DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 6...WEKA MIPAKA KWA MUME WAKO UTAJUTA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 208

  • @darzone1020
    @darzone1020  2 місяці тому +10

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Love y'all ❤❤❤. God bless you....

  • @Gracekadzo-ix4zt
    @Gracekadzo-ix4zt 2 місяці тому +7

    Wangapi walia pamoja na mimi😢😢😢

    • @AthumaniAlly-t7x
      @AthumaniAlly-t7x Місяць тому

      Umelia kumbe??? Dah pole kwa uchungu mpendwa

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua 25 днів тому +1

    Duuh mama shadya kiboko😅😅

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 2 місяці тому +5

    Jinga jinga tena mjinga mkubwa Hajra unamfukuza mama yako 😮kwa kukuambia ukweli na kukufundisha maisha ndo umeona anakubana… unalolitafuta utalipata hivi karibuni. Niwapongeze sana kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 2 місяці тому +8

    Huyu mwanamke ni mshenzi nyie dah mumeo akufikishi sio jambo la kutangaza mpaka baba wa watu analia alivyosikia mkewe anatangaza amridhishi haitoshi ana roho mbaya sana sasa dada wa kazi akiumwa ndio umkate msharaha wake wote kisa umemtibia

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 2 місяці тому +6

    Hongera Mponji kwa moyo mzuri na kumpa Mage pesa akamtumie mama yake aende hospital mpaka nimesikia uchungu ani ...Ila naona mkeo siku si nyingi linamkuta jambo nipo hapa kwa ukaribu kusubiria siku zake 😂😂😂

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 2 місяці тому +4

    Kazi inafundisha sana leo kiukweli Mponji umeniliza nimelia wakati bibi anamuaga mjukuu wake nafurahi kuona mke wa Mponji siku zake za kujuta zimefika safi sana

  • @elizabethkahindi8084
    @elizabethkahindi8084 2 місяці тому +2

    Kishakuramba😂😂

  • @nadiaMamba-wj6qg
    @nadiaMamba-wj6qg 2 місяці тому +3

    Uy mama mwisho wake mbaya sana 😢😢

  • @janethnyigo5925
    @janethnyigo5925 2 місяці тому +2

    Yan sjui niwape nn kwn mnaelimisha yani nishule tisha ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 місяці тому +1

    Usitucheleweshe to kazi kazi kazi mashallwah

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 місяці тому +2

    Mama mariyam unajuwaa sanaa mpaka unajuwa tenaa mubarikiwe sanaaaa🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @darzone1020
    @darzone1020  2 місяці тому +15

    WAPENZI MASHABIKI ZETU MZIGO HUU HAPA FULL HD HATUPOI HATUBOI KAZI KWENU... TUNAWAPENDA SANA YAANI SANA ❤❤❤❤

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 місяці тому +2

    Mponji Asante una tudai washable huchelewesh mambo

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Sawa nimekuelewa usijali kazi kazi

  • @ShamiraBakari-w9r
    @ShamiraBakari-w9r 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri dj lete manenoz

  • @jacobmvanga4564
    @jacobmvanga4564 2 місяці тому +2

    Kazizuri sana ❤❤❤

  • @EugenieNziavake
    @EugenieNziavake 2 місяці тому +1

    maman Mariam nakupenda sana, mzazi ambaye anafaa kuitwa maman. hongera sana. mponji una hekima ndani ya hii movie. uliniumiza sana ndani ya movie tajiri muponji.

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 місяці тому +1

    Mponji hapa ni mpole saana na ana busara. Ana maamuzi ya taratibu. Mm Shadya utaangukia pua. Pole sana Mponji.

  • @Pamela-gc3vb
    @Pamela-gc3vb 2 місяці тому

    Dada wa kazi hupitia mambo mengi sana

  • @challemartin
    @challemartin 2 місяці тому +1

    Kaz nzuri mnooo

  • @JenipherGervas-v2h
    @JenipherGervas-v2h 3 дні тому

    Huju dada anakiri kweli.

