🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 чер 2024
  • Ni takribani siku ya tatu sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe kufanya mawindo ya wachezaji watakaorudisha heshima ya Simba iliyojiwekea kwa miaka ya nyuma.
    MO Dewji Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika kuhakikisha Simba inakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao na kurejesha heshima ambayo imepoteza katika misimu mitatu mfululizo iliyopita.
    Baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya baada ya Simba kumaliza msimu ikiwa haijatwaa taji lolote kubwa huku ikimaliza katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, Dewji ameingia kazini kwa kufanya uamuzi mgumu ambao unalenga kuweka mambo kwenye mstari ulionyooka ili timu isiwe na unyonge msimu ujao.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ •