KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI
KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI
  • 49
  • 733 308

Відео

Kristo mfalme anatawala/ Yesu Kristo ni mfalme II AGK -KIGAMBONI
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
Tunapoelekea kuanza mwaka mpya wa kanisa, zifuatazo ni nyimbo kwaajili ya Sikukuu ya Yesu Kristo Mfalme zikiimbwa mazoezini. Nyimbo: 1. Kristo mfalme anatawala - Na: J. Mgandu 2. Yesu Kristo ni Mfalme - Na: Chavallah
Amani Tanzania - AGK: Tamasha la Uimbaji Zanzibar
Переглядів 3702 місяці тому
Karibu kutazama live performance ya Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga katika Tamasha la Uimbaji Zanzibar; katika kumbukizi ya miaka 27 ya uaskofu wa Mhasham Askofu Agustino Shao. Mtunzi: J.Kwangulija Usiache kusubscribe, kulike na kucommenr.
LEO NI SIKU YA SHANGWE - AGK: Tamasha la Uimbaji Zanzibar
Переглядів 5142 місяці тому
Karibu kutazama live performance ya Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga katika Tamasha la Uimbaji Zanzibar; katika kumbukizi ya miaka 27 ya uaskofu wa Mhasham Askofu Agustino Shao. Usiache kusubscribe, kulike na kucommenr.
Nitamhimidi Bwana & Kwako Bwana zinatoka sifa zangu II Tamasha la Uimbaji Zanzibar
Переглядів 3,5 тис.3 місяці тому
Karibu kutazama live performance ya Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga katika Tamasha la Uimbaji Zanzibar; katika kumbukizi ya miaka 27 ya uaskofu wa Mhasham Askofu Agustino Shao. Nyimbo: Nitamhimidi Bwana & Kwako Bwana zinatoka sifa zangu Mtunzi: J . Mgandu Usiache kusubscribe, kulike na kucommenr.
SHAMRASHAMRA ZA KILELE CHA KONGAMANO LA 5 LA EKARISTI: Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Переглядів 5474 місяці тому
Baadhi ya nyakati za shamrashamra katika kilele cha kongamano la 5 la Ekaristi kitaifa kutoka Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga zikiwa zimetanguliwa na adhimisho la misa takatifu iliyoadhimishwa katika uwanja wa uhuru, jijini Dar es Salaam. Video: @AGKDigitalTeam
MISA TAKATIFU: DOMINIKA YA 2 YA KWARESMA II PAROKIA YA BMC -KIGAMBONI
Переглядів 22811 місяців тому
Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya 2 ya Kwaresma iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Consolata, Kigamboni.
AGK TAMASHA LA FAMILIA 2024, SEHEMU-2 II KWAYA YA MT. ALOIS GONZAGA, KIGAMBONI
Переглядів 97711 місяців тому
Karibuni kutazama sehemu ya utumbuizaji kutoka Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga- Kigamboni katika Tamasha la Familia 2024 lililokuwa na ujumbe wa kuhamasisha juu ya kulitegemeza kanisa. Tamasha hili lilifanyika tarehe 11/2/2024 #live #amapiano #performance #aloisgonzagakwayakigamboni #church #gospel
TAMASHA LA FAMILIA 2024 SEHEMU-1 II KWAYA YA MT. ALOIS GONZAGA, KIGAMBONI
Переглядів 54011 місяців тому
Karibuni kutazama sehemu ya utumbuizaji kutoka Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga- Kigamboni katika Tamasha la Familia 2024 lililokuwa na ujumbe wa kuhamasisha juu ya kulitegemeza kanisa. Tamasha hili lilifanyika tarehe 11/2/2024 #liveperformance #church #tamasha #kwayakatoliki #tanzaniagospel #notedmusic #khakimediapro #ujenzi #kanisakatoliki
MISA TAKATIFU YA NOELI II Parokia ya Bikira Maria Consolata, Kigamboni
Переглядів 525Рік тому
Hili lilikuwa adhimisho la Misa takatifu ya Noeli iliyosaliwa tar. 25.12.2023 katika Parokia ya Bikira Maria Consolata - Kigamboni ikiambatana na Ibada ya Ubatizo wa watoto.
Amezaliwa horini - Alois Gonzaga Kigamboni (Official Live Performance)
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
Karibuni tuungane pamoja katika kuisherehekea Sikukuu ya Noeli tukiimba na kuucheza wimbo huu uitwao "Amezaliwa horini" Wimbo: Amezaliwa horini Mtunzi: F.E. Nyanza Usiache kusubscribe, like na kucomment...
Atukuzwe Mungu/Ni Mkuu Yehova (Glory to God & The Great Jehovah)
Переглядів 633Рік тому
