WANAFANYA MAKOSA MADOGO WANAJIKUTA KWENYE MATATIZO MAKUBWA | EPISODE 4 - 6

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @MagrethOmary-x3k
    @MagrethOmary-x3k 12 днів тому +7

    Mbona hamna mwendelezo wa huu movie..hadi leo siku ya 7

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  12 днів тому +2

      Muendelezo gani, huoni series imeisha…

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 8 днів тому

      😂😂😂

    • @gaisakhamisi
      @gaisakhamisi 2 дні тому

      @@JudyLee-hf9cy kumbe imeisha mwisho namba ngapi?

    • @gaisakhamisi
      @gaisakhamisi 2 дні тому

      @@e7bits_tz mwisho namba ngapi?

  • @SKYWALKER_THE_DON-o9p
    @SKYWALKER_THE_DON-o9p 20 днів тому +9

    Dah movie imetulia xaana na inahitaji utuliv wa hali ya juu xana

  • @IbraahKizz
    @IbraahKizz 20 днів тому +81

    Na ona umetimiza tulichokuw tuna kitaka movie kama hiz ni bala mnoo sis kama watazamaji tunapend movie za kichawi kbx Wanao pend kam hiz gonga ap tuone... Naatakae som hii comment abarikiwe na mwenye zi mungu semeni amiin

    • @sabrinamkandawile6017
      @sabrinamkandawile6017 20 днів тому +2

      Kwl kabsaaa

    • @HadijaVinyu
      @HadijaVinyu 20 днів тому +1

      Mm pia napenda sana

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 20 днів тому +1

      ua-cam.com/video/pWrZCZ3-fZs/v-deo.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 20 днів тому +1

      ​@@sabrinamkandawile6017ua-cam.com/video/pWrZCZ3-fZs/v-deo.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

    • @MwanakheriAbdallah
      @MwanakheriAbdallah 20 днів тому +1

      Move kali sanaa uchoki mtu kuangalia

  • @SalumKalulu
    @SalumKalulu 20 днів тому +7

    Binafsi huwa sipendi movie zenye story rahisi napenda kuangalia filamu zenye story ngumu kama hii na enjoy nikiumiza kichwa Big up mzee konkaa

  • @ellah_tz
    @ellah_tz 20 днів тому +4

    Duuuh so nice jaman , tuliambiwa tuwe tunatulia tukiwa darasana leo ona sasa 😂😂😂😂

  • @safiBaguma
    @safiBaguma 20 днів тому +4

    Mungu akulinde wew unaye soma hiii comment❤

  • @FatmasaidAhmed-ws1rs
    @FatmasaidAhmed-ws1rs 20 днів тому +4

    Hii ni tamu Hadi sitamani iishe wallah 😢🇸🇦🇰🇪 mtu wangu uko juu kuliko yoyote hao wote wanaigiza hawakupati wallah keep it up tuko pamoja Sanaa Hadi nahisi rahaa

  • @shaithtamim4933
    @shaithtamim4933 20 днів тому +3

    The first leo konka

  • @EdwinBicco
    @EdwinBicco 20 днів тому +3

    Konka Leo uhakika mwanang ❤

  • @Mambalyelibarick
    @Mambalyelibarick 13 днів тому +3

    huyu mama pia ni mchawii aseee 😂😂😂
    konkaaa unaniuwa mbavu

  • @atuganileMwaisanila
    @atuganileMwaisanila 18 днів тому +3

    Nzuri balaa tupe mwendelezo

  • @Cathy223-rm5zx
    @Cathy223-rm5zx 20 днів тому +3

    Oyaaah hii movie ucpikuwa makini unaachwa ila ni kali kinoma❤❤

  • @NeemaBaraka-r6o
    @NeemaBaraka-r6o 20 днів тому +3

    Hii jaman e7bit mbona ujanipigia sm kama umeachia kaka yangu tunakupenda sana🎉🎉🎉💯

  • @ShabaniMkanyanga
    @ShabaniMkanyanga 20 днів тому +3

    Kaka unauwasha moto vibaya mnoo from mbeya big support napeperusha jina lako pamoja konka

