Mimi nimeota sana hizo ndoto nikiwa shule nafanya mitihani mara nyengine niko hata na watoto wangu huko na kufukuzwa mbio na ngo'mbe ni kuona nafanya tendo la ndowa kuota niko mbele za watu niko uchu kuota nakula chakula kuota nafukuzwa mbio ni mambo mengi na saa hii hali yangu sio nzuri
Amina
Asante sana mtumishi wa Mungu aliye hayi,hayo yote baba tunayaishi kabisa
Naifuta jana ya maumivu kwa jina la Yesu, Ameen
Amina,Yesu atukuzwe,Mungu uturehemuye,sisi makosa yetu
Amene
Tufundze jinsi ya kushinda hizi vita
Mimi nimeota sana hizo ndoto nikiwa shule nafanya mitihani mara nyengine niko hata na watoto wangu huko na kufukuzwa mbio na ngo'mbe ni kuona nafanya tendo la ndowa kuota niko mbele za watu niko uchu kuota nakula chakula kuota nafukuzwa mbio ni mambo mengi na saa hii hali yangu sio nzuri
You need fasting and prayer,hii mambo yote ni uchawi,washindwe katikajina la Yesu Kristo.