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 2 місяці тому +1

    We dada usilolijua ni sawa na usiku wa giza 😮😮we mponji unamoyo wajiwe sijawahi kuona😢😢❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Ndio hvy tena mtoto atapata shida

  • @mariammakotah4888
    @mariammakotah4888 2 місяці тому +1

    Mponji, M/mungu azd kuwapen afya mzidi kutuelimisha... Asiyejifunza kwa haya mafunzo mnayoyatoa bac ahurumiwe sana 😊

  • @MwanaishaBaruti-k6o
    @MwanaishaBaruti-k6o 10 днів тому +1

    Mwanamke were chizikweli x10000

  • @KudraRahe
    @KudraRahe 2 місяці тому +1

    Haha unalaan maisha kwako

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 місяці тому +1

    Makofi kwa mponjiiii❤❤❤

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 2 місяці тому +1

    Kuumwa kizembe tena hee wewe dadaaa

  • @Fazila-j2s
    @Fazila-j2s 2 місяці тому +1

    Una mufukuza paka maman mzazi yako,un mlilisha pia😢😢😢😢

  • @Yasmin-u6i
    @Yasmin-u6i 2 місяці тому +2

    Kazi iko poa sana hongera sana mama wajua kuogoza hapo kwa kutoa machozi hata mm langu limenidondoka ndyo nkakumboka soyo ukweli nkuigizia 😢😂😂😂

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 місяці тому +1

    Mumejitahid sana KAZI zuri sana 🎉🎉

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 2 місяці тому +1

    Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu,,,,mama shadia , naona ulimwengu uko karibu kukufunza

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 місяці тому

    Aaaah Aaaah utaona mbingu wew mwanamuke kaaba

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 2 місяці тому +1

    Siyee funzwa na mamayee hufunzwa na ulimwengu❤❤😮😮

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 місяці тому

    Pole Mamaangu mwanao hibilisi

  • @AshaJafary
    @AshaJafary Місяць тому +1

    Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono miwili

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 місяці тому +3

    Hajra mwana kuyatafuta mwana kuyapata,subir.utayapata,huna adabu hata kwa mama yako,nyoko zako

  • @HildahBaby-y3m
    @HildahBaby-y3m 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri mponji mzigo umefika kwa wwkati big up bro❤ kutoka kenya twakupenda

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Ahsante sana tunawapenda sana mashabiki zetu kutoka Kenya

  • @RehemaElendela
    @RehemaElendela 2 місяці тому +3

    Mimi wa kwanza 😂😂😂

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +1

      Napenda kumtangaza kuwa huyu ndio wa kwanza tumpe maua yake jamani.

    • @AminaNdugai
      @AminaNdugai 2 місяці тому +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉hayo hapo

    • @LeticiaCalderon-nr6hh
      @LeticiaCalderon-nr6hh 2 місяці тому +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Clamvevotz2024
      @Clamvevotz2024 2 місяці тому +1

      🎉🎉🎉chukua mrembo Kwa kutufungulia dimba

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 2 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LoiceMapenzikenga
    @LoiceMapenzikenga 2 місяці тому +1

    Hajra mamako anakupenda lkn ww wajifanya nimwerevu utamkumbuka sna

  • @NafsaJuma-u5t
    @NafsaJuma-u5t 2 місяці тому +2

    Yaan huy mke wa mponji ni mshenz san anaruhus vip mama ake kutoa chozi imenium san walah😢😢😢

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Pole sana my dear

    • @NafsaJuma-u5t
      @NafsaJuma-u5t 2 місяці тому

      @@darzone1020 asante mama akitoa chozi hio ni laan ata Kam ni movie tu hii

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu Місяць тому +1

    Wenzako wanatamani hyo ndoa ww unaichezea lakini mwana mke hana ata aibu

  • @SafiAimerance
    @SafiAimerance 2 місяці тому

    Mama Mariam upewe mauwa yako🎉🎉🎉unamjuwa sana.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 місяці тому +1

    Mungu akubariki mponji kwa msaada ulompa dd wa kazi

  • @AishaRamadhani-y1m
    @AishaRamadhani-y1m 2 місяці тому +1

    Mwisho wa ubaya aibu😊

  • @HAMIAKAJIBA
    @HAMIAKAJIBA 2 місяці тому +1

    Hajra Hana akili khaaaa mama hajra kazi unayo daaaaaaaaah

  • @buru1235
    @buru1235 2 місяці тому +1

    The next part please 🙏 Yani inafika SAA ngapi 😮

  • @AishaAisha-u1q
    @AishaAisha-u1q 2 місяці тому +1

    Mama apewe mauwa yake yani kanitoa machozi kama sio muvi🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Inaumiza sana

