VIDEO: MWANAJESHI WA URUSI ALIVYOOMBA ASIUAWE VITANI ALIPOSHAMBULIWA NA DRONE ZA UKRAINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 158

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 13 годин тому +34

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @Africana255
    @Africana255 14 годин тому +51

    Namwomba MUNGU asitishe vita vya Ukraine. Na pia vile vya Israel.
    Type amen.

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 13 годин тому

      Amen

    • @josephjohn8363
      @josephjohn8363 13 годин тому

      AMEN

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 12 годин тому

      Vita haiishi hadi makubaliano... Ambayo hayapo😂
      Kwo mwisho wa vita ni mwisho wa mmojawapo

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 12 годин тому +1

      AaminaYaarabi

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 годин тому

      ​@@fredducaunthayajakukuta ndo maana.. we bwabwaja huku huvijui vita 😅😅

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 14 годин тому +11

    Huyo nimwanajeshi waukrain

    • @MOSESIMCHUNGUZI
      @MOSESIMCHUNGUZI 13 годин тому +6

      Sasa wewe msenge unaambiwa wa urusi unasema wa ukren, wewe VP? Au umetoka kwa DIDY?

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 12 годин тому +1

      Khq kwa Ddi tena😂😂😂😂😂😂🙌​@@MOSESIMCHUNGUZI

    • @ZahorSalum-h9q
      @ZahorSalum-h9q 12 годин тому +2

      @@MOSESIMCHUNGUZI unajua msenge anadall zake moja wapo nimatusi matusi bl mpangilio ukiona mwanaume anatukanatukana jua anasifa mbili moja msenge .au mtt waanje yandoa .Hy..Sasa jitafakari dall hz unazooo? Km unazo majibuyake nisiri yako

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 8 годин тому

      ​@@edithaeugeni9695Did analo mbona September hii 😅😅😅

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 8 годин тому

      @@lydiadaudi4076 😂😂😂😂😂 Mbona atakoma Mwaka huu

  • @charlesemmanuel2401
    @charlesemmanuel2401 10 годин тому +3

    nimegundua watanzania wengi tunaipenda urusi sio hao mashogaa

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 11 годин тому +2

    Mbona huyo ni mwanajeshi wa Ukraine na siyo Urusi
    Urusi ndiyo imemsaidia huyo mwanajeshi wa Ukraine mbona uongo mwingi nyie

  • @teacherpascal894
    @teacherpascal894 9 годин тому +2

    Propaganda hizo,,huyo ni mwanajeshi wa Ukraine

  • @natual7572
    @natual7572 13 годин тому +2

    Hii channel ni mshirik wa NATO anapnda kukosoa rasia tu habalance hata kidgo

  • @saeedally268
    @saeedally268 13 годин тому +4

    Huyo anaesema wa urus akili yake haina akili wanajeshi wengi wa urus wamekufa ukraine mpka puttin anakodi mamluki

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 13 годин тому

      Umeongea point sana

    • @stevenmabungi3245
      @stevenmabungi3245 11 годин тому

      Acha uongo Urusi haijawah tumia jeshi lake toka hii operation ianze inatumia mamluki tu Wagner maana hii si vita kwa Urusi ni operation ya kijeshi achen uongo

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 14 годин тому +3

    Ana familia inamtegemea😢😢😢

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 13 годин тому +2

    Mtangazqji hujui unachokiongea kabisa

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 12 годин тому +5

    Kuanzia leo na unfolow kuma wwe msenge shoga

  • @ChrisUromi
    @ChrisUromi 9 годин тому +3

    Nilikua nakufatilia sahna ila kwa ili umetupiga sikuamini tehna

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 13 годин тому +2

    Huyo ni wa ukrain ila mbona za uzuri hutumi😂

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 6 годин тому +1

    Kwa hiyo tuoneshe na WA Ukraine pia,,,,, acheni propaganda za west Europe,,,,,,,,,,, Ukraine hawezi mshinda russsia Niko hapa

  • @mustaphakisanzo479
    @mustaphakisanzo479 13 годин тому +3

    Hii midia nayo Isha kua ya kichoko siku hizi

  • @fidahusseinkassim9778
    @fidahusseinkassim9778 14 годин тому +10

    Kijani wanatumia russia,blue ukraine,inaonekane huyo askari aliojeruhiwa ni wa ukraine,sio russia

