Walio na stakabadhi feki watakiwa kuondoka serikalini
Вставка
- Опубліковано 16 кві 2024
- Zaidi ya wafanyakazi elfu mbili wa sekta ya umma waliopatikana na dosari ya kuwa na vyeti bandia sasa wametakiwa kujiuzulu mara moja na kurejesha mishahara na marupurupu yote. Rais William Ruto ameagiza haya alipofunga rasmi kongamano la kitaifa kuhusu mishahara ambapo pia amewaagiza maafisa wa tume ya ufisadi nchini na idara ya upelelezi kuwa macho na wanaotoa hongo kupata kazi.
This is so sad and the people with the right papers cannot secure employment
Please president walk your talk and fire them.employ our youth who have legitimate papers
Wakunjie oscar sudi.
That's elective position and only a voter can remove such a leader.
Start with Sakaja and Oscar Sudi
True😂
CORRECT.
These TWO BadApes are just THIEVIES!
Mr president pia DCI na EACC wachukue hatuwa Kwa mbolea feki
Sisi kama watu wa Azimio tuko safi kama pamba
Hapa ni Kenya kila kitu yawezekana
He says that when he recently nominated a man with only a driving licence to be a consular in Congo.
Sometimes a president can do something to create the feeling of democracy- he nominates then tells parliament to deny him😂
@@gamersnevercryever I thought the nominee is not his and he only instructed the Parliament to deal with him. Only that he should not accept trash from friends and fave humiliation. That left him in bad taste.
Hot Air
Sakaja kosgei , pole sana bro
Who saw
Sakaja just looking down😅
Fake aibu😂imemchika
Why should they resign other than being sacked,that is a disciplinary issue and not negotiable.
Focus on Parliament too.
To any elected leader ni kazi bure ....but only the appointmented
UFISADI umeletwa na DEVOLUTION!
RUTO needs to REVOKE Devolution, otherwise, KENYA will go BANCRUPT!
Start with sakaja and your CS
Sakaja 😂😂😂
😂😂😂sakaja mashakani😅😅
Kama niwaa uDA awatatolewa😂
Sakaja sudi😊
Rudisha pesa yetu
In police /Kdf they are many
I doubt. Not in military
@@STEPHENOLOUCHOYUKOwapo Kwa kikosi Wana std 8 certificate 😂
Very good yes true 👏🏻👏🏻👌🏻👌🏻
Kuanzia Sakaja
That's elective position and only a voter can remove such a leader.
@@Victor62. They can be impeached for committing fake certificates crime.Then Dpp charge them with forgery
Did someone else see sakaja reaction
Looking down 😅
Hot hot hot Air....niite ngure wakienda
Anza na wewe na Oscar sudi
"Engineer oscar sudi"
Hapa kwa ofisi yako ndio chafu start with your friend Oscar sudi number one
Sudibni MP
The truthful man is funny 🤣🤣🤣
Oscar sudi must be first one if so
Mfisadi namba moja ni ruto na gachagua
Waanze na sakaja
I hope he'll survive coz even Marehemu magufuli went the same road
Are owning a fake document? Then you support him and stand for the Truth
Wahame
what kind of comment is this, we all know Magufuli had covid-19, what has that to do with fake certificates and trying to employ those with legit certificate?
@@fly69jamual62 pole, magufuli ni kumalizwa bana. Ingekua ni covid hata wengi wetu hatungekua hai. Covid was just a normal disease, Raila had it, he is alive and many other people. Haya Saitoti wengine husema it was just a normal accident but behind the scenes???????
Naona sakaja hapo nyuma😂
😂😂😂😂 na oscar
mimi hapo naunga mkono 😂😂
You expect them to resign? You bet they won't. And if they are dismissed, they will rush to courts looking for favourable rulings.
What about the fake papers presented by the politicians...Endea big fish ndio wanainchi waamini
Anza na oska sudi
Does it mean Sakaja Ugandan University is out??? This isnjust big PR nothing eill be done.
Anza na linturi na wengine wako tu humo serikalini
Mdomo tupu hakuna mahali wataenda
Good move but all government departments are the sa me. Don't target one dep only. Couldn't you start with land grabbers as well with fake documents?
