#EXCLUSIVE
Вставка
- Опубліковано 10 чер 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
AHSANTE SANA, ALLAH atakulipa kwa kujitahidi kutupa furaha wana Simba , kwa kweli umejitahidi Sana AHSANTE SANA
Alhamdulillah bado mangungu
WE ONDOKA TU BHN ACHA KUJIELEZA SANAAAAAAA SEPAAAAAA
Hahaaaa mpaka nimecheka kidhungu
Huna baya kwenye mafanikioa ytu ww pia umechangia simba nguvu Moja ❤❤
Uko vizuri, na mungu akubariki, huo ndio uungwana.
Nimekuelewa sana Mungu akutangulie, tunashukuru Kwa mazuri yako umeongea vizuri 🙏🙏
Kaongea vyema sana
Hakika
Simba nguvu moja simba mbele siku zote nyuma kobe
Big up sana Bigi we will 4rever cherish u n Love u , Gud luck werever u will go n success be with u Mr.Try Again . But sorry to say This ww ni mbuzi wa kafara Mangungu ndie anaetakiwa kujuzulu bt not u
Safi sana mzee wangu
Ila bado mangungu mbona hatoki mbona anang'ang'ania sana
Ss mangungu c mpk uchaguzi ujao ndio anaweza kutoka
Amefanya vizuri kujiuzulu huyo tulikuwa tunamjua alitumwa na juma mwiko kuiharibu simba aende zake
Sasa alotumwa kuiharibu Simba ni Mangungu sio huyu, Mangungu ndo Kirusi Ndani ya Club yetu, Try again ni Mwamba sana Sema Kina Mangungu ndo Shida
Mafisadi wanapungua taratibuuuu
Hongera kwakuachia kijiti kizito,kiukweli mashabiki tunaumia sana,hebu tupishe kidogo nawewe uone maumivu yetu
The way unavyojua kujieleza unapangilia hoja zako vizuri mno...unafaa sana kuwa Kiongozi..sema tu Upepo ndani ya Simba haukuwa mzuri..Kuna mtu kachezesha Dishi wana simba wanaviacha Vilivyo vizuri na sasa wanavitafuta Viovu..sasa Tusubiri Vilio na Kusaga Meno...
Maneno matupu hayavunji mifupa ...anafaa kwa nafasi zingine sio hii alipokuwa .
Heee mungu tunashukuru kwa kutuondolea wapigaji Hawa bado mangungu. Jobe. Fred.saidooo
Tunakupenda mungu akubalikie uende hata tim ya vijana ❤❤❤❤
Kwa hiyo akaharibu team ya watoto heeeeh
Jobe ulimtoa wapi ?
Congratulations 🎉 Try Again hila bado tunakopenda na lais wa HEshima kasema atakupa nafas nyingine lakin mangungu wanaotakiwa kumuondoa ni wanachama wenyewe cos kachahuliwa na Wana hams
Simba isinge kuwa rahisi kushinda miaka yote kila jambo na wakati wake tusilaumiane
Kujiuzuru nayo ni hatua kaka Asante Kwa mzuri mwambie na mangungu
Jambo la kher sana mzee wetu👏Bado mwenzako mang'ung'u ,mshauri basi na yeye awe Kama wewe
Mangungu utatoka tu,simba sio duka la baba ako,simba ni taasisi
🤣🤣 pumbaaaaaavu zake
Hongera kwa uungwana huna baya baba
hata ivo ulikua umechelewa kujiuzulu
Mkuuu una hekima sana Mungu akubariki
Shukrani sana huo ndo usomi na uongozi, Bado Kajula hapo mlijikanyaga sana
Asante try Kwa Kila jema ulilofanya kwaajili ya simba Asante boss
Umeufanya mengi lakini Simba imekufanyia mengi zaidi
you failed to take us forward every day we fall back we can't accept it
Iv tangu Mo alipotoa taarifa kuwa viongozi wote wa upande wake mtoke wewe ulikuwa unasubiri nini mpka leo?? Haya na upande wa wanachama huko tuambieni mangungu anajiuzulu mda gani yaan tunasubiri kwa hamu kweli hata kama ni usiku wa manane tutarukaruka
Ongela Sana .wachie wengene.
