KIBAMBA AWAVAA WANASIASA ''WAO NDIO KIKWAZO CHA KUPATA KATIBA'' MPYA/AWAVAA WENYE MAHABA NA WARIOBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 14

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому +1

    Bora kuanza upya sababu ni miaka minhi imrpita hata mazingira yamebadilika sana hata Viazi vimbadilika sasa.
    Watu wana ufahamu zaidi kwa sasa kuliko wakati ule. Watu wamepitia mambo mengi wamejifunza mengi zaidi kuliko wakati ule. Watu wana welewa tofauti utakaoleta maendeleo zaidi.

  • @AbdulSinga
    @AbdulSinga 9 годин тому

    Kibamba umejitaidi sana kufafanua hili swala la katiba

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 11 годин тому

    ccm ndiyo adui ya watanzania kutokupata katiba mpya

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому +1

    Mimi naona bora kuanza upya kabisa.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День тому

    Uko sahihi kabisa. Uelewa wa wananchi ni mdogo sana. Elimu hawana. Ingawa ndugu Lisu anatoa elimu mara nyingi tu, lakini haitishi. Ni ujinga fulani tu so na tuukubali. CCM ni Tatizo number moja. Je nani anamamlaka serikali na ccm ilazimizhwe kweli na sasa.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День тому

      Kina lissu no wale wale wanasiasa ndiyo maana hawaleti mabadiloko ya maana. Wanataka to kwa ajili ya uchaguzi na kuingia ikulu

  • @leonardsebunga7187
    @leonardsebunga7187 День тому +1

    Mtazami wangu ni kuwa katiba iliyopo tunaifahamu? Je inafuatwa? Inafanyakazi kwa ukamilifu?ikiandikwa mpya kama usimamizi na wasimamizi ni hawa wasio ifuata itatusaidia?

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 День тому

    Watawa watafanya vovote kariba mpaya isikuwapo chini ya ccm never will happen....kitu walofanikiwa ni kuwapumbaza raiya ili wawatawale ndomana hawataki kariba mpya ulaji wao utaondoka wako tayari wauwe ili mali zao ziwe salama khofu yao ndo hiyo tu

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 День тому

    Kibamba hebu jitafakari kauli zako. Wanaosema tuanzie pale alipoishia warioba hawako sawa unaona hawajui. Usiseme hujui ukweli kuwa mchakato wa warioba ulifanyika kwa watanzania wote kutoa maoni yao. Hata kama kwa sasa ikaonekana kuna mahitaji muhimu ya kuzingatia bado haitoahi kuona kwamba mchakato ule haufai. Kama kuna ya kuongeza ni swala la utashi ty na inawezekana kuyaingiza kwenye katiba na bila kuathiri mazuri yaliyopo kwenye mchakato wa warioba . Tatizo wewe kibamba ninapokusijiliza kila mara hutaki kusema ukweli kuwa viongozi wetu ndio kikwazo. Sema wazi kuwa tstizo ni ccm inataka kutumia katiba iliyopo ili kuirahishia ccm kubaki madarakani. Unajieleza kirefu sana lakini ukweli ni kwamba rasimu ya warioba ni nzuri kwa ujumla lakini kwa ccm ni mwiba kwao.

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 День тому

    Sisi wananchi ndiyo tuliotoa maoni yetu hayo maoni yakazaa rasimu ya Warioba, tume ya Warioba ilipeleka maoni yetu kwenye bunge la katiba. Walioharibu mchakato ni wale walioacha rasimu iliyobeba maoni yetu wakaandika walichokiita katiba pendekezwa ambayo ndani yake maoni ya wananchi yakatupwa nje yakabaki maoni ya wanasiasa tena wa chama kimoja.
    Rasimu ya Warioba ilikuwa inampa nguvu kubwa mpiga kura ya kuweka na kuwatoa viongozi waliowachagua, hiyo ingefanya kura yetu iwe na thamani kuliko ilivyo.
    Mkisema tuanze upya kwa hawa wanasiasa tulionao, msifikiri watakubari kuandika katiba inayowanyang'anya madaraka waliyonayo na kuirudisha kwa wananchi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому

    Katiba mpya yenye maslahi mapana.ya.nchi ni muhimu sana.
    Hata kama itavunjwa lakini itajulikana imevunjwa. Kuna wakati watu watawajika kwayo

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u День тому

    Katiba mpya si ya vyama bali ni kwa tanzania na watu wote katiba ni ya muhimu sana kwetu watanzania si ya mchadema au maccm ni ya watanzania wote.