Anza na Sudi
Na wenye TUna vieti tuko home kwa moshi
Why is Mr Johnson so busy?
Unarudisha mshahara aje 😂😂😂😂
Sakaja ako tu hapo akisweat ndani ndani juu his story imemchoma 😀...but in all seriousness, President awache kutubeba ufala. You have access to all the investigative and intelligence machineries of Government. Yet you still appointed some of these people at senior levels. Usijifanye eti haukujua hii story.
But they worked
Tena watajwe tuwajuwe hawa majamaa
🤣🤣🤣🤣🤣 watoto mahasidi katili watundu walaghai wabakaji wanataka kukula kwote kwote jamani eeeeh
Hiii imekeuka mipaka
Doctors of all people
Corrupt doctors
Hiyo oliskia wapi
Aaaah only in Kenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂 waaah that is crazy 😮
sakaja
Governor wa Nairobi
Start with Oscar sudi, sakaja and the rest will follow
Kwani ni kunoma aje!
Start from your Governors and MPs
Oki kweli Kenya itaendelea if corruption is wiped if he stops corruption his legacy will never be forgotten hell be like kibaki father of kenya who really expanded the economy kabla baba zero spoilt it it seems baba zero if he gets AUjob ata retire
Hivi hawa madaktari wa wapi
Hivi hawaoni wanataka kugonganisha watu vichwa
Wewe waulize boss wao ni nani si ni county governments
Ukweli uongewe
Hivi Serikali kuu na mahitaji yao
Hawa wanafki wapi na wapi
Maumbwa nyinyi rudini kazini mukajipige ma dose huko tuna shida za kutosha
🤣🤣🤣🤣🤣
Tuwataje ama tuachie sirikali
Sakaja hadi ameaibiKa😂
Oscar Sudi😂😂
...ehh......wasting money talking of river road.....when they dont want to pay doctors....!!!
Trouble 😂
Check the police and kdf that is why hawajui kazi ya kuprotect mwanainchi coz niij watoto Wa selelaki
Wale walio na stakabadhi feki watoke serekalini hususan wale wako na degree feki hao waanzwe Kwa haraka sana
How were they employed with fake docs
They should leave before inspections start employee by employee ndio sisi graduates aki tupate chance. This is what is pushing Africa backward forever, obtaining salaries under false pretense on where you don't have certified accreditation
They can be sacked but cannot refund 'money earned for services provided'.
😂😂😂 you appointed them to the government in the first place what a joker😂😂😂 please cut down the salaries for president deputy president prime cabinet secretary mps governors senators and pay the doctors quick normal mwananchi is suffering stop this circus
In america papers dont matter it your skills sijui. Ulipata nini form four if you got an E enda kwa mjengo
Papers matter in 🇺🇸 America.
My friend..if you go to college, you get paid handsomely
Jaba😂😂😂
Yenyewe social media is taking over. This is old news already...1 hour after the event 😂
This is the most useless government. You appoint incompetent people and you complain they don't know what they are doing 😂
Doctors should not be given anything by the national government they should just swallow their humble pie and return to work infact here they are the biggest tapelist walikuwa wanataka kukula kwote kwote central government and from their bosses county governments
Si serikal kuu ilitoa pesa ya matumizi haikutoa here we are talking of the annual bugdet ilitimizwa haikutimizwa
Madaktari walafi hawa
🤣🤣🤣🤣🤣
📢📢📢📢📢📢You corrupt doctors will you please kindly return to you places of works
Stop theater
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Go negotiate with your bosses
🤣🤣🤣🤣🤣
Cba is null and void
It was not negotiated with the necessary authorities
Madaktari wakenya wanafaa washtakiwe waliukiuka mkataba kati yao na waajiri wao wakaenda kufanya deals ghushi zisizoelewekwa huko inje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakhumicha
Just stories to relax your stress
Eeh ni ngumu , fanyeni kazi hio tuone kwaza
uhongo
What about City County fake certificate holders .
😂😂😂😂 nani atawafuta
They were already sent packing .
Sakaja board language 😂
Body language
🥱🥱😴😴