Asante mama mkwe, mimi nimekupenda Bure, wazazi wa vile walikufa mwaka wa 1850,mwenyezi mungu awazidishie hio hekima, kweli yataka tuige tabia zenu.huyu ochieng ni MTU MZIMA OVYO NAMUELEWA HIVYO MIMI.
Ghost and Gidi please follow up on this issue: Sonia parents are full of hekima that lots Kenyans can benefit from their advice. #thebestcall# bring them back!!!!!!!!!!!
Nasikia mwingine aki monya chinichi eti watu waredio jambo niwahaki. Apo nikweli kabisa Gidi ni bonge La jaji Muku💪💪Awe ni mwana ume ako na makosa ana simamia ukweli awe mwana muke pia anasimamia ukweli.😣😣alafu anatoka uko ujombani kwangu khwisero kutuaibisha.🙆🙆🇰🇪🇸🇦
Hii story ni kama ya a relative wangu mwingine. Hawa wanaume wajaluo wanandanganya wasichana wanawazalisha alafu, msichana anarudia wazazi wake baada ya ku wastiwa time. Ghasia za watu
Sasa hii uchieng siangempigia tu simu mamamkwe waongee sasa analeta radio jambo, lkn watu wengine akili zao hazina akili jamani eee 🤦♂️🤦♂️🤦♂️ lkn gidi wewe ndio umemkubali ungelenga iyo text yake,🤔🤔🤔
Vile hao wazazi wanaongea inaonyesha Sonia ni more fire kwa kaguu, na wanampenda sana ndio maana wanataka familia yake isimame aweze kutulia. Yani hao wazazi nimewapenda sana👌. Hiki kimzee akili zake hazifanyi kazi vizuri, kwani anaoa apelekee watu wao? .huyo anafaa ashikwe masikio atingizwe hiyo kichwa yake iamke.
Ochieg kweli wewe uko na umama sana yaani 36 years uchakomaa akili unaitwa mwende musuluhishe maneno unasema eti siwezi kuja huko bila wazazi wangu. Mwanaume mbampavu kama ochieg sijawahi kuona dunia hiiii😏😏😏😏😏
Yawa in-law wangwana sana,nimekwama kwa Sonia at the age of 15 alikuwa anajua mambo na pekejeng🤫 chei!!!at under age ana watoi wawili!!! Mtoto ana watoto yaye🙆♀️ sasa shida ilikuwa ni wazazi ama ni Sonia anyway ishakuwa...
Hapo sioni bwana. Sonia asonge na maisha yake na akubali kuwa single parent. No one has ever died for being single!! After all kama hakuna kitu ya maana anapata isipokuwa fimbo, akanyange kubwa kubwa.
Yani there's no single luhya man who marries without involving the whole village on everything that happens in their house hadi menu 🤮. From experience they make me sick I think they're all the same

I love her .. huyo mama ako na hekima..wishes of success to that family
Big up ma inlaws ..they are mature na wanaongea kama watu wanaelewa...may God bless you parents
Wazazi wa Sonia nimewappenda tu bure, wako na ushauri mzuri na pia ni watu ambao wanaelewa MWENYEZI MUNGU AWABARIKI SANA HAO WAZAZI.
Hata mahari hawataki mahari...
Woow..what a wonderful parent with a gold heart
Caro kemunto watching from saudia sasa huyu ni mwanaume kweri, jameni msichana 18 years, wazazi wazuri sana barikiwa
Wazazi wa Sonina wako Sawa kabisa.Congrats mum ad dad be blessed Ochengi badilika please please
Nimeskia mama soni akisema radio Jambo inakuwanga na haki.. Gidi na Ghost 👊 💪
Wow 🥺 good talks from humbled family in-laws.. Ochieng man up!!! N respect Sonia's parents.
Congratulations to those parents,,n wazazi wangwana sana,,I wsh I had such parents inlos aki...
Mama sonia thank you as you have said radio Jambo inakunga haki
i love dose parents aki wameniguza
Leo patanisho imekuwa ndefu sasa n way wazazi wa sonia nimewapenda sana
Thanks God to the parents , they are very learned once .....Ochy umetuangusha na uongo zako
Ochy ameangusha jaluo navile jaluo ni xpecive yawa
Wow what a wonderful mom and amom in law 😙😙😙
Woow.....wazazi Wa Sonia ni wazuri
Team kujiamini like tukiendanga
Weee
Nn
Waaaa wazazi wa Sonia ni wazuri nime wapenda bureau mungu anipe wazazi kama hao congrats Sonia uko na wazazi wazuri
Best parents ❤anaongea kama my mom... Bora mtoto wake ashibe kwanza hana haja na mahari
The best parents ever👏👏
Thanks
Wonderful parents.
