inache muka

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 3 місяці тому +3

    Kazi ina ujumbe mkubwa mno kila episode mambo yanazidi kuwa moto nawapenda sana...Sasa huyu mke hana akili kabisa anashindwa hata na dada wa kazi we ngoja yamkute.

  • @ndogolofadhila6203
    @ndogolofadhila6203 Місяць тому +1

    Mama mkwe kama mama mkwe

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 2 місяці тому +2

    Yani uyo magy ana shuzi kuliko mama mjengo

  • @TwalibKabaju
    @TwalibKabaju 3 місяці тому

    Namkubar Sana mponji na mama marim anapenda sana

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Ahsante sana... Tunakupenda mno

  • @HhMm-w3l
    @HhMm-w3l 2 місяці тому +1

    Maraii utajua ujui

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 3 місяці тому

    Hii movie inakitu tamu sana ndani yake❤❤❤❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Nakwambia we kher yako umeliona hilo

  • @RehemaMandai
    @RehemaMandai Місяць тому

    Huyu dada wa kaz nae eti niheshimu wanaume, afu eti zaid mume wngu, kwaiy uyo ni mume wko? Wadada wa kaz wanaakili nyingi sana.

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 3 місяці тому

    Daah sijui hata la kusema ila ujumbe uliomo humu ni mkubwa mno na unafundisha jamii 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 місяці тому

    Mwanamuke mujinga unatowa siri zako inje falaa ety 😮

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 місяці тому +3

    Dakk mnafeli sanaaaah, muongeze

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому +1

      Usijali my dear tutaongeza utaenjoy tupo kuwafurahisha.

    • @JullianaEmmanuel-tm5xg
      @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 місяці тому

      @@darzone1020 asanten tunawapenda

    • @sweetylove9918
      @sweetylove9918 3 місяці тому +1

      Tutashkuru kaka mana dakika ndogo mno alafu move tam balaa asanteni sana

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 3 місяці тому

    Uyo mkee atajuta asie funzwa na mume atafunzwa na ukewenza

  • @OmanCity-i2l
    @OmanCity-i2l 3 місяці тому

    Mtihani kweri 😢😮😅

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 місяці тому

    Yan mikil nikiangalia mov yak kaka nainjoi san wallah nawapenda san miss yuooo ❤❤❤❤ mubarikiwe san muzid kutuelimisha kaka

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MargaretPendo-t7w
    @MargaretPendo-t7w 3 місяці тому

    Hongera sana mponzi kazi nzuri 🎉🎉🎉 from kenya 🇰🇪

  • @Aisha-o4v
    @Aisha-o4v 3 місяці тому

    Ohooo.🎉🎉🎉🎉

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 3 місяці тому

    Huyu mke wa mponji ni choko ,afu kichwa chake ni kibovu

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 3 місяці тому +2

    Shadya ndoa huna kaone na sura yake ile

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 3 місяці тому

      Mama Shadia. Anaitwa Hajra.

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Anaitwa Hajra ila mwanae anaitwa Shadya

  • @LeylaRamadhani-h4s
    @LeylaRamadhani-h4s 3 місяці тому

    Kaka mponji nimewakubli hampoi Raha ya chai kunywa ya moto kama hii

  • @Maryam-cm5yt
    @Maryam-cm5yt 3 місяці тому

    Ila mama maryam nimzur nampend san nawapend nyot mung awafanyie wepes katik kaz yenu

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Ahsante sana tunakupenda pia

  • @Linetmokogoti
    @Linetmokogoti 3 місяці тому

    Nawapenda ndio hiyo maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 місяці тому

    Mama mariamu,mupe fuzo la mwisho mwanao laa sivyo ndowa hana 😢😢😢

  • @SafiAimerance
    @SafiAimerance 3 місяці тому

    Vizuri sana

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 3 місяці тому

    hyu mke mbn wamefanana sana mme wake jaman

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Hahahaha 😂😂😂 we Naruto

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @hajjikavumaabdallah5911
    @hajjikavumaabdallah5911 3 місяці тому

    Hajjj kavuma

  • @ShaziShazi-gp6vd
    @ShaziShazi-gp6vd 2 місяці тому +1

    Ya sits

  • @Rizk-xo4vs
    @Rizk-xo4vs 2 місяці тому

    😅😅😅😅

  • @ZainaibZawad
    @ZainaibZawad 2 місяці тому +1

    Ninzuri kwakweli naomba muendelezo plz nawapenda ❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +1

      Upo tayar angalia hapo episode ya 4

  • @theodorachaki5174
    @theodorachaki5174 3 місяці тому

    Hongereni sana

  • @KhadijaTalib-tm6gx
    @KhadijaTalib-tm6gx 3 місяці тому

    Hii muvi Ina madunzo makubwa kw wanafamilia Weny wadada wakzi sio kila Kazi unamwachia Dada mambo mengine unatakiwa ufanye mwenyw hasa yanayomuhusu mumeo. Mm km mm sitaki Dada w kazi amuhudumie mumewangu kw jmbo lolote lile mana wanaume wanatafut sabbu tu. Kitu unafnya mambo hayawi je kila kitu unamwachia Dada wkazi si unajichimbia kaburi mwenyw. Hapana Wanawke wenye tabia km hizo badilikeni

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 3 місяці тому

    Mama mariyam ❤❤❤

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 3 місяці тому

    Kaz nzur

  • @Aisha-o4v
    @Aisha-o4v 3 місяці тому

    lakini pale pakumsikiliza sheemu mekosea. Yule nishemengitu haifayi kusikiliza kila kitu hasa mbe ya mfanya kazi au mdongo wa mkewako

  • @MelesynaMaganga
    @MelesynaMaganga 3 місяці тому

    Mwendelezo please 🙏🙏🙏

  • @MjeniMwero-db6nb
    @MjeniMwero-db6nb 3 місяці тому

    Mimuvi inamafynzo akh

  • @mariumcharles8336
    @mariumcharles8336 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 3 місяці тому

    _❤❤❤❤

  • @Elizabethy-ow6nt
    @Elizabethy-ow6nt 3 місяці тому

    jmn nyie ndokwanz epsod y tatu lakin y moto

    • @darzone1020
      @darzone1020  3 місяці тому

      Mambo ni moto 🔥🔥🔥

  • @Sam2Sam2-j5h
    @Sam2Sam2-j5h Місяць тому +1

    kaz nzr mweny wivu akaigize yy tumuone 🤣🤣🤣

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 місяці тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ShaziShazi-gp6vd
    @ShaziShazi-gp6vd 2 місяці тому +1

    Ya sits

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 3 місяці тому

    ❤❤❤