Ateya uko juu ,nakumbaka saana kipindi chako pale kuna mtoto mercy alipo repiwa na jizee la miaka 75 nilichangia ,ukasema yani mawazo yote na hisia zote ,your smart pongezi kwenye miska ya 90's yr
Vincent Hongera kwa kazi nzuri na mungu akubariki nilianza kukusikiliza ukiwa milele fm na nimeandamana nawe hadi Qwetu Radio nyimbo za baraka kilaasubuhi kama sijapata mwokozi kama yesu na nyinginezo . Asante.
I have been looking to meet Vincent Ateya, Here i come. The day is 20th Sep. 2017 since i was in Primary School. I think this day is my commencement of my successful life journey. So God help me.
Bwana ateya hey asante sana kukuona nimekuwa shabiki wako since 207 hadi sai na ntaendelea kiwa shabiki wako kwa miaka yako yote hadi kifo hey asante sana kukuona
Vile ulitoka qwetu radio nilikufuata tena citizen i like ur shows kip it up baba Adams
Ateya uko juu ,nakumbaka saana kipindi chako pale kuna mtoto mercy alipo repiwa na jizee la miaka 75 nilichangia ,ukasema yani mawazo yote na hisia zote ,your smart pongezi kwenye miska ya 90's yr
Ateya wow 2020 has landed me here great voice big up bro
ateya unanifurahisha sana ,nilikua nawe radio citizenna bado tuko quetu radio ,hope will meet one day bro
Vincent Hongera kwa kazi nzuri na mungu akubariki nilianza kukusikiliza ukiwa milele fm na nimeandamana nawe hadi Qwetu Radio nyimbo za baraka kilaasubuhi kama sijapata mwokozi kama yesu na nyinginezo . Asante.
Your Talent will make you sit with Kings. Kazi njema Ateya
I have been looking to meet Vincent Ateya, Here i come. The day is 20th Sep. 2017 since i was in Primary School. I think this day is my commencement of my successful life journey. So God help me.
THIS GUY USED TO MAKE MY MORNINGS WITH MOGAKA MANY YEARS BACK KEEP UP MR ATEYA.
Wow!nimemuona ateya..my big bro keep it up!♥️
Ateya your prayers moves me a lot i wish you become a pastor one day ..Dady.
Congrats Ateya for your good work God bless you..
proud of Yu ateya ...yangu ndoto ilididimia nilipo kosa school fees
Don't worry u can make it without experience
Believe God
I love your voice toka kitambo ❤️
Mahojiano mazuri sana!
Ateya wewe ni wetu good work.mimi ombati kutoka mariakani.
Thumb up for Vincent Ateya
Haya!!!! nilikua nafikiri ni kanono kumbe kijana mdogo,sauti nzuri kweli
Nakumbuka kila asubuhi......ateyea tea tea...he is a role model
very inspiring, gud work
Amezunguuuka...bado akarejea pale pale Radio Citizen! Musical chairs continue.
am proud of him coz one time I requested a song Faute ya commesa yake simario lutumba. na akaicheza ndani ya radio Qwetu
Ateye nilikuwa na expect mtu huge
kwa kweli Ateya ur so talented ✊
Ateya mi nlipenda kukusikigiliza na ata ukihama Station moja ukienda nyingine itabidi nifungue Station zote niskie mahali uko na nina change Station
Aki
Ateya usiseme ulitoka Radio milele umenivunja moyo na vile napenda radio milele 😏😏😏😏😏
mwisho ulisikiza lini? pole lakini 4 the late alikuwa gwetu radio.
😁😁😁😁oooh Ateya uko tuu hivi waa expecting diff person mkubwa hivi
Nimependa hio sauti tangu akiwa citizen
I remember niliacha kusiliza jambo kenya atea alipohama
Ateya cute
Ateya is a genius
Ateyaaa nilikuwa napenda kukusikiza asubuhi wacha tu
Good job Ateya
Ateya hoyeeeee!!!
Oh my God aki nimeumia
Ateya ako yuu zaidi.
heheh Ateyaa
Hello bro
Mwana wa Marita .nakusikiza Kila siku asubui
Historia yako ni kama ya huyo ambaye anayekuhoji Victor Wetende , alianza kama wewe tukiwa na yeye pale shule ya upili
What ata me naeza
Imagine nmemsahau kidogo
Bwana ateya hey asante sana kukuona nimekuwa shabiki wako since 207 hadi sai na ntaendelea kiwa shabiki wako kwa miaka yako yote hadi kifo hey asante sana kukuona
Ateya uko yuu
KAZKAZI
At there.
I thought uko na ndevu miiiiingiii!
🤣🤣🤣🤣🤣why
Vincent Ateya kongole
ateya rudi redioni
Mahojiano mazuri sana!
very inspiring, gud work