Kwani kwenye izi video konka huwa anatafuta wakwanza apewe likes au anahitaji sapoti yenu kweny ushauri labda au pongezi kweny video zake jmn maan kila mtu wakwanza leo likes zangu kaah acheni izo sio fashion iyo
Kuusu like..aihusiani na konka kabisa...watu wanaosoma comment wao ndio uwa wana like kile wanachopendezewa nacho..jinsi utakavyo andika...watu wakisoma comment yako...ikiwa nzuri watu wata likes kwa wingi
Hili dude kama hauna utulivu wa kutosha wallah wengi litawapita hv Hongera zao wanaijeria wametupita mbali sana kimfumo wa maigizo kama hivi aisee wamepiga hatua kubwa sana Lakini @izkonka hongera sana bro hakika unastahil pongezi sana coz unatumia akili na utulivu wa kutosha kwenye hili, mungu akubariki sana bro kwa kutupa burudani bomba kama hizi.... 👏👏👏🤝👍
Jamn konka nakupenda bure …nimeanz kukufwatilia mda sana kiukwel siwez kosa move zako ukilisha ata siku muja utafika mbali zaid ya unavyo fikilia …🙏🙏 unatufunz na kutuhelimisha ✌️🥰 nakupenda kwakwel
Daah sehemu niliocheka uyo jamaa Ade analolia kwanini kaingia jera wakati uyo jamaa anamuadisia kuhusu muuza maji .kabla ajamaliziwa story wakamuita muuza maji kauwawa😁😁😁
wangap ambao wakikuta recap haijasimuliwa na iskonka hawaenjoy hatakam ni stor nzur wanaachana nayo😊😊
Nipo hapa
Me wakwanz ase 😂
Kama bado uko hai toka january 2 december mshukuru mungu kwa nguvu zako zote na muombe atujalie tuione january ijayo
Amen
Amiin
Kwn aliy kufa atasoma ii. AMEN
@@eragang6368duh,,,,,,,!!
Unajua kuelezea vzr sana hutumii matusi yan umenyooka sana movie ni ngumu ila umeelezea tumeelewa ❤❤
Jamaaa unajuwa sana mpk mume wangu anashindwa kujizuia juu ya wiv wake ila ametulia tena saut ndo inakubeba sana
Kwani kwenye izi video konka huwa anatafuta wakwanza apewe likes au anahitaji sapoti yenu kweny ushauri labda au pongezi kweny video zake jmn maan kila mtu wakwanza leo likes zangu kaah acheni izo sio fashion iyo
Bora wewe umenisaidia kusema
@OmanOman-gz6bp yani cjh wanahisi izo likes zinawasaidia nn
Kuusu like..aihusiani na konka kabisa...watu wanaosoma comment wao ndio uwa wana like kile wanachopendezewa nacho..jinsi utakavyo andika...watu wakisoma comment yako...ikiwa nzuri watu wata likes kwa wingi
@@MariJunuior ndowaombe like kweny kazi yamtu baada ya kusapoti nakumpongeza?