Ww uko vizuri sana na tutakukumbuka siyo Yale mengine ma kuma nina hayajajiuzuru na yanatoa sababu za kishenzi kabisa
Leo ndo nimejua kumbe benchika alifukuzwa 😂😂ety kama kocha anashndwa kuchukua mapinduzi sijui kwenye ligi nayo Hali ni mbaya 😅kama huna D mbili huezi nielewa😂😂
Alhamdulillah 🤲 mtuachie tim yetu 😅
Hayo ndio mamuzi yanayo takiwa kuyafanya pale timu inapo kuwa inataka kufa hongera sana mwenyekiti
Hongera sana mwenyekiti
Sante usikasirike endelea kupenda Simba.
Ndiyo kaz mangungu ameshikilia bomba.
Try again we Sasa ni Simba kwel unajali maslai ya Simba,sio mangungu anayejifanya yupo nje deile sijui tulimchagua Ili awe anasafiri
Nenda bn wew!!
Bado huyo mwenzako anayetuleteaga manzoki kwenye mkutano
Cha muhimu kama mmetoka basi Simba ikaa sehemu yake mpeni mo Tim yake
Dah!! Kweli leo ndo nimeamini huyu try agan alikuwa amechokwa yaani huku mtaani kwangu mda wa saa kumi na moja jioni wakat anatangaza kujiuzulu kupitia azam tv limeibuka shangwe la hatar syo mapikpik syo magari syo watembea kwa miguu duh mpka nikajiuliza kwani leo kuna metch ya daby maan wakat wadaby ndo kunakuwaga na shangwe iv nikaulizia kwani kuna nini et naambiwa furaha yooote ni try again kajiuzulu je akijiuzulu mangungu si ndo watu watafanya na sherehe kabsa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni busara sana umechukua hatua nzuri
Mangungu anasubiria nini??
Hakika umebobea katika uongozi, kiongozi bora huwa anawajibika hasa anapoona mambo hayapo vzr, huko ndio kuwajibika
sio suala la uadui. ni jambo la kuiheshimu mahitaji ya timu.
sio mahitaji yko ww.ko Kwa manufaa ya timu nenda boss
Tuaachien simba yetu
Hongera
Bado mangungu
When I was a kid👶I used to think that Egypt and Israel are in Heaven
👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤️🦁💪
mim kama mangungu sitoki simba, mpaka lengo langu la kuishusha daraja litimie
😂😂😂
Muambie mangungu atoke nayye au laa aitishe kikao
MKUU WE NENDA TU, MANA HAIJAWAHI TOKEA SIMBA KUTOFUZU KILABU BINGWA, KWAHIO EBU TUPISHE TUONE MBELE ITAKUAJE, UBINAFSI ULITAWA,
hongera kujiuzuru umefanya jambo la kihekima sio hao wakina mangungu nawajumbe wake mizigo hayajielwewi yanafanya nini yanalalamika badala yakutatua tatizo yakaisha matatizo yanayoikumbuka simba
Simba kubwa sana but miaka 3 bila kitu tunakubali lkn really tunazidi kudidimia sio poa hata kidogo.
That's why simba fans tunapata shida.Mara Mo tapeli hstupendi consistency muhimu OK but kuwa tatu no
Mungu.akujalíe.kwakazi.ulifanya.mungu.atakulipa
We pita hivi mzee wangu huna baya ila kujiuzuru kupo pale pale
Inauma sana kwann ww nasio mangungu
Hunajipya wenenda 2
Kila la kher......
