NEEMA YATOSHA - KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA, KIGAMBONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 202

  • @JugoMedia
    @JugoMedia 4 роки тому +5

    Hongereni sana. Kazi nzuri, Mungu awabariki

  • @theresiarenatus7946
    @theresiarenatus7946 4 роки тому +5

    Hakika ni kwa neema yako Mungu, hongereni sana na Mungu aendelee kuwa tia nguvu ..najivunia sana 😍😍😍💗😊😘😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏 tuko pamoja🙏🙏🙏🙏 nawapenda

  • @ThomasJumanne-iw4hp
    @ThomasJumanne-iw4hp 4 місяці тому +1

    Ewalaaa hakika Mungu anatukizwa Mungu awabariki sana

  • @polycarpmicky4151
    @polycarpmicky4151 4 роки тому +5

    Nasubiri niinjilike

  • @SweetMelodies_
    @SweetMelodies_ 4 роки тому +4

    Hakika #neema yatosha ni maneno mazuri yameimbwa vizuri na kwaya nzuri katika video nzuri...

  • @mathewgithinji1115
    @mathewgithinji1115 4 роки тому +3

    Naisubiria kwa hamu na gamu. #GalaxyProPerExcellence😊

  • @christinaifokolo6392
    @christinaifokolo6392 4 роки тому +5

    Naona amani ,upendo na furaha vinatiririka moyoni mwangu ,,, Amina sana Mungu awaongoze na kuwatunza zaidi na zaidi ,,am blessed

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому +1

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @gndunguru
    @gndunguru 4 роки тому +3

    Hatari mnoo. Kimya tunaingojea Kwa hamu

  • @josenjowoka2743
    @josenjowoka2743 4 роки тому +4

    Hongereni Sana. Kazi nzuri Munga aendelee kuwasimamia utume wenu.

  • @sahilygwisu3183
    @sahilygwisu3183 4 роки тому +4

    Hongerani wimbo mzuri,video iposawa pia🙏

  • @StevenFungamali
    @StevenFungamali 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri

  • @emmanuelmwigagi4860
    @emmanuelmwigagi4860 4 роки тому +4

    Heshima kwenuuuu Sana yn

  • @ernestkashunja1514
    @ernestkashunja1514 4 роки тому +3

    Namshukuru kuwa wa kwanza kuangalia huu wimbo

  • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
    @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому +4

    Asanteni wote kwa maoni yenu , ni wazi yanatutia nguvu.
    Yote yamewezekana kwa Neema ya Mungu!

  • @naseershiner6738
    @naseershiner6738 4 роки тому +3

    Hey Mimi naisubir hiii nyimbo niione naipenda Sana kwenye album yenu mungu awabariki

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 4 роки тому +9

    Hongera sana uimbaji mzuri.. Asanteee saana kwa kutuuinjilisha...
    Mwanangu Frank Mwambi - Wakili Hongera Sana...

  • @theresiarenatus7946
    @theresiarenatus7946 8 місяців тому +2

    Here again😅❤❤❤

  • @theresiarenatus7946
    @theresiarenatus7946 5 місяців тому +1

    Back again and again ❤❤❤#Agk #utumewauimbaji

  • @Danielkashatila2024
    @Danielkashatila2024 4 роки тому +5

    Wimbo safi sanaaaa

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 4 роки тому +4

    Waiting

  • @naomimwinyi
    @naomimwinyi 5 місяців тому +1

    Jaman hongeren kwa utume

  • @gaspermethodtungaraza3850
    @gaspermethodtungaraza3850 4 роки тому +4

    Hongera kwenu Alois Gonzaga, mnaweza kila idara, Mungu awalinde.

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому +1

      Asante sana,sifa kwa Mungu wetu!
      Tafadhali, subscribe channel yetu, kisha washirikishe wengine pia kwa kuwatumia link ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

    • @gaspermethodtungaraza3850
      @gaspermethodtungaraza3850 4 роки тому

      @@kwayayamtaloisgonzaga-kiga60 Tayari nilikwisha subscribe, tuko pamoja.

