Tunakukubali na kujifunza mengi kwako kaka sio tu comedy bali uzito wa falsafa na misimamo yako ya kiume .uko tofaut sana na macomedian wengi.big up sana
Aisee pole sana mzee sasa kwa maelezo hayo kama kweli mwanamke wa hivyo unawezaji kusema mtu flan safi mstarabu Bado hajawa mstarabu hapo alishajipanga kulifanya tukio mda mrefu sana ila muda wa tukio kamili bado hana tabia nzuri uyo
Kuna bro kakimboa mimba Toka Ina miez mitatu, nmeiliea kuanzia apo mbaka Sasa mtoto katimiza mwaka, alaf atarud kumdai mtoto kusema wake!!! Siamin kwenye vita lakin nitampa ni mtoto wake. Ila kazi anayo!!
Namuomba Mungu anipe busara kama za Nanga, yaani napenda the way anavyo jibu hadi raha, hampondi EX wake ooh! My God i real like nanga ana busara. Angekuwa ni Hemed phd hapo 😂
Huyu ni stor yangu kabisa... Mm nliachiwa ako wa na mwaka mmoja.. Kwa sasa mtoto ana miaka 7...siwahi msikia hata akiulizia mama yake! Yeye anamjua Bibi na baba tu!
ukimuoji nanga jua unaongea na mtu kamili sana. tofauti na makomedian wengine❤❤❤❤
Tunakukubali na kujifunza mengi kwako kaka sio tu comedy bali uzito wa falsafa na misimamo yako ya kiume .uko tofaut sana na macomedian wengi.big up sana
Nakukubali sana kaka kwa ujasir na ujanadume wa kuhimili miliki
Aisee pole sana mzee sasa kwa maelezo hayo kama kweli mwanamke wa hivyo unawezaji kusema mtu flan safi mstarabu Bado hajawa mstarabu hapo alishajipanga kulifanya tukio mda mrefu sana ila muda wa tukio kamili bado hana tabia nzuri uyo
Kajibu kama mwanaume huyo vitu vingine unajiongeza tu
Hapa nanga katulia kama sio yeye daah 😂😂Ila hongera sana kumlea mtoto wako❤❤❤
Huu ndio Uanaume sas✅
Umeongea fact sana Nanga wanaume tunapotia mengi Sana Sana lakini huwa hatusemi njia yako uliyopita hyo ndio njia yangu Mimi pia never give up
Big up kamanda mungu akufanikishie kila jambo👊🙏
Kuna bro kakimboa mimba Toka Ina miez mitatu, nmeiliea kuanzia apo mbaka Sasa mtoto katimiza mwaka, alaf atarud kumdai mtoto kusema wake!!! Siamin kwenye vita lakin nitampa ni mtoto wake. Ila kazi anayo!!
Bravo bro Nanga Ur a true man kip going.
Hongera kaka Mungu akusaidie
Nanga kama Nanga ❤❤❤🎉🎉
Namuomba Mungu anipe busara kama za Nanga, yaani napenda the way anavyo jibu hadi raha, hampondi EX wake ooh! My God i real like nanga ana busara. Angekuwa ni Hemed phd hapo 😂
Nakukubari sana mwamba wangu baharia mwenzangu nanga ⚓⚓⚓
diva eti kashapigwa matukio uko😂😂
DUH KUTOKA KUWA MKE AKAJA KUWA MAMA HADI MWANA JESHI KUWA MAMA SINDO YALE YALE KUWA NWANAJESHI KAKA YANI NI FULL KOMANDI😂😂
Huyu ni stor yangu kabisa... Mm nliachiwa ako wa na mwaka mmoja.. Kwa sasa mtoto ana miaka 7...siwahi msikia hata akiulizia mama yake! Yeye anamjua Bibi na baba tu!
Sawa akikuwa atamtafuta mm yake
Akikua atakuja kuimba "nani kama mama"😂😂
@@marymanoni5536Sio kwa mapenzi lakini
Polee
Hata mimi niliachiwa mtoto wa mwaka mmoja saiv ana miaka saba yeye ni baba na bibi tuu hata akionana na mama ake anamuita kwa jina lake
NANGA🔥🔥🔥
Big up bro
Pole bro.
Mimi yamenikuta kama yako brother nanga mmi niliachiwa mtoto wa miaka 2 sawa mtoto anamiaka 27
Safina sasa nanda ❤❤❤❤
Dida mmezoea kusikia hivo kwa sababu huwa mnasikiliza story za upande mmoja na huwa hamuulizi
Nanga is narrating my story😢
Huyu jamaa ako na brain👣
Kama Mimi wallah
Mume nikumbusha mbali kweli maana aubasi
Fact upo sw
Kumbe tuko wengi
Huyu jamaa ako na brain👣
Huyu jamaa ako na brain👣
Huyu jamaa ako na brain👣