Kweli watu wakiamua mtu atoke anatoka kweli haya yote nikua namatokeo mabaya uwanjani
atoke tu hakunakutia huruma
Mwambie narafiki ako Mangungu ataaibika ajiuzulu mapema huku tunanoa nyengo atajua hajui
Sawa mkuu tunakutakia kila lakheri😊
Uungwana ndo huu ahsante kwa mazuri yako
Nyie hampo karibu nawachezaji ndo maana naweza kifanya chochote ilimladi aiunize crabu
Wanajiuzulu japo kwa unyonge sana ila ndo busara kwa kiongozi bora hongera Mr jarib Tena. Bye bye👋😅
Dah 😭 nimesikia kulia try agen ameondoka vizuri, bila kumsema mtuyoyote vibaya
Ana akili ndo maana anajieleza vyema
Mchukue na mangungu please 🙏
Usijieleze Sana pita hiviii
Bado huyo jamayako mangungu nayeye atoke kwendreeeeeeni huko
sawa inatosha waachie wezio uongozi kupokrzana
Anza kuondoka Sasa ivi
Hahaaah
Nakuunga mkono na kukuahidi tupo pamoja sana ukishindwa unakaa kando tutakupa fursa mbele .
Tunasubiri iendelee kunyesha tuone panapovuja😅
Siku zote tuna sua sua wapo kimya awakuwa na maamuzi
Mangungu fanya maamuz ya kiume kama mwenzako
Thank you imetoka leo 😂😂😂😂😂
Bado mmoja nafsi yangu ipate amani😢
Mangungu huyo na kajula
Wewe hata kwa macho unaonekana unasema kweli lakini huyo mwenzako magungu liongo sana aisee nae aondoke
Imetosha umefanya mazur mengi ilatena ukaaza kuyaharibu pumzika umetumia busara sana sio mpaka utolewe kwamapanga si hatupend tufike huko pongez kwako umejitambua
Hogela mkuu Kwa kuinusulu simba
Byee nenda salama
TATIZO lako umekuwa unatuaminisha tuwe na subira usajili uutakuwa wa kishindo tuwaamini viongozi,mnasubiri dirisha liinafimgwa usiku ndonasjili uyoga matokeo yake wanakuja wachezaji wa hovyo tu .
Bado unaweza to
Wewe pita hvi unapewa pesa unakulaaaa
Kichaaa
Wewe haina haja yakujieleza tembea huitajiki hata kuishabikia haikuhuxu ulixopiga sinatosha nenda try gan kajaribu. Sehemu ingine Tena kama jina Lako lakujaribu
Basi Mangungu Aondoke 😂 kwanz anasinzia tu
Hili jambo ni la busara sana
Kwendaaah atutaki ngonjela
Yule mzee Mangungu ndo mchawi ni Yanga yule
Apo afazali
Simba n rasmi ya mo
Mangungu atoke
Mangunguu tafadhari nawe fanya ustarabu ka mwenzio
Kaka maelezo mengi sana ya nini sasa jamani ondoka kabisa pia chukua na nguo na mangungu nae anakufata tyu mda so mrefu afu ugekuwa na hakili kabisa acha kueleza uma kuwa ww ndo kiongozi bora mara magari hata magufuli alicha miradi ila akaenda mbele ya haki hata ww unafaa tukunyonge na mangungu 🏃🏼🏃🏼🏌🏼🏌🏼🥷🏼🥷🏼
Mbna anatia huruma tena
Hilo la usaliti nikwer tunaliona inonga chama saidoo
Huo ndiyo uungwana
Mangungu nae asepe ote ni machawa wa juma mwiko tumeshawajua popote alipo mwambie asizani tumemsahau asepe nae hatutaki mizimu
NENDA ZAKO HUKO USITUBEMBELEZEE PAKA WEW
Kama ume juuzulu sio mbaya nenda kapumzike tyu😊😮😮
We nenda bhana huna cha kutushawishi.mkuu ww na mangungu ni matapeli mnatulitea wachezaji wa majaribio mnawapa mikataba tena ya mda mrefu ili mpate kugawana pesa hadi namkumbuka marehemu Haspopu alikuwa MTU wa kazi alikuwa habatishi kusajili wachezaji