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 13 годин тому

      Mazwazwa wanavyojitekenya

    • @theempire4058
      @theempire4058 12 годин тому

      ​@@paulntalima6998😅😅😅😅😅

    • @theempire4058
      @theempire4058 12 годин тому

      ​@@paulntalima6998kama kawaida ya 😅😅😅

  • @BallackEnock-p1e
    @BallackEnock-p1e 14 годин тому +3

    😁😁😁😁eti aliandaa na maji kabisaaaa

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 5 годин тому

      Wanayo 😳nini chaajabu hapo

  • @danielmgonja9906
    @danielmgonja9906 14 годин тому +8

    Huyo ni Ukraine kbsa aise mbona waongo ivo

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 8 годин тому +1

    Haoo jamaaa ni ndugu, halafuu ni majiranii,anayewachonganishaa ni wahington na Brussels

  • @expert5898
    @expert5898 9 годин тому +1

    Itakuwa ni kweli ndiomaana wamemchukua sura yake direct

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 13 годин тому +2

    Hii siyo kweli kabisa uwongo mtupu

  • @mcharo255
    @mcharo255 9 годин тому +1

    Staged.... Waonekane weny hurum san

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 11 годин тому +1

    Ujawai kuona wanajeshi wa Urusi kuidaka Drone ya Ukraine

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 9 годин тому +1

    Muandishi huna chochote unacho juwa kuhusu hi vita

  • @vannyapple3401
    @vannyapple3401 14 годин тому +2

    Kwan urus hawaf achen ujinga

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 14 годин тому +1

      Aliwepo tu sala za ukreini ache kwafuata mkumbu wa matangazo ya uwongo.

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu 13 годин тому +7

    Kawaida sana. Kuna video nyingi sana za wanajeshi wa Urusi wanasaidia wanajeshi wa Ukraine.

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 12 годин тому +1

    Hii media nimeshakuwa na uongo mwingi

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 14 годин тому +2

    Wanajeshi hawataki ujinga wanasiasa ndo wanaharibu mambo

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 14 годин тому

      😂😂👍.. kilamtu anapenda amani.. hakuna anaependa kupigana🫣😂

    • @yohanakateko
      @yohanakateko 12 годин тому

      @@jostamzxkaole3113 wanasiasa ndo washenzi

  • @chindemasoftware
    @chindemasoftware 9 годин тому +1

    Kwamza mbona kama ni mu ukrain huyo

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 12 годин тому +6

    Huyu Millard Ayo tv itakua nishoga kitambo sana

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 8 годин тому +1

    Mungu ni mwema

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 13 годин тому +1

    Kwakweli wanajeshi huwa nawahurumia sana yaani wao ni mbuzi wa kafara na viongozi na raia wanashangilia daah 😢

    • @GabrielSky64
      @GabrielSky64 13 годин тому

      Kabisa maskini wanao umia ni familia zwo😢😢😢😢

  • @razakiissa9127
    @razakiissa9127 Годину тому

    propaganda za wa ukrain hasa kwenye vyombo vyao vya habari kam the Sun, bbc, telegraph ndo stori yenyew mwisho wa siku wakimaliza ku record video wanamuua

  • @RashidAhamed-kq6pt
    @RashidAhamed-kq6pt 13 годин тому +1

    Uwongo

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 11 годин тому

    Mbona za Ukraine wakiuliwa usemi acha shobo pi Didy hakutaki 😂😂

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 11 годин тому

    Mbona za Ukraine wakiuliwa usemi acha shobo pi Didy hakutaki 😂😂

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 13 годин тому

    Daah naumia sana Nikiona hivi uhai ni Jambo lenye dhamani Kubwa sana kwa binadamu inatia huruma Sana 😢😢😢😢. Ni heri basi wamfunge hata jera. Vita uviskie tu hakun mmbabe

  • @BallackEnock-p1e
    @BallackEnock-p1e 14 годин тому +4

    Hiyo ni propaganda,wa Ukraine wasingemuacha akiwa hai,hiyo imetengenezwa,msitufanye wajinga,kwa upendo Gani walionao

  • @SuolFat
    @SuolFat 12 годин тому

    Naziona comment za wanaomuunga mkono mwakharamu wanakanusha taarifa Kila anae muunga mkono putini mwakharamu

  • @GiftMushi-t5z
    @GiftMushi-t5z 10 годин тому +1

    Wee ulitaka asemeje? Hakuna aliye tayari kufa pia usisahau akitoka hapo anaendelea na majukumu yake mstari wa mbele hii Ni Vita haina huruma wee endelea na umagharibi wako was upinde