  • @StudioiRisPro
    @StudioiRisPro 4 роки тому +3

    Nice one Fellaz🎵👋

  • @winifridaboniphace6116
    @winifridaboniphace6116 4 роки тому +6

    Mpo vizuri mno jamani

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @dafrodhaelias8944
    @dafrodhaelias8944 4 роки тому +4

    Son Max I see you 🔥

  • @despinamdende9810
    @despinamdende9810 4 роки тому +4

    Hongeren sana wana wa mungu kazi nzuri sana🙏

  • @sundayssmile2128
    @sundayssmile2128 4 роки тому +4

    Mimi kama mimi, naisubiri hii kitu😊

  • @ernestkashunja1514
    @ernestkashunja1514 4 роки тому +3

    Naisubiri kwa hamu sanaaaaa

  • @gracemathew4434
    @gracemathew4434 4 роки тому +4

    Nabarikiwa sana aseeee

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @EnestFSoka
    @EnestFSoka 4 роки тому +3

    Hengereni mnoo.. Mungu awee nanyi daima mfike malengo. Hiyo sehemu ya shooting ni njema sana sjajua shida ilikuwa studio au edits... kazi ni njema zana

  • @djwymaakababayao3135
    @djwymaakababayao3135 4 роки тому +5

    Kali Sana. Wyma producer nikiwa Kenya

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 4 роки тому +4

    Good job

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 4 роки тому +4

    Wimbo wa kubariki

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому +1

      Tumshukuru Mungu,tafadhali subscribe katika channeli yetu ikikupendeza bila kusahau kushare link na ndugu na jamaa

  • @ananiamkongosa5438
    @ananiamkongosa5438 4 роки тому +5

    Nilisikia kanisani kiongozi wa kwaya akituambia tuje UA-cam tuangalie ila kwa kweli najiona kuchelewa lakini nawashukuru kwa nyimbo nzuri

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @cleriakahemela3933
    @cleriakahemela3933 4 роки тому +3

    Mbarikiwe, wimbo mzuri sana. Wanakwaya wapo smart na wamechangamka sana

  • @priscuskimario2747
    @priscuskimario2747 6 місяців тому

    Good work Gonzaga members

  • @mariamuahi2421
    @mariamuahi2421 4 роки тому +4

    Wimbo mzuri WA sifa... Hongereni Sana kutufunsisha....

  • @philipomgovano7878
    @philipomgovano7878 4 роки тому +4

    kazi nzuri mnooo, mbarikiwe sanaaa!!!!

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @tonnychantry7412
    @tonnychantry7412 4 роки тому +1

    Kweli Upendo na wema wangu tumeuona.. mmetubariki sana

  • @Mendas463
    @Mendas463 4 роки тому +3

    nyimbo ni nzuri nmeipenda,na hongereni kwa kaz nzuri

  • @samwazenga7367
    @samwazenga7367 4 роки тому +7

    Hongereni rafiki zangu.. Kazi nzuri sana...mmefikia level nzuri sana...shikilieni hapohapo msirudi chini tena.Wengi tutajifunza kupia nyie...nawaona mbali sana siku sio nyingi...

  • @innocentsayayi6819
    @innocentsayayi6819 4 роки тому +3

    Mungu awabariki sanaaa

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @nicasgentv3751
    @nicasgentv3751 4 роки тому +3

    Wimbo mzuri sanaaaaaaaa hongeren kwa sauti zilizotulia

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @frankmwambi1477
    @frankmwambi1477 10 місяців тому +1

    Naam

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 4 роки тому +2

    Nikwaneema yako baba nimeamka salama asingekuwa wewe nisingeamka shukrani nizako ebwana milele na milele amina🙏🙏 🥰🥰🤩

  • @theresiarenatus7946
    @theresiarenatus7946 10 місяців тому +1

    Moja ya wimbo bora sana🙏🙏🙏🙏

  • @reginardtibishubwamu1522
    @reginardtibishubwamu1522 4 роки тому +3

    Kazi nzuri bro domi

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @violethcredo8146
    @violethcredo8146 4 роки тому +2

    Nyimbo nzuri sanaaa sichoki kusikilizaaa 😍

  • @castorymagungu9177
    @castorymagungu9177 4 роки тому +3

    Hongereni sana nawapenda mno

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @juliusmartin846
    @juliusmartin846 4 роки тому +4

    Hongereni Mmeimba vizur Pia Ujumbe ...mzr

  • @chrismwashubila4817
    @chrismwashubila4817 4 роки тому +3

    Hongereni sana regina

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @robertseni8980
    @robertseni8980 4 роки тому +2

    Video nzuri sana ina ujumbe mzuri hongeren

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @agnesfrancis5831
    @agnesfrancis5831 4 роки тому +3

    Hongereni wapendwa....