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 2 місяці тому

      ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AishaLove-o9l
    @AishaLove-o9l 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 2 місяці тому +1

    Kazi nzur 🔥💯

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 2 місяці тому +2

    We mama Shadia ni mwanamke mpumbavu sana subir hao marafiki zako wakuvunjie nyumba ndio utakumbuka ushauri wa mamako

  • @SaidaGunya
    @SaidaGunya 2 місяці тому +1

    Kazi hii ni nzuri jamani mpaka kichogoni ahsante tajiri Mponji Kwa kazi nzuri sana

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 2 місяці тому +1

    Kazi nzur

  • @ZainaibZawad
    @ZainaibZawad 2 місяці тому +1

    Kaz nzur sana tunaomba mwendelelezo plz

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v 2 місяці тому +2

    Mume jasiry jaman😢

  • @عائشةال-ل6ص
    @عائشةال-ل6ص 2 місяці тому

    Swa bana❤

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 місяці тому +1

    Mungu atakulipa Kaka yangu unamoyo mzuri

  • @VeronicaKalinga-r9d
    @VeronicaKalinga-r9d 2 місяці тому +1

    kaz nzuri mponji🎉🎉❤❤

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 2 місяці тому +1

    kaz nzur

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 місяці тому +1

    Usituweke sana

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 2 місяці тому +1

    Haaaah jamani huyu mdd hata hayahaoni

  • @MargaretPendo-t7w
    @MargaretPendo-t7w 2 місяці тому

    Kitawaramba wewe mwanamke 😢😢😢😢😢 kazi nzuri sana mponzi,, from kenya 🎉🎉🎉🎉

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Ahsante sana mashabiki zangu wa Kenya nawapenda mno

  • @BijouxBulose
    @BijouxBulose 2 місяці тому

    Mko powa mutupe mambo!!!

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 2 місяці тому

    Duuu yan munajua kutufunza ila mung atusaidie ili tu zid kujifunza kutoka kwen mung awabarik san muzid kutufunza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yen ayo jaman ❤❤❤❤❤❤

  • @LatifaLatifa-o4i
    @LatifaLatifa-o4i Місяць тому +1

    uyu dada mshenzi xn jmn

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 2 місяці тому

    Yaan mpak mom huruma😢😢isyee mbonaa mommy anakushauli poa tu ..pole mamangu yatosh muache ajutie ndoa

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 2 місяці тому

    Mamangu nyamaz ata waniliza nmi pia😢😢

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 2 місяці тому +2

    Safi sana Mponji na timu yako nzima kazi ni nzuri mno pia leo umetisha sana umewahisha kazi mapema sana chukua tano.

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +1

      Zimefika na ahsante sana

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 місяці тому +1

    Ww mama shadya uteanda mbinguni umechoka,

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 2 місяці тому +1

    Hajra ipo siku utakuja gundua maneno ya mama unashauliwa unajisikia vibaya haya dunia n duara😢😢

  • @PoliteKind-df8kw
    @PoliteKind-df8kw 2 місяці тому

    Uyu dada wa Kaz Hana hata machachar kwakwel

  • @IvaniMpesa
    @IvaniMpesa 3 дні тому

    Uyo dada analegeza sauti

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 місяці тому +2

    Huyu mwanamke ana laana huyu jamani utamfukuzaje mama yako mzazi kama umbwa wakati anakwambia ukweli yatakukuta wewe mpaka ujute tupo hapa

  • @LeylaRamadhani-h4s
    @LeylaRamadhani-h4s 2 місяці тому +1

    Lailath nimekukubali kaka mponji kote kote upo vzr ukiigiza mtu mbaya uko vzr ukiigiza mtu mwema unatisha zaid

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Ahsante sana Lailath my dear