Watu wa redio jambo🤗
Mama Sonia kudos👍
Ochieng ako sawa kabisaa haki kuishi na wazazi wa mkeo karibu mnakoseana heshima.
Very wise parents.
No 10 Leo sijachelewa sana
Ghost and Gidi please follow up on this issue: Sonia parents are full of hekima that lots Kenyans can benefit from their advice. #thebestcall# bring them back!!!!!!!!!!!
Watu wa Radio Jambo mko na kazi
Good dad and mum hii Ochieng sijui Ni bulukenge ngani ametoka wapi
Whaaaaa
🤣🤣🤣🤣kwani hamna kazi ya kufanya 🐵 sijawai kuwa namba one 😁c mnipee izo likes 🤸🏃🤸🏃🤸🏃
😂😂😂
@@catherinemaingi6166 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jaman kuzaa mala mbili bado haujafika ukweni😭 ata wazazi wakijana huyu hakili yao kama hakuna kbs
Her is a good mother or a mother in law that deserves a great reward indeed🙏
Nasikia mwingine aki monya chinichi eti watu waredio jambo niwahaki. Apo nikweli kabisa Gidi ni bonge La jaji Muku💪💪Awe ni mwana ume ako na makosa ana simamia ukweli awe mwana muke pia anasimamia ukweli.😣😣alafu anatoka uko ujombani kwangu khwisero kutuaibisha.🙆🙆🇰🇪🇸🇦
Hii story ni kama ya a relative wangu mwingine. Hawa wanaume wajaluo wanandanganya wasichana wanawazalisha alafu, msichana anarudia wazazi wake baada ya ku wastiwa time. Ghasia za watu
Thank you Gid
Huyo Ochieng km angekuwa mume wangu ninge mdelete vby,afadhali nikae kama mfiwa,aliyefiwa miaka kumi iliyopita 😗😗
Aki gidi ww ni mungwana.gud work,keep up
Ochieng uko lucky ingekuwa my dad ungekuwa ndani na hayo maneno wanaongea hungesikia
Radio jambo inafuata haki😁😁
Sasa hii uchieng siangempigia tu simu mamamkwe waongee sasa analeta radio jambo, lkn watu wengine akili zao hazina akili jamani eee 🤦♂️🤦♂️🤦♂️ lkn gidi wewe ndio umemkubali ungelenga iyo text yake,🤔🤔🤔
Present present
Leo niko hapa mapema sana
Kevin nakuona, unavinye wanaume wanalugha nyingi
@@wlkmwlkm53 Ochiengi amechomaaa pichaaa
I like that mother in law
Surely mbona watu hujali mambo ya huamuzi wa familia
Sonia na victor ni wa Maria ama n wa wapi😜😜
🙋🏽🙋🏽🙋🏽🙋🏽🙋🏽
Uyo ochieng Bure kabisa,, akili iko chini kabisa kama network ya pokot
🤣🤣😋🤣😋😋mungu anakuona
@@jeyshillyjack4470 😂😂😂😂😂Bt it's true though
🤣😂😂😂
@Agnes Muhali😂😂😂😂mbinguni utaionea view sasa
🤣 🤣 🤣
Ochieng oran!!!!Wazazi wasi kubali!!!!.
Nine
Kwa kweli ningepata Mama mukwe na Baba mukwe kama hawa.
Pam Quinn kutoka Dubai nikiwa ndani ya patanisho
Aki kwa kweli ukisikia mambo ya watu hauwesi endelea kimaisha,kwani wewe kijana ajana na mambo ya watu wanyumbani kwenu.
These are so far the best "parents-in-law" in the world Ochieng will ever get.
Huyu ochieng ni boyoooo hehehe wire moja imekatika yani sot wire
Akiii kuna watuu badala ya kuwekewa ubungo kwa kichwa imewekwa tope na ugoro😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Plus samadi
Aaaaaaaiiihhh wooooiiiiye kuwa mpole
Wazazi wa Sonia ni wazuri Sana Ochieng Bure kabisa ati wazazi wa Sonia waende kwao kutafta bwana hahaha tricky sana
Sonia u have marvelous parents. Ochieng u r embarassing luos hata rent huwezani jamani! U hv good in laws..style up omera
😂😂😅😅😅😂😂😂 wazazi wa Sonia wapereke mahari kwa kina ochieng.