  • @philipmpina3531
    @philipmpina3531 4 роки тому +4

    "Neema zako na Fadhili zako ndizo zaniongoza"
    Hongeren sana kaz nzuri Mungu awabariki sana na azid kuwapa maneno matamu zaid kwa sifa na utukufu wake

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому +1

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @emmanuelhofu5960
    @emmanuelhofu5960 4 роки тому +3

    Kihome home keep blessed

  • @manhardmpanduka1741
    @manhardmpanduka1741 4 роки тому +2

    Hongereni Sana wimbo ni mzuri Sana kwa kweri

  • @djwymaakababayao3135
    @djwymaakababayao3135 4 роки тому +4

    DJ WYMA FROM KENYA SAID THIS IS A HIT

  • @MamaVisee
    @MamaVisee 2 місяці тому

    Iko poa sana hii ngoma nimeielewa

  • @victorkiprop-e4r
    @victorkiprop-e4r 4 місяці тому +1

    Nice song ever❤❤

  • @marcusmndamshimu2091
    @marcusmndamshimu2091 4 роки тому +3

    mbarikiwe sana

    • @realyrose5572
      @realyrose5572 4 роки тому

      Marcus Mndamshimu kazi nzuri saana

    • @polycarpmicky4151
      @polycarpmicky4151 4 роки тому

      Amina pia tuwape link ndugu na jamaa tuendelee kuinjilika

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @luciasimon5046
    @luciasimon5046 4 роки тому +3

    Wimbo nzur, Ubarikiwe mnoooo

  • @maikosinkonde7817
    @maikosinkonde7817 4 роки тому +3

    Barikiweni Sana waimbaji kwa kazi nzuri

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @faithmwelumakau5520
    @faithmwelumakau5520 4 роки тому +3

    Amen 🙏💖👌👊 mungu hawa bariki nyote wapendwa 👏 Asante
    Mungu wetu 🙏 sifa tuna kupa wewe Jehovah lover 💖👌 😂😂💕🎷👍

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      share link na wapendwa waweze kutazama hapo chini
      Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. 4 роки тому +3

    Nimewapata Asante kwa ujumbe "nyenyekea by nyota balolane 👏 usisahau ku subscribe ao ku like asante

  • @Patrick_Mndeme
    @Patrick_Mndeme Рік тому +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @alexkaiza4020
    @alexkaiza4020 4 роки тому +4

    Hongereni sana WanaAloyce Gonzaga Kazi ni njema sana👏🏾

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому +1

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

    • @alexkaiza4020
      @alexkaiza4020 4 роки тому

      KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA KIGAMBONI tupo pamoja👏🏾

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 4 роки тому +2

    Umenibarki umeniinua umenijbu kwa wakati hakika mungu wtu anajbu kwa wakati tumtukuze kwa sala na Sadaka

  • @rebecadidas75
    @rebecadidas75 4 роки тому +3

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri msichoke kutuinjilisha

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      amina.
      washirikishe ndugu ,jamaa na rafiki pia link hii
      Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @rashidmtongela7743
    @rashidmtongela7743 4 роки тому +2

    Wimbo mzuri sana

  • @felicianholle3010
    @felicianholle3010 4 роки тому +4

    Hongereni sana waumini kwa wimbo mzuri stair safiii

  • @nambelachikko1324
    @nambelachikko1324 4 роки тому +3

    Amazing

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante ndugu!
      Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Tafadhali,Washirikishe na ndugu ,jamaa na rafiki watazame na kusubscribe
      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 4 роки тому +3

    Nyimbo nzur sauti safi inampangilio mavaz mazur mmepndez mungu azidi kuwainua katk uimbaji mlitangaze neno lake

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Sifa kwa Mungu! Tunakuomba usubscribe tafadhali na kisha Share link kwa ndugu na jamaa watazame pia

  • @theresiarenatus7946
    @theresiarenatus7946 3 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @gracemasalu5763
    @gracemasalu5763 4 роки тому +3

    Gud song

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 4 роки тому +2

    Nyimbo nzuri sana, Mungu atukuzwe ndani yenu.

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 4 роки тому +2

    Shukrani waimbaji kwawimbo mzuli,na pigo inaendana na wimbo. 😘😘🙏🥰

  • @sylvestergwenge2078
    @sylvestergwenge2078 4 роки тому +3

    Kenya rc kwaya

  • @netsolutionoffice7849
    @netsolutionoffice7849 4 роки тому +2

    Hongereni sana nyimbo nzuri sana na video quality safiiii Mungu awabariki katika utume wenu Amina.

  • @pauljuma6154
    @pauljuma6154 4 роки тому +3

    i love Tanzania, Kweli 'Heri taifa ambalo Bwana Ni Mungu wao.