  • @CharityMuthee
    @CharityMuthee 2 місяці тому

    Mama achana naye asiye sikia la mkuu uvunjika nguu 🎉

  • @CarolynMulika-m4n
    @CarolynMulika-m4n Місяць тому

    asie sikiliza ushauri wa mzazi wake huyo lazima kimrambe huyu atarabwa atajikuta mahali anapo staili 😢😢😢😢😢 pole Sana mama kwa machungu ya mwanao n pia pole Sana bosi😢😢

  • @francismasebo6387
    @francismasebo6387 2 місяці тому

    Mapenzi ni mashenzi kweli

  • @AminaYazidu
    @AminaYazidu 2 місяці тому +1

    Mwanamke hat haya huna mama yako analia kwa ajili yako wew unachukulia pw utaja mkumkumbuka 😢😢😢wallah huyo sio mke jaman pole mponji

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 місяці тому +2

    Usichokijua Hajra mumeo kakusikia vizuri tu hapo ni ukimuona kobe kainama ujue anatunga sheria

  • @mariamuhamisimwamrezi4832
    @mariamuhamisimwamrezi4832 2 місяці тому +1

    Mtoto kafanana na mage jaman😂😂😂

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 2 місяці тому +1

    Utajuta hajra Uyo Ni mama Na atabaki kuwa mama Laana ndo itakuponza

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +2

    Mponji humu unamoyo mnzr had raha, lkn kwny movie mponji tajiri mmh

    • @EugenieNziavake
      @EugenieNziavake 2 місяці тому +1

      Nami na shangaa hii hekima mponji aliitowa wapi? nilimu chukiya sana.

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Hahahaha 😂😂😂

  • @agathashayo8907
    @agathashayo8907 2 місяці тому

    Jaman bibi anavoaga mjukuu wake duh inatia huzun

  • @HabituJoella-ww4qz
    @HabituJoella-ww4qz 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @NafsaJuma-u5t
    @NafsaJuma-u5t 2 місяці тому +1

    Yaan huy mam shadia kujifany kaend kuongelea kand mume wake asisikie ndo kwanz kamwag mchel kweny kuku weng

  • @ميريالشمري-ح9ب
    @ميريالشمري-ح9ب 2 місяці тому +1

    Inamana kutumikisha mtu hauwezi mpa mshahara wake bila kumyanyasa loo😢😢😢sivizuli

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 2 місяці тому +1

    Mponji chuma Unacho😊

  • @RaysMerige-cn6xg
    @RaysMerige-cn6xg 2 місяці тому +1

    HIV hajira unajielewa kweli chiz la mama Lina laana

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 2 місяці тому +1

    Acha zarau kwa mumeo huyo ndo familia yako

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard 3 дні тому

    Unacheza na chozi la mama wewe Hajirah 😢😢😢😢

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 2 місяці тому +1

    Unamfukuza mamaako kisa anakushauri😢😢

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik 2 місяці тому +1

    Sijaona ona mwanamke shenzi kama huyo mpumbavu wafukuza mamako kwanjili ya uzinzi

  • @buru1235
    @buru1235 2 місяці тому +1

    Penye umekosea n kufukuza mmko 😢mbona umefanya ivyo hdi mum analia wallai nimefeel mm shetani Mula watu kabisa 😢

  • @NoelaKirwegye-bc5rw
    @NoelaKirwegye-bc5rw 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤😂

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy Місяць тому +1

    Wamama wenye nyumba acheni izo roho mbaya jamani

  • @AnaziethaMathayo
    @AnaziethaMathayo 2 місяці тому

    Mmmhhhiii hapana jmn huyu mama hajira hanaa utu huwrz kumjibu mzazi wako hiv. Jmn😢😢😢

  • @AlineEster-w6c
    @AlineEster-w6c 2 місяці тому +2

    ❤❤❤seemuya saba

  • @TwalibKabaju
    @TwalibKabaju 2 місяці тому

    Asiye fuzwa na maye

  • @Raheema11-n3l
    @Raheema11-n3l Місяць тому +1

    Mbona munaigiza michezo iliopita hamutungi yenu vp nyinyi

  • @NaiamKhalifa
    @NaiamKhalifa 2 місяці тому

    😢😢😢😢bibi yake shadya kaniliza mno jamani😢😢😢tuwapende san wazaz pia kuwaskiliza😢😢😢😢