  • @PeterJumanne-d6b
    @PeterJumanne-d6b 10 годин тому

    Hawa watu ni kama kaka na dada ikumbukwe kabla ya 1991 Ukraine na Urusi walikua nchi moja ya umoja wa kisoviet

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 13 годин тому

    😂😂😂Propagandists at it again. So waliandaa na maji kwenye drone 😅.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 10 годин тому

    Ofacuse Millad, i smell someth, anyway,,

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 13 годин тому

    Huo ndio utu ,hongera sana wanajeshi wa Ukraine kwa kuonyesha utu.

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 4 години тому

    Huyo ni mwanajeshi wa Ukraine hata sura yaonekana hiyo

  • @yasintamsuya
    @yasintamsuya 6 годин тому

    Anafamilia jamani nyie maisha sema tu wakati wake ulikua bado😢

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 11 годин тому

    Nyie tuna juwa mna fanya Kaz na vyombo vya magharibi mana sijawai kuona ma zuri ya urusi mpaka ukrain tu

  • @Adolphine-if
    @Adolphine-if 14 годин тому +1

    Huyo ni mwanajeshi wa Ukraine 🇺🇦 na siyo wa Urusi, waongo nyie.

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 12 годин тому

    SAWA AYO , TUNAOMBA UPDATE ZA DADA ALIYEBAKWA NONDO NA WENZIE KIPI KINAENDELEA

  • @IssahMohammed-o2l
    @IssahMohammed-o2l 8 годин тому

    Na anapete kidoleni, anandoa funzo kubwa Sana hili

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 11 годин тому

    Hyo ni video ya ki propaganda za ukraine hakuna kitu kama icho

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 13 годин тому +5

    huyo siyo askari wa Urussi mtizame hata combat yake siyo y russia

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 годин тому

      Hata kiongozi wa Lebanon ameshauliwa saa mingi lakini Bado mnabisha😊😊 mtu ameshaanza kukabidhiwa mabkra 72 saa mingi 😅😅

    • @faidamuhamed3011
      @faidamuhamed3011 7 годин тому

      Watu mpo makini hadi nawaelewa aisee

  • @MrishoMambo
    @MrishoMambo 9 годин тому

    Acha usenge mbona hauoneshe hata nembo ya urusi

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 12 годин тому

    Acheni SASA vita tuishi pamoja😊

  • @DareAziz-g3s
    @DareAziz-g3s 10 годин тому

    Sisi binadamu tungejua tungependana tu

  • @mohamedhaji4827
    @mohamedhaji4827 12 годин тому

    Ayo tv inapotosha habari za kimataifa

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya 11 годин тому

    Huyu ni mwanajeshi wa Ukraine Kaka

  • @KhadijaMwenda
    @KhadijaMwenda 11 годин тому

    Hii kaz ni ya heshima ila ni ngumu sana 😢😢

  • @JosephOjwang-o4h
    @JosephOjwang-o4h 10 годин тому

    Nikweli iyo ni wa urusi sio Ukraine

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 8 годин тому

    Hii stori ya MCHONGO😅

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 10 годин тому

    Mtangzaji ni mjinga hujui kitu

  • @abdullahchabukila6686
    @abdullahchabukila6686 9 годин тому

    Amtupangi kivyo usituambie ivyo 😅 russia 🇷🇺🙌

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 13 годин тому

    Propaganda hazitaisha

  • @amanbeyanga8055
    @amanbeyanga8055 9 годин тому

    Miladi Ayo wewe ni mwandishi unaejielewa,lakini hapa pole sana kwa kutokutambua propaganda za Ukraine na maghalibi,au unajua lakini umeamua kutuonesha ulivo pro USA hapa tuliosoma Cuba hautuganyi chochote

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 8 годин тому

      Shida inapoanzia no kwamba wewe uko timu Russia! Hivyo utataka kisemwe kile ambacho moyo wako unataka 😂😂 pole

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 13 годин тому

    Hii haija ingia kwa akili

  • @AmiriNyaki
    @AmiriNyaki 9 годин тому

    Propaganda za hizo

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 3 години тому

    Urusi ni shetani mweusi tenà angepigwa mpaka apigike.Nani alimtuma avamie nchi ya watu bila kuchokozwa.