Jamani Jina la movie
Hili dude kama hauna utulivu wa kutosha wallah wengi litawapita hv
Hongera zao wanaijeria wametupita mbali sana kimfumo wa maigizo kama hivi aisee wamepiga hatua kubwa sana
Lakini @izkonka hongera sana bro hakika unastahil pongezi sana coz unatumia akili na utulivu wa kutosha kwenye hili, mungu akubariki sana bro kwa kutupa burudani bomba kama hizi.... 👏👏👏🤝👍
kitambo mnoo😂😂😂
Konka unafanya vizuri sana unastahili pongezi🎉 pendekezo langu nakuomba uanze kutafsiri na seasons maana your the best DJ
Wakwanza 🎉🎉🎉 Nipeni mauwa yangu ❤🎉
Mtu Ujamaliza Move Ushaanza Kukoment Ila Wabongo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunakuona mchina😂😂😂
Sio kumaliza ikianza ku play ▶️ tu! Comment tayar 😂😂😂
We jamaa unajua sana mzee wang nakuona mbali snaa bro
Mmh hii movie ni fire,kama ulikuwa hutulii hata darasani na hapa huwezi kuelewa 😂😂😂, konka always u'r the best 🫵 brooo
Wakwanza mimi.. 😂😂movie ngumu hii
Masaa manne tu watu wameshacomment hivi.... sema e7bits anafanya vizuri sana sema kwanini huwa ujibu message zako 🎉❤
TANZANIA 🇹🇿 TUNAKIKAO TUJE APA HARAKA SANA MAANA 😮😮😮😮BADO NASHANGAA
Hello guys nipeni like yangu mimi ndiye wakwanza ku comment Burundi🇧🇮🇧🇮 tuko nanyi
Aseee n unyama San mzee na ushakuwa brand kwa sasa hun mpinzan kwenye tasinia y recap ✊
Unajuwa sana 🇲🇿🇲🇿
Wa kwanza Nipeni mauwa yangu 🎉🎉
Jamaa anajua mpka anajua tena🔥🔥
Iz konkaaa unajua kaka wengine wanaigaaa tuuu🎉🎉🎉.......SEMA nimecomment ndani ya sekundee tuuu
Kabisa maana kuna wengine wanatafsir vibaya ni kichefuchefu
Mungu azid kutuwekea wew babaa🎉🎉
Ajab Sanaa congratulations 👏🇰🇪🇸🇦
Wewe ni 🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤upewe ulizi broo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️
Jamaa unajua sanaa
Hii movie kiboko kweli uwe na akili maan nimexhabaki njiani 😂😂😂 ingekua naisngalia kawaida bx ningeachwa axante izkonka
Mimi nimeirudia tena ili nielewe vizuri 😅😅
@annassitaziajoshua-pp3vl ni huzuni kwa kweli 😄😄😄 hii katuweza
Unalijua lile vibe la unaandika majina kwa daftari usisahau kama family tree 🌳
Daaah Nimeon kitu Au macho yangu mabovu 😂😂😂😂
Umeona kweli hujakosea😂
Napenda movie zako unazielezea kwa undani all the way from Holland
Unatisha boy from Mozambique 🇲🇿
Jamn konka nakupenda bure …nimeanz kukufwatilia mda sana kiukwel siwez kosa move zako ukilisha ata siku muja utafika mbali zaid ya unavyo fikilia …🙏🙏 unatufunz na kutuhelimisha ✌️🥰 nakupenda kwakwel
Ni peni like
Olamide iz konk we ni noma broo ila fanya chap broo siku isiiche uachie ep zinazofata zee la kuchun its konk 😂
Izkonka na TheScenes mkoo vizuri, hakuna matusi ni simulizi fulltime
Mapemaaaaa😅saa 3
Asante Dj Mungu azidi kukupa uzima kwaajili ya mashabiki wako ususani upande wangu Mungu akuweke bwana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Konka unajua hadi unaboa tena
Am respect bro😍😍😍
wonderful
🎉🎉🎉 kama auna D mbili kaa mbali rafiki
My favourite ❤
Kwan kabla hujapost unaroga au mbona siwezi ishi bila movie kutoka kwako😊
Pamoja sana konkaa❤❤❤
Umetisha sana konka 🤜🏽🤛🏽
Tuwekee mapem bas 😢
Move kali ila kuelewa utulize akili sanaaa😅
@MamasasherRukungu we ach tu ila awahishe muendelezo, tusje subir mpk hamu ikaish
Miye wa 7 leo FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE
Izkonkaaa ❤siwez kuishi bila wew 🤗
Kazi nzuri san kk
Izkonka ni mmoja tuu kumamake❤😂😂una jua sana mwanetu 🎉
Vichwa maji mupo muliokuwa hamjaelewa😅😅😅😅
Nimetoka nduki kukimbilia uku ila ya leo ni mzuri mno broo❤❤❤
Mmmmmh huu mzigo we acha tu lazima una na d mbili ndo uelew 😂😂😂😂😂
We mbaya sana kaka..! 🔥👊🏾
kaz nzuriiii❤❤❤❤
Mapema kabsaa❤❤
Yani hii movie wallah kama huna d mbli huwez elewa ni ngumu kuelewa
episode unavyoziunga ni unyama tu🎉🎉,Asante konka🎉🎉
ila we jamaa @Izkonka unajua sanaa 🙌
🔥🔥🔥 bro toa nying nying
Mwanangu nitamuita chiamaka 😂😂😂😂😂😂
🥰❤️
Kaka Unajua Mpaka UNABOA........BIG UP SAN@!!!