  • @yoazasingo8235
    @yoazasingo8235 20 днів тому +2

    Asee ni bonge La series na umeielezea vyema big up sana IZ

  • @JSam-zb5wu
    @JSam-zb5wu 20 днів тому +3

    Naqbal bro umetisha sanaaaaaaa hii recap kali sanaaaaa

  • @BintalyB
    @BintalyB 20 днів тому +1

    Nmewahii leo ckuchelewa sana ❤❤nmrfika ndani tyri

  • @isayakafanabo2579
    @isayakafanabo2579 20 днів тому +3

    Nakubali mzee

  • @elizabethkalaghe
    @elizabethkalaghe 20 днів тому +9

    Angekuwa mtu mwengine hawezi kutafsiri hii movie ni ngumu mno😊

    • @AbdallahMfinasoka
      @AbdallahMfinasoka 20 днів тому +4

      Kweli aisee huyu jamaa ni balaa

    • @elizabethkalaghe
      @elizabethkalaghe 20 днів тому +2

      @AbdallahMfinasoka apewe mauwa yake 🌹

    • @TiffaaSaidy
      @TiffaaSaidy 20 днів тому

      Kwer kabisa

    • @agnesyesaya4238
      @agnesyesaya4238 19 днів тому

      yani ukitaka uelewe pia msikilizaji usiwe na mambo meng mbona utakua unardiardia😂

  • @yonamaduma6284
    @yonamaduma6284 20 днів тому +2

    Story kali🔥🔥movie kali 🔥 #Konka unaua sana hauna mpinzani🫡🙌🙌🙌🙌

  • @MwasitiMohamed
    @MwasitiMohamed 20 днів тому +6

    Leo nimewahi naomben like❤❤😊

  • @WitnessOchora-dd1gm
    @WitnessOchora-dd1gm 19 днів тому +2

    My tuna tak kam izi ndo tamu zaidii maan zina sisimuwa atar. Binadamu n nyokaaa🙌🏽😭🙌🏽

  • @JoshuaSafiel
    @JoshuaSafiel 20 днів тому +2

    Tumeisubiri Kwa hamu hiii😂😂😂

  • @Gequearmando
    @Gequearmando 20 днів тому +2

    Unyama sana mwamba i'm from Moz 🇲🇿 mandar vir LIKE

  • @HUpendo
    @HUpendo 20 днів тому +1

    Kaka unajuwa paka unakelaa jamaniiiii❤❤❤❤

  • @E7OTTY
    @E7OTTY 20 днів тому +1

    Sema konka umetisha xana.......nomaa xana... 😅

  • @Samsan-vl9og
    @Samsan-vl9og 20 днів тому +1

    Nilikuwa nasubiri Kwa hamu sana hii 🎉🎉

  • @Rafiipastore
    @Rafiipastore 20 днів тому +2

    kaz nzur rafiki❤

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 19 днів тому +3

    Nyie kama hujawahi kuishi na mama wa kambo tuulizen sisi asipokupenda yeye atafanya mpaka baba ako akuchukir📌😊

  • @KassimuKikundazi-b8y
    @KassimuKikundazi-b8y 20 днів тому +1

    Mmmh ooyaaa hii ngoma bila ku2liza akili😂😂hutoboii mzee😂😂😂,ila🫵🫵🙌Umetisha mjombaa👊

  • @JoyceDavid-v9p
    @JoyceDavid-v9p 20 днів тому

    Muendelezo Tafadhar Unafanya Vizur Sanaa Jamaniii 👏👏👏😘

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 20 днів тому +3

    Tunaomba nyengine usichelewe movie kari sana

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 20 днів тому

      KARIBU SIMULIZI 255🍿KWA RECAP KALI 👇
      ua-cam.com/video/pWrZCZ3-fZs/v-deo.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

  • @christianmyava9135
    @christianmyava9135 20 днів тому +2

    Nakua wakwanza sikuizi like zangu

  • @NasarSaid-z5s
    @NasarSaid-z5s 20 днів тому +1

    Kali sana inahitaji akili kaka umeweza

  • @NasmaMwaipaya
    @NasmaMwaipaya 19 днів тому +2

    Hunaga show mbovu🎉

  • @MohanWsk
    @MohanWsk 20 днів тому +1

    TANZANIA 🇹🇿 TUNAKIKAO TUJE APA HARAKA SANA MAANA 😂😂😂😂BADO NIPO NASHANGAA NATUMIA AKILI KUANGALIA II MOVE

  • @AllyKey-e1m
    @AllyKey-e1m 20 днів тому +2

    Bro❤ big up sana yani unanipa raha sana❤❤❤

  • @WitnessOchora-dd1gm
    @WitnessOchora-dd1gm 19 днів тому +1

    Ngoma tamu tan❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @maselenkende1898
    @maselenkende1898 20 днів тому +2

    Konka ww fundi bro
    Nakiona kipaji kikubwa katika jicho latatu na utakua star mkubwa miaka miwili mbeleni

