hongera sana jeshi letu la polisi mnafanyaka kazi kubwa na nzito sana mungu awasimamie sana bila ninyi kwa kweli sisi maisha yetu yangekuwa ya wasiwasi mno kwa hiyo hongereeni sana
hongeren xn lakin wapo wenzenu ambao wenyewe wakiamka nawaza Leo nikakamate bodaboda kumi hawazi kama kuna majambaz yanayo Fanya uharf linategeme litaongezwa cheo Lin sijui
poleni makamanda wetu kwakazingumu ushauli wangu kuweni makini pia kwa vijana waliopitia mafunzo ya jeshi na hawakupatiwa ajila nao inaweza kuwa chanzo cha ujambazi
poleni askari kwa yaliotokea.nasikitika wale wapenda matukio hawajalalama nakulalamika bungeni? je wangeuwawa hao majambazi nane mpaka leo ingekuwa kazi.lkn kimya mpaka Leo.washindwe.
we unaetaka kuwaona,so ukishawaona ndo utafanyeje kikubwa ulishaambiwa wamekamatwa na mtandao bado ni mkubwa so kikubwa na sisi pia raia tuoneshe ushirikiano kwa jeshi letu la police kuwabaini waharifu ktk nchi hii hakika me naliamin sana jeshi langu la police kwa kazi zake,,,,Na ninashangaaa sana haswa pale ninapoona mtanzania mwenye akili timamu akifurahia kuuwawa kwa askari hajui km kuuwawa kwa askari ndo kutoweka kwa amani ktk taifa hili leo utafurahia lkn kesho utaitafuta aman ilipo na kutambua thaman ya askari,M/mungu awe pamoja na jeshi letu hakika hamna kinachoshindikana naamin wote watapatikana
kukamatwa na silaha za polisi, sare za polisi + kupelekwa msituni kuonesha wenzao walipo ÷ wafe majambazi tu, bila ya wao "walio tegwa" kuguswa = jipu!
Omari Ally jitahidi kuelewa mazungumzo uliambiwa hao majambazi baada ya kuwataja wenzao walipo,waliwapeleka askari lkn ulikuwa mtego baada ya kufika huko mafichoni walishambuliwa na wenzao na wamekufa..
Hii ndo serikali tunayoitaka, inatekeleza, na inatulinda wananchi, Ahsanteni JESHI LA POLISI kwa kazi nzuri
Mungu yupo upande wenu fanyen kazi👍
safii sana kwa kazi muliyoifanya maasakar wetu
kazi nzuri kwa polisi
Safi sana Makamanda wetu. msiache hata kidogo waaasha Motooo
hongera sana jeshi letu la polisi mnafanyaka kazi kubwa na nzito sana mungu awasimamie sana bila ninyi kwa kweli sisi maisha yetu yangekuwa ya wasiwasi mno kwa hiyo hongereeni sana
Kazi nzuri!
Asanteni kwa kufanya wajibu wenu endeleeni kuwa updated hamna kulala
kamanda silo ongela sana mungu akupe maisha malefu na polele kuondokewa na askali vijana kabisa mungu yuko nawe pambana tunaimani nawe
Kiswah ili chako kibovu sana hakieleweki.
Nakubali mzee
safi sana sasa wako wap
safi sana kamanda
hongeren xn lakin wapo wenzenu ambao wenyewe wakiamka nawaza Leo nikakamate bodaboda kumi hawazi kama kuna majambaz yanayo Fanya uharf linategeme litaongezwa cheo Lin sijui
pongez kwa kaz nzur endeleen na ulinz wa RAIA na Mali zao
police mumefanya vizuri
Kamanda hizo sare Za polisi wamezipata wapi?
pongezi kwa polisi wetu na wasamalia wema waliowapa habari
poleni makamanda wetu kwakazingumu ushauli wangu kuweni makini pia kwa vijana waliopitia mafunzo ya jeshi na hawakupatiwa ajila nao inaweza kuwa chanzo cha ujambazi
ercki Mahenge hatakuandika jaman ushauli ndo nn au ajila ni nn rudi shule mdogo wangu
Good....