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Tafadhali tunaomba usubscribe kwa kubofya kitufe chekundu hapo chini ya video "Subscribe" na share link na wapendwa wengi zaidi

  • @mariachale6089
    @mariachale6089 3 роки тому +2

    Wimbo mzr, sauti zinasikika zote na zimetulia, hongereni sana Wana kwaya woote. Keep it up

  • @mathiashalle1064
    @mathiashalle1064 2 місяці тому

    ❤❤ kazi nzuri xna

  • @georgegama8379
    @georgegama8379 3 роки тому +1

    ni nyimbo nzuri sana

  • @giftblessings77777
    @giftblessings77777 3 роки тому +3

    Praise GOD, for HE is good ALL the times🎙🎵🎼🎹🎸📯🎻🎷🎺🎶🌹❤🕊🍇🙌🤗✝️🙏🏻

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 4 роки тому +4

    Safi sana

    • @polycarpmicky4151
      @polycarpmicky4151 4 роки тому +1

      Tunashukuru kwa comment na tumain umesubscribe

    • @ernestmwanalinze2612
      @ernestmwanalinze2612 4 роки тому

      @@polycarpmicky4151 Yes nimfanya hivyo pia nazihitaji hizi nyimbo na nyingine nyingi.

  • @msokasgallery8323
    @msokasgallery8323 3 роки тому +3

    So nice. Yaani mmenikumbusha jinsi mlivyoamsha kwenye TYM-8. Hakika Neema Yatosha! Mko njema sana KMAG. May God bless you more

  • @Mwalimu_Ochieng
    @Mwalimu_Ochieng 2 роки тому +2

    Naomba Nota

  • @mariachale6089
    @mariachale6089 3 роки тому +1

    Wimbo una ujumbe mzr na sauti zote zinasikika moja baada ya nyingine. Hakika Mungu amejibu maombi yetu. Hongereni sana, hongera kwa Mtunzi, mpiga kinanda na video shooting

  • @HappynessLeo
    @HappynessLeo 3 місяці тому

    Nice♥️

  • @frankmwambi1477
    @frankmwambi1477 10 місяців тому

    neema yake yatosha

  • @johnboscoalbert8891
    @johnboscoalbert8891 3 роки тому +3

    Naiona mbali sana kwaya hii mungu awabariki

    • @alexkaiza4020
      @alexkaiza4020 3 роки тому

      Habari Ndugu, Karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu Kupitia ua-cam.com/video/CtlTYCfrVy4/v-deo.html. Share na ndugu wengine pia usisahau kuSUBSCRIBE🙏🏽

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  3 роки тому

      Amina, Mungu ni mwema.

  • @Ellybeny
    @Ellybeny 4 роки тому +3

    nzuri sana barikiwa🙏

  • @marthacalist6510
    @marthacalist6510 4 роки тому +3

    Hongerani Sana mungu azidi kuwa tia nguvu katk utume wenu

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Sifa kwa Mungu! Tunakuomba usubscribe tafadhali na kisha Share link kwa ndugu na jamaa watazame pia

  • @bonydemaria2030
    @bonydemaria2030 4 роки тому +2

    Hongereni sana ndugu zangu wanagonzaga...hayo ndo mambo tulikuwa tunayaotaga enzi nikiwa hapoo...congrats to the whole team..and be blessed brethren!

    • @polycarpmicky4151
      @polycarpmicky4151 4 роки тому

      Asante br pia tunakukaribisha mda wote karibu sana upatapo muda njoo utuone pia usisahau kushare na kusubscribe lengo letu nikufikisha subscribers 1k mwaka huu

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Asante sana kaka, Siku ukija likizo usisite kututembelea tena! Kama bado hujasubscribe tunaomba ufanye hivyo tafadhali bila kusahau kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki link ya channel hii waweze kutazama pia!

    • @yohanibonifance2869
      @yohanibonifance2869 4 роки тому

      @@kwayayamtaloisgonzaga-kiga60 samahani naomba mziki wake no 0620272008

  • @bujunebusanya3966
    @bujunebusanya3966 4 роки тому +2

    Hongereni Sana. Wimbo mzuri

    • @Msemwa
      @Msemwa 4 роки тому

      Asante sana🙏🏽

  • @emmanuelmalenga496
    @emmanuelmalenga496 4 роки тому +2

    Hogereni kwa uiambaji mzuri

  • @josephkitambala9276
    @josephkitambala9276 3 роки тому +2

    Hongereni kwa utume mzuri wapendwa

  • @kamwariajohn4741
    @kamwariajohn4741 4 роки тому +1

    Umepangwa ukakamatana. Swadakta, Baraka zake Maulana.

  • @Ellybeny
    @Ellybeny Місяць тому

    ✨✨👏🏼👏🏼✨👏🏼👏🏼

  • @clementinesimon2243
    @clementinesimon2243 4 роки тому +3

    Good singing with ease.message well delivered !

  • @geoffreybmapunda6129
    @geoffreybmapunda6129 4 роки тому +2

    Mbalikiwe sana nawezaje kupata albam zenu npo parokia msewe ubungo dar es salaam

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60  4 роки тому

      Tuna albam moja,toleo la mwaka 2018.Kuipata waweza wasiliana na uongozi wa kwaya kupitia 0752024390,au barua pepe kupitia aloisgonzagakwaya@gmail.com