  • @GammaKing-x5r
    @GammaKing-x5r 20 днів тому +1

    Daah shit nsha changanyikiwaa ngoja nkaanze upya s1 😢

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu 20 днів тому +1

    Safi Sana Brown kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ShabaniSaidi-c8y
    @ShabaniSaidi-c8y 20 днів тому

    konka unajuwa sana mzeee sema bigapp kwako broh tisha sana 🫡🫡🫡🫡

  • @WardaJabir-yy4rn
    @WardaJabir-yy4rn 20 днів тому +1

    Nyie tamuuuuuuuuuu🥰🥰

  • @mwalimungoda
    @mwalimungoda 20 днів тому +2

    Unyama unaendelea

  • @Dantic-boy
    @Dantic-boy 20 днів тому +2

    Safi sana bro👍👍

  • @willyobiike5500
    @willyobiike5500 19 днів тому +2

    WASHKAJ ATA HAWAKUJISUMBUA KUWAKIMBIZA, UNAKIMBILIA WAPI SASA AMBAPO NI SALAMA UMU KWENYE MSITU AU 😂😂😂??? Nimecheka sana Leo jamani daaaaah HUYU JAMAA NINOMA

  • @dianamichael6812
    @dianamichael6812 20 днів тому +2

    Kumbe 😂😂bikr dili Nigeria nd maan Ned nonko anapendag mabikra😅😅😅eeh helaaa izii😂😂

  • @nsajigwamwakobela7658
    @nsajigwamwakobela7658 20 днів тому +2

    Htr mzee

  • @BellahDonna-k5s
    @BellahDonna-k5s 20 днів тому +1

    Upewe maua yakoo mkuu😊😍

  • @Eliasmwita-w8b
    @Eliasmwita-w8b 20 днів тому +2

    baba una balaaa

  • @KhairatyIsmety
    @KhairatyIsmety 18 днів тому +1

    Nzuri sana

  • @JacksinJacjson
    @JacksinJacjson 20 днів тому

    🎉 wa kwaza leo jaman

  • @VidothedonyVido
    @VidothedonyVido 20 днів тому +1

    Wakwanzaa sasaiv

  • @musalupala1284
    @musalupala1284 20 днів тому +2

    Wa kwanza

  • @soniashuma
    @soniashuma 7 днів тому +1

    for real its nice,keep it up bro

  • @NajmaMohammedy-u4y
    @NajmaMohammedy-u4y 19 днів тому +5

    Km ulikuwa huelew soma la mathe drsn bas na hii movie hutoielewa km mm🤣🤣🤣🤣

  • @jaywilliam8059
    @jaywilliam8059 20 днів тому

    yani mzingo nimehuwona bro yani kbala hata sijamalizia huwodo ila humzingo nimehupenda kinyama ❤❤❤❤

  • @evamichaelrubebe1153
    @evamichaelrubebe1153 20 днів тому +4

    ❤❤

  • @urbanizeTz-nz7td
    @urbanizeTz-nz7td 20 днів тому +1

    Dude ni la moto saana kaka umetisha KONKA mapenzi 😅😅🔥🔥🔥🙌

  • @witnesswaerda
    @witnesswaerda 16 днів тому

    Ni nzuri kupita maelezo pambana kaka utuletee muendelezo❤❤❤

  • @judithsijaona9875
    @judithsijaona9875 20 днів тому +1

    Kwel hii ukikaz kichwa kidg umeachwa😅😅😅

  • @Fatmabakari-y1f
    @Fatmabakari-y1f 16 днів тому +1

    Tuendalee

  • @wadantz123
    @wadantz123 20 днів тому +2

    Wakwanza 🎉😢

  • @ShamimKali
    @ShamimKali 19 днів тому +1

    Kali sana hongera ❤

  • @KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE
    @KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE 19 днів тому +2

    FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE TUKO PAMOJA HADI MWISHO INZKONKA NAKUMISS TU SANA KWELI NAKUTAKIYA HAPPY NEW YEAR TUNASUBIRI KIFUNGA MWAKA ❤❤

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 20 днів тому +1

    Ally Rodric south Africa nakukubali Sana

  • @IbrahimMadebe
    @IbrahimMadebe 20 днів тому

    Huu mzigo bro noma sana unataka umakini sana💥

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 20 днів тому

      ua-cam.com/video/pWrZCZ3-fZs/v-deo.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

  • @mwinyiado1129
    @mwinyiado1129 20 днів тому

    Namba moj leo zee la beat

  • @MgenYazid-nu4te
    @MgenYazid-nu4te 20 днів тому +1

    This movie is so confusing but interesting u are great enough to understand and explain it to us 💗