    • @MustaphaManole
      @MustaphaManole Годину тому

      Akili huna marekan mwenyew anajua akianzisha vita na urus Aya iwe Karne hawez kushinda ndomana anaigopa urus Ina silah za maangamiz ya ulimwengu kwa dk 8 tu

  • @gildopitapita1383
    @gildopitapita1383 13 годин тому

    Amen mungu atukuze

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 11 годин тому

    Maskini weeeh 😢

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 8 годин тому

    Mrusii atashindwa tuu vita yeye ndio chanzo Chaa vitaa atalegeaa tuuu ukreni atukati tamaa mbele kwambelee mpaka kieleweke tuuuuuu💪💪💪🤛💯😎

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 8 годин тому

    Propanga hizo

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 13 годин тому

    Vita vibaya saana

  • @bagaileshabani3179
    @bagaileshabani3179 11 годин тому

    Propaganda hizo

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 10 годин тому

    Milard leo nakupiga block maana hii leo ni uxhoko hiyo video rt wenyewe alipost kua ni wa ukirein

  • @edmundngongi5455
    @edmundngongi5455 11 годин тому

    Hapo mmetudanganya huyo ni mwanajeshi wa Ukraine 🇺🇦

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 11 годин тому

    Ukraine lazima ashinde hiyo vita..zingatia neno "lazima"

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 14 годин тому +3

    Ww ujuwi kitu ata majeshi ya urusi. Usienda kutangaza mambo ya vita.

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 11 годин тому +3

    Mbona za Ukraine wakiuliwa usemi acha shobo pi Didy hakutaki 😂😂

  • @abdullahchabukila6686
    @abdullahchabukila6686 9 годин тому

    Propaganda

  • @SaidMbulwa-ks4mk
    @SaidMbulwa-ks4mk 11 годин тому

    Maajabu

  • @AmarinoBahha-p7y
    @AmarinoBahha-p7y 11 годин тому

    Uongo uongo uongo uongo huyo ni mamluki wa magharibi

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 12 годин тому

    Amen

  • @Jurbeg
    @Jurbeg 10 годин тому

    😢😢😢🙏🙏🙏

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 8 годин тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 13 годин тому +3

    Hii ni habar ya uongo ni propaganda za kuonyeaha eti Ukraine ni wema mmesha shindwa vita ombeni poo tu mrusi machine kubwaa

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 8 годин тому

      Urusi mashine kubwa kweli? Hadi Leo bado anajamba jamba! Anajiuliza atawezaje kuimaliza Ukraine? Acha ataabike uchumi wake uzidi kudorora,maana USA kamuekea Ukraine km chambo tu. Ili asiweze kuwa the super power! Maana hicho ndicho alikuwa anataka kuwa Russia

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 13 годин тому +2

    Huyu ni mwanajeshi wa Ukraine pumbavu nyie

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 13 годин тому +2

    Media inayounga mkono ushoga hii

  • @siasasiasa6238
    @siasasiasa6238 13 годин тому +2

    endelea kuwa kibaraka wa wakoloni hvyohvy

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 13 годин тому +2

    Propaganda hiyo nyie hamna habar za manana kuhusu vita habari zote tunappata sns ndio mchonngo huo umekamilika

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 13 годин тому +2

    Hii chanel sasa tutakua atuangalii waongo

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 13 годин тому +1

    Izo ni propaganda za mzee zelesk wenye d mbili tunestuka 😂😂

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 13 годин тому +1

    Ni Mrusi huyo,na hicho ni kikosi cha Ukraine kilichomkamata kinaitwa K2 Battalion.Russia wanakiogopa Sana.!

    • @josephntungiye6232
      @josephntungiye6232 12 годин тому

      We kuma kaakimya hujui lolote shoga wewe, Ukraine Wana kikosi hani kinacho mtisha putin? Ukraine wanapigwa kilasiku Robo tatu yanchi imechukuliwa na urus alafu unaongea usenge usenge hapa

    • @jackwildlife
      @jackwildlife 11 годин тому +1

      Haya matusi yote ni ya nini? Kisa unaipenda Urusi na hutaki kusikia kinyume chake? Haimaanishi utaupindisha ukweli kwa matusi

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 10 годин тому

    Hawa ni family moja ... sema marekani ndio huwa chonganisha

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 11 годин тому

    Vita itaisha tu mungu mwema!

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw 14 годин тому

    Vita ni mbaya sana