Karibu kutazama namna Tamasha la Yesu ni mwema lilivyofana Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga ikiimba Jukwaani wimbo maalum uliobeba ujumbe wa Tamasha. Wimbo: Atukuzwe Mungu/Ni Mkuu Yehova Mtunzi:Handel Waimbaji: kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - kigamboni Wapiga vinanda: Edmond Balili na Mashamba Wapiga Violin: The Strings #Tunarudinyumbani #tym_2023 #aloisgonzaga, #kwayakatoliki #vatican #liveperformance
BWANA AMEWEZA: Kwaya ya Mt ALois Gonzaga Kigamboni
Переглядів 2,2 тис.Рік тому
Karibu kutazama namna Tamasha la Yesu ni mwema lilivyofana Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga ikiimba Jukwaani Wimbo: Bwana ameweza/ Kidole juu Mtunzi: B.Mukasa Waimbaji: kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - kigamboni Wapiga vinanda: Edmond Balili na Mashamba Wapiga Violin: The Strings Mpiga ngoma: Deusdedit Pazia Mtiribu: G.Jilala #Tunarudinyumbani #tym_2023 #aloisgonzaga, #kwayakatoliki #vatican #liveperform...
TUSALI PAMOJA/ NEEMA ZA BWANA: Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga-Kigamboni
Переглядів 3,2 тис.Рік тому
TUSALI PAMOJA/ NEEMA ZA BWANA: Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga-Kigamboni
TUNARUDI NYUMBANI: Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga-Kigamboni
Переглядів 3,7 тис.Рік тому
TUNARUDI NYUMBANI: Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga-Kigamboni
JUBILEI NI SHANGWE - UKWAKATA PAROKIA YA BIKIRA MARIA CONSOLATA, KIGAMBONI
Переглядів 3,2 тис.Рік тому
JUBILEI NI SHANGWE - UKWAKATA PAROKIA YA BIKIRA MARIA CONSOLATA, KIGAMBONI
YESU AMEZALIWA - (Chrismas carols) KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA , KIGAMBONI
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
YESU AMEZALIWA - (Chrismas carols) KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA , KIGAMBONI
JONGEENI WAKRISTO (Christmas Carols) - KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA,KIGAMBONI
Переглядів 1,2 тис.2 роки тому
JONGEENI WAKRISTO (Christmas Carols) - KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA,KIGAMBONI
TAZAMA INAVYOPENDEZA CockTail @TYM 10
Переглядів 8 тис.2 роки тому
TAZAMA INAVYOPENDEZA CockTail @TYM 10
MSIOGOPE (Be not afraid) TYM 10
Переглядів 6652 роки тому
MSIOGOPE (Be not afraid) TYM 10
SINODI /KANISA LA KISINODI (Live Performance TYM 10)
Переглядів 1,8 тис.2 роки тому
SINODI /KANISA LA KISINODI (Live Performance TYM 10)
MWIMBIENI BWANA (Live Performance TYM 10) Na; J.Mgandu
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
MWIMBIENI BWANA (Live Performance TYM 10) Na; J.Mgandu
Bwana ni nuru yangu - Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga, Kigamboni.
Переглядів 1,6 тис.2 роки тому
Bwana ni nuru yangu - Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga, Kigamboni.
Nikumbushe Mateso - Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga, Kigamboni
Переглядів 1,2 тис.2 роки тому
Nikumbushe Mateso - Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga, Kigamboni
Ee Mungu unirehemu - Kwaya ya Mt.Alois Gonzaga, Kigamboni
Переглядів 3,3 тис.2 роки тому
Ee Mungu unirehemu - Kwaya ya Mt.Alois Gonzaga, Kigamboni
SAFARI YA MWAKA HUU USHUKURIWE MUNGU: Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - Kigamboni
Переглядів 2,5 тис.3 роки тому
SAFARI YA MWAKA HUU USHUKURIWE MUNGU: Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - Kigamboni
TAZAMA NAMNA KWAYA YA MT. ALOIS GONZAGA ILIVYOSHUKA JUKWAANI || CHRISMAS CAROLS||
Переглядів 3 тис.3 роки тому
TAZAMA NAMNA KWAYA YA MT. ALOIS GONZAGA ILIVYOSHUKA JUKWAANI || CHRISMAS CAROLS||
ITAZAME KWAYA YA MT.ALOIS GONZAGA KIGAMBONI KATIKA TAMASHA LA X-MASS CAROLS// MLIMANI CITY- 2021
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
ITAZAME KWAYA YA MT.ALOIS GONZAGA KIGAMBONI KATIKA TAMASHA LA X-MASS CAROLS// MLIMANI CITY- 2021
NIMEONJA PENDO LAKO (COCKTAIL YA MUZIKI MTAKATIFU) II Tamasha la Yesu ni Mwema 09-2021
Переглядів 9 тис.3 роки тому
NIMEONJA PENDO LAKO (COCKTAIL YA MUZIKI MTAKATIFU) II Tamasha la Yesu ni Mwema 09-2021
TOKA MASHARIKI: G.F. Handel (From the East Unto the West, Solomon's Oratorio)
Переглядів 5 тис.3 роки тому
TOKA MASHARIKI: G.F. Handel (From the East Unto the West, Solomon's Oratorio)

КОМЕНТАРІ