    • @Simulizi255
      @Simulizi255 20 днів тому

      KARIBU SIMULIZI 255🍿KWA RECAP KALI👇
      ua-cam.com/video/pWrZCZ3-fZs/v-deo.htmlsi=YQNFHHR11OwvcqHB

    • @BbasuleBasule
      @BbasuleBasule 19 днів тому

      ​@@Simulizi255😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RoseWilliam-d8r
    @RoseWilliam-d8r 20 днів тому +1

    Sielew bn😂😂

  • @injasta_channel4255
    @injasta_channel4255 6 днів тому

    Ni 🔥🔥🔥 sanaa sema inaitaj utuliv kuielewa

  • @AffectionateHorse-zp8wo
    @AffectionateHorse-zp8wo 18 днів тому

    Kumeanza kuchangamkaaaa🎉

  • @neemamhagama2037
    @neemamhagama2037 19 днів тому +1

    Sasa unyaamaaa 🔥🔥🔥

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 19 днів тому +2

    Wakat Tunasubili Utamu Lete Mali Nyngne Ya Kuumiza Utosi konka

  • @AloyceLaulence
    @AloyceLaulence 20 днів тому

    Aww wakwanza leoo😅like zang hapa

  • @galaxywilliam3918
    @galaxywilliam3918 3 години тому

    Mwendelezo

  • @isharaBenoit
    @isharaBenoit 20 днів тому

    Yani you movie ni bongi la movie nikali sana Kwa kutochelewa❤❤❤❤❤❤❤

  • @CelestenJoshua
    @CelestenJoshua 15 днів тому

    Iyi movie ningumu sana ku ielewa. Mimi tangu nianze ku itazama sija ielewa

  • @MolelyMolely
    @MolelyMolely 20 днів тому +1

    Nimegundua watu mnalala huku😅😅

  • @DivineNDAYISHIMIYE-mz1mu
    @DivineNDAYISHIMIYE-mz1mu 20 днів тому +1

    Leo Wakwanza Mimi Like for Me🇧🇮🇧🇮

  • @Tiffanyhussein-s5f
    @Tiffanyhussein-s5f 20 днів тому +1

    Mie mbon nimebaki njiani 😅😅😅😅

  • @ChjksHave
    @ChjksHave 20 днів тому

    Nimeidaka kwa juu😂😂❤❤

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 20 днів тому

    Kazi nzuri ningekua na buku ningekuoa unywe soda

  • @omaryiddy-v9b
    @omaryiddy-v9b 20 днів тому

    Uko sawa sema tu unachelewa mkuu

  • @ImmacuraterSlyvester
    @ImmacuraterSlyvester 17 днів тому +1

    Hii ni noma tena noma sana

  • @BrightoneAyubu
    @BrightoneAyubu 19 днів тому

    konka mtoto wew umeshindikana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EverGodrick
    @EverGodrick 20 днів тому +1

    Konka ❤❤❤

  • @weddyKamathi-q6q
    @weddyKamathi-q6q 20 днів тому

    Leo niwai bana asye❤❤❤

  • @EmileLugendo
    @EmileLugendo 20 днів тому +1

    Umetisha ndg yng

  • @MonaEd-o4z
    @MonaEd-o4z 20 днів тому

    Unyama mwingi sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉 yako ayo

  • @kimnjoka
    @kimnjoka 20 днів тому

    Ubarikiwe Sana kaka

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 20 днів тому

    Asante konkaaaa❤nyie mkuje huku muone muendelezo❤

  • @DestianJackson
    @DestianJackson 17 днів тому

    Respect sana konka weka like

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 20 днів тому +1

    huna baya ucheleweshi kbsa Asante❤❤❤❤❤

  • @RahimIsumail
    @RahimIsumail 20 днів тому +1

    Unajuaaa kaka

  • @GloriaSilindu
    @GloriaSilindu 20 днів тому

    Ni htriiii inayofuata itoke massive wengne htn pa kwenda😂❤

  • @HildaNoel-j4t
    @HildaNoel-j4t 20 днів тому

    Nakukubali aisee ni mzuriii mnoooo🎉🎉🎉🎉

  • @RamadhanihamisiMussa
    @RamadhanihamisiMussa 20 днів тому

    😂😂 kaka inatosha ww unajua 🙌🙌🙌 au we ni li free massonu😂

  • @Mzawadi
    @Mzawadi 20 днів тому +1

    Daaaaaaaah 🙀

  • @Jackzyplatnumzplatinumz
    @Jackzyplatnumzplatinumz 20 днів тому +1

    Nimekuw wa Kwanza like zangu jamn