Safi jamani wanatuumiza sana
gud job
Ikiwezekana waokoke itakuwa ni Jambo zuri zaidi. Mwisho wa kunukuu.
Hii injili iwafikie na viongozi wote kuona thamani ya wokovu
Hongera kwa jeshi la polis, na polen pia
kazi zur
Mungu tunakuomba uwalinde Askari were.
"aminaaa"
Mungu tunakuomba uwalinde Askari were.
"aminaaa"
kamanda wetu nakukubali kwa ulinzi
ingekuwa vema askari wetu wawe ktk operetion kama hz siku zote,raia watakwisha kama ni hivi jamani?
Pongezi kubwa Kwa jeshi la polisi kazi hii iwe endelevu tutashinda tu
hatari sana kwakweli jitahidini sn askari
Kazi Nzuri sana police
hello good morning long time
Martini conrald I'm fine
Jane Wacera ehx
poleni askari kwa yaliotokea.nasikitika wale wapenda matukio hawajalalama nakulalamika bungeni? je wangeuwawa hao majambazi nane mpaka leo ingekuwa kazi.lkn kimya mpaka Leo.washindwe.
we unaetaka kuwaona,so ukishawaona ndo utafanyeje kikubwa ulishaambiwa wamekamatwa na mtandao bado ni mkubwa so kikubwa na sisi pia raia tuoneshe ushirikiano kwa jeshi letu la police kuwabaini waharifu ktk nchi hii hakika me naliamin sana jeshi langu la police kwa kazi zake,,,,Na ninashangaaa sana haswa pale ninapoona mtanzania mwenye akili timamu akifurahia kuuwawa kwa askari hajui km kuuwawa kwa askari ndo kutoweka kwa amani ktk taifa hili leo utafurahia lkn kesho utaitafuta aman ilipo na kutambua thaman ya askari,M/mungu awe pamoja na jeshi letu hakika hamna kinachoshindikana naamin wote watapatikana
mlinzi wakwanza juuya taifaletu ni mwananchi mwenyewe usisite kukemea uovu juuya taifa letuu
Dah
Nazi nzuri kwa police wetu na kwalaia wema
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kuzidi kuripa nguvu majeshi yetu ya polisi
safi polic wetu zaidi MUNGU na hao wasamaria walionyesha
kukamatwa na silaha za polisi, sare za polisi + kupelekwa msituni kuonesha wenzao walipo ÷ wafe majambazi tu, bila ya wao "walio tegwa" kuguswa = jipu!
Silo fanya kazi
Leah Christopher
duh, hayo majambazi au jeshi dogo!?
tuonyesheni hao majambazi sio kutuonyesha masilaha tu tunatoka kuona majambazi km ni kweli
Khadija Said kuna watu akili ndogo
ukishaona unawafanya nn
sidhani kama akili yako ni salama ukiwaona uwafanye nini sasa watu wengine bwana kama unachakuandika lala.
safi
duuu hongera police kweli uo mtandao mkubwa sana wauliwe tu msiwape zamana watakuja kutuumiza tu wananchi
Hongara polis kwa kazi nzuri
tuacheni siasa mbona atuwaoni ao majambazi mlimkamata mtu alie vaa sale za polisi mlituonyesha ila ao amkutuonyesha ii ndio Tanzania Mbwana
Omari Ally jitahidi kuelewa mazungumzo uliambiwa hao majambazi baada ya kuwataja wenzao walipo,waliwapeleka askari lkn ulikuwa mtego baada ya kufika huko mafichoni walishambuliwa na wenzao na wamekufa..
ww ujamuwelewa uyo amesema wamewakamata na wamewaua kwa kuwapiga risasi je ww inakuingia akilini polisi waonyeshe siraa bila kuwaonyesha jiongeze ww
Duuuuuuuu
xxxxx
pongez kwa kaz nzur endeleen na ulinz wa RAIA na Mali zao
Cku nyingine mshirikiane majeshi yote mfanye oporeshen nchi nzima Dedishen wote.