MWANZONI Nilihisi Sitoelewa K2 Ila Kaka Nimeelewa Vizuri Sana Vip Nikiihitaji Kuipata Naipataje Kaka Msadaa Tafadhalii
Wakwanza mm🎉❤❤
Vjn wanajarb kutengeza recap zao ila huyu jamaa n mwisho no 1 tz
Nipeni likes jmn 😂😂wakwanza mimi😅😅
Nakubali sana mwamba
We konkaaa wewee❤️🔥🔥
Big up kwa kazi nzuri
Unyama ni mwingi Sana izikonka yani hii sereise umetisha Sana.natamani uiyendeleze.
Respect Koonka
Wakwetu UNAJUWA Sana tangu mchanga umeanza till now TUKO pamoja licha yakupoteza cm ila TUKO pamoja Mjomba konkaaa 🔥
nakubali sana kazi zako brother hauna baya
Kila mtu wa kwanza mtoe maoni kuhsu movie khaa
Yaaani wanaboa atari😂😂
Nakukubali Sana dij ♥️♥️♥️♥️♥️🔥😍🛍️🇹🇿
Dah ww unajua yaan ngom kal alaf inatk utulivu but hukuchok kutuelewesh vichw vbovu 😂 ila konka Mung aibarik kaz yko unajua bhn🎉
Nakubali sana bro 👍👍👍
Next sasa
eti noma sana
Inaitwaj hii kka 🔥🔥🔥
Wa kwanza toka congo
Sio pow nimeipenda
🎉🎉🎉🎉🎉 yako kaka umetisha kinyama
wa mwisho🎉
Yyeeeeeeh!!! E7bit unabalaa🙌
Move kali mwendelezo lin
Hii move ni uwe makini ama hautaelwa kitu😂😂 daah
Hongeraa Sana my Dr
Nice job😚
Wa 72🎉😂
Pen like na mm
Daaah kaka unajua saaana
Yani 😊😊😊👌
Kaka vizuri
Wacha nilipe madeni tu nije nirudie tena kuangalia hivi move nimetoka na madeni yangu hapa leo sijaelewa chochote 😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Yn ni mapicha picha tu
Dadeq hii movie story yake ni 🔥🔥🔥
Naomba usichelew kutoa mwendelezo jmnii❤
Konka uwanga na fatili chaneli yako kila mara ata niwe wa kwanza sipewe like Ila kwa Leo nime chelewa
🔥 umeuwa aiseee
Unyama mwingi🎉🎉🎉🎉🎉
Yeeeeeeee wamemuua muuza maji aiseeee😂 ila konka
Ucchelewe plzzzz tunataman kujua mwsho inakuajee😊😊
Upo vizuri sanna kaka🫡
Una weza uka nipa ata na Mimi like moja
Una weza uka nipa ata na Mimi like noja
Mimi hapa kama sio ya e7bits siwezi angali then izkonka bna hiibrecap haikuisha tumqlizie
Big up ❤❤
Pamoja sana❤
Kweli usipokuwa makini ntakuacha 😅
Upo vizuli sana brother
Jmn tunaomba muendelezo kwakweli 😊
Daah sehemu niliocheka uyo jamaa Ade analolia kwanini kaingia jera wakati uyo jamaa anamuadisia kuhusu muuza maji .kabla ajamaliziwa story wakamuita muuza maji kauwawa😁😁😁