Hahahahaha
Kimila kweli haifai huyu kijana kuishi sio vizuri gidi
Apo ngori sana
Waaah,Ochieng akili ziliraruka wapi jamani😳oooh ipity you.
Huyo mum in law ako na kijana pls gidi confirm..l need his son. Pls pls pls
Hahahaaaaa
😂 😂 😂
Ochieng anafaa viboko
Vile hao wazazi wanaongea inaonyesha Sonia ni more fire kwa kaguu, na wanampenda sana ndio maana wanataka familia yake isimame aweze kutulia. Yani hao wazazi nimewapenda sana👌. Hiki kimzee akili zake hazifanyi kazi vizuri, kwani anaoa apelekee watu wao? .huyo anafaa ashikwe masikio atingizwe hiyo kichwa yake iamke.
Aki.Gidi...uyo.mwanaume..angekuwa.apa..makofi..ningemupatiya..hangeamini..mububavu..sana..mwanaume.ngombe..mzee..tunaombeya.msichana.wako...atuliye..atapata..mume..uyo.mwanaume.ni.ngombe.kabisa
Huyu kijana ako na uji kwa akili 🙆🙆🙆
Fungeni huyo kondoo utotoless hata huyo dem acrudi hilo walai
Ata uji ni mzuri
Hahhhh baba na mama wanamchangania bwana
Mimi washa ni tandike mkeka na popcorn 🧎♀️🧎♂️🧎♀️🧎♂️🧎♀️🧎♂️🧎♂️🧎♂️
Ochieg kweli wewe uko na umama sana yaani 36 years uchakomaa akili unaitwa mwende musuluhishe maneno unasema eti siwezi kuja huko bila wazazi wangu. Mwanaume mbampavu kama ochieg sijawahi kuona dunia hiiii😏😏😏😏😏
Ako na ujiga sana
@@catherinemaingi6166 tena sana
Ujinga haina dawa
@@RoroRoserororo dawa iko
@@stargal906 haiya apewe hiyo dawa 🤣🤣
Ochieng very confused a cry for my girls
Huyo kijana ata sijui sonia aliona nini
Ochieng you need to Man up.. Your in laws are so good na wewe unafanya ujinga.. Man up bwana!!! Wacha ujinga Ochieng!!!
Woow nmependa huyo mother in law na father in law
Kijana ng'ombe
Yawa in-law wangwana sana,nimekwama kwa Sonia at the age of 15 alikuwa anajua mambo na pekejeng🤫 chei!!!at under age ana watoi wawili!!! Mtoto ana watoto yaye🙆♀️ sasa shida ilikuwa ni wazazi ama ni Sonia anyway ishakuwa...
As a luopean we refuse him
😱😱😱😱
Ochieng Kubaffffff!!!!!!!
Ochieng si mtu mzuri
Huyu kijana ni mshenzi tu
Present
Hapo sioni bwana. Sonia asonge na maisha yake na akubali kuwa single parent. No one has ever died for being single!! After all kama hakuna kitu ya maana anapata isipokuwa fimbo, akanyange kubwa kubwa.
Slaps za ochieng zikuje 😠akili chafu
Papap
Ukitaka ata kuishi tz unaishi
Uyu kijana ni bwege
Huyo Ochieng kwanza amelewa alafu ni mzee sana kwa sonnia gyyy!!!!....ebu pelekeni huyo nyanga'u jela kwanza ishike adabu
Ochieng akili ni nywele eti sonia akuje na wazaziwake wooii
Hii ni Mbuzi ngombe
Ebu niwaeleweshe wazazi Walikuwa wanasema akuje wamepata Nyumba ya sonina kuishi ndio Huyu Ochengi akuje kuwina musichana😃😂😃😂
Woi akii wazazi tuko na shida,ebu imagine hao wazizi vile wanasikia.
Hawa wazazi niwazuri
Yani there's no single luhya man who marries without involving the whole village on everything that happens in their house hadi menu 🤮. From experience they make me sick I think they're all the same
Huyu Ochieng anafa viboko kabisa.
Ochieng bure kabisa,hakuna kitu hapo
Sasa huyu mjinga alimconvince aje Soni?
Nakuambia ochi nitakutandika makofi haki 15 yrs bado wafuatana na Vijana wenzako mabangi
Ochieng 😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Wewe ndio ulie oa ama watu wa kwenu walioa